Hii ni wakati Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Professor Jay aliposimama kuchangia mapendekezo yake katika bajeti ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwenye bunge la Bajeti linaloendelea.
Пікірлер: 316
@lavendaapple92847 жыл бұрын
asante sana muheshimiwa Joseph kwa kutetea haki zetu
@abdulhamnally79404 жыл бұрын
Mikumi Pa1 na wasanii wa nyanja zote wanajivunia sana juu yako profesa Jay i salute you brother.
@kamuchidyblez2136 Жыл бұрын
Hii speech itaishii milele mh Prof jay
@oscarmoses24444 жыл бұрын
Sana Mzee hauled upon vizuri mweshimiwa
@sakinandoile94397 жыл бұрын
professor Jay 👏👏👏👏 Mungu akuzidishie
@lucyleopold33247 жыл бұрын
big up profesa jay kanikosha
@saidimvungi24876 жыл бұрын
ahsante brooooooo......
@tonybestsenior88746 жыл бұрын
Professor J anasupport muziki kweli, shukran mheshimiwa...Kenya mziki si kitu bungeni....Mheshimiwa Jaguar afanye ka huyu Msheshimiwa J
@flinchclassic17264 жыл бұрын
Jaguar amelala amejisahau
@jimmydelphinsabukwigura30924 жыл бұрын
Following you from Gitega-Burundi.
@damasmahega55977 жыл бұрын
safi Sana mbunge unae ongoza binadamu na wanyama
@dillisalum23846 жыл бұрын
Asante sana kaka
@mwajumafadhily77126 жыл бұрын
ndiyo mzee
@faucynkrctian66074 жыл бұрын
Tanzania ndio inaamani ...... Ila watu HATUPENDANI KABISA
@STOMWABUKO6 жыл бұрын
Bado Professor ananigusa na maoni yake. So profound
@paulbryxonofficial7 жыл бұрын
wanamuziki watanzania mumebarikiwa sana kuwa mtetezi kama huyu...big up
@langatjosphat4 жыл бұрын
Wow.what an orator.prof jay the best
@benjaminkaminsa23356 жыл бұрын
Wazir mwenye dhaman anashangaa '2 hajui mambo hyo, kaa na wasanii usikilze maon yao! Kaa na Sugu, kaa na prof jay!!
@sweetmama32427 жыл бұрын
Prof kaongea hadi nimeelewa. 👍👍👍 i salut you bro.
@amadeusmrope49537 жыл бұрын
safi Sana
@nicktztz64566 жыл бұрын
point kubwa sana
@mpoloonlinetv13737 жыл бұрын
very good
@ismaelotieno30964 жыл бұрын
Very articulate👌
@thekopiteliverpoolforever20276 жыл бұрын
Wapi producer aweke track kwenye haya maonhezi ya prof....huu ni wimbo
@wazawaentertainment18474 жыл бұрын
Asante jemedar wetu mbunge wa mikumi
@akramibrahim53036 жыл бұрын
Duh we mkali
@edmundmuhumba95857 жыл бұрын
Big up Jay
@bahatevagre9336 жыл бұрын
Ndio mzee, imebeba, NIKUPONGEZa mkuu, wewe umeongelea kitu muhimu, hongera, sana.
@ahmedhemedmohammed45646 жыл бұрын
Big up #Professor long life
@abdulrahmankanduka19774 жыл бұрын
Upo vzr sana mtumzima Pro J Tupo pamoja sana tutafika tunapo kwenda hats kwa mwendo wa kinyonga tutafika tu...
@m2pic1874 жыл бұрын
Bg up
@mcnjovu35256 жыл бұрын
Good broo
@peternasarinasari97006 жыл бұрын
Safi sn Mh Joseph Haule unajua unachofanya
@franciswilfred21176 жыл бұрын
Professor Jay Big up Unajiua unachokifanya ndani ya Bunge
@rishardbabuu67486 жыл бұрын
Ningelikua producer ningelikua nimeivesha beat
@dannysimbaatv9344 жыл бұрын
Uko vizuri mhueshimiwa
@komboally68087 жыл бұрын
naam mbunge wa mikumi
@kimatiamede21323 жыл бұрын
umetisha
@fadhilimorris23806 жыл бұрын
Nakupongeza sana pr.j,,,,,,,,,,,
@bakarimshuza44047 жыл бұрын
safi sana mheshimiwa umewakilisha vema
@omaryjabir98747 жыл бұрын
safi sana kaka profJ
@kingrasdee4456 жыл бұрын
Saf kabsa mr J, ukwel mtup. ✌
@tatimafahad93766 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka yng hapo ni mahala sahihi kwako
@ashurahussein40937 жыл бұрын
Ndio mzee
@georgebt95456 жыл бұрын
Fresh
@sabrinaayoub70326 жыл бұрын
Big up mzee
@mnomahboybright47434 жыл бұрын
point sana
@barnabasstanslaus68956 жыл бұрын
ndio mzee kama unasoma vileee mmmmmmh
@josephojuang90404 жыл бұрын
Safi sana nakutakia maisha marefu
@kabambamusolo80797 жыл бұрын
profesa washa moto mpaka waelewe
@renatuskachwele71744 жыл бұрын
kweli kabisa
@hamisinassoro28965 жыл бұрын
asante profesa mzarendo
@hamzamitima69064 жыл бұрын
point ya kisomi umeongea point broo big up
@isasuleiman77096 жыл бұрын
hongera sana profesaj
@chanoboyhomic84123 жыл бұрын
Iko vzur
@taimurfeisal13296 жыл бұрын
Ndiyo mzee, ndiyo mzee, ndiyo mzee
@elvunielvuni66376 жыл бұрын
hiii kazi kweli aiseeee tra saizi ndoo wana jifanya kufanya kazi
@dullahdullah54994 жыл бұрын
Kweli
@getaromagaiwa79185 жыл бұрын
nice Prof J"""""
@queensalema30844 жыл бұрын
Jaman Mungu akubariki sana prf j,TRA wanakera sana
@samirmhanga1446 жыл бұрын
sahihi kabisa
@gabrielngugi35532 жыл бұрын
Uko na point mheshimiwa wa mikumi
@kassimmiraji5696 жыл бұрын
we noma
@faucynkrctian66074 жыл бұрын
Mambo yanayo ongelewa Bungeni yangekuwa yanafanyiwa kazi Tanzania ingefika mbali sana
@saulmwakyusa10017 жыл бұрын
umetisha sana jay
@anwarykilunga56944 жыл бұрын
Bro wew unajua sanaaaa mbaka unakela
@joshuamvambe80297 жыл бұрын
Mikumi oyeeee
@azorysallah93046 жыл бұрын
Nizaidi ya daktari,, mbunge wa binadamu na wanyamaaa.. @peace of mind..
@iHeizar7 жыл бұрын
This guy can talk
@cialspeispecial82003 жыл бұрын
Congrats prof J
@bonifacesamwel97256 жыл бұрын
Uko vizuri sana prof wanamikumi wana kiongozi kwel
@ibrahimrashidi43604 жыл бұрын
dah mkuu kama nakuona vile ulivoniskiliza ngoma yangu pale moro
@florianmdemu72274 жыл бұрын
Waambie mzee proff jay
@abdullahpongwa15375 жыл бұрын
Hongera sana kuwa mbunge na unastahili kupewa dhamana ya kuendelea kukaa mjengoni
@ibrahimmwinami24007 жыл бұрын
ndiyo Mzeee
@emanyamhanga27674 жыл бұрын
Mikumi mikono juu
@abineryantonykilulu9547 жыл бұрын
mgodi unaotembea hongera
@mirajijuma29476 жыл бұрын
respekit Brz
@jonasibyamungu51554 жыл бұрын
Vzr sana
@frabomdemwa88806 жыл бұрын
unakubarika saana professor usiwasikilize wanao kubeza mazezeta
@mzeewamadodoso18167 жыл бұрын
Safi sana prof.J
@pauledward77556 жыл бұрын
safi sana p j
@dambwelahiphop4 жыл бұрын
Hawa jamaaa waduanzi Mh. Anawakilisha habari za maisha ya watu wenyewe wana cheka cheka. Wasichezeee hisia za watu. Tukiamua kwenda wasaniii hatutarudi nyuma nasio TRA wala bibiake atakae pata hata mia.
@moshikhamisi22985 жыл бұрын
Nakupa pongez
@linahdavid91296 жыл бұрын
safi
@ramadhanmanko46145 жыл бұрын
Nakupendaga
@abdallahhamza96897 жыл бұрын
mi 10 yeeeeah
@esthermnyasenga18086 жыл бұрын
walikuchelewa 2 wew unajua
@tracyjustice16007 жыл бұрын
bravo pro. jay
@ashamaulididdi20044 жыл бұрын
Vp
@vicentymwakinyasa98494 жыл бұрын
Safi
@msafirisalum84366 жыл бұрын
Safi mzee wa hphp
@shafiymussa45434 жыл бұрын
🔥
@babayetusalonilaizerlemung89144 жыл бұрын
Aminia sana kiongozi uje ara chuga ndani tukupe kura
@jeno_khan4 жыл бұрын
Kama ume elewa konga like apa
@kanchokitambisuluimankanch58476 жыл бұрын
ndio mzee
@cosmasmwadime60236 жыл бұрын
Nikiwa kenya; professor wakubalika
@nassbiggs4564 жыл бұрын
Big up j uko sahihi
@jamesmbawalasdk46884 жыл бұрын
OK cool
@kelvinaron48754 жыл бұрын
Hongera sana ila ungejitahidi kuweka na majibu ya waliomjibu huyu mbunge