Yani Master WA Bongo WA kiume skuizi Wana akili yakutafuta pesa na kufanya maendeleo ikiwemo kujenga na kuoa,sio zamani wakipata pesa wanaspend na mademu wmisho wake wanafilisika nakuanza kungada,Big up Mwijako,Baba levo,Aristooooteee,Dimond ,Harmonise na wengine wanaojielewa
@batatukatotolabikay52968 ай бұрын
Allah azidi kukuzidishiye kaka yangu. Kwa kweli umefaa kazi kubwa. Congratulation once again
@devgodfrey8 ай бұрын
Mwijaku mimi sikupingi baba keep up✊🏻
@ChristinaOnditi-el3xo8 ай бұрын
Mungu akujaalie.iwe salama ,usije ukafikiri wote hao uliowaalika wanafurahia mafanikio Yako,ingekua na mie ningefanya tu Dua na kuhamia,wengine wangejua tu pole pole kwajili ya usalama
@baimarrajahbuayan62378 ай бұрын
Haswaaa lkkn anainad mno
@morjanoman51818 ай бұрын
Yani uyu inaonekana alifunga naziri ndio mana anafanya Ayo kiukweri mfano kwa wasanii waliowengi wanapangatu
@morjanoman51818 ай бұрын
Inatakiwa wajifuze apo sasa kama kujenga sio KAZI aswapale unapotiania kilakitu hinawezekana wapunguze kujikubali wawekeze vitu kama ivi
@hadijamandanje61898 ай бұрын
Jamani ukifanya kitu kizuri kina Raha na hata Mwenyezi Mungu alisema zioneshe neema nilizokujaalia kwa kunishukuru na kwa waislamu wenye Nia njema wanawaombea Dua hi yo vitu visipatwe na husuda Ila kujizuia kutangaza si kazi ndogo
@morjanoman51818 ай бұрын
Tayari dua imepita ndiomaana Leo kawaharika wasaniwezake
@estakapufi75828 ай бұрын
Hongera sana mwijaku ktk maisha ukifanya kitu kizuli lazima ujisikie faraja sana, ni mfano wa kuigwa maana vijana acheni kuiga ujinga igeni mambo mazuri, muulize kafanyeje mpaka kafikia apo ndio maisha sio leo kidimbwi anakuja msanii gani ilimradi mpate pombe zabule😂😂😂
@noelmtao27358 ай бұрын
Vyote sawa! Hongera sana! Tahadhari tu hizo ngazi kama meli ndugu yangu!
@RichardCharo-zx3sy8 ай бұрын
From Kenya congratulations DC
@user-nz4lx1hr2w8 ай бұрын
Kusapotiwa ni vitu vya kawaida muhimu kutumia akil kama mwijaku, watu washaanza ooh anatakiwa amshukur diamond n sawa lkn nae amebebwa akajishikilia sio kama wengne wanabebwa wanajiachia, mwachen mwijaku katoa funzo kubwa kwa wengne wanaopenda kila bata sana bdo wpo nyumba za kupanga, hongera DC
@baimarrajahbuayan62378 ай бұрын
Wow mwijaku kelele. Zimeleta. Faida big up broo 😂🎉
@coolson29258 ай бұрын
ila mwijaku unaheshima sana Mungu akutunze.....nimependa unavyomwambia harmonise umeniheshimisha ...choppa mmeniheshimisha wallah....😪😪😪
@landmadvdmbeyacity95618 ай бұрын
Haahahha ad wanafik mnakubar shoo kwer hela noma
@salumuseif33248 ай бұрын
@@landmadvdmbeyacity9561mwanangu ukiwa na ela watu wansahau mabaya yote mamae
@coolson29258 ай бұрын
mnafki nan sasa hapo,,acha ulevi mkuu@@landmadvdmbeyacity9561
@carolinemwatsuma95078 ай бұрын
Hongera DC mwijaku,mungu azidi kukubariki
@shabanirashid77978 ай бұрын
Ni moja ya hatua mzuri yaaani kumbe Mwijaku yuko Perfect for 100% kiasi hiko duuuuh hii ni fundisho kwa watu ambao wanambeza Mwijaku
@user-wz9no5wx3g8 ай бұрын
Nampenda harmonize wallah Hana majivuno
@user-qq6mv6vh3e8 ай бұрын
Hana kabisa konde wetu
@user-bd6pe7io5y8 ай бұрын
Nina furaha kwa ajiri yako Mwijaku hongera sana broo
@smartonlinetv51448 ай бұрын
Hongera sana my brother,bila shaka sasa wengine wataanza kujitambua kupitia wewe na watafanya makubwa zaidi
@morjanoman51818 ай бұрын
Jamani wasanii tz chukueni mfano uliobora ombenimaarifa apo ongera sana mwinjaku umefanya kazi. Mzuri sana
@muhidiniharuna37358 ай бұрын
Ongera sana bro mwijaku hii sio wale wanaopiga picha na nyumba za watu
@Lanihsarumu8 ай бұрын
Mungu azidi kukuongoza vema mwijaku na muzidi kushikamana upendo uhendelee na konde famiry❤❤
@user-qq6mv6vh3e8 ай бұрын
Ongera sana mwijaku acha wakusema waseme
@KassimHanga-xr7rb8 ай бұрын
Good up kaka umetisha ❤
@saidmtenda16288 ай бұрын
Tukumbuke fahari zote hizi mwisho wa siku Allah anatuhitaji tumwabudu.
@fuadaladawi12558 ай бұрын
Mwejaku congratulation for your villah.my Allah bless Harmonize for help to the poor
@user-or2gj9qe8p8 ай бұрын
Hongera sana mwijaku siyo kazi ndogo
@hadija8468 ай бұрын
Mwijaku hongera sana na pia Harmonize ni mtu mwema sana kwako yaani staa mkubwa ivyo kakuwakilisha 💯 kwa 💯
@ELVIRAPRODUCT6 ай бұрын
Nyumaba kubwa Ila kainyima nyumba, si ungefanya hata vyumba vitatu, waha wenzio tukija dar kufikie kwa Kaka mwijaku😅😅😅
@JoseHaule-tx7lu22 күн бұрын
Safiiiii kaka mtumikie kaffir uishi kama mfalme
@nzeyimanamwavita19048 ай бұрын
Hongera sana mwijaaku 👌👌
@aminatanzanya74758 ай бұрын
DC umeupiga mwingi Hongera sana 🎉🎉🎉
@DM_158 ай бұрын
Nimesikia konde akimtonya mjaku kitu kuhusu watu wabaya😂
@Octavinaelisa-fn6js8 ай бұрын
Kumbe kaka mwijaku una akiri ivi hongera sana broo
@Aminmwansile-we8vn8 ай бұрын
Hongera Sana mwijaku
@bashiruhassani10178 ай бұрын
Zamarad unakuja kwa kas Sana ad raha
@user-ff4zm3hk7b8 ай бұрын
Nakubali sana mwijaku piga kazi baba usiwe kama baba levo maneno meng vitendo hakuna
@AzizNgitu-wk3ey8 ай бұрын
Napenda mwijaku anavyo jifanya kama mjinga kumbe anajia anacho fanya
@AlbertWilbert-uy8qz8 ай бұрын
Brother ongera sanaaa ila nilivo mtazama hermonaize kapenda sana ila kapenda zaidi ukojuu kawa surprised sana
@salinababe68948 ай бұрын
Congratulations❤❤❤
@user-jk6zk5lo9r8 ай бұрын
Hongera mwijako kiukweli lakin mimi nimekuwa Thomaso😂😂 kidogo siamin Mungu atupe umri kwa hapo baadae tutakujasikia waziri fulani anadai mwijako ampishe kwenye nyumba yake😂😅😂#time will tell
@user-bn6st5ti7z8 ай бұрын
Waaooh inafrahisha sana kabisa hongera kwake mwijaku
@dominicngeno42278 ай бұрын
Hongera Sana bro 🙏 congrats
@nizwaoman83788 ай бұрын
Ongera kaka mungu akuzidishie inshaallah
@zeyanaalgheithy65618 ай бұрын
Kwa kweli nakupongeza na mungu akulinde na macbo ya mahasidi kwa sbb kuna mastaaa wakubwa hapo tz bado wanakodi. Nyumba kutuonesa pesa tu
@ukhutfatumah11548 ай бұрын
Mashallah umeupiga mwingi mnoooo ❤
@sabatoongara87638 ай бұрын
Acheni uchawa na nyie mwenzenu akifanya kitu kizur anastaili pongezi, big up mwijaku
@banguha8 ай бұрын
Kuna mwimbaji aliimba wanaokudhalau siku moja watakusalimia kwa heshima leo watu wote walikuwa wanakuita majina matus kibao leo wanakupongeza hongera sana
@elicktilia44307 ай бұрын
Ongera sanaa kaka
@WitnessLeganya8 ай бұрын
Harmonize muhuni😅 eti amani ya bwana iwe nanyi😂😂😂
@bettyokito7748 ай бұрын
Congratulations mwijaku❤❤❤❤🇨🇩🇿🇲🇨🇩🇿🇲🇨🇩🇿🇲
@hafsahjunior26458 ай бұрын
Hongera kaka🎉❤
@Udindigwa8 ай бұрын
Inapendeza sana
@veveveve55178 ай бұрын
Congratulations mwijaku
@user-nd8gg4ig7m8 ай бұрын
Mashaallh hongera kaka mwijaku
@user-zs9hp5mm5e7 ай бұрын
Hongera bro
@michaelmpagwa25538 ай бұрын
Congratulations home boy
@mwanaidikingazi42228 ай бұрын
Hongera sanaaa mwijaku hata kama wakisema nikwako
@BenardIsmail8 ай бұрын
Kua makini bro sio Kila mtu anapenda mafanikio yako.hongera sana ila nakusihi mengine yabaki siri
@Dymitri-Babushka.8 ай бұрын
Hata mimi nataka nikiwa mkubwa nikasomee uchawa choo kikuyu,hii fani inalipa ❤
@doreenmsafari29458 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-rh7lv6hp4k8 ай бұрын
Uhakika
@user-tf4jp7ig7r8 ай бұрын
mwijaku is big ft ulikua una bweka sana mm nilikuelewa nikakwambia wewe unatumia akili na elimu uliokua nayo ukaniambia asante mdogo wangu ona sasa umewaacha midomo wazi watu wewe umetisha sio kama huyo mapua na mwenzie h mama
@KassimAlly-xp4dz8 ай бұрын
Hbaba hana gari atakua na nyumba
@fettyrashid90428 ай бұрын
Mapua anabonge la nyumba na nyumba nyingine nne exclusive hii nakupa
@athumanabubakary59308 ай бұрын
Kujenga jengo kama Hilo sio mchezo aisee mpaka Sasa Kuna watu haawaaamini
@user-xl9wc6ob4v8 ай бұрын
mwijaku anaishi pazur kuliko mondi 😂😂😂
@MarksonOsoro18 күн бұрын
Harmonize don't worry tutakujangia
@mash37758 ай бұрын
Sijaipenda i video reason mbona Ibra hana time ya kuongea naye mbona ivo lakin Mash37 from kenya
@suleimanrodriguez94848 ай бұрын
Ongera sana Mwijaku🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@kelvinmacharia92398 ай бұрын
Congratulations 🎉🎉
@terashangwe2556 ай бұрын
Ongera sana ndugu yangu
@tabyabelemwenebenga23118 ай бұрын
Sitaki kuamini kama Mathias anaenda kuishi magorofani.
@SalimAbdallah-tg1yo8 ай бұрын
Huyo Ni mtu muhimu Sana kama hufahamu
@tabyabelemwenebenga23118 ай бұрын
@@SalimAbdallah-tg1yo najua bro
@magrethmbangama11998 ай бұрын
Hongera sana mwijaku sio wengine wanabaki ooh nimenunua nywele 10ml uko kwenye nyumba ya kupanga ukipata nafasi fanya vitu kama hv maana kesho huijui.
@AsdDsa-fi5qk8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂utani ww
@TeophilBuilding8 ай бұрын
😅😅😅😅
@mashopluck8 ай бұрын
HONGERA SANA MWIJAKU ENDELEA ZAIDI UMETHIBITISHA SANAA INA HELA
@faidhacute8 ай бұрын
Mwijaku hawezi kujenga nyumba kma hii sema anapenda sana kiki yan hafanani na nyumba hii bhana mi sijawah kumwamini mwijaku, but hyo nyumba ni ya mkewake coz mkewe ni mwasibu bank flan hv
@scolasticaantony58738 ай бұрын
Hongera xana
@faithfaith-zr6gz8 ай бұрын
Hao nao mgambo wa harmonize 😂😂 kha!!
@MichaelJohn-xh4kf8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 on love 🤲🤲🤲🤲🤲
@user-wh7gj9ug9s6 ай бұрын
Hongera
@mitelpclassic66918 ай бұрын
Congratulations chawa promax
@saumukiduma8 ай бұрын
Hongera sana kijan
@user-pe4fx4gr7x8 ай бұрын
Hongera kwa mapambano kaka hatimae mafanikio yanao ekana
@user-ch5ww8hs1i6 ай бұрын
Hapo harmonize hajara wara kuvuta bangi mwijaku nae hajaweka ugoro
@zomasamweli8 ай бұрын
Kiukweli mwijaku ww ni mtu wa kuigwa sana umenifunza k2 mkubwa
@fathimamct2328 ай бұрын
Hongera sana kama ni kweli nyumba yako ila hizo bei za milango za vitasa umetupiga umemtumia kazi yako ya usanii na kama unamtumia usanii kuwa sio nyumba yako hapo inafanya udalali kwa Mr. Khalid utanikera sana mwijaku udalali fanya kwa maana kazi ni kazi ila usijisifu kama sio chako.
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp8 ай бұрын
Congratulations 🎊🍾🎉
@QueenMishy8 ай бұрын
Weeee mwijakuuuu weeeeh umeua 😂😂😂😂
@sergebaleke6958 ай бұрын
Wanasema na apa ipo nasubiri Dotto Magari 😂😂
@abubakarymaulidy56818 ай бұрын
Mashaa alla mwijaku
@AlainLutherking-dx2cy7 ай бұрын
Courage vieux mujaku
@babykisura10898 ай бұрын
manara wivu umemjaa ndo maan ajafika wkt alialikwa😅😅au sbb amejua konde anafika angekuwa mond kaambiwa lzm manara angefika😂
@user-nb8oq2kd7c8 ай бұрын
Duu🤔🤔wewe sio chawa Tena ni muheshimiwa🤚🥰🥰🥰
@mika.m.msanya21698 ай бұрын
Bigup Kaka
@graceyamado85788 ай бұрын
Hongera sanaa
@bernaberna41598 ай бұрын
Hongera mwijaaaakuuu🎉🎉🎉🎉
@allymatilda75198 ай бұрын
Hongera mwijaku
@user-qb3hx2ku9v8 ай бұрын
Hadi raha mwijaku naomba ajira nifagie ngazi hizo😅😅😅
@jamesmeitalami4678 ай бұрын
Big up brother
@user-cv3de8zj2s7 ай бұрын
Congratulations
@daudibuffalo36468 ай бұрын
Nina Iman wote tuliocomment hapa tunaenda kupambana ili tuweze kupata mjengo Kama wa mwijaku wote tuseme Amina, inshallah 🙏
@ngowibeatrice17018 ай бұрын
Amen
@allthingdranabeauty8 ай бұрын
Amen Nimependa sio kuonea wivu wa kijinga umesema poa
@FatumaMuya8 ай бұрын
Amiin
@Lanihsarumu8 ай бұрын
Amina
@ChristinaOnditi-el3xo8 ай бұрын
Konde hua anaumia akiona mtu katoboa,shauri Yako mwijaku 😂,hata hapo kaumia mie nimemuona
@ashaali71548 ай бұрын
Wewe ndie umeumia uko huku kuangalia nani kaja na anafanya nini. Acha fitina na wivu utaishia pabaya.
@EmmaKifimbo-cp5yp8 ай бұрын
Unagongwa wewe team mashoga wa tandale
@karimjuma40198 ай бұрын
Aumie kwa nn km pesa anayo anaumia kipara ndezi na mwambino
@geomangi61238 ай бұрын
wewe utakua wadinywa mkundureeee
@doreenmsafari29458 ай бұрын
😂😂😂
@WillsOffuture-ux5tf7 ай бұрын
Ibra mrefu uyoooo
@estersilvester4238 ай бұрын
Kajala hayupo body la hamonize lishajaaa tena duuuuh, kajala Ana siri ya kubalance body la hamo
@greaterjustin22318 ай бұрын
Harmo hana heshima kumuweka karibu na mkeo atapita nae
@bernaberna41598 ай бұрын
😂😂😂
@salumuseif33248 ай бұрын
ukiwa na ela.unaheshimika unapendwa watu wanasahu aibu zote