Huwa naheshimu sana mtu yoyote anayepambana kuhakikisha wanafamilia wake wana paa juu yao hawapigwi na baridi usiku...nyumba nzuri sana ...Mungu akujalie umalize Insh'Allah
@happylynguya3464 Жыл бұрын
Kwakweli
@MaryMagana-ud5em Жыл бұрын
Mama wa maendeleo.. good work
@beatricechillewa2806 Жыл бұрын
Hata kijana yupo vizuri anajua kumuingia mtu bila kubughdhi japo anaongelea vya ndani ila anaaproch nzuri
@WinfridaZakayo-mj7co Жыл бұрын
Anaigizaga mcharuko kumbe mama msitaarab mcheahi❤❤❤
@sumeiyamaddy95 Жыл бұрын
Raman ya nyumba nzur umejitahid mashallah mwanamke kumiliki mjengo hongera zko mashallah mungu akuogezee kipato umalize nyumba yko atufungulie milango na cc inshallah
@clintoncarlos Жыл бұрын
Asalam aleikum sumeiya
@KhanifaSaid-kk7tx Жыл бұрын
Mashaallah mma yangu
@joycesamwely7896 Жыл бұрын
Huyu mam ana maisha yake ya uharisia nimempend Bure najifunza kitu kwa huy mam nimemuheshim San🙏
@zainabtumba1186 Жыл бұрын
🇹🇿🇺🇲🥰 Waminshari hasidin idhaa hasad akuondolee Allahu Maa Meen Yaaap Mama Umeweza na umetishaaaa Mnoooo. Saleh mdogo wangu " In my mind" Yaap piga hodi ya Mchumbaaa utajengaaa tu. Ukiwa Na Mkwee smart Km bi star iyo project ya kujenga rahisi Si Unesema Ata kiwanja huna Mdogo mdogo Maokoto yako utaongozwaaa na bi star kupitia Machumo yako ya kazi ukimpata Naaaaa❤
@ZainabMustafaIbrahim Жыл бұрын
Huyu mama Mashallah hana showoff mungu amzidishie barka
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
Huyu Mama mashaAllaah tabaraAllaah apewe eshima yake kumiliki nyumba Ni jambo kumbwa sana sio wakina fulani eti wanatumia milioni 5 kwa siku na nyumba hawana
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂umenenaaaa
@زيتونتنزانيا Жыл бұрын
Ni waongo hawana lolote akipata hela saloon kubadilisha makabati ndani hawana lolote msitishwe na picha za histagram za kina uwoya tena huyo ndio anaishi maisha feki sanana
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا umeona uongo gani kasema
@ZulfaYussuf-b1r7 күн бұрын
Unakuta wanliwq nyuma kwa kupenda makubwa
@queenandchill91 Жыл бұрын
Mama Mwenye NYUMBA Hongera sana Bi Star, pakiisha patakuwa 🔥🔥🔥. Stay blessed🙏🏼
@peggypeggy665 Жыл бұрын
Congratulations mama!!.... You've encouraged me..
@MerryMussa-hp3qr Жыл бұрын
Muheshimu sana mtu aliejenga
@abedmzungu9057 Жыл бұрын
safi sana dada haya ndio mambo yakujifunza sina mengi
@swaibahhassan5056 Жыл бұрын
Daah hongera zako mama mjengo na bado unasomesha mtoto kirinjiko Islamic same hyoo aweeh htr😘
@mwajumasaid1425 Жыл бұрын
Tena ada y pale t Mungu azid kumsaidia
@ummulkhayrmuhsin-yb7ow Жыл бұрын
Wallahi nampenda Sana huyu mama ananifurahishaga sana
@adellaritte3558 Жыл бұрын
Mamaa na mpendaaa huyuu balasa😘 unajuwaa saana kazi yake
@boscokikoti Жыл бұрын
Nyumba nzuri .Mungu hambariki mama amalizie nyumba yake.napenda sana anapoigiza..anavaa uhusika dhahiri
@sikudhanimohammad7692 Жыл бұрын
Hambariki? Duh
@cheka480 Жыл бұрын
Mashallah Hii inaitwa kujenga kwa jasho langu mwenyewe very nice Allah akujaalie umalize
@bernaberna4159 Жыл бұрын
Siku nikihamia kwangu nitafrah mtu kwako raha sana, hongera mama angu❤❤❤
@lameckshaba813 Жыл бұрын
Hongera sana mama mungu aendelee kukunyoshea huna mbambamba kama wasanii wengine unaishi maisha yako harusi kabisa. Wee ni mwanamke shujaa.
@dottohami Жыл бұрын
Mashaallh mama nakupenda sana ❤️nyumba nzuri sana inshaallah Allha akujalie uweze kuimalizia
@angelmwoleka7892 Жыл бұрын
Dua la mgumba pambee🎉🎉❤❤. I love this lady..
@AzaShamba Жыл бұрын
Haitokaa itokee tamthilia ka FUKOTO❤BI STAR HONGERA. NYUMBA YA KISASA. ILA SEHEM NI WAPI NMEPAPENDA.,TAMBARARE.napenda kupanda mboga mboga, ALLAH Akupe siha na afya umalize mjengo wako❤
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Awesome hongera sana mama nyumba zuri tena ikija kuisha mashalllah mashalllah 👌🏽💃
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Bismilah Mash Allah hongera umefanya kitu kikubwa bonge la mjengo hili .
Govindaaaaa😂😂😂😂😂mtot wa bibi kikaraa...nakupenda we mam jmn❤..yan anavyoongea mpole mwenyew😂😂mkute kazin had rah..much respect mama❤😂
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Mashallah 😍 bi star Allah azid kukupa Afya
@januaryfrancis4860 Жыл бұрын
HUYU HATA AKIKWAMA TUNAWEZA KUCHANGA AAISE MAANA YUPO HALISI KABISA
@WlkmkeissBriana10 ай бұрын
Aki ata tungemalizia uyo mujengo.amepambana sana
@MariaCassian Жыл бұрын
Nakupenda sana Mwanamke wewe unajiheshimu unajijali kibwa zaidi unajijua nini unataka na nini ufanye ili uishi vile utakavyo Congratulations ♥️♥️♥️♥️♥️
@JanetAhmad-v3h Жыл бұрын
Huu anapambana sana nakupenda .mama❤❤
@SashaOscar Жыл бұрын
Nimempenda xan huyu mama yaan anaish maisha ya kiuhalisia kbx, nimejifunz kitu kikubwa xan
@Roqua-hs3qf Жыл бұрын
Unaishi maisha yako kabisaa ❤❤❤❤❤
@kisamwakobela8767 Жыл бұрын
Mama semen jaman kumbe n mzima kabisa mm nilikuwa namuona Kama alivyokuwa kwenye jua Kal kumbe anaakili
@magrethmbangama1199 Жыл бұрын
Hongera sana my kuliko hao wanao kaa kuringishia magari nyumba heshima bhana asikwambie mtu.q
@mwajumalubuva Жыл бұрын
Mashallah ❤ mungu akusaidie umalize nyumba yako mama inshallah 🤲
@victorcephas3618 Жыл бұрын
Congrats to her ila Sanaa ya bongo ngumu tangu alipoanza kuigiza Bi Star Hadi Leo alistahili zaidi ya hapo.
@Athuman-r2j2 ай бұрын
Kiislamu tunaambiwa sema Alhamdullilah,Kuna wenye makazi makubwa pesa nyingi na hawana ata kibanda,anabadilisha apartments za watu,Bora huyo kwangu naona amefanikisha
@pendomkumbo8262 Жыл бұрын
Huyu Mama nI mimi kabisaaaaaa kasoro cherehani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AzaShamba Жыл бұрын
😂😂😂
@chimamilion Жыл бұрын
😂😂😂Mbon cherehan
@RichAuntie-g6s5 ай бұрын
Kumbuka kule ni kazin
@amirishauur5795 Жыл бұрын
Ivi kumbe unaweza ukaacha kazi fulan ulozoea na baadae ukarudi mambo yakawa sawa tuu BIG LESSON
@BakariJuma-cf6ye Жыл бұрын
Mashallah Nyumba nzur m/mungu akusimamie izid kupendeza Zaid🙏
@monikamasasi7582 Жыл бұрын
Nimependa Sana bi star Hana maisha ya ku fake hongera zake
@Nailaty56410 ай бұрын
Masha Allah hongera super woman Allah akusimamie🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🌹
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Mashaallah mama etu mungu akubariki sana ❤❤🎉🎉
@edwintouches Жыл бұрын
Hivi huyu mtu wenu wa Camera ni kwambaana huwa record Auto au yupo slow kubadili? Hii mwanga inabadilika badilika mala too dark mala too bright, noma sana!
@fatumahashimmcheni9610 Жыл бұрын
Aoana hii nyumba inapitisha mwangaza mdani kulee kwa siwa mbona alikuwa light tu
@HappinessKipoya-yi6sq Жыл бұрын
Duh nimekupenda bure mama ❤
@yuzoooyuso583 Жыл бұрын
Hongera sana Mama kipenzi unahaki kuutwa kioo Cha jamii umetoka elimu ya burekwa jamiii pamoja na kukuangalia na umeacha kitu chakujifunza
@salmamlokela1987 Жыл бұрын
Hongeraa ulipofikia japo ni msanii wa kitambo saaan.
@aishaabrahaman9957 Жыл бұрын
Bongo huwa wanawabania sana watu wenye vipajii
@ShedrackMakumba10 ай бұрын
Good job❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rynesawaya7043 Жыл бұрын
Hongera sana ❤❤ nyumba nzur mno bi star apo ikiisha ya kishua sana 🔥🔥🔥🔥
@EdithaEditha-z3sАй бұрын
Hongera dada kupambana na WA mama tunaweza
@happygukwi568 Жыл бұрын
Hongera mama ,kumbe nngekula kwanza maisha nngekuja kujenga hata nikiwa na 40 kumbe sawa tu
@nasraabdallah8566 Жыл бұрын
Hahahaha tunajikomaza na miaka 23 kujenga daah kumbe watu wanajenga wakiwa 40 sio mbaya tutaongeza nyumba nyengine
@Ohhvio Жыл бұрын
Woooow😍😍😍 so inspiring
@happyfaniabatromeo8010 Жыл бұрын
Mama yupo vizuri sanaa ikiisha mtuonyeshe pia wakujifunza tuzidi kujifunzaa kweli Kila kitu huanzaa katika udogo ✍️❤️🔥🙌
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Mama yuko vizur Mashaallah
@hadija_makange Жыл бұрын
Mashaallah sihaba hudaiwi kodi
@aminaomary556710 ай бұрын
❤❤❤❤❤dada ongera sana kumbe una bonge house
@fatumahapesamohamedfatumah4633 Жыл бұрын
MASHALLAH ameweza.
@MariaFumbuka11 ай бұрын
Nakupenda sana bi star ❤
@A.U.R.A.M9 ай бұрын
Safi sana dada Hongera bint Ndwangira.
@mariamanzazi2696 Жыл бұрын
Mashaallah sauti nzuri mama hungera
@lailati698011 ай бұрын
Hongera sana na nimejifunza vitu kwa maisha yako
@نجمةموبيبي Жыл бұрын
Mashaallah , hongera sana mama , mungu akufanyie wepesi umalize inshaallah
@Keyjop Жыл бұрын
Hongera saana saana mama Mungu amekubariki saana hongera mnoo
@HawaAbdallah-vn8dq Жыл бұрын
Inshallaah mungu akufanyie wepesi umalizie mjengo wako umeweza
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Tuletee video kam izi kwa wingi tunajifunza nzuri woww❤
@hassanngayaga3202 Жыл бұрын
Hongera sana umepiga atua kubwa
@OmanSohar-d7z Жыл бұрын
Mashallah hongera sana allah akupe afya njema
@zulfahussein6784 Жыл бұрын
Tena yakubidi lamata akurudishe kwa juwa kali uje umpe semene hongera zake anapambania ndowa yake 😂😂😂
@khadijaali4657 Жыл бұрын
Mashallah hongera sana dadangu nakupenda sana from kenya
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Na Nyama yao anajenga kitaa hiko hiko Maa'shaallah
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Nyamayao anajenga naye yupo vizur
@masoudmasasi1801 Жыл бұрын
ooh kumbe aisee ongera zao
@DovicaSokoniАй бұрын
Napenda xan maigizo yake uyo mama
@husseynomar9523Ай бұрын
Safi...🎉🎉🎉❤
@tifagede3267 Жыл бұрын
Masha Allah, hongera mama. Umewezaaa❤❤🎉
@bimumaulid1171 Жыл бұрын
Mashaalah tabarakallah mungu akuongezee
@LilianBitwale2 ай бұрын
Kwenye kombolela mama uliua, napenda ile scene unamkaba yule dada anawapigia kelele usk mmelala ukaamka kumkaba et haya endelea kumotema 😂😂😂😂
@ZulfaYussuf-b1r7 күн бұрын
Au pale Ana mzimia taa mtoto wa chiku 😂😅
@Iragibarune1. Жыл бұрын
From Amerca Wow hongera sana 🎉🎉🎉
@RacherBakari-qh2gx Жыл бұрын
Mashallah mwenyewe Ana stara
@sandramwangi7231 Жыл бұрын
Mashallah, hii nyumba ikimaliza itakuwa hatar sana
@judithsevelin656410 ай бұрын
😊 J
@glorianikiza3940 Жыл бұрын
Hongera zako mama
@DijaMriri-wc4qd Жыл бұрын
Salehe kampenda naa😂😂😂😂
@mwana4599 Жыл бұрын
Huyu mama Anas Tahiti tuzo zaidi ya moja.
@SalahOmar-p2jАй бұрын
Nimempenda Bure
@ibrahimkhamis8394 Жыл бұрын
Anasauti ndhuuli, maashallah
@zainabufeka8710 ай бұрын
Mashaallah yuko vizuri
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Hongera mama umejitahidi mno
@لبااتتاا Жыл бұрын
Mashallah❤❤❤❤❤
@HamraamanHadliymaliky Жыл бұрын
Natamani sana mimi kuwa na kibanda changu hata cha vyumba2 tu nimechoka kweli na maisha ya kupanga mimi
@ashumohd2192 Жыл бұрын
Tutapata in shaa ALLAH
@ChakoriChakori-z1x Жыл бұрын
Hongera sana jamna mungu akujalie ufke mbali umalize nyumba yako
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Hard work paid🎉🎉🎉🎉
@kamikazisalma5209 Жыл бұрын
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ReginaNehemia6 ай бұрын
Jaman nakupend bule we mama❤❤
@huldamichael4445 Жыл бұрын
Walikuwa wakiigiza na mhogo mchungu kama mume na mke,basi vichekesho tupu😅😅😅😅
@ibrahimkhamis8394 Жыл бұрын
Jamani Fukuto ilikuwa🔥🔥🔥
@Lynnalice217 Жыл бұрын
Salehe unajua kuhoji mtu❤
@masoudabubakar9749 Жыл бұрын
Napenda uhalisia wako bi ⭐,kuna maisha baada ya Sanaa
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, hongera sana bi star
@nzeyimanamwavita1904 Жыл бұрын
Mashaallah ongera sana 🥰🥰🥰🥰🙏🙏👏👏👏👏💪
@shemsahamad Жыл бұрын
@@nzeyimanamwavita1904 uu hop up
@rauhiarubea142811 ай бұрын
Hongeraa🥰
@adamkisheta8439 Жыл бұрын
Mtangazaji c haba unawezaa
@annamosha968 Жыл бұрын
Hongera sana
@HusnaAlly-xn5wn Жыл бұрын
Hongera c haba umefika malengo japo c sana ila umejitaid
@veronicamaganga87374 ай бұрын
Hongera sana mama
@AggyBarick-fh9wv10 ай бұрын
Mi nakupenda sana
@FatimaAli-of4gh Жыл бұрын
Hapo kwenye choo ulichofukia panda mgomba utastawi kweli