WATUMIAJI wa KINYESI cha BINADAMU kwa MATUMIZI ya MBOLEA WATAKIWA KUKICHAKATA...

  Рет қаралды 602

Global TV  Online

Global TV Online

11 ай бұрын

WATUMIAJI wa KINYESI cha BINADAMU kwa MATUMIZI ya MBOLEA WATAKIWA KUKICHAKATA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Mbolea Tanzania (TFRA) Ndugu DK. STEPHAN NGAIRO wa TRFA Amesema watumiaji wa Mbolea ya Asili ya Kinyesi cha Binaadam wanaotumia katika kukuzia na kurutubisha mazao yao wanatakiwa kuchakata kwa kiasi cha kutosha kinyesi icho cha binaadam ili kuleta matokea mazuri kwa kuwa mbolea zote za asili zinavirutumbisho sawa na mbolea za dukani
Aidha amesema hadi kufikia Juni 30,2023 upatikanaji wa mbolea Umefikia tani 1,115,841 ambapo kwa kipindi cha cha miaka Miwili ilikuwa ni asilimia 139 ya lengo lililopangwa kufikiwa ndani ya Miaka Mitano.
Changamoto ya Upatikanaji wa Mbolea Nchini Tanzania imekuwa ukisababisha Bei kuongezeka na wakati mwingine kukoseana kabisa hali iliyofanya Serikali kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji ili kuongeza upatikanaji
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 2
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 11 ай бұрын
Mmmmh! Msinifanye nisile mboga mie
Mashariki ya Kongo yageukia mbolea ya mkojo wa binadamu
2:49
DW Kiswahili
Рет қаралды 746
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
MEU IRMÃO FICOU FAMOSO
00:52
Matheus Kriwat
Рет қаралды 44 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 101 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 44 МЛН
Suala Nyeti: Matumizi ya Kinyesi cha binadamu kama mbolea
30:42
KTN News Kenya
Рет қаралды 894
HOUSE GIRL  EP 32 || love story💞💕
23:26
BUSATI TV
Рет қаралды 22 М.
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН