LIFE WISOM : AINA TATU ZA VIFO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 4,046

Joel Nanauka

Joel Nanauka

27 күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 17
@tanasimwakatungila-jk8jg
@tanasimwakatungila-jk8jg 24 күн бұрын
Mwenyezi MUNGU azidi kufungua anga lako la maombi Joel nanuka .Azidi kukuinua na DAMU ya yesu kristo Unene mema kwenye maisha yako
@joelnanauka
@joelnanauka 22 күн бұрын
Ameen Ameen
@JamesAtilio
@JamesAtilio 24 күн бұрын
Kwa kuongezea Kifo cha kiroho ni dhana inayozungumzia hali ambapo mtu anatenganishwa na chanzo cha maisha ya kiroho, mara nyingi Mungu au uhusiano na nguvu ya juu ya kiroho. Hiki siyo kifo cha kimwili, bali ni kifo kinachohusiana na hali ya ndani ya kiroho au kiimani. Katika Ukristo, kifo cha kiroho kinahusiana na dhambi. Dhambi huleta kutenganishwa na Mungu, na hii inachukuliwa kama kifo cha kiroho. Paulo Mtume anasema katika Warumi 6:23 kwamba "Mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu." Hapa, "mauti" inahusisha kifo cha kiroho, ambapo mtu amepoteza uhusiano wake na Mungu kutokana na dhambi.
@RedgaMsigala
@RedgaMsigala 23 күн бұрын
Ahsante kwa somo nzuli naona kuwa nitapiga hatua kwa kulielewa somo hili.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 23 күн бұрын
Hallelujah Ubarikiwe sana kaka Joel ❤
@atupendakilian
@atupendakilian 18 күн бұрын
Ahsante
@SaumuBakari-ub9bt
@SaumuBakari-ub9bt 23 күн бұрын
Shukran sna kaka motivation zako zinanipa mwanga mpya ktk maisha ❤
@abdulfatahjuma3105
@abdulfatahjuma3105 24 күн бұрын
It is best speech more blessing
@gloriakinyota-qv8pp
@gloriakinyota-qv8pp 24 күн бұрын
Asante kaka Joel umenisaidia kubadilika katika mambo mengi sana God bless you
@josephtesha872
@josephtesha872 24 күн бұрын
Asantee nimejifunza
@alexlucas1571
@alexlucas1571 24 күн бұрын
Shukrani sana Kaka joel kwa elimu hii unayozidi kunipa na YEHOVA MUNGU azidi kukupa afya njema wew na familiar yako 🙏🇹🇿
@Rehema815
@Rehema815 24 күн бұрын
Mungu akutunze kwa ajil ya wengine
@user-je2qo8cp9e
@user-je2qo8cp9e 24 күн бұрын
Hakika mungu akutunze kaka joel nanauka ❤
@angelnjiku1979
@angelnjiku1979 24 күн бұрын
Ahsante sana kaka Joel Mungu akubariki
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 24 күн бұрын
Nimejifunza kitu Joel asante
@FabianAmos-kr4yp
@FabianAmos-kr4yp 24 күн бұрын
Ntazingatia
@muhangwamateo8262
@muhangwamateo8262 24 күн бұрын
Asante sana kaka
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 85 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 21 МЛН
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 179 М.
KUSUDI LA MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA EPISODE 02
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 8 М.
LIFE WISDOM : JINSI YA KUWA BORA UNACHOFANYA - JOEL NANAUKA
12:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 11 М.
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 17 М.
Joel Nanauka | Namna ya kutimiza malengo 1 | THE GATES TV
53:35
The Gates Media
Рет қаралды 88 М.
LIFE WISDOM : IJUE NGUVU ILIYOPO NDANI YAKO - JOEL NANAUKA
15:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 15 М.
EPUKA MAFANIKIO YA HARAKA - JOEL NANAUKA
7:02
Joel Nanauka
Рет қаралды 37 М.
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31