"Kuongoza kwa stail ya Mwanri hapana" Rais SAMIA amkumbushia Aggrey Mwanri akiwafunza Wakuu wa Mikoa

  Рет қаралды 197,750

Habari Digital

Habari Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 261
@majaliwacosmas3322
@majaliwacosmas3322 2 ай бұрын
Jidhalau mwenyewe kabla hujadharau mwingine Mwanri ni bonge la mchapakazi,SUKUMA NDANI
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 3 ай бұрын
Ibrahim traore ndio kioo cha africa hawa wengine na ruto wao ni vibaraka
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 3 ай бұрын
traore tusubiri kwanza mapema mno , wapo wengi walioingia asksri kama yeye walishindwa vinaya
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa Ай бұрын
Kwa Ibrahim kama Babu yetu
@malembobulongo3856
@malembobulongo3856 Жыл бұрын
Kwa kazi aliyoifanya mwanri alipaswa kupewa pongezi
@mashakaramadhan8406
@mashakaramadhan8406 2 ай бұрын
.
@user13375
@user13375 3 ай бұрын
Mwanri hakuongoza vibaya na alikuwa akisisitiza maendeleo sana, mwanri ni level nyingine..
@petermwijage9882
@petermwijage9882 3 ай бұрын
Mwanri ni mtu wakurudisha kwenye uongozi hasa tabora ss tunamwitaji sana siyo vyongozi wengine wakufanya jinai kwawanainchi
@wamburajohn1009
@wamburajohn1009 3 ай бұрын
Ndugu yangu tenda wema nenda zako.....wazuri wanakumbukwa na wanyonge.
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 2 ай бұрын
Mwari alikuwa vizuri
@juliuslucas593
@juliuslucas593 Ай бұрын
ni kweli yeye anachosisitiza sio kusubiri maelekezo kama ma eng wa mwanri kipindi kile hajitumi adi aambiwe ila Mh Rais kasema kwake yeye uongozi wa kutoa maelekezo kama mwanri alivyokuwa. Anatoa maelekezo hapana kila mtu akatumie ujuzi,ubunifu, kufuata sheria kuongoza na kusinamia maendeleo pasipo kusukumwa au kusubiri nini cha kufanya.
@aidankumburu3792
@aidankumburu3792 Ай бұрын
Kabisaa alikuwa anamasihara lakini ni mtendaji mmoja mzuri sana
@maxmilianwiliammallyawilia2791
@maxmilianwiliammallyawilia2791 2 ай бұрын
KAMTHALILISHA SANA HUYU MZEE KAZI NZURI ALIOIFANYA TABORA ILIPELEKEA MPAKA AKAPEWA UCHUNGAJI
@lydiamutani1725
@lydiamutani1725 2 ай бұрын
Mwanri ni Kiongozi Bora Anastahiri Tuzo. Ni Kiongozi aliyemkweli na anasimamia kazi Hatasaulika Tabora
@mussaelia8693
@mussaelia8693 Жыл бұрын
Lakin mheshimiwa Aggrey Mwanri , katusaidia sanankuinyoosha Tabora yetu , angepewa tena .
@dumejengo4308
@dumejengo4308 Ай бұрын
mskilize tena
@emmaboka959
@emmaboka959 Жыл бұрын
Wangeulza nn, kama unataka maswali njo huku kwa wananch, hao ni wateule wako, hawawez kuulza
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Жыл бұрын
Tumpi pipi zake akalale Kyle
@MabenaKishapu
@MabenaKishapu 2 ай бұрын
Mtaka mwamba kabisa mtoto wa mara hatar sn
@hermanmakulilo6708
@hermanmakulilo6708 Ай бұрын
Kama hujaelewa kaa kimyaa si lazmaa ukoment
@romanilyimo
@romanilyimo Ай бұрын
Kwani kasema huongo? Hao ni wateule kweli hawawezi kuuliza maswali aje uku kwa wananchi kama atakimbia maswali.​@@hermanmakulilo6708
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 11 ай бұрын
Labda mama yetu tukukumbushe sisi niwadamu hakuna mkuu wamkoa alifanyakazi iliotukuka kama mzeee gama namwanli alifanya vzur sana tabora mpaka saa sijaona wakuwazidd sijaona ngao ya umoja tumeishikilia
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 3 ай бұрын
Namshangaa
@alturycharles7127
@alturycharles7127 Ай бұрын
Kwa style hii ya uendeshaji wa nchi, tutachelewa sna, hivi kweli mwanwari alikosea
@laizerstudio5790
@laizerstudio5790 Ай бұрын
Mwandishi ndo kaweka heading title yenye utata 😂, enzi za mwanri watu walikua hawajielewi hadi mheshimiwa mwanri anafoka "soma ukooo.... ngapiii ukoooo??" yani hawaelewi wafanyeje au wajiongeze vp hadi wabustiwe na mkuu wa mkoa sasa huyu mama ndo anasema anataka watu wote wajielewe wajue wanafanya nn wasisubiri kuambiwa "ngapi ukoooo, soma ukoooo" kila mtu acheze kwenye nafasi yake vzr ili wasiwachoshe wakubwa wao kuuliza uliza na kifoka kama akina mh. mwanri 😂
@businessngoni5334
@businessngoni5334 15 күн бұрын
Mwanri alikua mwamba sana, speed yake iliendana na speed ya JPM, alileta mageuzi wakubwa sana ya kimaendeleo na msimamo kazini pale Tabora, anastahili heshima kubwa
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 3 ай бұрын
Mwanli alikuwa anatatizo gan kwenye uongoz wake mama fafanua tujue tatizo lake ninnnn
@chachamwita4687
@chachamwita4687 Ай бұрын
Kiongoz akifanya kosa la makusudi mf ubadhilifu wa fedha za umma, kutosimamia utekelezaji wa miladi na ni mzembe, huyo asihamishwe kituo bali afukuzwe kazi. Hapo hata wengine watafanya kaz iendelee.
@mfebricknkuna7106
@mfebricknkuna7106 2 ай бұрын
Yaaani mwari akigombea cheo chochote kite wakati wowote ule na chama chochote kile atapata bila rushwa. Mwari amefanya kazi nzuri na wananchi wanamwelewa na kumkubali sana.
@geraldndila5172
@geraldndila5172 3 ай бұрын
Rais Samia kunawakat kama nakuelewa ivi ila kunawakat unanichanganya nashindwa kukuelewa vizur, kwamfano huyo Mzee wasomaiyoo alikuwa naubaya Gani kwenye utendaji wake wakazi? Mh rais taifa letu, nimala mia tukawa narais mpole kama wewe ivo ila watendaji wako wangazi zote wakawa kama akina mwanli , silaa ,makonda ,bashungwa, aweso , biteko , majaliwa,aly happy, sabaya ,nawengine wengi waaina hiyo nchi yetu itapaa sana hata kiuchumi, maana huku chini ndo Kuna madudu mengi sana viongozi wanahujumu sana milad ya selikali milad ambayo wewe umetoa fedha Ili itekelezwe, mila inatengenezwa chini yakiwango napesa zingine zinaishia mifukoni mwao , wakijiamini hayupo wakuwafuatilia , maana mh rais kusema ukweli huwez wewe kama wewe kufuatilia au kutembelea miladi yote nchini Hadi ngazi yamtaa nikitu ambacho hakiwezekani, hata kama ningekuwa Mimi nisinge weza, nakushaulitu mh rais wewe nikiongozi mzuri sana jitaid2 kututafutia viongozi wawajibikaji siyo wanaokuja kukaa maofisini2
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 3 ай бұрын
Alikuwa sio mbaya yule mkuu wa mkoa sio kama chalamila
@chachamwita4687
@chachamwita4687 Ай бұрын
Ningekua mshauri wako, ningekushauri viongozi wasiwe wanakusifia majukwaani, waache wananchi wenyewe wayaone mema yako, wao Wana macho na masiko na wanajua nchi inavyoenda. Kusifia kuna kera wanachi
@allychengula3511
@allychengula3511 Ай бұрын
Duuh hapa tumepigwa jaman
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 3 ай бұрын
Watu tunasikiliza hotuba ya maguful maana ww umejigeuza chura
@halimashabani7373
@halimashabani7373 Жыл бұрын
Mkuu wamkowa tabora ndio bora sio Hao ulio nao
@qwertqwerty1239
@qwertqwerty1239 2 ай бұрын
Kwani yeye kaponda au kasema watu wasingozwe bali wajiongoze ndio maana aksema alikua anasemaje vingozi wakamalizia soma hyoo
@lazarosimbo752
@lazarosimbo752 Ай бұрын
MAMA UNAMAMLAKA , NAKWAMINI SANA TU LKN NAAMINI HUJAWAI KUMWELEWA MWANRI,, KUNA MAALI PA KUMBIA, NA KUNA MAALI PA KUTEMBEA, NAKUOMBA UMKUMBUKE MWANDRI MKUU WA MKOA WA TABORA KWENYE UONGOZI WAKO, TABORA ILIKUWA KAMA HAIPO KAWAKIMBIZA, ILO NI KOSA?
@zablonmlazi4415
@zablonmlazi4415 Жыл бұрын
Mama kuna mkurugenzi wa Chato ,hafai hata kuwa mwalim mkuu, wanaweza wakaomba kuwasaplai vitu na ukapeleka , wakuu wa shule wakaaandaa cheki ,mwisho aisaini yeye itoke ,,ikachukua ofsn kwake miezi hata 2. Mwishoe anaomba rushwa na hata ukimpa ili mladi tu wewe hela yako iludi kwenye mzunguko na bado Hatoi......mkuuu watu wako ni mfilisi ,
@bahatitumaini347
@bahatitumaini347 Жыл бұрын
Tunduma songwe sasa
@hashimrweabula9
@hashimrweabula9 2 ай бұрын
Mm kusema ukwer wakuu wamikoa AMBAO ntawakumbukaa skuzangu zoote na ntazid kuwakubar hatakama watastaafu nimzee wa Toronto mzee wa sukuma ndaniii na charamila aseee nawakubar Sana Hawa wazee WA kaz nataman skumoja nionane nae live hata niwanunulie soda mnisaidie kunkutanisha nao
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 3 ай бұрын
Baada ya mzee kikwete wewe mama ukienda vizuri sisi wafanyakazi tulifurahibsana enzi ya kikwete hakika yule mzee atakumbukwa sana .fuata nyayo zake mama bila kuogopa chochote sisi watumishi tutakukumbuka
@AmosiLazaro-i5i
@AmosiLazaro-i5i Ай бұрын
Hongera sanaaaaaaaa mhe rais
@mazaramatucha
@mazaramatucha 3 ай бұрын
Wabongo,huwa tunaelewa harakaaa😂. Ila huwa tunasahau harakaaaa😅
@gwakisanoah2538
@gwakisanoah2538 Жыл бұрын
Kwani Mwanri alikosea nini?
@SaidMohamed-j2v
@SaidMohamed-j2v 3 ай бұрын
waandishi wanafikisha ujumbe vibaya, hajasema kwamba mwanri alikuwa kiongozi mbaya . kasema style ya kiongozi mpaka uambiwe majukumu yako kama mwanri alivyokuwa anawaambia ma engineer yeye hapana ...anataka mtumishi ajue wajibu na majukumu yake atekeleze
@user13375
@user13375 3 ай бұрын
Lugha tata, unaweza kueleza utakavyo,ila wengi tumeelewa,si ulivyoelewa🤣🤭🤭🤔🤔
@nogigwatv0702
@nogigwatv0702 Жыл бұрын
Angemrudisha mwamri tabora ungekuwa wa maana sn
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 3 ай бұрын
Mwamri ni bwege tu ndio maana katupwa nje, mzee wa magizo.
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 2 ай бұрын
Hapo wanatamani kusema shkamooh MUNGU watu 🤣🤣
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Ай бұрын
Yahni
@chademaelfhasmolell
@chademaelfhasmolell Жыл бұрын
Mwandi alikua kiboko soma iyo
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Жыл бұрын
Alichomaanisha Rais ni hiki, si kwamba ni vibaya kuongoza kwa staili ya Mwanri, hapana, ila anataka hao Wakuu wa mikoa wasisubiri kuambiwa cha kufanya kila wakati na Rais! Ndio maana ya mfano wake wasisubiri awaambie "fanya hilooo! Msisitizo wake ni kwamba wajiongeze katika utekelezaji wa majukumu, si kusubiri maelekezo tu! Ili mradi wafuate sheria. Na binafsi namuunga mkono katika suala hili. Hivyo mwandishi wa title, title yako iko tofauti na uhalisia wa alichomaanisha Rais.
@kenedynyamohanga9898
@kenedynyamohanga9898 Жыл бұрын
Bora we umemwelewa and that is true
@ErickJohn-c3h
@ErickJohn-c3h Жыл бұрын
Ni kweli,
@rodgersgregory7198
@rodgersgregory7198 Жыл бұрын
Waandishi wanaandika heading za kuvuta wasikilizaji zaidi
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Жыл бұрын
@@rodgersgregory7198 Nafahamu lakini kuna muda mtu anaandika heading mpaka unaweza kudhani ni kiazi!
@KisimaTv99
@KisimaTv99 Жыл бұрын
Umeelewa vema. Alichomaanisha Rais hatotoa maelekezo yatakayopoka nafasi ya mkuu wa mkoa au katibu tawala.
@veryminja6513
@veryminja6513 Жыл бұрын
NAKUSHAURI MWESHIMIWA RAIS PIMA WATENDAJI Kwa Kila mmoja kuonyesha matokeo ya kazi zake Kila mwezi hata ikiwezekana kwenye midia wananchi tunakukubali sana una maono ya AJABU SHIDA WATENDAJI
@MahdouMomba
@MahdouMomba 2 ай бұрын
Juma Nature:- "Tembea kwa mwendo wa pesa nchi ishauzwa hiii, ya leo kali afadhali ya janaa" ya leo kali mjomba mentali njoo tutafakali tupige mistari eeee" by Juma Nature huyo
@veryminja6513
@veryminja6513 Жыл бұрын
Shida mweshimiwa RAIS wangu sijui utafanyaje Hawa WATENDAJI WAWEKE UZALENDO MBELE shida ya maendeleo ni ya Kila MTU tatizo kubwa WATENDAJI wakipewa nafasi wanajitumikia wenyewe na kuwasahau wananchi
@msouthqualitymabati4657
@msouthqualitymabati4657 Жыл бұрын
Wanawake ni viumbe venye maswali na ili kufikia makubalino lazima uji elezee tuna imani na mama yetu kila anacho sema lazima kuwe na maelezo chanya sio mazoea
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi Жыл бұрын
Wanaogopa kukuuliza wasikuudhi kitumbua chao kikaingia mchanga
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 2 ай бұрын
no maswali yapo hizi kazi ngumu lazima MDA mwingine hutumie nguvu ya zaida maana nchi zetu bado hazijawa ktk mwongozo wa sheria so lazima tupige kazi kwa nguvu zote sio kufanya kazi kwa mazoea.
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 Ай бұрын
Mm traore ndio kiongozi wngu pendwa na ndio kiongozi Bora kabisa wa Africa sio mbabaishaji sio kibaraka
@aloycebabene6239
@aloycebabene6239 Жыл бұрын
Mama samia hapo unajichanganya tu...hao ni kupeleka kijeshi tu
@athuman7480
@athuman7480 Жыл бұрын
Kweli kabisa raisi anakili kabisa kwamba Africa bila miasaada hatuishi kabisa duh
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Жыл бұрын
Hajitambui huyu Yani inaitwa misaada halfu tunalipia Kwa garama kubwa jitambue ww mbumbu
@SalumChema
@SalumChema 3 ай бұрын
Tunataka.kama.huyo.wa Tabora haunaowatakamama.watakuangusha.wanajisahau sana bilavibokohawaendi.siunaonamwenyewe.lawamazotekwakokilasiku
@mohammedyally7104
@mohammedyally7104 Жыл бұрын
Mama unataka maendeleo ya nchi yetu lkn watendaji wazembe usiwafumbie macho hap ndio wanaokuangusha miradi mikubwa inasimama haiendi vizuri unayaona Haya wanakueleza hembu mama tembea uone na uambiwe fanya kushtukiza uone mama
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Жыл бұрын
Hana lolote
@francofrederick972
@francofrederick972 3 ай бұрын
Hajatumia mfano wa Mwanl kwa ubaya ni uelewatu do maana Kuna 100 na Kuna 0 yenye macho
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabarik na tuwatakie Sabato njema
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 3 ай бұрын
Yaan viongoz wachapa Kaz ndo wanachukiwa hii nchi,ndugai alisema ukwel akatumbuliwa,mpina kasema ukwel kapgwa Pini hii ndo Tanzania ya walafi wachache
@johntengio1438
@johntengio1438 3 ай бұрын
Mama shikamoo kama itakupendeza tunamomba mwandri agrey Kilimanjaro
@SalimSaid-k3z
@SalimSaid-k3z 2 ай бұрын
Kwanini mama gesi usiwekeze kwa nguvu zone. Tunapikiya na magaripiya yanatumiya gesi .mama tunafeli vipi cc.mama mbona kama tumerogwa
@deogratiasrugaba9271
@deogratiasrugaba9271 Ай бұрын
Rais na mwalimu wanguwakati mwingine inaweza kuwa vigumu kueleweka kwa mitazamo ya watu. Tupo wananchi wa kawaida kabisa tunakuelewa na kukupongeza. Leo mm pia najifunza kutoka kwako na katika yale ya kufanya kama wananchi wa kawaida nitafanya kukuunga mkono... MUNGU akutunze Ndoto yako kwa Taifa itimie.
@maxmilianwiliammallyawilia2791
@maxmilianwiliammallyawilia2791 2 ай бұрын
KAMTHALILISHA SANA HUYU MZEE KAZI NZURI ALIOIFANYA TABORA ILIPELEKEA MPAKA AKAPEWA UCHUNGAJI
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 ай бұрын
Yani viongozi wetu wengi ni 😂 tunashindwa kuigia hata kwa anayofanya rais wa Burkina Faso Adam traore Yani tunaenda kama mbuzi Alie fungwa kamba .
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Жыл бұрын
Mwandishi wa title ya clip na title yake ametafsiri tofauti maelezo ya Rais. Kwa hiyo kilichoko kwenye title si kilichoko kwenye maudhui ya clip husika! Mnakurupuka mno katika uandishi wa title zenu!
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Жыл бұрын
Kwani kaandikaje mjuaji mramba nyao za mama wa kambo
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Жыл бұрын
@@alexmalyango1405 We una akili kweli hata ndogo tu, au ulizaliwa akili zinaangalia nyuma? Ulipelekwa shule kweli, au ndo vile? Kwanza umetokea wapi, shimo la choo au mitaro ya maji taka? Kwanza habari ya video hii we umeisikiliza vema? ukilinganisha na title we unaona title iko sawa? Halafu we ndo unaiona hii habari leo? Na comment yangu ndo unaiona leo? mbona ya siku nyingi sana? Matusi yako yakurudie wewe mwenyewe mramba nyayo zako mwenyewe, mtu ambae huna chembe ya akili!
@anastazialushika
@anastazialushika 3 ай бұрын
Kama makonda jamaa yuko vizur sana tena ni mbunifu sana acha awapige spana watendaji wote wazembe,waongo, na wala rushwa waige kwa huyu mwamba
@abdulhamidmusa8962
@abdulhamidmusa8962 3 ай бұрын
Soma iyo ..kiongizi makini
@sabraayuma8973
@sabraayuma8973 2 ай бұрын
Comedy
@ismailseleman2952
@ismailseleman2952 Жыл бұрын
HuyuRais kiukweli abawezajuon anaweza kuongoza munguambariki hakuna mwanadamu.asie kosea
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Umekulupuka
@barakamashimbe9457
@barakamashimbe9457 Жыл бұрын
Acha ujinga 😃
@danielmathias160
@danielmathias160 Ай бұрын
Kajifunze kwanza Kuandika.
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 Жыл бұрын
Tuseme ya kweli na yanayotuhusu kwa kila nyanja na ikibidi tusiwe woga wa kuyasema yote nafasi ndio hii ya kuyasemea tuliyoipewa na mama au Raisi wetu aliyotusemea
@Ananiamwigavile
@Ananiamwigavile 3 ай бұрын
mama Yale maneno aliyoyatoa Mwigulu pale Bungeni wasiyatumie , Yale ya kusema dereva akigonga mtu akafa hanyongwe? Yale nafikili aliingilia kazi za Mungu bila kujitambua, ni maneno ya kupuuzwa.
@ksmally1985
@ksmally1985 Жыл бұрын
Tatizo kubwa la viongozi hawatatui matatizo ya wananchi.wao wamebaki kukaa ofisini tu. Wanachi wana shida nyingi za kutatuliwa na viongozi, ngazi ya mkoa,wilaya,tarafa, kata,na kitongoji.lakini mpaka asubiriwe kiongozi mkuu kutoka juu ndio wanachi wanafunguka matatizo yao.
@BotulphusAugustine
@BotulphusAugustine Жыл бұрын
Wambie ila wasisitize haki kwa watu hakuna
@Immanueljosephmishinga
@Immanueljosephmishinga 3 ай бұрын
Kiukweri namkubali sana agrei kwani ndio mkuu wa mkoa alie kuwa tishio katika mkoa wake mlete dar....
@mailacamillius
@mailacamillius 2 ай бұрын
Mwalimu Mkuu!!???? Dalili mbaya. Kumtaja Mwanri kwa namna hii, ni kuteleza kwa ulimi au kughafilika!
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 3 ай бұрын
Mwanri alikua mwamba. Alikua akinguruma wanasikia tu
@elipidtesha5466
@elipidtesha5466 Ай бұрын
Mwanri alikuwa.anatenda kwa umakin uzalendo ili apate matokeo Na watendaji bila kuwafuatilia.vile utavuna mabua
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 11 ай бұрын
Kwangu mwanli alikuwa kiongoz bora kabisa mwenyeuchungu na nchi yake mchapa kaz hodar toka naibu wazili tamisemi awamu ya nn hongera kikwete kwatuonyesha mwanli bila wewe tusingemjua
@issakisalu9237
@issakisalu9237 2 ай бұрын
Jamani hajasema mwanri aliongoza Vibaya bali anasema isiwe kama vile alitumia nguvu nyingi sababu watu walikuwa hawawajibiki kwenye maeneo yao, sasa anataka kila mtu awe kiongozi na awajibike kwenye nafasi yake isiwe kama enzi za mwanri kwa maana mkuu wa mkoa anafanya kazi mpaka za mlinzi hii imepitwa na wakati. Kama hunaelewa basi huelewi tena.
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 Жыл бұрын
Kwa kweli Rais wetu anafanya mambo muhimu sana ila sijui kama hao viongozi na sisi wananchi km tunamwelewa,nchi haiwezi kuendeshwa kwa ubabe bali elimu na kujituma bila ya kusukumwa. Moja ya tatizo kubwa maofisini ni uzembe,utoro,wizi, kwenda kinyume na sera ya serikali kujinyanyapaa,kujidunisha ,kuogopana n.k
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Жыл бұрын
Shetani ulisha wahi mkalibisha chumbani mwako? Mama wa kambo hatufai itoshe kusema hatufai habari za unamkubali na sisi tumkubali futilia mbali kama unamramba kisigino lamba kama nividole lamba hata miguu yote ww lamba ila usitulishe matango Poli hapa
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 3 ай бұрын
Hajawahi kutumbua mtu aliyeimba yeye kila mtu ni mzuri tu
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 3 ай бұрын
Hajawahi kutumbua mtu aliyeimba yeye kila mtu ni mzuri tu
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 3 ай бұрын
Mjinga ww hna hata1zulikwa wtz niujingatu ndiotunaouona eti kusifiwaga na wateulewako wnanchi hutaki hta kuwasikiliza kelozao yaanisasa wnanchi tunatawaliwa na makabulu
@chachamwita4687
@chachamwita4687 Ай бұрын
Hapo Umefeli, tz wachache Sana wanaoweza kuongoza kwa uadilifu bila kusimamiwa kwa karibu
@LazaroMetivoi
@LazaroMetivoi 3 ай бұрын
Aggrey Mwanry aliitendea haki nafasi ya ukuu wa mkoa. Nashangaa kwa nini hajapewa tena hiyo nafasi.
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Chalamila kasimama kwenye nafasi yake vizuri sana
@danielmboje8751
@danielmboje8751 Жыл бұрын
Raisi mm binafsi nimekuelewa sana .
@OmarYussuf-j5g
@OmarYussuf-j5g 3 ай бұрын
Kabisa présidente juu kwa Mungu!!!!??? Makonda etiiiiii eneya uji kute. Good job na tanzania geuza izo sheria mbovu za wazungu etiii mihula 2 peke haitoshi kwa mama huyo.
@emmanuelbahati6259
@emmanuelbahati6259 3 ай бұрын
Mama hapo nimemuelewa vizuri,hajakosoa mwenendo wa mwanri,bari ametumia mfano wa viongozi kutegemea sauti kutoka ngazi ya juu kama alivyokuwa anaelekezwa enjinia na mwanri,tufuatilie vizuri,mheshimiwa rais katumia mfano
@jacksondismas4109
@jacksondismas4109 2 ай бұрын
Fact
@josephhusein3383
@josephhusein3383 Жыл бұрын
Niulize swali nitumbuliwe, acha nikapige hela😂😂😂😂
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 3 ай бұрын
Mama deni la taifa trioni 91 bajeti yako ya serkari trioni 41 unarionaje hiri mwar magu kamuamini sana kainyosha tabora wewe unawambia wasifanye kama mwanr
@abdallahkiliaki3744
@abdallahkiliaki3744 Жыл бұрын
Maendeleo hayana lelemama. Nchi zote zilizoendelea kw kasi huko Asia zilikuwa na ufuatiliaji wa karibu wa miradi km alivyokuwa akifanya Magufuli na Aggrey Mwanri. Bila hivyo tutaendelea kuibiwa na miradi kutokamilika. Matokeo yake ni umaskini, tena umaskini wa kujitakia. Tusilaumu ukoloni mamboleo. Hatujitambui!!! Tatizo letu Watanzania hatujui tunachokitaka na hatukitaki tunachokijua.
@allyhasani3750
@allyhasani3750 11 ай бұрын
Zama za muongo kuaminiwa ,, mwanziri nilimkubbali alivyo wakabà mafisad
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 3 ай бұрын
Kujichekesha ndo game inayonipaga taabu
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Tumepigwa na kitu kizito kichwani Mungu tusaidie
@abuumtoa2336
@abuumtoa2336 Жыл бұрын
Pole
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci Ай бұрын
Utafahamu tu
@nicolauselias9084
@nicolauselias9084 3 ай бұрын
Mhh.hakuna mkuu wa mkoa aliyependwa ktk hii nchi kama mwanri na haitatokea huyu mzee mwanri aliinyosha tabora na kwenye huo utawala mama huyo alikua ni makamu wa rais magufuri na aliona mwanri alivokua akifanya kz au ni chuki binafa nn.mi ndio maana sipendi siasa kbs
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Жыл бұрын
Mama kwakweli nakuelewaga sana uko vizuri Mama yetu,ila hao watendaji hao wakuu wa mikoa wengine vichomi wako hapo wamekodoa macho wakirudi vituoni kwao wanaanza kuvurunda,tu Mungu awasaidie wajitambue nawaombea hizo akili zao wajielewe na waelewe ulicho waelekeza hapo na shindilia Mungu awasaidie. Hongera kwa busara zako Mama Mungu azidi kukupigania 🙏
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 Ай бұрын
Kwa ma Ras nimezoom mboba simwoni ras wa Arusha?? Aka mtoto wa mama
@DICKISONJULIUS-z1x
@DICKISONJULIUS-z1x Жыл бұрын
Raisi leo umenikosha kidogo unaongea kwa upole adi nashawishika 2025 nikukpe kula yang
@michaelboniface7003
@michaelboniface7003 Ай бұрын
Hamna ki2 hapa.
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci Ай бұрын
Roho mbaya acha itakuuwa mapema wewe mwenye nalo mbona hujaekwa
@MasumbukoNgata
@MasumbukoNgata 3 ай бұрын
Temberea wananchi wako rais na cyo kukutana na watu wako
@VascalChibilauli
@VascalChibilauli 3 ай бұрын
Alikuwa mfuatiliaji yule hakutaka TU taarifa zakwenye makaratas ndomana alikuwa anajridhisha kuuliza asome ni nn kimeandikwa
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 3 ай бұрын
Mama usilee watumishi wazembe.Haya watu wapelekwe mputamputa kama anavyofanya Makonda.
@alexandermalima610
@alexandermalima610 Жыл бұрын
Mkono hausimamishwi mheshimiwa rais bali unanyooshwa,nabaki na questions kichwani
@danielchacha1305
@danielchacha1305 Жыл бұрын
Waambie DP WORLD waondoke hawana chao maana Watanganyika tumeamka!
@danielchacha1305
@danielchacha1305 Жыл бұрын
Mama vipi kuhusu Bandari zetu za Tanganyika utazirudisha lini?
@JosephDandu-sr8tr
@JosephDandu-sr8tr Ай бұрын
Sijawahi kumaliza kusikiliza speech ya uyu mama
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl Жыл бұрын
Iv nyote nyie mume kosa swali hata moja 😮😮sifa tu kwenden zenu uko
@mohammedyally7104
@mohammedyally7104 Жыл бұрын
Miradi haiendi mama haishi ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa pesa sasa mama Haya mpk lini ajira zipo kwenye hiyo miradi na kusipokuwa na pesa hiyo miradi haitaweza kuajiri lazima watapunguza watu makandarasi wengi wanalia hawajapewa pesa.
@David-if6nk
@David-if6nk 7 ай бұрын
Hii nchi kiukweli kwa hii awamu tumepigwa
@saidtembele3070
@saidtembele3070 Жыл бұрын
Dah mwandishi andazi kweli title ya video na kilichozungumzwa tofauti
@K.L.P.TMWANGATA6635
@K.L.P.TMWANGATA6635 3 ай бұрын
Hapo kwa MUNGU kuacha kusema na watu direct ni wew na mahusiano yako na MUNGU na viwango vyako vya imani na kumpenda yeye
@user13375
@user13375 3 ай бұрын
ka imani kadogoo,🤣🤣🤣🤣
@PAMA3542
@PAMA3542 5 ай бұрын
Mama mh rais kweli wew ni mwalimu hakika mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kweli upo tayari kuwasikiliza na kuleta mabadiliko kwa wa Tanzania
@hamdankiangio7335
@hamdankiangio7335 Жыл бұрын
Kazi ya mkuu wa mkoa msimamizi wa mahitaji ya mkoa husika . Mkuu wa wilaya nikuangalia mahitaji ya wilaya aliopo sio kufanya siasa inawezekana mkuu wa ncha ndo ana waelekeza kwenda kufanya siasa utekelezaji wameweka pembeni ndo hali halisi tusipepese maneno
@georgeasalla8542
@georgeasalla8542 Жыл бұрын
Mama Samia,mimi ninachotaka ktk maisha yangu ni AMANI tu ila ungetoa hili swala waarabu sina shida na uongozi,ukoo wangu hakuna anayefikiria nafasi hiyo na siwezi kumwangaikia mtu,nahangaikia Taifa langu TZ iwe na amani Thanks
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 Жыл бұрын
Sasa warrabu walifanya nini
@amosantony9546
@amosantony9546 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 Жыл бұрын
Usione haibu kumsema hafai tu bc inatosha mpaka treni ya Moro haizindiliwi kwasababu gani Yani unaiona bandari tu
@JovinPeter
@JovinPeter 2 ай бұрын
Kama huyo chalamila nikichwa tenge
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu 3 ай бұрын
Mkee wa mtuu akiwa kazini ni haki kumambia mimi .ni kiongozi nina mkee mzuri jieeleze
@kepharichard4183
@kepharichard4183 3 ай бұрын
Mama mbona unapenda kusaidiwa saana!!!?? unapenda misaada sana
@KhamisHaroub-uj5ci
@KhamisHaroub-uj5ci Ай бұрын
Shida nini kwani
@hassanibnabdallah5566
@hassanibnabdallah5566 Жыл бұрын
Ahsante Sana Mama, Tena Umewaweza Kweli Ulivyowauliza Kua Ataeenda Kinyume Ni Makusudi Eee
MKUU WA MKOA TABORA, AGGREY MWANRI, ALIVYOONGEA KIINGEREZA.
5:26
Ozoda - Lada ( Ko’k jiguli 2 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 16 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 117 МЛН
MANENO YA AGREY MWANRI 'YAMKAUSHA MBAVU' MAGUFULI "MAMBO NI BUM BUM"
4:56
Mtanzania Digital
Рет қаралды 1,8 МЛН
Ozoda - Lada ( Ko’k jiguli 2 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 16 МЛН