#ZANZIBAR

  Рет қаралды 7,091

IsleBlogTv

IsleBlogTv

Күн бұрын

#isleblogTV Yajayo Yametimia Zanzibar na sekta ya Viwanda vya Bidhaa za Nguo na Ngozi

Пікірлер: 31
@MonoMono-q7s
@MonoMono-q7s Ай бұрын
Masha allah tunaomba viwanda viongezwe iwe ajira kwa ss vijana ❤❤ allah aibarik zanzibar
@allironjo2698
@allironjo2698 Ай бұрын
Nimependa sana tuwekeeni bei rafiki ili tutumie vya kwetu hongera Dr hussein mwinyi
@jumaothman9449
@jumaothman9449 Ай бұрын
Ushauri wangu kwa uongozi, mutaarishe eneo la kuuzia bidhaa unguja na Pemba na mutangaze kama hivi Ili wananchi waelewe bidhaa zetu za Zanzibar. Mm nimependa kweli Allah awajaalie nguvu na viwanda vyengine vije kwetu
@suleiboy-bq6ln
@suleiboy-bq6ln Ай бұрын
mashallah
@allironjo2698
@allironjo2698 Ай бұрын
Safi sana hongereni ila vp kuhusu kutengeneza nguo za kibiasha au viatu vya kibiashara kama vile mashati jinzi nk .
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy Ай бұрын
Mashallah mtunze hivyo vifaa viishi🙏
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa Ай бұрын
Dk Mwinyi ni mzalendo wa taifa tunataka mambo mazuri km haya safi sana na kazi iendelee....
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Ай бұрын
Safi sana mjomba Mwinyi na tuongeze zaidi viwanda vya kupeking matunda na kusaga taka kutengeneza makaa ya taka
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Ай бұрын
Nimeipenda hiiii
@user-KASSIM
@user-KASSIM Ай бұрын
Naomba namba za hapo ili nifate
@chidi_don
@chidi_don Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mozaaly3487
@mozaaly3487 Ай бұрын
Ndoto yangu imetimia nilitamani Zanzibar kuwe na kiwanda cha nguo ata kama sijahusika na chochote ila ninafuraha sana naomba kilete ajira kwa watu wengi zaidi na nguo ziende hadi nje ya nchi 😊😊
@amamossi4203
@amamossi4203 Ай бұрын
Mwisho tutalijua lengo lango Dr. Jina la Dr linafanya kazi
@zaneco
@zaneco Ай бұрын
Juhudi kubwa anachukua Dr Mwinyi , inafurahisha kwa kweli , ushauri wangu , tupate wakwaguzi ( inspectors ) kukwagua 1 machine zinafanya kazi kama kawaida 2 Kiwango cha bidhaa kinaendelea kuwa kizuri
@jumaothman9449
@jumaothman9449 Ай бұрын
Full suit ni bei gani?
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy Ай бұрын
Sasa hizi bidhaa kama viatu mnauza wapi? Naona hamtangazii watu hawajui shuhuli zene na bidhaa zenu
@mozaaly3487
@mozaaly3487 Ай бұрын
Shoneni na nguo za watoto wazungu wanatuletea nguo hazina heshima makwapa wazi fupi ukinunua ukimnunulia mtoto nguo inamvaa kwasababu wao wanashona kwa vipimo vya wakubwa lakini fupi wewe unamnunulia mtoto, fursa iyo
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy Ай бұрын
Ipo wapi? Au contact details?
@isleblogTv
@isleblogTv Ай бұрын
Asante kwa kuendelea kufatilia habari zetu, usisahau kusubscribe kulike na kucoment. Tupige kwa namba hizi +255629230705
@BrownHuncho-jt6oi
@BrownHuncho-jt6oi Ай бұрын
swali mm nauliza matirio munaandaa nyinyi wenyewe ama vitambaa vinakuja kazi yetu kushona tu afu ndo mnasema tuna kiwanda
@OmarAmran-t7k
@OmarAmran-t7k Ай бұрын
Mwinyi ni mgeni lakini mzalendo
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Ugeni wake nini sasa kama baba ake alikuja Zanzibar akiwa mdogo why awe yeye mgeni
@shamtehussein177
@shamtehussein177 Ай бұрын
Shoneni viatu vya kawaida vya kike na kiume tuje kuchukua kwa jumla
@suleiboy-bq6ln
@suleiboy-bq6ln Ай бұрын
kikowap hichi kiwanda
@isleblogTv
@isleblogTv Ай бұрын
Mtoni KVZ ndani
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe Ай бұрын
Viatu ata wamasai wanatengeneza hakuna kipya
@mrmahmoud1278
@mrmahmoud1278 Ай бұрын
hakuna kipya duniani, na pepo hawana uwezo wa kutengeneza, unataka watengeneze nini kipya??
@mudymbarouk8279
@mudymbarouk8279 Ай бұрын
Kuna watu wana husda ndugu yngu ​@@mrmahmoud1278
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
​@@mrmahmoud1278😅😅😅😅
@mozaaly3487
@mozaaly3487 Ай бұрын
Shoneni na nguo za watoto wazungu wanatuletea nguo hazina heshima makwapa wazi fupi ukinunua ukimnunulia mtoto nguo inamvaa kwasababu wao wanashona kwa vipimo vya wakubwa lakini fupi wewe unamnunulia mtoto, fursa iyo
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy Ай бұрын
@@mozaaly3487 hazitoki China lakini? Na mnazileta wenyewe 😀
KHOFU YA TATIZO HILI YAWAKIMBIZA WAISLAM MSIKITINI NCHINI TANZANIA.
7:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 18 М.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,5 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 12 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,5 МЛН
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 337 М.
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
IsleBlogTv
Рет қаралды 30 М.
BIBI KIZEE ATOBOA SIRI YA WATU WENGI KUOA PEMBA(HUBBUL HALAL)
20:20
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 16 М.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,5 МЛН