WANANCHI ARUSHA WAISHI na KAULI ya RC MAKONDA - WASEMA BADO MBUNGE - "KAKIMBIA MAFURIKO SISI TUFE"..

  Рет қаралды 15,433

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@RITHAMROSSO-t4w
@RITHAMROSSO-t4w Ай бұрын
Barabara ni mbaya mno bado olorieni mwanama
@MusaJuma-y6s
@MusaJuma-y6s Ай бұрын
Huyu ndio kiongozi mkuu wa mkoa Bora haijawahitokea
@JohnRich-q9v
@JohnRich-q9v 28 күн бұрын
Huyu makonda amesaidia Nini hapo!
@RITHAMROSSO-t4w
@RITHAMROSSO-t4w Ай бұрын
Safi kabisa
@YahayaChima-ji7dk
@YahayaChima-ji7dk Ай бұрын
Big up makonda tatizo la nchi yetu Iko kisiasa zaidi kuliko vitendo sio Arusha TU kote ni kero kama hizi wananchi amkeni Sasa
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Ай бұрын
Mwamba asante, Umetuwakilisha wananchi vema kabisa.. Hawa wapuuzi dawa yao ipo jikoni..
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi Ай бұрын
Alafu mchengerwa anaongea pumba
@EmmanuelNdahya
@EmmanuelNdahya Ай бұрын
Mchengerwa anaongea nini
@jumadinya3796
@jumadinya3796 Ай бұрын
Hongereni sana kama hawajui wajibu wao wa kazi achatuwafundishe wanakula mishahara ya bure ndio. Wajue wajibu waokikazi maboss wote hawajui shida zetu sisi wanaichi sasa.tutawaonyesha kere zetu ili Mkuu Mama aone njinzi hamfanyi kazi lini Rais atapjta mitaani hataki kjmsaidia acheni aine sasa kuahamtatue shida zetu hivi ndio ataona kwa urahisi hatutawapiga ilatutawachukua na kuwatembeza ilikero yetu isikike
@NikoWisk-i4i
@NikoWisk-i4i Ай бұрын
Huyu mwananchi mwenye mwanya ni hatari sana
@Eliasmarwaturuka
@Eliasmarwaturuka Ай бұрын
Cccm mitano tena mama ana upinga mwingi
@section8ight174
@section8ight174 Ай бұрын
HIVI NANI KATUROGA SISI??? YAANI LEVO YA VIONGOZI WA TZ NI KAMA VILE HAWAJA GRADUATE CHEKECHEA, AMA SIJUI WAMEVUTA BANGI? AIBU TUPU WATU WAZIMA HOVYOO!!! 😤
@rajabumkwawa6053
@rajabumkwawa6053 Ай бұрын
Tusipende kulaumu serikali kila saa. Wanainchi wa arusha wanatabia ya kubana sana viwanja wakati wanauza sometimes hadi barabarawanakuambia ununue hvyo inakuwa ngumu katika ujengaji wa miundo mbinu kwa serikali.
@victoriajoshuangumbi5824
@victoriajoshuangumbi5824 Ай бұрын
Mchengerwa hujui tabu tunayoipata watu wa Arusha mh Makonda ulipo tupo baba chapa kazi
@FunnyChess-ns9vf
@FunnyChess-ns9vf Ай бұрын
🔥🔥Mungu ampe umri mrefu Rc makonda Japokuwa Watendaji wazembe wanajitahidi Kukuvunja moyo ila ucjali Vijana wa Arusha Tupo nawe Kamanda wetu Chapa kazi Piga spana mpaka Watubu nyambafu Nimesikitika sana leo Mbunge wetu anaenda Kugawa pesa Kwa Boda Boda Wakati watu wanateseka Huku na Maafa na Changamoto za Barabara Tuna viongozi wa Hovyo sana Arusha hii
@ShabaniMustafa-n8h
@ShabaniMustafa-n8h Ай бұрын
Sanaa
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u Ай бұрын
Halafu waziri mchengerwa anatetea uovu hebu angalia adha hii
@FatmaLyego
@FatmaLyego Ай бұрын
Yaani mpaka anashangaza
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 Ай бұрын
Iwe mwendekezo Wayne maji
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Ikibidi wanywe tope kabisa
@neemabright3635
@neemabright3635 Ай бұрын
hiyo ni alert kwa nchi wananchi washachoka n wameshaanza kujua n kuelewa mambo...
@bongo39
@bongo39 Ай бұрын
Hongereni na mbunge pia aje kuramba tope wanajiona wao ni miungu watu na mchengelwa kuwatetea wahalifu na tutafanya kwa wengine msituzinguwe wewe unakula maisha unapelekwa kwa vingora sie tunepanga foleni
@nicolauslema88
@nicolauslema88 Ай бұрын
Tubakie Mkuu wetu wa Mkoa tu wengene wabadilishwe wote wameshashiba mbuzi.
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 Ай бұрын
Mbunge nilikuwa Namuamini Alivyokuwa Mkuu wa Mkoa...Akisema kitu kinatekelezeka....nakumbuka hapa kwetu kulikuwa na kelo ya karavati..Akasema kesho litashughulikiwa na kesho yake likaanza kulekebishwa Tunamshukuru.....Asijisahau Apambane Na Mungu Amsimamie.
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn Ай бұрын
Makonda umenichekesha sana eti wamembuluza diwani wamembuluza mwenyekiti hii ndo chugareeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq Ай бұрын
Waziri haelewi kama watu wanajitambua hakuna utamaduni hapo makonda yupo sawa wewe upo hapo Kwa sababu ya ukweli ila
@rajabumkwawa6053
@rajabumkwawa6053 Ай бұрын
Mfano orasiti ni mji wa zamani lakini hadi leo zinaenda ice mbayambaya sababu ya barabara hakuna ya kueleweka. Wanaichi wa arusha tujifunze wakati wa kuuza viwanja basi mujali na barabara za mtaani kuliko kuwa na matamaa yaliyopitiliza muelimike
@nicolauslema88
@nicolauslema88 Ай бұрын
Mpitisheni mbunge naye hapo ndiye anashiriki vikao vya ulaji huko halimashauri ya Arusha.
@IddNgakonda
@IddNgakonda Ай бұрын
Kauli ya Makonda ni kauli ya Kichochezi yenye kulenga kupata popularity toka kwa Wananchi Wala sio Maadili ya Kiuongozi!
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 Ай бұрын
Una DNA ya ufisadi wewe
@PriscaWazir
@PriscaWazir Ай бұрын
pereka zikakae majumban mwao taka taka
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 Ай бұрын
WAKAAZI WA ARUSHA TUSIJIVUE UFAHAMAU KWANI TUNA MATATIZO MAKUBWA: 1.UJENZI HOLELA NI JADI YETU 2.TUNAENDEKEZA UCHAFU KILA MAHALI. 3.HATUTHAMINI KUACHA BARABARA PANA INAYOTOSHA KUWEKA MIUNDOMBINU YOTE.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Mkoa wa Arusha unatakiwa viongozi kama kina Makonda, watu wanajitoaga ufahamu pale inapobidi...ni jirani na Kenya tusilisahau hilo
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Ай бұрын
Watu wanakula tu mamishahara huku hawawajibiki kutenda kazi za maendeleo,
@olivernyange2349
@olivernyange2349 Ай бұрын
Mbunge anajenga misikiti
@JumaMartin-e4v
@JumaMartin-e4v Ай бұрын
Mimi nilicho wasifu wananchi kuto kuchukua hatuwa za kuwapiga.walicho kifanya kwakuwa viongoz hawaoni ndio wanawaonyesha wamemtembeza ili diwani aone wananchi wake wanavyo teseka.nandio viongoz wanao fanya kazi kwa mazoa tuwache siasa tufanye kazi.kumsaidia mama mnamchosha ila kwastaili hii viongoz wazembe watafanya kazi
@JumaMartin-e4v
@JumaMartin-e4v Ай бұрын
Ila wachagise mbunge ,diwani wao kazi yao kueleza wahusika tatizo liliopo kwa wananchi wao.hiondio kaz zao tatizo wale wahusika wakutekeleza malalamiko ya diwani na mbunge lakini wanapeleka taarifa kwa wahusika halafu hawaji wahusika kutekeleza hilo.mbunge na diwan watafanya nini? Kinacho takiwa wakutembezwa nihao wahusika kwa utekelezaji.ila msisaha mweshimiwa mchengerwa katamka kauli ya mweshimiwa makonda si tamko la kiserekali mtahadhari kuchukua sheria mkononi hasa kupiga au kumjerui kiongozi Ila hii yakuwatembeza naiunga mkono
@khalidkassim3986
@khalidkassim3986 Ай бұрын
Huyu mwenye mwanya ni HATARI sana angekuwa Dar kwa mkapa tungemuona aking'oa viti 😅
@HernyMonyo
@HernyMonyo Ай бұрын
Watu.wa.arusha.akili.zao.mnazijua.watamburuza.mbunge.kweli.
@FunnyChess-ns9vf
@FunnyChess-ns9vf Ай бұрын
Mbunge anaenda Gawa hela huko kwa Boda Boda anasahau kutatua changamoto za wananchi Ujinga mtupu
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j Ай бұрын
Mm
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 Ай бұрын
Acha ujinga kijana, umeongea vizuuuri sana huko mwanzo. Umaliziaji wako sasa, eti CCM siyo shida. Hakuna kitu kinaitwa CCM. Ni watu wanajiunga wanajenga chama wanajiita jina CCM. Uozo wa watu ndiyo uozo wa CCM. CCM hakipendwi tena. Na CCM au ACT au CHADEMA,siyo Yanga au Simba. Kikiboronga rukhsa kukichukia na kukiacha! Wananchi wa Arusha wanajua wao ndiyo Mabosi na ndiyo walioipa serekali ajira. Serekali inaposhindwa kuwakobika mabosi wa serekali yaani wananchi wanaamua cha kufanya. Safi sana Arusha. Ila huyu Makonda kwa kauli yake hiyo, haya maserekali yatamtoa ukuu wa mkoa.
@CelinTonny
@CelinTonny Ай бұрын
Hapana magu alikuwa CCM na alifanya kazi nzuri
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 118 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Rev. Dr. Faustin Kamugisha: SHAURI JEMA
24:58
Faustin Kamugisha
Рет қаралды 2,7 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН