HATUJAKUSANYA MADENI YA 'PARKING' KWA UFANISI| BAADHI YA MAWAKALA WETU WA PARKING SIYO WAADILIFU

  Рет қаралды 2,505

Wasafi Media

Wasafi Media

9 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 16
@nikky4757
@nikky4757 7 күн бұрын
Also software designer na programer wenu hamna kitu mbona simple kwenye hiyo ishu ya picha
@khatibumuba407
@khatibumuba407 6 күн бұрын
Kuna machine nyingi za kufunga iyo sehemu ya parking wala haitaji vijana kuwadhurumu watu kama ivyo
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 6 күн бұрын
Si waadilifu,tunapigwa double double,watu wamefuatikia na wametowa malalamiko,Mimi mwenyewe pia wamenidhulumi,sio waadilifu ila watu hawapendi kupoteza muda wanalipa tu,ila dhulma ipo
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 7 күн бұрын
Oscar umependeza mno hongera
@nikky4757
@nikky4757 7 күн бұрын
Kwa namna unavyoongea uneprove kuna upigaji wa wazi wazi na hayo ni madeni hewa
@SEVENTAIMBEMBELA
@SEVENTAIMBEMBELA 5 күн бұрын
Huyo mtumishi mwenyewe hajitambui kama umeferi kusimamia makusanyo unasubiri nn kazini jiondoe tu eti afisa ofisi ya raisi mnachafua tu raisi
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 7 күн бұрын
muhimu nimepaki gari ndiyo nipewe risiti yangu Ya 500
@abdaiiyatv7570
@abdaiiyatv7570 7 күн бұрын
🎉🎉
@jumasawa9159
@jumasawa9159 7 күн бұрын
Wazinguaj mimi deni likikua 40000 ghafla laki 312000 ndani ya week moja nikaenda kufatilia wanasema mifumo inazingua natakiwa kulipa 175000 daah nimechoka
@khatibumuba407
@khatibumuba407 6 күн бұрын
Ishu ndogo iyo ya kutatuwa lkn nyinyi to akili zenu zinawaza kupiga pesa mujaze matumbo yenu
@emmanuelzawadiel5320
@emmanuelzawadiel5320 7 күн бұрын
Ndugu kibasa kuna maonezi mengi katika haya makusanyo yenu
@FatmaRajab-ll8gw
@FatmaRajab-ll8gw 7 күн бұрын
Tuachane na madeni Oscar anatoka kuawa au 😂😂😂😂mbona kapendeza ivo
@SaidHamis-yz1vt
@SaidHamis-yz1vt 7 күн бұрын
MWANZA WANAPIGA PICHA HATA KAMA GALI LIKO BARABANI WANAPIGA PICHA HOVYO SELIKALI ICHUNGUZE HILI. MUWE MNAWEKA RISITI KWENYE VIOO VYA MBELE
@emmanuelzawadiel5320
@emmanuelzawadiel5320 7 күн бұрын
Mungu awahukumu nyie
@Zenny89
@Zenny89 7 күн бұрын
Hajibu swali Huyu Nyang’au!!!!
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 115 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 91 МЛН
NDOA YA RINGO NI VITUKO, UTACHEKA UFE
21:49
Wasafi Media
Рет қаралды 44 М.
MBARONI KWA KUKUTWA NA LITA 10 ZA MKOJO
4:12
Wasafi Media
Рет қаралды 1,1 М.
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 10 М.
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 259 М.
Magician turns his Hair into Animal 😳
0:37
Xavier Mortimer
Рет қаралды 15 МЛН
Man tries outrunning cops on skateboard
0:10
Frankie Lapenna
Рет қаралды 19 МЛН
Magician turns his Hair into Animal 😳
0:37
Xavier Mortimer
Рет қаралды 15 МЛН