Changamoto ni njia nzuri za kuboost ufahamu wako na kukufanya uwe IMARA. Kwakweli huwa sipendi kukaa au kuishi mahali ambapo hapana changamoto. Kwa upande wangu kila iitwapo leo nazidi kuwa bora zaidi ya jana yangu,na kinachonifanya niwe bora zaidi ni changamoto nazozipitia. Najifunza vingi kupitia changamoto.
@alexlucas15715 ай бұрын
😭😭😭 nimepambana sana kwa kwakutumia nguvu zangu, akili yangu na kutegemea binadamu lakini kwasasa kwa hapa nilipofika bila YEHOVA MUNGU sitoboi, mambo mengi sana nmepitia, nmetapeliwa sana lakin sitakata tamaa nitaendelea kupambana
@Madam2555 ай бұрын
Kuna kuinuka tena brother anglia mbele unakoenda marufuku kukata tamaa mimi mwenyewe nmefeli mara nying lakini siwezi kukata tamaa ilimradi bado napumua bado naiona kesho yangu kubwa
@miriammadolo71925 ай бұрын
Mungu Ndio kila kitu endelea kumtengemea Mungu
@joasitz95595 ай бұрын
Barikiwa sana
@MsafiriSaidi-e3k5 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka. Huwa napata sana nguvu za kuendelea mbele ninapokusikiliza.
@CatherineJacob-yt5sy5 ай бұрын
Kuna nyakati nilikuwa napitia changamoto mbalimbali kazini kwangu ila kutokana na maneno yako yalinijengaa sana ninaushuhuda mwingi kutoka na maelekezo yako ambayo niliyafanyia kazi uzidi kubarikiwaa bro joel
@JanethDotto-y1p5 күн бұрын
Be blessed my menter
@JanethDotto-y1p20 күн бұрын
Mungu akulinde mkuu
@Madam2555 ай бұрын
Asante sana kaka Joel mimi pia mwaka jana nilivunjika moyo baada ya kumuamini dada yangu na kuanzsha nae mladi. Wa kilimo mimi niko mbali yeye alikuwa ananitumia picha za mashamba ya watu mwisho wasiku nothing done Ila saivi nmefunga jaraha zangu na nmejifunza kitu
@filorammbaga57105 ай бұрын
Asante Joel amenitia moyo. Nina maumivu fulani lkn kwa neno hili nimepona.
@OmanOman-c9d5 ай бұрын
Shukran joel nimefunga jeraha ili kuzuia damu❤❤❤
@HalimaAmadi5 ай бұрын
Asante sana kaka❤ kuna muda nakata tamaa kutokana na changamoto ninazopitia kwenye kazi yangu, ila nageuka nyuma naangalia familia yangu watoto wangu na nikikuskiliza na wewe nafunga jeraha jeramba lina endelea ubarikiwe sana❤
@avodianamapunda78615 ай бұрын
Ahsante kaka kwa ushauli wako umenipatia nguvu.
@LucyMachibya5 ай бұрын
You are a blessing to this society
@teamchawote96105 ай бұрын
Shukran sana ndugu
@shukranjulius95265 ай бұрын
Barikiwa zaidi kaka Joel ❤❤
@CatherineJacob-yt5sy5 ай бұрын
Nilimic sana maoni yako Nimeludi nazidi kufurahi kazi ya mikono yako Mungu azidi kukubariki🙏
@AliDemashk-g2c5 ай бұрын
Asante sana Mimi niliacha kutegemea watu saii
@alexlucas15715 ай бұрын
Good morning top team academy
@MsafiriSaidi-e3k5 ай бұрын
Asante kaka
@MtazameKristoTv5 ай бұрын
Ahsante sana
@GerigaJoram5 ай бұрын
Kaka naomba unisaidie kampuni ambazo unaweza kununua issa
@ViviKitchen235 ай бұрын
❤❤❤❤
@kuruthumukondo71495 ай бұрын
Shukrani kaka ❤
@julianalaly20955 ай бұрын
Asante sana.
@brackskinyozi32805 ай бұрын
Asante kaka Joel mungu azidi kukubariki nimejifunza kitu
@ummuwawili5 ай бұрын
❤
@KalabaKlb5 ай бұрын
Nipo tayari kaka Joël kulipiya mi niko nchi Congo RDC 🇨🇩
@michaeljm7305 ай бұрын
🎉
@JanethDotto-y1p5 күн бұрын
Nimepitia magumu Sana mkuu lakini wewe umeninyanyua kupita mafundisho