MWANAFUNZI WA CHUO DODOMA ADAIWA KUUAWA NA MPENZI WAKE ( EX) BAADA YA KUMALIZA MITIHANI

  Рет қаралды 51,589

A DIGITAL TZ

A DIGITAL TZ

Жыл бұрын

Sikiliza AFM RADIO 92.9Mh.z Dodoma.
Online tunasikika kupitia Tunein
.Tufuatilie Kwenye Mitandao Yetu Ya Kijamii.
Instagram @afmradiotz @Adigitaltz
KZbin:A DIGITAL TZ / @adigitaltz

Пікірлер: 75
@saidmlemeta8083
@saidmlemeta8083 Жыл бұрын
Sisi nao wanume sijui tunafeli wap mtu akutaki muache aende zake jmn wanawake mbona niwengi mm nlivyo na moyo wakupokea matokeo yoyote hale kutoka kwa mwanamke kwanza sinaga hata wakubembeleza
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallah hayo mauwaji tz
@helena6907
@helena6907 Жыл бұрын
Yaani duh nimesikitika sana jaman wanawake tuacheni tamaa jaman unakuwa na mtu katika shida unakula ela zake unampotezea muda wake zen unamwambia tuachane kisa ushajua wanaume wa chuo
@winnimartin7799
@winnimartin7799 Жыл бұрын
Pole sna ndgu zangu kwa msiba daah inauma Sana
@gracepahali3719
@gracepahali3719 Жыл бұрын
Bwana Yesu tusaidie hili ni Pepo kupitia mahusiano
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Jamani mabint muwe makini mkiwa na mahusiano na Wapenzi wenu , wallah mabint mnaixha km tunavyoixha Wanawake kwenye ndoa mauaji yamekithiri kwakweli
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Jamani musichukuwe cha mtu cha mtu ni mavi au mahusiyano na wanaume mtihani mm nipo oman sina mahusiyano na mwaname wala sili cha mtu pesa au mapenzi aaa najituma kwa pesa zangu
@revocatusphilmon1780
@revocatusphilmon1780 Жыл бұрын
Pumzika kwa Amani asee poleni sana wafiwa wote
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 Жыл бұрын
Hizo pumzika zenu kwa amani mnamkoseaga Mhngu wakati mwingine
@franciscoivo1591
@franciscoivo1591 Жыл бұрын
Mr.Bikongoro poleni sana
@mikaelkanamagali5462
@mikaelkanamagali5462 Жыл бұрын
Tanzania yetu ya amani mbona mauaji mengi sana Mungu utusaidie
@matridajounior6414
@matridajounior6414 Жыл бұрын
Jamani kila kukicha mauwaji kida mapenzi mimi naogopa sana
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun poleni sana ndugu na jamaa
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Wakurya watamkomesha amejichanganya
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
mungu amlaze mahali pema peponi
@ambroceharouna5897
@ambroceharouna5897 Жыл бұрын
Ndo shida kudeti na vivulana limbukeni
@angelkornel9409
@angelkornel9409 Жыл бұрын
Kwani sikuiz Tz kuna pepo gan limengia mbona mauwaji ya wanawake yamekua mengi jamn
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Anajiuwa mwenywe yupo naapenzi ya kweli huyo baadae ni katili ni mtihani mkubwa huo mshenzi huyo
@ednajeremiah928
@ednajeremiah928 Жыл бұрын
Poleni wazaxi pesa zote hinzo za kumsomesha inauma sana 😭😭
@amreallizy9518
@amreallizy9518 Жыл бұрын
Duh jamn Kumb n huk kwet
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 Жыл бұрын
Rafiki kachoma nyaya ,ila marafiki nyoko uwezi hata kumfichia Siri mwenzio eti alikuwepo loooo
@magesaneema1903
@magesaneema1903 Жыл бұрын
Hata mm nimeshangaa
@leticiamapunda3324
@leticiamapunda3324 Жыл бұрын
Rip binti
@HOKIMANOINTING
@HOKIMANOINTING Жыл бұрын
Ezekiel
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii
@ambroceharouna5897
@ambroceharouna5897 Жыл бұрын
Wanakurupuka San vidume havina mana
@BigfarryG77
@BigfarryG77 Жыл бұрын
Dah R.I.P
@lucymollel8212
@lucymollel8212 Жыл бұрын
Kwani hawa wanafunzi wanaenda chuoni kusoma au kuolewa mbona wanauawa na wapenzi huko
@rachelmliwa9830
@rachelmliwa9830 Жыл бұрын
hiyo ni unkwepable koz unakiwa level flan hivi ya ukubwa so busi
@johannahakim8470
@johannahakim8470 Жыл бұрын
Wa te wanaroho ya Chima kweli
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani sasa na yeye akafiye jela
@winfridarobert241
@winfridarobert241 Жыл бұрын
R.i.p wajina
@bhokemarwa5367
@bhokemarwa5367 Жыл бұрын
Pumzika winnie wetu♥️😢
@asiamohamedy2643
@asiamohamedy2643 Жыл бұрын
Jmn
@dianajames2451
@dianajames2451 Жыл бұрын
Yaan kalivokua kapole chief wanzagi jmn
@loitengia4217
@loitengia4217 Жыл бұрын
Nahuyu Nusra wanaesema ameuwawa ni yupi mbona hizi habari zinachanganya
@didasseveline9013
@didasseveline9013 Жыл бұрын
Haya yote yanatokea Ili tuliobaki tujifunze, na kujirekebisha!
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
It is sad. Terrible sad.
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
Terribly
@rachelmliwa9830
@rachelmliwa9830 Жыл бұрын
kafaidi nini muuaji😡😡😡😡😡 mbolo yake
@nurukamenya3588
@nurukamenya3588 Жыл бұрын
Dodoma
@beatricefredilick1646
@beatricefredilick1646 Жыл бұрын
Zinahitajika nguvu kubwa hats kiwepo kipidi cha mahusiano vyuoni ili wayaelezee kwa undani duuuu inauma
@shebbyabisai736
@shebbyabisai736 Жыл бұрын
Unamchuna mtu hafu unaleta usenge
@ambroceharouna5897
@ambroceharouna5897 Жыл бұрын
Man usikurupuke fikiria kwanza
@leilasaid3623
@leilasaid3623 Жыл бұрын
Kamn ichi yetu ya tanzania imekua haina aman kabisa kila siku kuuwa wanawake nikifikiria mpk nawaogopa wanaume wanaume wamekua nyoka kabisa sasa serikali simameni imara wanaofanya matukio kama haya navwao wauawe
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Жыл бұрын
Na wanawake nao Kama Unajua huna mpango na mwanaume,acheni kauli ya kuchuna buzi.
@husnamadai7052
@husnamadai7052 Жыл бұрын
Kila kukicha mauaji
@laymashabani832
@laymashabani832 Жыл бұрын
Dunia mapito poleni familia.
@athumaniissa656
@athumaniissa656 Жыл бұрын
poleni sn
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Жыл бұрын
Jamani sitaki mahusiona na mtoto wa mtu
@msamination7793
@msamination7793 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@youngmaster4127
@youngmaster4127 Жыл бұрын
🤞
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@baby_face_
@baby_face_ Жыл бұрын
pole sana
@magrethmwijage3133
@magrethmwijage3133 Жыл бұрын
Poleni jamani. Lakini wadada wa chuo mumezidi sana kuwa na mahusiano na wanaume wengi. Unakuta Binti mdogo kabisa anatembea na wanaume zaidi ya kumi. Jamani mkifika chuo hurumieni Hela za wazazi wenu
@baby_face_
@baby_face_ Жыл бұрын
@@magrethmwijage3133 iyo ndo tatizo sasa
@ggfffhii4706
@ggfffhii4706 Жыл бұрын
wāgogo
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 Жыл бұрын
Mh sisemi mimi
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
Wanawake wengi ususa hawa wasomi baathi yao wanapenda kucheza na akili za wanaume inabd mtulie tuliiiiii
@christinachacha8177
@christinachacha8177 Жыл бұрын
Hata km jmn lkn ndo kuchinjwa na km ng'ombe
@ambroceharouna5897
@ambroceharouna5897 Жыл бұрын
@@christinachacha8177 wanaropoka tu
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 Жыл бұрын
Damu inatisha ila wanafunzi musome jamani
@rachelmliwa9830
@rachelmliwa9830 Жыл бұрын
hujuh tu watu wanahaswa na ndoa mtaaniiii😂😂😂😂😂😂😂
@saidmlemeta8083
@saidmlemeta8083 Жыл бұрын
Wapenz wanafunzi sio dada zetu msiwe na mausiano na wanafunzi wenznu
@smartboytz4724
@smartboytz4724 Жыл бұрын
Tatizo mabinti wengi uwa wana jitakia wenyewe amepata alicho kitafuta
@ambroceharouna5897
@ambroceharouna5897 Жыл бұрын
Acha usenge ww
@veronicasulle1849
@veronicasulle1849 Жыл бұрын
Kwendraaaa huna adabu
@giftpeter9118
@giftpeter9118 Жыл бұрын
Mbwa wewe
@ambroceharouna5897
@ambroceharouna5897 Жыл бұрын
Angekufa Dada ako ungeropoka
@ambroceharouna5897
@ambroceharouna5897 Жыл бұрын
@@veronicasulle1849 angekufa Dada ake angeropoka
@alextz5877
@alextz5877 Жыл бұрын
Hii ishu ni mapenz hamn kingn apo na wasichana wa vyuo hamtulii polen
@lucymollel8212
@lucymollel8212 Жыл бұрын
Kwani hawa wanafunzi wanaenda chuoni kusoma au kuolewa mbona wanauawa na wapenzi huko
@alhamiraj4570
@alhamiraj4570 Жыл бұрын
Tutamkumbuka makufuli akishuka chin kusikiza kero na akizibiti majambaz🤗
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 4,8 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
MTOTO WA MZINDAKAYA RUKWA AJA KIVINGINE
2:34
HABARI POPOTE
Рет қаралды 39
Faida na hasara za kukaa hostel (on campus) na kupanga (off campus)
5:39
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Hamasika Tv
Рет қаралды 21 М.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 4,8 МЛН