Babu tuandikie kitabu cha history ya Zanzibar,maana hadi leo hii CCM wanatupotosha juu ya kuijua history ya visiwa vyetu viwili Unguja na Pemba.
@ludacrissrangiyabank37375 жыл бұрын
Tumeipenda washatudanganya sana
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Unafiki wazanzibari wenyewe walipoteza nchi yao wakatoka kwa himaya ya wa koloni wakaengia katika ukoloni ya tanganika yani wa zanzibari mpaka hii leo wanachapwa kama watoto