No video

NDOTO ZAKO MAFANIKIO YAKO

  Рет қаралды 50,364

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
• FIKIA MALENGO YAKO KIR... -~-
Kila mmoja wetu ameumbwa ili kufanya kitu fulani maalum sana katika maisha haya. Na kama mtu atafanikiwa kukifahamu na kukifanya kitu hicho basi hupata pumziko kubwa au ahueni, au afadhali au urahisi mkubwa sana kwenye maisha kwa upande wa furaha na hata mafanikio ya vitu vya kumiliki.
Lakini kama ilivyo kawaida ya vitu vyote vyenye thamani ya kweli, mara nyingi havipatikani kirahisi mfano wa dhahabu, almas, lulu, Tanzanite na Madini mengine yoyote.
.
Jitahidi sana kufuatilia mambo haya manne muhimu ili uweze kuishi ndoto yako ambayo ndiyo muongozo katika maisha yako ya mafanikio makubwa.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
.
#NdotoZako #YourDream #EzdenJumanneTV

Пікірлер: 245
@elizabethpaul646
@elizabethpaul646 5 жыл бұрын
Mim ni msikikizaj mzur saan wa vipindi vyako,lkn nakuw mgumu kuyatendea kaz sijui kwann😔😔
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Unatakiwa kuamua na kuanza. Tunayo nguvu ya maamuzi na kufanya uchaguzi maishani mwetu. Ukishaamua jilazimishe kwa siku 7 za mwanzo. Then 7 za pili halafu 7 za tatu kwani tabia mpya hujengwa ndani ya siku 21 tu baada ya hapo inakuwa automatic
@silvestamalila1223
@silvestamalila1223 5 жыл бұрын
Nakufatilia sana kaka ila sija fanikiwa kusoma vitab vya ko 0763168193 nipo mbya nitavipataje.?
@marconyasele8731
@marconyasele8731 4 жыл бұрын
Nimependa san uxhauli wako mkubwa
@asetenyubenibaba6273
@asetenyubenibaba6273 4 жыл бұрын
Kaa chini vikiri upya
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa, lakini lazima ujishinde wewe mwenyewe lazima uamue, utabadilika tu
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 5 жыл бұрын
Oooohhhhhh my.mwenyezi mungu akujalie kila la kheri kaka kwa kutupa elimu.
@markamwakibete7149
@markamwakibete7149 5 жыл бұрын
Pole ndugu kwakazi ngum naona wazi unatuelimisha bure nasema asante pia nashukuru kwakunikumbusha mengi maishani naona wewe nirafiki mzuri hasa ungekuapo tangu nikiwa mdogo,maana kila nilichoona hakifai kwangu leo naona nisababu hasa iliopelekea mimi kua hiv najilaum kwakutofata njia nilzoona hazifai leo ndio maisha halisi, NIKWELI NDOTO HUFA KUTOKANA NAKUTIMIZA NDOTO YA MWINGINE NAKUSAHAULIKA KABISA, Hofu yangu kuu nikuchelewa
@emmanuelmagese4323
@emmanuelmagese4323 5 жыл бұрын
I love the statement "Everyone is born unique but most of us die copies" Ezden Jumanne.......
@oman3527
@oman3527 5 жыл бұрын
Upp sahihi. Magundisho yko yananguvu ya Mungu ndani yke lazima Anayesikia kitu fulni kifanyike ktk life yke so Kazana kitufundisha kaka maisha yetu yawe sehemu salama.
@neemahonorath385
@neemahonorath385 5 жыл бұрын
WW na joell nanauka n watu ambao mnanifanya nijione cko mwenyewe atakama wote wameni kataaa mnani fanya niishi ndoto yng c atuna chakuwalipa zaid ya kushukuru na kumwomba munda ilimzid kuwanyanyua walio kata tamaaa
@charlesmgina6264
@charlesmgina6264 5 жыл бұрын
Neema Honorath nc
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana kwa comment nzuri. Naam @joelnanauka anafanya kazi nzuri sana sana pia.
@blessmoarusha1990
@blessmoarusha1990 3 жыл бұрын
Yan mm huwa wananitia moyo Sana Hawa jamaa na ukiweza kuyaish maneno ya hawa jakaaa ahakkia utajikuta unakuwa wa tofaut sana aiseee.
@halimaismailfungameza7990
@halimaismailfungameza7990 5 жыл бұрын
Kwanza shukuraan zako zikufikie popote ulipo tunakushuru coz kila ufundishalo cjawai kusikia hamasa ambalo limenikatisha tamaa kila hamasa ufundishalo unazidi kuniweka niwe bora zaidi inshallah, Allah bless you naamini penye nia pana njia nasi tunatakiwa kumiliki business zetu Asanti🙏🙏🙏 Sana kwa hamasa unazotufundisha sijawai kujutia bando langu😂😂😂😂
@shaniastoper7676
@shaniastoper7676 5 жыл бұрын
Kazi nzuri broo
@abdallahmauka493
@abdallahmauka493 5 жыл бұрын
Safi sana broo nakufatilia sana nimejifunza vingi toka kwako na nitaenderea kuwa karibu ili nijifunze zaidi shukrani sana broo🙏🙏
@nuhumoreninkoko8639
@nuhumoreninkoko8639 2 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Ezden
@leahjohn9038
@leahjohn9038 5 жыл бұрын
Yan co tu kukuelewa bali nimekupenda pia, leo hii umenifanya kusimama na kwenda na sio kurudi nyuma. Asante sana bro
@emotionalvoice972
@emotionalvoice972 5 жыл бұрын
Kujifunza na kukiweka katika matendo, watu wanaweza kukudharau leo lakini kesho wakaheshima matokeo ya kile unachokifanya yakionekana, Allah azid kutupa afya njema ya mwili, akili na nafsi tuendelee kujifunza zaidi
@azyzahyussuf6804
@azyzahyussuf6804 5 жыл бұрын
M.mng akusimamie katika kila hatua. unaongea yale yaliondani ya mioyo yetu. kila m2 n m2 wa kujifnz kwa mwenzake. mm najifnza kupitia wewe. hongera sana Mung akubrk ktk kazi zako pia akusimamie ktk kila kona ya maisha yako. Upo juuu zaid💖
@zahirgomelo198
@zahirgomelo198 5 жыл бұрын
Mentor thank you for all this good staff
@zainabsaid2173
@zainabsaid2173 2 жыл бұрын
Asante sana mungu akubariki kwa hili hakika nimejifunza mengi kupitia wew na naamin nikiyafanyia kama nitafanikiwa
@emanuelyalexsandar6493
@emanuelyalexsandar6493 3 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako pia nime nufaika kwa kiasi ki kubwa cz vile venye umenipa mwanga na maarifa katka njia na nia mungu aku barki popote ulipo aku inulie hekima forever nta penda mafundisho yako
@ulimwenguwamitimifupi5113
@ulimwenguwamitimifupi5113 5 жыл бұрын
Safi sana Kaka! Ujumbe mzuri.
@ulimwenguwamitimifupi5113
@ulimwenguwamitimifupi5113 5 жыл бұрын
Yaani hii Imenigusa sana katika maisha yangu.Asante sana Brother Ezden. Allah Akulipe kheri.
@eunicedavid1744
@eunicedavid1744 5 жыл бұрын
Umenigusa sana
@swalhaprettyswalha7154
@swalhaprettyswalha7154 5 жыл бұрын
Asante brother kwakaziako nzur naimani utawasaidia wale ambao wanaitajikusaidiwa kimawazo shukrani zote zikufikie popote ulipo asante mungu akubariki 🙏🙏🙏🙏🙏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
nashukuru sana sana. Pamoja
@officialdillvan6815
@officialdillvan6815 5 жыл бұрын
Thank you so much do you teach the pleople That good I LIKE 👍👍👍👍
@selemanijuma546
@selemanijuma546 3 жыл бұрын
Mamb..Ubarikiwe sana...umebadilisha sana maisha yangu nimejiajiri na nina ofis yangu kwasasa bt nilianza kukufatilia mwaka 2 iliyopita mungu akubarik sana Amin.
@tegazaina7236
@tegazaina7236 5 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri na lenye faraja ndani yake, Allah akulipe inshallaj
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Napenda kukusikiliza whenever i get time. Asante kaka Ezden. We learn a lot.You r one of a kind. Mola akubariki 😘👍🙌
@bincy7840
@bincy7840 4 жыл бұрын
Full respect I really appreciate your teachings. Long live successful path each one teach one.
@vuaihukum8384
@vuaihukum8384 5 жыл бұрын
you're teachin' us many things about success So inakuwa ni vizuri sana kwetu sisi kwani tunapata ushauri na mawazo mazuri kutoka kwako WEWE SASA NI KIONGOZI JUST LEAD US TO GET SOMEMORE😍
@salimsaid6998
@salimsaid6998 5 жыл бұрын
I am so impressed with your lectures full of inspiration and thoughts our life
@atubeka9317
@atubeka9317 4 жыл бұрын
Safi Sana Kiongozi big up
@rahmamusemuse6526
@rahmamusemuse6526 5 жыл бұрын
ManshaAllah Jazakha Khaira Allah akuongoze uzidishe kutuelimisha... Mi pia nimmoja Kati yawanafunzi wanao kufuatilia kwa ukaribu .
@eng.anoldkishumu3080
@eng.anoldkishumu3080 5 жыл бұрын
Asante sana kaka
@kevinmwemezi5374
@kevinmwemezi5374 5 жыл бұрын
Mungu akubariki brother message zako zinatia moyo sana na kunifundisha
@jamesdastan5588
@jamesdastan5588 5 жыл бұрын
Eeeeh bhana bro saf sana
@celinedaniel6330
@celinedaniel6330 5 жыл бұрын
hongera sana Kaka ezden kuwa motivational speaker si mchezo mchezo!.... hongera sana hata kwa speech hiii imesimama!
@neemamsafiri3129
@neemamsafiri3129 5 жыл бұрын
Safi sana kaka.
@salimaalphonsine448
@salimaalphonsine448 5 жыл бұрын
Asante sana brother napenda sana kazi zako from belgium +32🇧🇪
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Nashukuru sana sana. Please keep sharing this message kwa wale unaona hii channel inaweza kuwa msaada. Be blessed!🙏🙏
@jacksonkinange4605
@jacksonkinange4605 5 жыл бұрын
Kweli Kaka nimechoka kuishi maisha yasiyo yangu nafanyia kazi kuanzia sasa
@jarufuadam7272
@jarufuadam7272 5 жыл бұрын
Topic nzur sana .
@josephjames7926
@josephjames7926 5 жыл бұрын
katika watu wew una utu ili watu wengine wafanikiwe kupitia wewe .penda sana brother
@estergregorylugalama5731
@estergregorylugalama5731 5 жыл бұрын
mim naendelea kukuombea zaidi uwe na afya tele na Mungu akufunulie zaidi vingine undelee kutufundusha zaidi
@suzan638
@suzan638 5 жыл бұрын
saf sana bro nakuelewaga sanaa
@elizabethben2342
@elizabethben2342 5 жыл бұрын
thanks bro ezden,mungu akuongoze
@mdudutv4535
@mdudutv4535 5 жыл бұрын
Dah endelea kunipa madini kk one love
@swimcoachabel1105
@swimcoachabel1105 5 жыл бұрын
Asante sana madini yako nayapokea yanazidi kunijenga
@jescanzaly6282
@jescanzaly6282 5 жыл бұрын
Good good bless u unatufungua hakika
@drmbekiclinic
@drmbekiclinic 4 жыл бұрын
Ahsante sana booos!!!!!!
@SalmaSalma-yc6dg
@SalmaSalma-yc6dg 5 жыл бұрын
Shukran sana kaka nakufuatilia sana na iko siku nitakuletea majibu kwa yale nimejifunza
@muutasimrashid135
@muutasimrashid135 3 жыл бұрын
bomba mkuu
@nizigamabosco2095
@nizigamabosco2095 3 жыл бұрын
God bless you l love you so much, from burundi.
@everlinekawawa5759
@everlinekawawa5759 5 жыл бұрын
Dhaaa salut kwako bro
@mwamvitakituka2994
@mwamvitakituka2994 5 жыл бұрын
Ahsante J4, una ni encourage sana. Mungu akuzidishie afya.
@stevenchusi8559
@stevenchusi8559 5 жыл бұрын
I ' m very happy to hear these inspirations, but only one thing l would like to advice you, if possible just try to make a visit either to the universities or even colleges, where the young people are collected together, l think it is an idea and you can make money,,, think about it because some us of we need these inspirations not only to the social media but also to the universities,,, thank you so much for this Education and God may Bless you.
@salomekombo6166
@salomekombo6166 5 жыл бұрын
Nakukubali sanaa broo
@amaniminja1890
@amaniminja1890 5 жыл бұрын
Masha Allah Now days kabla sijalala. Nasikiliza one of your video ili nikilala nifikirie nmepata nn from it. 🙏🏽
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 жыл бұрын
Allah akubariki sanaa kwa kutufunza vingi
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 5 жыл бұрын
nakukubar#
@theodosiaadrian3072
@theodosiaadrian3072 2 жыл бұрын
Ongea baba nakuelewa sana
@pazetv5639
@pazetv5639 2 жыл бұрын
asante sana mkufunzi wangu nimepata shule! !!!
@sifanicholas5454
@sifanicholas5454 5 жыл бұрын
Safi sana brother unafungua fahàmu za wengi
@patrickmlelwa6816
@patrickmlelwa6816 Жыл бұрын
asante bro
@mgonja12abubakar49
@mgonja12abubakar49 4 жыл бұрын
Brother upo vizuri tatizo huwa unajisahau sana unakuwa mzito wakwenda direct kwenye point
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
Vizur Sana kijana unafanya kazi nzur
@everadakayanda7885
@everadakayanda7885 5 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri
@isuphusamweli3468
@isuphusamweli3468 5 жыл бұрын
Honger unatuelimisha sana mungu akutie nguvu
@davidkakaa1001
@davidkakaa1001 4 жыл бұрын
Safi sana bro
@veronicakaunda330
@veronicakaunda330 5 жыл бұрын
Asante sanah nmepata fundisho
@mwasitiathumani5580
@mwasitiathumani5580 5 жыл бұрын
Mm nakukubali sana brother uko vzr na mungu atakulipa maana hakuna atakaeweza kukulipa Kwa kazi unayoifanya
@officialdillvan6815
@officialdillvan6815 5 жыл бұрын
Tuna fanyia kazi sana. wanao kuponda akili azijafunguka Ziliko nimependa sana vipindi viako
@silasjoseph9220
@silasjoseph9220 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana bro ni elimu nzur
@alexnkya5624
@alexnkya5624 3 жыл бұрын
Napenda vipindi vyako.
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 4 жыл бұрын
Nashukuru kwa elimu nzuri
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Karibu sana kaka.
@official_rayob.8351
@official_rayob.8351 2 жыл бұрын
❤pamoja bro
@nuhumoreninkoko8639
@nuhumoreninkoko8639 2 жыл бұрын
Sauti yako hakika brother imebarikiwa na mungu ahsante Sana natumaini nitaanza sasa na nitakapo fikia ndoto zangu nitajisifu kwa sauti yako iliyobarikiwa Brother Ezden Jumanne?
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
@erickmunishi1780
@erickmunishi1780 5 жыл бұрын
Vizur sana elim unayotupa tunaipenda san kk tuko pamoj siku zot
@yehovashamatv4178
@yehovashamatv4178 5 жыл бұрын
Thanks bro God bless you
@shauricaptain4619
@shauricaptain4619 5 жыл бұрын
Dah,,, hii iko poa balaa
@kinlee8035
@kinlee8035 4 жыл бұрын
Broo uko vizur saana ✊👍
@yumbujackson869
@yumbujackson869 2 жыл бұрын
I have learn a lot today, much respect bro
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
I appreciate that
@richarvalsn7944
@richarvalsn7944 5 жыл бұрын
Makubali💯
@geofrayreuben1090
@geofrayreuben1090 5 жыл бұрын
I like it Bro God bless you
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Nimejifunza vitu vipya kwako hakika wewe ni mwalimu mzuri
@festoamos_tz
@festoamos_tz 5 жыл бұрын
Bro Ezden! Unafanya vizuri sana ktk hii industry, kuna namna nikisikiliza na kutazama video zako huwa kuna namna najiona kuifikia ndoto yangu, Ila kwa nyongeza hapo kuna kitu umesema kwamba kuna watu wanaishi maisha ya kukopy ila nahisi tatizo kubwa ni kwamba #wao wenyewe hawajijui ni akina nani....... So njia zifuatazo zinaweza kumsaidia mtu kujijua yeye ni nani 1.fikiria ni kitu gan kinakuchukua mda mwingi kukiwaza? Kwa siku nzima wiki mwez au mwaka 2.hear the voice that defines you in you, yani kuna saut ya ndani ya mtu ambayo huwa inamwambia yeye ni nani so itii hiyo saut na uifanyie kazi 3.try everything that is in your ability, fanya kila unachoweza kufanya mwisho utajikuta kuna kitu kimoja unachoweza kukifanya zaid na kikakubalika 4.dont fear to fail, usiogope kufell maana kufel ni sehem pia ya kujifunza never fear to failure because the fear to failure is an absolutely failure 5.listen to what people say about you, and medutate what they say kwa sababu watu wanakuona na wanajua ni nn unafanya hivyo wakikwambia kwmb wanaona unaweza kufanya kit fulan. Usipuuzie kakifikirie huenda ikawa kwel 6.assess your ability, by yourself what are you capable to do. Bro Ezden nafikiri hiki kinaweza kuwasaidia watu kujijua wao ni akina nani AHSANTE NAITWA FESTO AMOS 0766181367
@pazetv5639
@pazetv5639 2 жыл бұрын
thanks brother we can add value to the life if we're positive may God bless you! !
@kashambanange6843
@kashambanange6843 5 жыл бұрын
I like the way ur
@gladmboya2385
@gladmboya2385 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana brother,
@alicemzaza8460
@alicemzaza8460 5 жыл бұрын
Asante kaka mungu hakubariki Sana kakang
@emmachrist6249
@emmachrist6249 5 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako
@rehemabdallah9205
@rehemabdallah9205 2 жыл бұрын
Heshima kwako brow unafanya vitu vizur sikuzote
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Nashukuru sana
@husseinitaba8550
@husseinitaba8550 5 жыл бұрын
I am a boxer. Lakini nakufatilia sana
@husseinkatalika353
@husseinkatalika353 5 жыл бұрын
Nakukubali kutoka ujerumani
@tatuatut7542
@tatuatut7542 5 жыл бұрын
Hili Somo sichoki kukisikiliza.waoooi!
@zeynabmohammed445
@zeynabmohammed445 5 жыл бұрын
Thanks bro for ur Advice
@betramkomba2140
@betramkomba2140 4 жыл бұрын
Mungu akubaliki unafanya poa sana
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante
@doikulwa1165
@doikulwa1165 10 ай бұрын
Asante kaka.
@aishakulani4374
@aishakulani4374 3 жыл бұрын
Bro you are good I like every thing of you like every thing don’t care about those who don’t know nothing keep it up , tuko pamoja sote
@learn2earnclass
@learn2earnclass 5 жыл бұрын
Kazi nzuri sana brother.. Asante
@harounpaul4514
@harounpaul4514 5 жыл бұрын
Great!
@mdgy7188
@mdgy7188 4 жыл бұрын
Safii mnoo
@erickerickmboge2403
@erickerickmboge2403 4 жыл бұрын
Asante barikiwaa sana
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Asante sana Erick Erick mboge kwa kufuatilia. Pamoja!
@sheddyalson7144
@sheddyalson7144 5 жыл бұрын
u'a so inpired me to be someone my brother ,,thanks broo
@ganettsofa7015
@ganettsofa7015 5 жыл бұрын
Ukweli mtupu kaka asante
@jephsaimon1865
@jephsaimon1865 5 жыл бұрын
Upo vizur kaka... leo ni tarehe 5 kuanzia leo nimejiunga kuwa mwanafunz katika darasa ili
@anickwilliam1237
@anickwilliam1237 5 жыл бұрын
nakukubali sana kaka
@jonaslasway5396
@jonaslasway5396 5 жыл бұрын
Uko vizuri mkuu.
@keyvogad1421
@keyvogad1421 5 жыл бұрын
Thank broh Kwa kunikumbusha
@dottnatt7110
@dottnatt7110 5 жыл бұрын
Asante kaka kwa ujumbe,Mungu akulipe kher inshaaAllah
@user-qu6bv7dm3c
@user-qu6bv7dm3c 10 ай бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@idutathomasmaige2113
@idutathomasmaige2113 5 жыл бұрын
Kupenda kujifunza kwa waliofanikiwa, maisha ni kujifunza asante kwa somo
@ayubuchacha7975
@ayubuchacha7975 5 жыл бұрын
Nakuelewa vizuli
SIO LAZIMA KIPAJI ILI UFANIKIWE, TAZAMA HII
23:47
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
7 LESSONS People Learn Too Late In Life
21:22
Success Path Network
Рет қаралды 38 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 4,7 МЛН
Chukua Faida Za Mambo Matano Kabla Hayajakukuta Matano
9:56
Success Path Network
Рет қаралды 2,4 М.
Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa   Joel Arthur Nanauka
23:06
SIMULIZI YA USIKATE TAMAA SWAHILI MOTIVATION
14:28
Jarida la simulizi
Рет қаралды 14 М.
GHARAMA ZA KULIPA ILI KUFIKIA NDOTO ZAKO | Ezden Jumanne
10:25
Success Path Network
Рет қаралды 8 М.
YOUR FINANCIAL SUCCESS DEPENDS ON THIS...
15:58
Success Path Network
Рет қаралды 25 М.
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН