Una content nzuri lakn angalia jifunze matamshi ya maneno ya kiswahili kwa usahihi sio Hafya sema Afya! Unachanganya sana "H' mahali kusipifaa!
@Fmbtv25521 күн бұрын
Shukrani sana
@jumahamad372317 күн бұрын
Hongera umetoa elimu bora Ilikua napata maswali zina maana gani ila sasa nimejua
@Fmbtv25517 күн бұрын
Karibu
@JonathanNelson-l8h18 күн бұрын
Asante nimejifunza sana
@Fmbtv25518 күн бұрын
Ahsante
@DanielBahhaty13 күн бұрын
Elimu nzuri sana ahsante sana
@Fmbtv25513 күн бұрын
Ahsante pia
@honorascusmatembe29874 күн бұрын
Ubarikiwe sana 🎉🙏
@Fmbtv2554 күн бұрын
Amina
@muksinjuma468517 күн бұрын
Asante leo umenisanua 🙏🏼
@Fmbtv25517 күн бұрын
Karibu
@mkonojr538 күн бұрын
Hii nielimu kubwa sana asanten
@Fmbtv2558 күн бұрын
Karibu
@nasrikileo3 күн бұрын
Nzuri kaka jpo imekaa for beginners, ungeingia deep kidooogo, the rest kazi nzuri keep learning na kupambania unachokipenda
@Fmbtv2553 күн бұрын
🙏
@shadrackkassale29687 күн бұрын
Hapo kweny UT umetupiga sasa sijui n uwoga wakusema au haujui mana umesema ni uhamiaji wakati sisi tunajua n usalama wa taifa
@Fmbtv2556 күн бұрын
😄
@rubaramarando82635 күн бұрын
Usiseme ‘sisi’ sema ‘mimi’ 😃😃. Maana yupo sahihi
@shadrackkassale29685 күн бұрын
@@rubaramarando8263 are you sure
@anacletferuz495414 күн бұрын
Kwa Zanzbr ni tofauti kidogo. Rangi nyekundu ni za biashara kama abiria. Njano mizogo. Nyeupe ni binafs haitumiki kibiashara
@Fmbtv25514 күн бұрын
Ahsante kwa elimu hiyo
@HasaniAsumani-v7k9 күн бұрын
🎉Sawa kaka
@Fmbtv2559 күн бұрын
🙏
@jitulamtumba57125 күн бұрын
😅nice one#
@Fmbtv25525 күн бұрын
🙏
@rofinkitali376526 күн бұрын
DFP ni Donner Funded Project na sio Founded Project
@Fmbtv25525 күн бұрын
Ahsante sana kwa marekebisho
@jacobmaganga335416 күн бұрын
Hizi ndo channel za kufatlia, haya ndo mambo tunahitaji
@Fmbtv25516 күн бұрын
Shukrani sana
@THEGAME_t20 күн бұрын
Big time
@Fmbtv25520 күн бұрын
🙏
@faucynkrctian660713 күн бұрын
Ongea kawaida usivute herufi za mwisho
@Fmbtv25513 күн бұрын
👍
@faucynkrctian660713 күн бұрын
@@Fmbtv255 unaongea kama joji marato, sauti za wazee wetu, hii n 2025 ongea kama gen z kwa energy
@FrederickMbise17 күн бұрын
Unatengezas kwa shilingi ngapi
@Fmbtv25517 күн бұрын
Fika ofisi za TRA watakupatia maelezo
@BarreHotel14 күн бұрын
Elimu kubwa hiyo
@Fmbtv25514 күн бұрын
👍
@Cosmassr23 күн бұрын
Mwandishi tusaidie pia kwann magari mengne yana herufi A B C D na E kigezo kipi wanatumia kuzipa hizo herufi, na kwann hamna herufi zaidi ya Hizo🙏🙏
@Fmbtv25523 күн бұрын
Mfumo wa usajili wa magari nchini Tanzania unafuata mfululizo wa herufi ili kudhibiti idadi ya magari yanayosajiliwa. Kila herufi inawakilisha kipindi fulani cha usajili. Kwa mfano, magari yaliosajiliwa mwanzoni yalikuwa na herufi “A” na baada ya idadi fulani ya magari kusajiliwa, mfumo ulipanda hadi “B”, kisha “C”, na sasa "D". Mfumo huu unasaidia kuweka rekodi sahihi na kurahisisha utambuzi wa magari. herufi “I” na “O” hazitumiki kwa sababu zinaweza kuchanganywa na namba 1 na 0
@Cosmassr23 күн бұрын
@Fmbtv255 🙏🙏
@allymsafi171617 күн бұрын
Utaratibu kwenye usajili TRA zilianza namba A,zikafuata B,zikafuata C na D,sasa inafuata E
@AlbertSabo-hp3ss25 күн бұрын
Wangeondoa huo mkanganyiko namba zimekuwa nyingi na hazileti maana, Rais, Jaji Mkuu na Speaker ndio wanastahili.
@Fmbtv25525 күн бұрын
Wao wameona ni sawa
@vibetz999121 күн бұрын
Kumbe SM sio Skia mama
@Fmbtv25521 күн бұрын
😃
@YasserSuleiman-s5y19 күн бұрын
Mi nilijua sigara sweet menthol
@dmmkemia61412 күн бұрын
KWANINI HAKUNAGA HERUFI "i" KWENYE MAGARI AU VYOMBO HYOVYOTE VYA USAFIRI??
@Fmbtv25512 күн бұрын
Mwanzo,kati au mwisho?
@jonhnyitika23 күн бұрын
Asante
@Fmbtv25522 күн бұрын
🙏
@mrmc557 күн бұрын
❤❤❤❤
@Fmbtv2556 күн бұрын
🙏
@jeremiahndassa72624 күн бұрын
Hujatueleza maana ya T inayotangulia kabla ya tarakim.
@Fmbtv25524 күн бұрын
Nimeelezea mwanzo
@eliyajohn438825 күн бұрын
Nimelewaa
@Fmbtv25525 күн бұрын
Shukrani
@lngtanzania155710 күн бұрын
Review kuhusu STK tena ?
@Fmbtv25510 күн бұрын
Sawa
@jfmkenda679226 күн бұрын
Hujasema zenye namba zinazo anza na JU
@Fmbtv25526 күн бұрын
Ahsante kwa kunikumbusha
@doublejmrutu852925 күн бұрын
JU ni MALIASILI
@daddynamombas389825 күн бұрын
Au jeshi la uhifadhi
@zawadinoelmbilinyi55124 күн бұрын
Jeshi Usu
@HAPPYTADEI24 күн бұрын
DFP sio donors founded project........ ni Donated fund project
@Fmbtv25524 күн бұрын
Ahsante kwa marekebisho
@abdighalib658013 күн бұрын
Namba zenye herufi JU za kijani, nani hao
@ngadupalaamour13 күн бұрын
Misitu na TANAPA hai,kirefu chao ni JESHI LA UHIFADHI (JU)
@Fmbtv25513 күн бұрын
Plate namba hizi hutumika kwa magari ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Magari haya ni ya kijeshi na hutumika kwa shughuli za ulinzi na usalama.
@charlzwhite584412 күн бұрын
JU ni Jeshi la uhifadhi. Km TANAPA, TFS, TAWA
@AvithCosmas-x9s2 күн бұрын
m sisemagi kitu 😂😂
@mulokozimwijage750722 күн бұрын
Kwa nini Magari ya Shirika la reli nI RAC na sio SU ?
@Fmbtv25522 күн бұрын
Magari ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) yana namba za usajili zenye herufi RAC kwa sababu hiyo ni namba maalum inayotambulisha magari ya shirika hilo1. Herufi RAC inasimama kwa “Railway Corporation,” ikionyesha kuwa magari hayo ni mali ya Shirika la Reli Tanzania. Kwa upande mwingine, namba za usajili zenye herufi SU hutumika kwa magari ya Serikali ya Tanzania kwa ujumla, lakini sio maalum kwa shirika la reli.
@afyayetutv962421 күн бұрын
Mbona mabasi ya abiria mengine yana plate za njano?
@Fmbtv25521 күн бұрын
Mabasi ya abiria nchini Tanzania yanaweza kuwa na plate namba zenye rangi ya njano kwa sababu tofauti. Kwa kawaida, plate namba za njano hutumiwa na magari ya serikali, viongozi wa serikali, na taasisi za umma. Hii inajumuisha magari yanayotumiwa na Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, na viongozi wengine wa juu. Kwa hiyo, kama mabasi hayo ni mali ya serikali au yanatumika kwa shughuli maalum za serikali, yanaweza kuwa na plate namba za njano badala ya nyeupe.
@chachaJoseph-d7i11 күн бұрын
Helufi JU ni jeshi la uhifazi yani kama tanapa tfs tawa