# WAOMBAJI WA ZAMANI TULIKUWA HIVI#-REV;MOSES MAGEMBE

  Рет қаралды 328,668

NY TV

NY TV

Күн бұрын

Achambua waombaji wa leo makanisani na waombaji wa zamani milimani

Пікірлер: 347
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Жыл бұрын
mimi nawashangaa wanaokupinga na kukuchukia, uko sahihi kbs Mungu akupe maisha marefu sana
@josephkate3664
@josephkate3664 4 ай бұрын
Aminaaa injili kamili ya kukemea maovu
@mashakamwashilindi5607
@mashakamwashilindi5607 3 жыл бұрын
Injili kamili ya kuponya,wangapi tumeielewa?
@jodama_tv
@jodama_tv 3 жыл бұрын
Wangapi tumejifunza hapa....!
@haikajohn7580
@haikajohn7580 3 жыл бұрын
Tupo!!
@simomsimon1813
@simomsimon1813 3 жыл бұрын
Mimi
@elijuskikoto392
@elijuskikoto392 4 ай бұрын
Hakika huwa nakuelewa sana mchungaji wangu Mungu akubariki
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 6 күн бұрын
Ningeipata hii injili siku nyingi Hsrusi ysngu ingempendeza Mungu sana ila sijutiii ,Nilipopata injili yskweli nilijiona mimi mjinga sana ,Nilianza nashela nikachoma moto maana Likikuwa halina Utukufu kwa Mungu nikachukua picha zote nikazichoma moto maana nishida tupu sikutaka kuangalia tena huo ujinga maana tsysri nimempata YESU kwa kweli Ameni Ameni
@piusmfalila4680
@piusmfalila4680 3 жыл бұрын
Wachungaji km huyu wamebaki wachache sana,wengi ni kuhubir pesa na miujiza lkn kwenye kukemea dhambi hapo huwapati ht siku moja.
@gracejulius23
@gracejulius23 3 жыл бұрын
Kweli kabisa wamebaki wachache sana
@marygregory7566
@marygregory7566 3 жыл бұрын
Mimi binafsi nimekuelewa baba sijui wenzangu
@lemburismollel2393
@lemburismollel2393 3 жыл бұрын
Mchungaji Maghembe nakupenda sana. Yaani unauhubiri UTAKATIFU, UTAUWA, UTIMILIFU na UKAMILIFU. Hii ndiyo injili ya kweli.
@jacksonkidudu5404
@jacksonkidudu5404 3 жыл бұрын
Kwakweli sema wanadam tupone
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 3 жыл бұрын
Nyundo ya chuma. Mungu amsha kanisa lako liokoe katika kudanganywa na kupotezwa. Shida yangu bado huduma 5 hazijakaa sawa katika serikali ya Mungu(kanisa). Watumishi zifundisheni ili zifanye kazi kwa viwango na mipaka yake.
@joemunyasya7958
@joemunyasya7958 3 жыл бұрын
Glooooooooooooooory baba ukiwa connected huitaji juice kos unakua renewed by God himself
@kuhannyakuyelusalemumpya3918
@kuhannyakuyelusalemumpya3918 3 жыл бұрын
Amina mtumishi ntafwatilia mafundisho yako kwa nzia sasa ntaanza kwenda milima kumuomba mungu
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 3 жыл бұрын
Hakuwa na maana watu washinde milimani isipokuwa alichomaanisha ni u-serious katika maombi na kuwekeza muda wa kutosha kwenye maombi,ila kama umependezwa kwenda mlimani basi napo si mbaya.. Ubarikiwe sana!
@haikajohn7580
@haikajohn7580 3 жыл бұрын
Baba,pst hapo umesema kwelii!!!! Mungu azidi kukupa ufunuo kanisa lipone!!
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 жыл бұрын
TOBOA BABA, TOBOA BABA, BIKIRA ANALIA, KWANI HALIJUI HUYO MJAMAAA YUKOJE NDANI. NILIWAONA BIBI ARUSI WAKILIA KANISANI NA WANAPOAGWA NA WAZAZI WAO WANAPOWAZAWADIA NA KUTOA NENO, LEO WANACHEKELEANA NA MABUSU MWANZO MWISHO HADHARANI, ETI VIDEO ITOKE VIZURI. BIG UP MZEE MOSES.
@jamesdimosso2601
@jamesdimosso2601 3 жыл бұрын
Ah ah sawa Baba tumekoma na tumekuelewa sana Baba✅😁😁
@piusmfalila4680
@piusmfalila4680 3 жыл бұрын
Uishi milele mtumishi wa Mungu Maghembe,injili yako naikubali haswaaa.
@AilenMakaka
@AilenMakaka 27 күн бұрын
Hallelujah Tunabarikiwa BABA 🎉
@jacklinejohn5727
@jacklinejohn5727 3 жыл бұрын
Kuzimuni we Mungu tusaidie hatuna msaada.tupe ufahamu kuelewa haya mafundisho..wachungaji,watumishi,waunjilist mpoo
@shikomkenya3860
@shikomkenya3860 3 жыл бұрын
Nigetaka mchungaji utebele nchi yetu kenya .Nayapenda mahubiri yako .walio na masikio nawasikie
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 3 жыл бұрын
Hivi Kenya mna shida gani Kila leo mnataka rais, manabii, wachungaji toka Tanzania. Muombeni Mungu ndiye atoae.
@happinessmkombwemkombwe8677
@happinessmkombwemkombwe8677 3 жыл бұрын
@@epafrangweshemi4014 acha uchoyo,kwani injili Ina mipaka?
@mpendaradio2164
@mpendaradio2164 3 жыл бұрын
Kweli....
@mpendaradio2164
@mpendaradio2164 3 жыл бұрын
@@epafrangweshemi4014 kupata wahubiri na watu wakarimu kama nyie Tanzania ndio majanga baba
@jastinemwambi2307
@jastinemwambi2307 Ай бұрын
Yap indeed
@dullahshaaban9050
@dullahshaaban9050 3 жыл бұрын
Tukuulize swali na wewe yesu anaseme mjifunze kwangu kwakua Mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo swali ilo lisuti ulilovaa yesu halikuwa anavaa suti? Na je yesu halikuwa anahubiri kwa makele ya kishetwani Kama yako kwa fujo na je yesu alikuwa anakaa kwenye mabenchi acha kupoteza watu siku ya kiyama utalia na kujuta kwa kupoteza watu wewe na makelele makali kama ya punda......✍️✍️✍️✍️
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 жыл бұрын
Fujo Fujo tu... Hamna Kitu Hapo Anazeeka Vibaya...
@dullahshaaban9050
@dullahshaaban9050 3 жыл бұрын
@@ericklibaba1198 🤣🤣🤣🤣 kweli uzee mwengine unakuja Kama ukichaa.....✍️✍️✍️
@mohamediramadhani6120
@mohamediramadhani6120 3 жыл бұрын
Brother umenena kweli maan hpa hamn ki2 zaid labda 2seme anafundsh watu kuish vizur,kuish bila kuzin hata km mpo kwenye uchumba lkn mahubir hapa hamna kaka.Hzi alizonazo yeye ni busar na hekima za wahenga tyuuu
@suzanamwan8193
@suzanamwan8193 3 жыл бұрын
Asante xna mtumishi wa Mungu imetufaa hiyo
@elishangomele9937
@elishangomele9937 3 жыл бұрын
Mungu ana hazina kubwa sana namukubali Sana mch magembe
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 10 күн бұрын
Ubarikiwe mchungaji ❤
@mwasomola9026
@mwasomola9026 3 жыл бұрын
Ukweli usiopendwa kusikilizwa! Ukweli ndiyo una uhuru
@mathaZingwa
@mathaZingwa 29 күн бұрын
Barikiwa mtumishi
@Spark8Technoo
@Spark8Technoo 2 ай бұрын
Ubarikiwe Baba yangu
@NdelimbijohnSwai
@NdelimbijohnSwai 2 ай бұрын
Mchungaji Mungu wa mbingu na nchi akubariki sana maana unafundisha mafundisho ya kweli Yesu Kristo akutie nguvu
@DaudMtalo
@DaudMtalo 5 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@kessyhussein9187
@kessyhussein9187 3 жыл бұрын
Connection is heaven nakuelewa San muchungaj upo vdhul kimahubli kwn wachungaji weng hawajui connection namungu ndomana hanapenda vitamu
@scolamwanisasu8499
@scolamwanisasu8499 3 жыл бұрын
Duh asante baba nakumbuka moses kulola nakupenda
@adoniaceisaya700
@adoniaceisaya700 3 жыл бұрын
Moses pia
@amaniamani1129
@amaniamani1129 3 жыл бұрын
Ameniii baba asante kwa kunijaza maarifa
@Christianmovies52
@Christianmovies52 Күн бұрын
🎉🎉 moto moto uwake
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
MUNGU wa Israel ni kwa huruma zako ndio maana hatuangamii yesu Asante baba
@mutamurizabeatrice2959
@mutamurizabeatrice2959 2 жыл бұрын
Nakupendaka sana muchungaji wasikuhizi huku Uganda tuna fuata 5/5
@fraidamsemwa5518
@fraidamsemwa5518 2 жыл бұрын
Thanks God Bless and Protect you every time🙏🙏🙏
@michaelbarhe6039
@michaelbarhe6039 3 жыл бұрын
Mungu akuongezeeee miaka Ili useme yote yaliyo moyon mwako kwaajili yetu
@veronicamangala8729
@veronicamangala8729 3 жыл бұрын
Hallelujah, huo ni ukweli mtupu, Mungu atusaidie mtumishi wa Mungu.
@evaristomhanje8908
@evaristomhanje8908 3 жыл бұрын
Amina Mtumishi sema tupone babaa. God Bless You
@godfreymgehema8154
@godfreymgehema8154 3 жыл бұрын
Waambie mtumishi we bwana tunapotea sana baba
@alexnyigo8864
@alexnyigo8864 Жыл бұрын
Hongola mchungaji
@richardngowi6285
@richardngowi6285 3 жыл бұрын
Asante baba mchungaji kwa kusema ukwel
@elijahkirimi2197
@elijahkirimi2197 3 жыл бұрын
Injili ya kweli kuja kenya please
@user-wj9kp6bu3d
@user-wj9kp6bu3d Ай бұрын
Habari njema hii
@ushindimsalabanitv2765
@ushindimsalabanitv2765 3 жыл бұрын
Rev. Moses nakubaliana na concerns zako juu ya kanisa. Ni wakati wa kuanzia Moja.
@user-yk9mw6jc7m
@user-yk9mw6jc7m 10 күн бұрын
Yani ubarikiwe sana sana
@andreavedastusi6565
@andreavedastusi6565 3 жыл бұрын
Wachungaji Kama Hawa wakowap au wakimbilia kutiza neno la mungu la manabii wengi watakao danganya wengi
@relaxmebini4207
@relaxmebini4207 3 жыл бұрын
Baba yangu maisha malefuu Sana 🙏 Mungu akubaliki kwa mafundisho yako
@stellangoka7032
@stellangoka7032 3 жыл бұрын
This man is a revivalist...uncompromising gospel preacher
@japhethmbusya1479
@japhethmbusya1479 3 жыл бұрын
My mum nakuona huku pia,,,,nakupenda sana mamangu napenda vile uko mnyenyekevu na kuwakumbali wachungaji wenzako
@lovendendya9683
@lovendendya9683 Жыл бұрын
ubarikiwe mchungaji maan umeongea ukweli! 🙏
@hildaarnold9246
@hildaarnold9246 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@safielitogolani3535
@safielitogolani3535 3 жыл бұрын
Mungu akubark xana mch.
@ruthjemei6863
@ruthjemei6863 3 жыл бұрын
kazi nzuri mchungaji , tembelea Kenya Sikh moja tuko na shida kabisa
@saramalila4441
@saramalila4441 3 жыл бұрын
Asante mchungaji tuombe mungu atuponye
@imakulathamnyeti7587
@imakulathamnyeti7587 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana kwel baba
@gracejulius23
@gracejulius23 3 жыл бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen Yesu kristo apewe sifa
@nanjafleva597
@nanjafleva597 3 жыл бұрын
Nomaaaa mwanaume kafungukaaaa wataelewa tuuuuu
@EMANUELLAMECK-ce4by
@EMANUELLAMECK-ce4by Жыл бұрын
Amina ubalikiwe
@mariammwaipopo9441
@mariammwaipopo9441 3 жыл бұрын
barikiwa sana baba, nimekuelewa Sana Sana. Yesu atusaidie kanisa
@yallasmasanjankelebe8202
@yallasmasanjankelebe8202 3 жыл бұрын
Bwana mungu akubariki mtumishi wa Mungu , mahubiri yako yanajenga na ndivyo mungu anavyotaka tuishi kwa heshima.
@salomessmart9814
@salomessmart9814 3 жыл бұрын
Yes babaaaa nakupenda bureee
@adrianignas5119
@adrianignas5119 3 жыл бұрын
Daaah Mungu atusaidie Sana Sana Sana Sana yaani sanaaa. Hivi Siku hizi KWA MWAKA ndoa ngapi zinafungwa mume hajawahi kumjua mke na mke hajawahi kumjua mume.
@ezrashukuru7511
@ezrashukuru7511 3 жыл бұрын
Yangu tulifanya hivyo bila kujuana kimwili kabisa mpaka sasa tunamtukuza Mungu sana namna alivyojitokeza sana kwetu
@adrianignas5119
@adrianignas5119 3 жыл бұрын
Seriously? Weeeeeeeeeee
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Amen!!! Mtumishi wa Mungu!! Ahsante sana kwa mafundisho ya kweli.
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Sikuhizi wanaonjana kabisaaa kabla ya kuoana na inasikitisha...kwaya ndio zimeozaaaaa mpaka basi
@edwardgeorge7721
@edwardgeorge7721 3 жыл бұрын
Hahaha umelenga ndipo
@WitnessSamson-qc9ie
@WitnessSamson-qc9ie 4 ай бұрын
Sema sema tupone
@ev.kennedymose7945
@ev.kennedymose7945 3 жыл бұрын
This is apowerful message full of truth.thank you Rev
@benjaminmwambene4897
@benjaminmwambene4897 3 жыл бұрын
Asante mchungaji Mungu akujalie
@joemunyasya7958
@joemunyasya7958 3 жыл бұрын
Exactly siku hizi hawalii kos wamezoeya kupakatwa, wadada wakweli uwa wanalia kos hawajui what next after marriage!!!!
@neemamnyahati4430
@neemamnyahati4430 3 жыл бұрын
Nakukubali sana baba SEMA tupone
@mwakamtungirehi4773
@mwakamtungirehi4773 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba Mungu akutunze
@kikotikikoti7176
@kikotikikoti7176 2 жыл бұрын
Ameeni mchungaji wangu
@bravomathias8570
@bravomathias8570 3 жыл бұрын
Asante. pastor ni kweli kabisa
@ntibarufatanyamibwa1892
@ntibarufatanyamibwa1892 3 жыл бұрын
Amina Mchungaji
@williammkenda3062
@williammkenda3062 3 жыл бұрын
Nakupenda Bishop Magembe,,,,injil yako inaponya
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Yes watoto wetu injili hii.uzinzi Sio dili Ni laana ya kubeba matakataka MENGI
@tausiathumani9408
@tausiathumani9408 3 жыл бұрын
Umenifurahisha
@ivanvictorinolauterivanlauter
@ivanvictorinolauterivanlauter Жыл бұрын
Homem de Deus estava em Moçambique Nampula fez muitas maravilhas.Deus de abençoe.
@prickakimaro35
@prickakimaro35 3 жыл бұрын
Tupate wapi wachungaji kumi Kama wewe jamani taifa lipone
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 3 жыл бұрын
Umeonaee
@enessisosten9670
@enessisosten9670 3 жыл бұрын
Ameen sema tubadilike baba
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Ай бұрын
❤❤❤❤ Aminaaa
@noelykaka7032
@noelykaka7032 3 жыл бұрын
Amina .mtumishi
@furahamlozi7376
@furahamlozi7376 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@fredrickmkuvandenga
@fredrickmkuvandenga 3 жыл бұрын
Amina Baba
@mossestz5281
@mossestz5281 2 жыл бұрын
Amina
@dastanmapunda9574
@dastanmapunda9574 3 жыл бұрын
Mungu amekuacha Kama mbegu baba, Kanisa lipone
@dizla_mgz
@dizla_mgz 3 жыл бұрын
Wanashangaza sana marusi we Leo wanacheza na kukata kiuno mbele ya wazazi wake na wakwe zake, hiyo niaibu kumbwa inashiria ww bint ni kahaba
@johnsangida5158
@johnsangida5158 3 жыл бұрын
Nakubali paster cjawai pinga maneno yako
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 3 жыл бұрын
Amen! Baba ubarikiwe sana Rev.
@barakakiponda5215
@barakakiponda5215 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji
@mondelomondelo105
@mondelomondelo105 Жыл бұрын
Umbalikiwe mutumishi wamungu unasema kweli
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Aminaa
@tumainimwanyonge1098
@tumainimwanyonge1098 3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@happinessmillanga982
@happinessmillanga982 3 жыл бұрын
Zamani nilikuwa ckuelewi nilikuwa nakuona mkali sana Sasa nakuelewa sana sana
@anipe565
@anipe565 3 жыл бұрын
Uko sawa mtumishi asante
@josengumbi4029
@josengumbi4029 3 жыл бұрын
Kwanza yupo vizur japo umri umeenda
@christopherdavid1091
@christopherdavid1091 3 жыл бұрын
Jicho la korongo
@barakaabel5040
@barakaabel5040 3 жыл бұрын
Huyu mzee kweli, ameng,oa koki
@mohamediramadhani6120
@mohamediramadhani6120 3 жыл бұрын
Duh noma San kwakweli
@oseajohn5193
@oseajohn5193 2 жыл бұрын
baba nafarijika sana kwa mahubiri yako
@mpendaradio2164
@mpendaradio2164 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana kabisa Baba
@estherwilliam5125
@estherwilliam5125 3 жыл бұрын
Ur blessed father
@samwelkaaya2237
@samwelkaaya2237 3 жыл бұрын
Injili ya kweli kabisa mchungaji aumumunyi maneno ubarikiwe
@godfreykajuna1370
@godfreykajuna1370 3 жыл бұрын
Ubarikiwe babu moses
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Wewe unafaa kunifundisha na kuwaMchungaji wangu , japo mi ni mkatoliki
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 44 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 35 МЛН
MTUMIKIE BWANA  KIJANA ACHA KUDAI MALIPO KANISANI
12:11
NY TV
Рет қаралды 101 М.
Moses Kulola parle fin de temps
6:03
La Sentinelle _ RTVS
Рет қаралды 7 М.
#MNATUCHANGANYA NA NYIMBO ZENU# REV.MOSES MAGEMBE
5:21
NY TV
Рет қаралды 414 М.
UCHAWI WA KISUKUMA UKO HIVI-REV MOSES MAGEMBE
11:25
NY TV
Рет қаралды 79 М.