ACT KUMFUKUZA UANACHAMA ZITTO?/KUMPIGIA KAMPENI SAMIA 2025/SUK ZANZIBAR BADO CHANGAMOTO/DOROTHY SEMU

  Рет қаралды 15,602

Dar24 Media

Dar24 Media

2 ай бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 33
@lusakaone7782
@lusakaone7782 2 ай бұрын
Hongera kiongozi, wanaokusikiliza wote wanakupenda,hata wakichangia pumba labda roho mbaya zinawasumbua
@saniapembe1001
@saniapembe1001 2 ай бұрын
Mama Samia anatosha. Ila ikimpendeza anaweza kumpa Zitto nafasi, ni kijanashupavu asiyetetereka.
@user-bc2wd1sq3k
@user-bc2wd1sq3k 2 ай бұрын
Umekomaaa, kisiasa unajibu vizuri kiongozi wangu
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 2 ай бұрын
Shaka yangu mm isiwe kama Yale ya lipumba Shaka iliyopo ni ukweli wenu wa moyoni juu ya kuwa wapinzani wa dhati wa kusimamia haki na matakwa ya waznz
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 ай бұрын
Zito kabwe is the feliyer politician to be chess him on CT wazalendo if is true l can't saprys to zito kabwe because opposition need responsibility leader stand on different lmotion wether sun or shadow responsibility as the opposition you have to stand still creat lmotion into CT wazalendo maindset and lncareg ather leasener outside of CT wazalendo and join but she has got no capacity
@jonathanmanyaga4357
@jonathanmanyaga4357 2 ай бұрын
Safiiii
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 ай бұрын
Number 2 she is not politician has got no capacity creat lmotion to pablic understand her on high level into peoples maindset
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 ай бұрын
Una kipomo ganii ulicho tumia mpaka ukaona ACT ibafana na jinamizi tafadhali kijana tena tafadhwali saanaa
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa 2 ай бұрын
Zito anafaa kama si mlevi maana wapo viongozi walianguka tukaambiwa ni walevi nafikiri act impime afya ya akili maana tusije tukaongozwa na vichaa tunaitaji kiongozi mwenye hekma na busara mwenye maamuzi sahihi kwa ajili ya taifa kwa sasa tuanze kuomba kwa mungu amani pia uchaguzi wa huru na haku itawale ktk mioyo ya wtz
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o 2 ай бұрын
Zitto kabwe bado sana tena zaidi ya sana kunamuchuano wa ccm na chadema
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Inasikitisha sana wakati wa uchaguzi hapo Zanzibar na haina haja kweli uchaguzi ufanywe kwa siku mbili kwa nini!!!???
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 ай бұрын
Loh! Hapo umesema sio kwamba unapinga tume huru! Inaendelea kuwa perfect wakati miswada tayari imesainiwa! Nyie mpo ndani hamna lolote mnajijua wenyewe, hamna nia ya kutusaidia kitu wananchi...
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 ай бұрын
Hapana sisi ni chama ambacho tumeonesha ukomavu wa demokrasia kuanzia ndani kwetu ambayo pia tunahitaji njee ya ACT yafanyikee
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 ай бұрын
Mlitegemea ccm itafanya marekebisho! Hayati Maalim Seif hakuwahi kupewa haki mara zote,lakini kwa kuwa hayupo,mkajiunga tena,sasa mwaka wa nne mapendekezo yenu bado,mnategemea nini sasa? Kugombea muendelee kula,au mtajitoa?!
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 ай бұрын
Vp ACT Wazalendo itakua CCM B Wewe unajua sera za kila chama hivi ushawahi kuonaa ccm kupigania haki za wananchii ushawahi kumuona mwana ccm kada mgombea akicharazwa viboko hadharani akitetea haki yake wwww uko makini lakini
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 2 ай бұрын
CCM ; CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM alale Salama baba wa taifa
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho kumtoa zitto kabwe act wa zalendo
@SuleimanChief
@SuleimanChief 2 ай бұрын
Kiongozi Tanzania ni mama samia
@bagumandongwe8566
@bagumandongwe8566 2 ай бұрын
Unapenda unavyo jibu maswali ,unaupeo mkubwa sana achana na wanao kudharau sababu ya jinsia
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 ай бұрын
Chama kimeisha
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 2 ай бұрын
Uzoefu unaonesha kwamba viongozi wakuu wa upinzani wanaotokea Tanganyika huwa wanaafiki pale wanapoona madai ya waznz, wote wamefeli
@mikidadmhando2504
@mikidadmhando2504 2 ай бұрын
RAIS MWINYI MPE UWAZIRI KIONGOZI HUYO MWANAMKE WA ACT WAZALENDO, YUKO VIZURI SANA USIMTUPE LKN CCM JUU
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
KATIBA IFANYIWE MARA MOJA PAMOJA NA DIRA YA TAIFA
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 2 ай бұрын
Samia kuwa kiongozi wa chama si kuwa amegombea hicho bali inakuja automatic kwa kuwa umekuwa rais, na kupigiwa kura na mkutano mkuu akiwa mgombea pekee, lkn Mh. Dorothy yeye amepata cheo chake kwa kushinda washindani wake kwa kura wala hakuwa mgombea pekee
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
Una dhana isiyo sahihi Rais Samia kuwa Mwenyekiti wa CCM sio automatic amegombea na kuchaguliwa. Marehemu Rais Mwinyi, Mwenyekiti wa CCM alikuwa Hayati Nyerere. Ni busara ya kawaida kwa nguvu za Rais Kikatiba ni bora apewe na Uenyekiti. Kwa maoni yangu mfumo bora kabisa wa Uongozi wa chama cha siasa ni wa ACT Wazalendo ambapo, Kiongozi Mkuu ni taasisi inayowasimamia viongozi wa chama wataokuwepo Serikalini. Kitu ambacho kwenye CCM hakuna ndio maana kila anaepata Urais anaendesha kwa mtazamo wake na hakuna chombo cha kumonitor.
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 ай бұрын
Yeye na lipumba wanafanana
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 ай бұрын
Lambart uyu apa dar24 again
@johansonmonyo3898
@johansonmonyo3898 2 ай бұрын
Kisafisheni chama Kwa kuondoa Mapandikizi ktk chama,kama mnataka kuwa chama kweli , makini cha upinzani,mpaka Sasa Ninyi ni Tawi la ccm
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 ай бұрын
Sikiliza pima maneno ya huyo mwenyekiti,wacha kuchafua kauli za watu
@SuleimanChief
@SuleimanChief 2 ай бұрын
Hawana mpango
@ramiahassani5603
@ramiahassani5603 2 ай бұрын
Anataka ahamie CCM akagonbee urais hakuna la ziada hapo, na ndio maana alijitoa uenyekiti wa ACT
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
Kuwa muelewa kwanza kwenye CCM kuna machinery za kutosha haiwezekani mwanachama mpya apewe nafasi ya kugombea Urais. Pili Mhe. Zito kamaliza muda wake wa Kiuongozi kwa nafasi hiyo Kikatiba ya ACT na sio kwamba kajitoa. Kwa maoni yangu Mhe. Zito ni Mwanasiasa bora kabisa Tanzania na Africa.
@edgarmbegu1974
@edgarmbegu1974 2 ай бұрын
Zutto alitumika na ccm ili kuonyesha kuwa et chama cha upinzani kinaweza kubadilisha kiongozi. Lengo lao act na ccm, ni kutaka watu wamzodoe Mbowe ili chadema nao waingie kingi kwa kufuata mkumbo kwa kumpata kiongozi kikaragosi wa ccm kama huyo dada.
KOMANDO MADAFU AWEKA WAZI KILA KITU BAADA YA KUTOKA IKULU
10:59
Wasafi Media
Рет қаралды 43 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 6 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 199 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Ushauri wangu kwa Rais Samia: Kuwa kama Mandela, usigombe 2025
12:17
SK Media Online TV
Рет қаралды 8 М.
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
WAFANYABIASHARA DARAJANI SOUK WALIA NA RAISI MWINYI
6:50
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН