Рет қаралды 15,054
Rashid Abdalla (Mamba) kawaadhibu watu Pemba kwa kila adhabu. Akinyang"anya wasafiri dhahabu na mapambo yao. Akiyayusha dhahabu, anachukua chake na ziliobaki anampelekea Karume, Zanzibar. Zikifika dhahabu kwa Karume hazionekani tena.