Sifa zote zinaenda kwa Allah Sub'hanna'Allah wata'allah aliyemjaalia shekh othman Maalim uwezo wa kufukisha ujumbe huu au kukumbusha maneno yake mwenyewe Allah ndani ya Quran binaadam anapaswa kuishi vipi, shukran sana shekh Othman Maalim , nakuaangalia au kukusikia kutoka marekani. ❤
@sadikidaudi46014 сағат бұрын
Othman Maalim nakukubaali saana Allah akuzidishie maarifa uzidi kupambania dini ya Allah
@JumaAbdallah-gn5qu9 сағат бұрын
Othuman Maalim silali Bila mawadha Yako Mungu Akuongoze IshaAllah
@subirajohn7289 сағат бұрын
Namependa Sana mawaidha ya Shekh Othman Maalim! Mwenyezimungu akutunze Sheikh tuendelee kupata faraja Kwa mawaidha yako! Amina!
@RashidiMubiri12 сағат бұрын
Sheikh Othman maalim ahsante sana ALLAH Bless you
@umsulaiman746814 сағат бұрын
Sheikh Allah akuhifadh na akupe umri wenye kher na ww tunakupenda kwa ajili ya Allah kwa kutufindisha mazuri ya dunian n akhera
@user-xk7vy4gb6g9 сағат бұрын
Shukrani Jazeera sheikh Othuman Allah Tabaraq akupe umri mrefu InshaAllah ❤
@ShamsiMikdad-bj7me18 сағат бұрын
Masha allah jazakallahu khaira allah akuhifadhi shekhe kwa nasaha nzuri ❤
@masoudalriyamy62984 сағат бұрын
Hakuna chuki mbaya kama mtawala akiwasikiliza watu wanafiki kiongozi huyo inatakiwa awe mchunguzi utawaumiza watu kwakusikiliza watu waongo lakini samia fitina hiyo mungu akamuongoza na miba ilotanda akaichoma moto nawatu wanaishi salama leo tumuombee dua samia mungu amlinde na maadui na wanomtukana hawaipendi amani na mti wenye matunda ndio unopopolewa mawe chakufanya tuiombee dua nchi yetu mungu aijaalie salama na amani na utulivu kunawatu hawaipendi hii amani mungu awahukumu na asisimame nao amin
@CLEVERBOY004-cr5cc12 сағат бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu Othman maalim na fitna za walimwengu amiin
@fatimahirakoze731114 сағат бұрын
Mama wa watoto mansh'Allah n'a cheikh wetu kipenzi Allah awaniifadhie n'a awape kauli sabith mwisho wa maisha yenu
@muddymuzungu435712 сағат бұрын
Ahsante sheikh!
@chukuchukukissy86949 сағат бұрын
Sheikh uko vzr sana
@Dhihrakhamis9 сағат бұрын
Mashaallah allah akufanyie wepes sheikh othman maalim hakika umefikisha vyema mawaidha allah akulipe kkher na akujaalie mwisho mwema
@khalifamohammedkhalifa157812 сағат бұрын
Mashllah Allah akuhifadhi
@AndulHida-hs5py14 сағат бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe
@mody-guyngido27922 сағат бұрын
Barakallahu fiikum
@user-xy4kt8wk6l14 сағат бұрын
Huyu Sheikh Anajuwa Sanaa tena Sanaa
@seleabdi62519 сағат бұрын
Wallah Alhamdullah anasimama shekhe na anaongea ushekhe