Asanteni sana kwa vipindi vizuri. Ila ningependa mbadilishe jina la kipindi. Badala ya Women Matters, kiwe Real life issues. Kwa sababu Kinagusia real life issues and not exclusively women matters.
@neemaloy8894 жыл бұрын
Asante sadaka uko vzr Dada
@korethanumvile51434 жыл бұрын
Onisigara your the best
@dorothkomba88464 жыл бұрын
I like Max, he has very positive mind. aunt sadaka big up
@christinemukhalisi45793 жыл бұрын
The guy on the left controversial
@selestinamboya62342 жыл бұрын
Max hvo mnavifanya kabla hujaingia kwenye ndoa msikilize tu mzee anazungumzia yale maisha yetu halis 🤗
@dianajacob-yz7jp4 жыл бұрын
Ivi lilian unajua mi nakupenda sana, nafanya kazi kwenye refugee camp siwezi kuwa na tv lkn sikosi bando ya kukufwatilia i lov u
@patriciaemanuel32524 жыл бұрын
Rfk angu na mimi nitafutie kazi uko kwa refuge camp pliz
@florencegeofrey23304 жыл бұрын
I love u aunt sadat una maneno ya hekima sanaa😘 Mr sigara wewe ni mwanaume na nusu... vijana wa kiume wanatakiwa kujifunza kupitia wewe🦋kipindi kinatujenga sanaaa vjana be blessd lilian
@simonmwanyika82884 жыл бұрын
Max inabidi avae siket huyo
@antonywilfredy56463 жыл бұрын
😂😀😁kweli
@mariammwasile47924 жыл бұрын
Nawapenda je
@lovenessdiva33704 жыл бұрын
Mzee sigara wew mtata sana 😂😂😂😂 Max & aunt sadaka much 💞 💋 show amazing 👏👏👏
@bosschick24174 жыл бұрын
Max and sadaka mna nikosha sana stay blessed 💃🥂🙏
@samirarashid81864 жыл бұрын
Nawapenda saaana 💖💖💖💖💖💖
@dominicmokaya4914 жыл бұрын
Thanks mungu awambariki
@mumyhendry29194 жыл бұрын
Yaan Kaka Max kuna kitu ulinifunza kuhusu kusamehe kwenye kipind kilichopita na kilinisaidia sana,Nmejikuta nakua mwepesi kusamehe kutoka rohoni!!! Mungu akubariki uendelee kutoa elimu kila wakati na watu waipokee!!!
@angelpella27094 жыл бұрын
Njooo unifundishe na mim dear maaaaan
@mumyhendry29194 жыл бұрын
Fungua moyo mpndwa,afu ujichunguze wew ni mangapi umesamehewa had sas,afu ukisamehe unakua huru,Amani inakutawala had unajikuta unatabasam mwenyew...kitu kikubwa ni Upendo ndio unasaidia kuweza kusamehe maana Upendo ni kila kitu!!!
Warereeee amehamisha mashat baada yakuonja andazi🤣🤣🤣wapiii khadija kopa
@shumbanahafidh43044 жыл бұрын
Love u max and Aunty Sadaqa
@benbenedict27204 жыл бұрын
Hi nzuri yaani tamu haswaa maana mmebalance mzee Oni na kijana Max. Hapo murua kabisa. Women matters forever!
@irenegilbert23104 жыл бұрын
Max nakupenda buree
@aisatahaisatah26124 жыл бұрын
Nawapenda bure
@lareineminah13534 жыл бұрын
Max❤❤❤❤
@ericmuthurimaitethia80444 жыл бұрын
Mimi ni erick nikiwa Qatar lakini nyumbani ni Kenya nafuatilia kipindi chenu kwa ukaribu napendezwa sana na Advise za kimaisha na ndoa kahdija anafurahisha sana kwa kutuimbia taarabu mungu awabariki
@husnahassan62894 жыл бұрын
Mama khadija nampenda sana nikimuona nahisi nimemuona mdogo wangu jamani duniani wawili wawili wallah nawapenda pia wote na kipindi ni moto
@lydiagerald85844 жыл бұрын
Aunt sadaka umeongea kitu kikubwa Sana, wanawake ndio tunafundishwa kufanya vitu vingi na tunajikuta mzigo Ni mkubwa lkn wanaume hakuna kitu wanafanya ili na sisi tupate moyo wa kuendelea kuwafanyia mazur datz y inafikia hatua tunachoka na hapo ndo wanaanza kusema umechange haukuwa hvyo kipindi tunaoana!
@lovenesssumari28824 жыл бұрын
Nikwel wanawake tuna mzigo mingi wanaume walipa ada na kutoa ela yakula na uboo ukisimama bassi wamemaluza
@maggymm73024 жыл бұрын
Very true... its so tiring af they keep blaming women for everything
@aminaj.mkwizu24974 жыл бұрын
Mnanipa raha sanaa.
@kulolamasanyiwa36834 жыл бұрын
Hahaaaahaaaaa eti anzisha mbio,nimecheka kweli,mzee Oni Sigara,uko sawa kabisa
@shanambonika92054 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@dadapechi4 жыл бұрын
Sawasawa. Ninasimu3 moja ya ofisi moja ya gari moja ya home. Upo
@linaroberts40234 жыл бұрын
Max yaani nakuelewa sana..tatizo Baba Sigala anaongea kizamani sana. Na hapa ndio naona usasa na uzamani unavopingana. Big up sana Max..
@danielmbezi28411 ай бұрын
Lengo la kipindi ni zuri ila punguzeni kubishana na msijiandae kuhalalisha misimamo binafsi ;hatupati somo
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Napenda maxs anavyomuangalia khadija kopa kwa mankini
@adamkanyeka44794 жыл бұрын
Nampenda aunt sadaka msikivuu Sanaa
@adamkanyeka44794 жыл бұрын
David D yapu me natamani siku awepo mama tery, max, aunt sadaka na on sigara
Mzee unanifurahisha sana vijana hawana ushauri akina mama pongezi
@vlogvlog85224 жыл бұрын
Waooooooooooo 🍒🍓🍉sauti yako hadija jaman mimi naridi africa nikuoe kabisa
@aurelianbaynit82794 жыл бұрын
Namkubali sana ! na madini yake mzee wangu Sigara
@abbasomarabbas59284 жыл бұрын
Baba yupo sawa ameongea uhusika km baba
@hasnaabduly49454 жыл бұрын
Max huyooo😍😍😍😍😍😍
@kdilly8014 жыл бұрын
Nimependa Sana kipindi cha leo... Mko vizuri Sana.. Keep up the good work guys!.
@yudatadeshayo44344 жыл бұрын
Max ni genius
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Yudatade Shayo Fact na anaongelea maisha ya sasa
@yudatadeshayo44344 жыл бұрын
@@veronicadaniel1122 kabisa ila anaoneka ana mapenzi ya kizungu ndo maana hajaoa bado
@Nyamisango4 жыл бұрын
Yudatade Shayo 😂😂😂 Jmn
@yudatadeshayo44344 жыл бұрын
@@Nyamisango eeeeh unajua mapenzi hayataki kubembelezana sana wal nguvu sana
@maxrioba4 жыл бұрын
Yudatade Shayo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@samarsadry4044 жыл бұрын
Max big up aunty sadaka nmekupenda buree
@sifabanga57354 жыл бұрын
Kweli baba usipo mujali mwamu hawezi kuku Kali na wewe una ongea kweli baba
@samwellwiza4664 жыл бұрын
Maneno mazuri sana..lkn sina hakika kama yanatekelezeka kwa wawezeshaji...but ni mada muhimu kwa jamii yetu.
@jasminraheem12574 жыл бұрын
Mashaalah
@nadiakabamba73734 жыл бұрын
Kweli kabisa simu zime vunja doa sana mimi mshaidi
@vicknessngenzi61464 жыл бұрын
Simu hazivunji ndoa ila mambo tunayofanya na kuhifadhi kwenye izo simu ndo huleta maafa
@janethkilonzi42604 жыл бұрын
Mm mwenyewe ipo hapa ipo ICU
@priscillaamossen82494 жыл бұрын
Max, hicho unachoongea wengi hawakijuui,Mimi nakukubali sana.
@maxrioba4 жыл бұрын
Priscilla Amossen 🙏🙏🙏🙏🙏
@Royalcakespoint4 жыл бұрын
Bi khadija mzito sana kuelewa....
@lidus7524 жыл бұрын
Bi Khadijaaaaaa!!! Mi nakupenda hivyo tu !!!😅😅😅😘
@eunicesephania21414 жыл бұрын
Maxrioba ur the best 😘😘
@apiswambui92364 жыл бұрын
Auntiee Sadaka na Max mwaongea point sanaaaa
@aairraahseif56484 жыл бұрын
Bi hadija wee kama mimi 😍💕maashaaallah
@avithajonathan66224 жыл бұрын
Max is very wise.
@winfredcanaan5824 жыл бұрын
Asante sana Mr. Sigara kwakutulinda mabaharia 🤣🤣
@lightnesspastory25034 жыл бұрын
Hahahahahahaaaa
@winfredcanaan5824 жыл бұрын
Lightness Pastory unatucheka eh
@nadrasalim52984 жыл бұрын
Aunt sadaka I love u. Umenizungumzia Leo aaaah mama weee
@annabailey78854 жыл бұрын
This young man has a point ,so true .
@nuriatqueen55754 жыл бұрын
👏👏👏❤❤
@janethaule42814 жыл бұрын
Lily is very funnie
@queentunush9254 жыл бұрын
Max uko sawa unajua kweli kutunza mwanamke
@childrengospelmissiontanza14744 жыл бұрын
Angejua si angeshaoa,kila siku demu mpya,anabadili badil kila sk,muhuni tu.Wadada ndo mnampendaaa mambo ya maigizoo
@neemakilomoni42584 жыл бұрын
😅😅😅wanaume wa sasa wote mabaharia.
@bukuruaviva54174 жыл бұрын
Max 🥰❤️
@adijaniyonkuru97314 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fatymbay83034 жыл бұрын
👌👌
@rehemasongambele73744 жыл бұрын
Lili mbishi sana but ilike you🤣🤣🤣🤣🤣
@kingwigo29614 жыл бұрын
Safi
@mwalimomar56064 жыл бұрын
Khadija
@guenterernst54814 жыл бұрын
Khadija nakupenda
@lareineminah13534 жыл бұрын
Hatukusikiya mlivyo msaaidiya ss uyo alo tuma msg maana topic hii hayija kaa sawa imechukuliwa nyingine yani hatu elewii muwe mna peana nafasi mtu afike mwisho katika kutowa hoja yake
@OmanOman-fu8xy4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nadrasalim52984 жыл бұрын
Aaah Max weee kaka naomba unisomeshee mchumba wangu
@jacklinezebedayo29234 жыл бұрын
Lily, napenda women matters , Max na aunt i like dat na ndo ukweli Max 😍
@Uwezomaleunda4 жыл бұрын
Kaka max usiwe unakosa kweye kipindi bwana,kipindi kizuru sana ila utaratibu umekosa .aunty sadaka wewe nimsikilivyo mzuri kweli ,alafu unaongeaga point sana wewe na ka maxi
@najma32684 жыл бұрын
Max wallah unapoint sana , yaan kama wanaume wangakuwa wanasema ukweli kama hivi ndoa nyingi zisingevunjika
@maxrioba4 жыл бұрын
Najma 3 🙏🙏🙏
@silverman69304 жыл бұрын
Max today I’m impressed ✌️
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Dili vipeperushi vya corona labda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣walaah nakipenda hiki kipindi hasa hawa waliopo leo amekosekana mama teri tu hapo,ila ushauri at list mpeane nafasi ya kuongea sio mnaongea kwa pamoja mnatuchanganya,lilian punguza kelele halafu usikatishe mtu wakati anaongea mwache amalize please,maxi your the best hivi ulisoma oysterbay?❤ all
@zainabukassim99244 жыл бұрын
Kakaaaaa maaaxxxxxriiioobaaa
@crelincharles93584 жыл бұрын
Aunty sadaka leo kala tu , alikua kimya sana hajaongea kama siku nyingi
@pendohumphrey75884 жыл бұрын
Points max nahisi kila mwanamke anapenda kufanyiwa hivo hasikwambie mtu😘
@millingaantonia4 жыл бұрын
Max you are the best 👍🏿
@maxrioba4 жыл бұрын
Antonia Milinga thank you
@rickykawacha96364 жыл бұрын
Kipindi kizuri mpo really kila mmoja yupo sawa kipindi kzr
@vevo31304 жыл бұрын
Aunt Sadaka na Max leo mmenipa raha sana...Onni sikuelewagi baba...mara hutaki mabusu mara hutaki kuitwa baby usipopikiwa hujui kubembeleza...wai!! mume wangu angekua hvo ningeshahama nchi….
@miriammwakyusa33804 жыл бұрын
Max...
@rickykawacha96364 жыл бұрын
Sigara safi Sana
@medicalphysicsbiomedicalen17074 жыл бұрын
Big up Max na aunt Sadaka, much love guys 😘 ...... watching from Italy
@dadapechi4 жыл бұрын
M watching from HOLLAND
@maxrioba4 жыл бұрын
omary rehema Asante
@ritchiexanti95874 жыл бұрын
I loooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooove the hell out of this show...
@magrethmoshi98234 жыл бұрын
kipindi kizuri sana ila nimependa point ya max mwanaume naye asababishe yeye kufanyiwa mazuri.jua mkeo anahitaji nini kutoka kwako