hizi ndo nyimbo sasa .......so zile za kusutana cjui pua imeenda pembeni...nyimbo kama hizi.....love it
@ndolasaid63234 жыл бұрын
Anayesikilza 2020 gonga like
@joycekiari69425 жыл бұрын
I will always love her songs,, her voice mashaallah superb
@Chidbwaxy11 жыл бұрын
kwa kweli sabah ana sauti nzuri ambayo inaniumiza sana moyo wangu na kuniburudisha na kusahau matatizo yangu yote
@sisi1112213 жыл бұрын
Haki ya Mungu bi Salum ni kiboko yao, nyimbo zake zote ni nzuri.
@sultanpakia93754 жыл бұрын
2020 wapi like zenu
@munibuomar5778 жыл бұрын
anaimba poa swabaha salum ako na mashairi ya kuumiza moyo i miss soo her songs
@ashaabdul6203 жыл бұрын
Ilove it
@abdulhamidsuleiman49535 жыл бұрын
Nakumbukaaa wakati ule mwanzo wa mahaba yetu Sito sahau enzi zile awari ya raha zetu Wewe na Mimi vile vile,hatukuvunjaaa utu wetu Tulingoja mpaka pale hakhii na halali kwetuu Our be loved BI Sabaha
@esmahochu84735 жыл бұрын
Nakumbuka wakati..mwanzo wa mapenzi yt Ww na mimiiii vilevile,hatukuvunja utu wetu Tulingoja mpk pale haki na halalil kwetu Ishara niliziona...mwanzo nawe kukutana Habibi hukujiona....tukaanza kupenda Si leo wala si jana....ni zamani tn sana Wazazi walipoona....shauri wakapeana Pande zote kukutana.....nikahaa na kuona Ss ni bibi na bwana raha kufurahiana Habibi loze mpnz chocolate....nakupenda sana Anha sijiwezi niwe nawe benet....usiku na mchana×2 Nani yupo wa kunena.....tumsute kiaina Tunasemwa kwa mapana.....jinsi tunavyopendana Hakuna katu hakuna.....km ww sijaona Roho yk maula.....mpk yk mwananaaa Haiya mshaaru na sinina....maneno maneno na kusema Pendo bado latuona siajabu kut
@hamidhamad44625 жыл бұрын
Ahhhhh 30/3/2019 bd nkpnda sabaha
@chikumohamed44245 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana nilipomteza mtu wangu wa muhimu sana lakin alhamdulillah alilejea kwa uwezo wa allah
@ashminhaabdullah49635 жыл бұрын
Mama sabah mzur wa sauti na muonekano mengine walokaribu nae
@suleimanmuhammedsaleh77416 жыл бұрын
mashaallah nyimbo mzuri Sabah salum inambali sana kwakweli sitoisahau
@hemedsalum40496 жыл бұрын
be sutann
@rahimasoud89327 жыл бұрын
mashaallah unanikumbusha mbali sabah
@seyumyussuf34756 жыл бұрын
Hapo mm ndio nakufa kabisaaaa wachawi noma imebaki historia kwny ubongo
@ramlahussein74188 жыл бұрын
mashaAllah cute voice
@timafaraj21737 жыл бұрын
daaah hii nyimbo yanikumbusha mbali SNA swahaba uko juu
@stambulikumenya37343 жыл бұрын
Huyu mama fundi sana
@NeemaNey-gp2rd3 ай бұрын
2024❤❤
@musachotara74128 жыл бұрын
Mums sabban. waningusa kidonda changu cha moyo kapendwa sana na mungu
@adachaadam37075 жыл бұрын
Nice song very nice
@sisi1112213 жыл бұрын
Haki ya Mungu bi Salum ni kiboko yao.
@halimanabir23806 жыл бұрын
nakumbukaa wakati ule mwanzo wa mahaba yetu sitosahau enzi zile maawali ya raha zetu
@allycake59125 жыл бұрын
Sabah asante mama
@salwasalim92033 жыл бұрын
Allah bless you king ur the best may Allah protect you Oll the best
@wekesalamu15 жыл бұрын
asante anti sabah hariri nyengine mashallah,yaridhisha raha yake
@amanmohd88096 жыл бұрын
Ahsante Sabah
@inversedelcruise6764 жыл бұрын
Nani anasikiliza hii kitu hadi sasa November 2019?
@salmarashidalkharousy97656 жыл бұрын
i like sabaha songs soooo much
@salmarashidalkharousy97656 жыл бұрын
sabaha karibu msa....lv u dada s
@didahkassim584410 жыл бұрын
Unanikumbusha mbali zamani so Leo wala si jana
@munibuomar5778 жыл бұрын
i miss swabaha s songs
@fatmaalhamadani91976 жыл бұрын
Wallahi raha
@fwziakhamees44445 жыл бұрын
Mashallah
@JKIddi11 жыл бұрын
Lovely song!!
@warhatlove13 жыл бұрын
my favorite mmmmmm
@seyumyussuf34756 жыл бұрын
Pande zote zilikutana ila hakuna niqaha wl kuowana na furaha ndio iliishia hapo mchawi noma