Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM leo

  Рет қаралды 239,092

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

March 23, 2017 Rais John Pombe Mgufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa maelekezo aliyoyatoa kwa nyakati tofauti juu ya kudhibiti udanganyifu wa mizigo inayoingia na kutoka nchini kupitia bandari hiyo ikiwemo usafirishaji wa mchanga wa madini kwenda nje ya nchi.
Katika ziara hiyo Mhe. Rais Magufuli ameshuhudia makontena 20 ya mchanga wenye madini kutoka kwenye migodi iliyopo kanda ya ziwa ambayo yamezuiliwa kusafirishwa nje ya nchi tangu alipotoa agizo la kupiga marufuku usafirishaji wa mchanga nje ya nchi tarehe 02 Machi, 2017.

Пікірлер: 191
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 7 жыл бұрын
TUTAICHIMBA TUTAKAPOKUWA NA AKILI GOOOOOOOOD NYERERE FOOTSTEP. I LOVE THIS MAN TO BE HONEST. HE IS SERIOUS, THE MAN OF HIS WORDS. EXCELLENT
@julithahayuma6277
@julithahayuma6277 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka Baba Leo nmekuja kukuangalia tena😥😥nlikuwa napenda utendaji kazi wako jaman😥😥Mungu akupokee kwake
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 3 жыл бұрын
We acha tu, huyu Mama atawaweza hawa mafisadi kweli?
@doreenjoseph7470
@doreenjoseph7470 7 жыл бұрын
Hongera sana milard ayo kwa Kazi zako za ukweli na uwakika unatoaga taarifa ya kweli wewe ndio unaefaa kuwa mwandish wa habari
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
Namkubali sana huyu raisi ata anapo tumbua mtu najua lazima kutakuwa na siri nyuma ya pazia, naamini ata maamuzi ya kumtengua Nape, yupo sahihi Kuna maisha baada ya Nape, haturudi nyuma sisi NI kUCHAPA KAZI TU.
@SuperKibwana
@SuperKibwana 7 жыл бұрын
Mheshimiwa Rais asante sana kwa kweli kwa kazi nzuri sana sana sana. Nchi lazima iende mbele kwa kazi na bidii lakini pia kwa njia ya halali. wizi kamwe hautatufikisha popote, bali utatuongezea matatizo tu. Asante sana.
@lydiachembe9376
@lydiachembe9376 3 жыл бұрын
Masikini baba etu 😭😭😭 dah mungu akurehem
@alishomar7549
@alishomar7549 7 жыл бұрын
iv ndio vitu vya msing .....sio flash za clouds...watu wanajidai wanasafirisha mchanga ....kumbe ni midhahabu inasafirishwa.....Nimesema chapa kaaaazi...i love my president JPM.
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
Pamoja sana Alisha Hap ni kuchapa kazi Tu.
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Piga kazi tunakutegemea wewe ni jembe la tz.love sana jp
@SuperKibwana
@SuperKibwana 7 жыл бұрын
Milard Ayo, you are the best.
@hassanturky7511
@hassanturky7511 5 жыл бұрын
Allah akupe Imani.rais Kama huyu apewe uraisi mpaka aondoke dunia
@dismaschukilizo1605
@dismaschukilizo1605 7 жыл бұрын
Hongera sana rais wetu kwa kazi nzuri unayofanya sisi kama wazalendo hatuna budi kukuombea kwa Mungu ili awataharakishe adui zako na wa Watanzania ! Mungu akubariki kuliko kawaida na aibariki na Tanzania !
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 жыл бұрын
Safu sana kazi ziendelee
@billtheadviser894
@billtheadviser894 7 жыл бұрын
may GOD bless you and live long the king
@innocentchristian4774
@innocentchristian4774 7 жыл бұрын
Waooo... Nice Movie
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
asante my president piga kazi Baba tupo nyuma yako
@fene-djnews9557
@fene-djnews9557 7 жыл бұрын
Hakika ndiyo maana Mh. Rais anaomba watanzania tumuombee, bila maombi ya kweli hatutakuwa na msaada kwa Mh. Rais
@NasawaTono
@NasawaTono 3 күн бұрын
Mungu akupe kauli dhabiti baba yetu kipenzi
@augustinateshamelkiory6752
@augustinateshamelkiory6752 7 жыл бұрын
piga kazi baba mungu akulinde akupe maisha marefu
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
mtu wangu wa nguvu #MillardAyo asante sana
@wilsonmasero5976
@wilsonmasero5976 7 жыл бұрын
Hassanova junior bashite ananjaa hayo yote hatuoni faida take
@sadalaramadhani104
@sadalaramadhani104 3 жыл бұрын
Tuna kukumnuka mzee😭😭 r.i.p🙏🙏
@rajabuabdallah3840
@rajabuabdallah3840 7 жыл бұрын
saafiii mzeee maguuu
@stevenmahinda657
@stevenmahinda657 7 жыл бұрын
kazi kazi...kampeni 2020
@laynerngole2119
@laynerngole2119 7 жыл бұрын
Mungu akubariki raisi wetu endelea kudhibiti Wa halifu wote,
@mimifulani948
@mimifulani948 7 жыл бұрын
magu hapo umenikosha ila kwa nape fikiria basi mara mbili mbili
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
SOFY OMARY hahahah magu anaweza
@ntiliyothomas5146
@ntiliyothomas5146 3 жыл бұрын
Tutachimba sisi wenyewe tutakapo kua na akili aseeeeeh kweli rais wetu mpendwa ni mwelewa
@robertwilliam8323
@robertwilliam8323 7 жыл бұрын
Wanang'ata visigino, presidaaaaa wewe wagonge vichwa afu watakuelewa, mie binafsi nakuelewa sana president
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Robert William kabisaaa ani
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 7 жыл бұрын
ukiangalia haya maisha imekuwa kiki tu ,unaambiwa mtu wako uliyemchagua anakasoro unamwacha unamtumbua anayesimamia haki
@allyabeid342
@allyabeid342 7 жыл бұрын
nakupenda bure babaangu magufuri.
@happykakingo1375
@happykakingo1375 7 жыл бұрын
Ally Abeid mmmmh wewe
@akademkkz
@akademkkz 7 жыл бұрын
Hapa kazi tu...
@ramiahassani8750
@ramiahassani8750 7 жыл бұрын
safi
@silimangwali9181
@silimangwali9181 7 жыл бұрын
Possession is nine tenths of the law
@jamesmakweta6232
@jamesmakweta6232 7 жыл бұрын
safi magu
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 3 жыл бұрын
Rest in peace mr president
@AdrianMasima-ue4wu
@AdrianMasima-ue4wu 3 ай бұрын
Ee h mungu jaman turete rais kama uyu tena
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 жыл бұрын
Tunakuelewa sana RAISI wetu na tunatii uyasemayo.
@motivational_leader
@motivational_leader Жыл бұрын
Nakukumbuka sana Magu 😢
@afropanorama4730
@afropanorama4730 7 жыл бұрын
good job mr.president
@mosmartmussa9787
@mosmartmussa9787 7 жыл бұрын
Uyu jamahaa ni sio sana ana taka kutufanya sis niwa toto wadogo
@omarhmcha9008
@omarhmcha9008 7 жыл бұрын
he jamani gari zangu sijui nitazipataje
@kimongearusha247
@kimongearusha247 7 жыл бұрын
Dawa ya waficha mizigo ni kupunguza kodi na kuziba mianya ya mapunguzo za kodi. Na kila ofisa TPA awe na accountability kuliko hivi sasa mpaka Rais anakagua Mizigo.
@martindondi8844
@martindondi8844 7 жыл бұрын
A very good actor smh
@rahimumapondella8043
@rahimumapondella8043 7 жыл бұрын
tutaona mengi miaka hii
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Nick kimambo wewe ni msenge kweliiiiiii fala mkubwa wewee achana na rais wetu shoga mkubwa wew
@denniskiango6901
@denniskiango6901 7 жыл бұрын
tutamuelewa tu raisi wetu achaamalize ungwe yake aje mwingine utasiki kipindi cha magufuli ujinga huu usingekuwepo
@erickhaule8680
@erickhaule8680 7 жыл бұрын
yaan sisi watz tunajijua wenyewe
@williammkalagale6048
@williammkalagale6048 7 жыл бұрын
nakupenda. Rais. Wangu. sanaaaaaa
@billtheadviser894
@billtheadviser894 7 жыл бұрын
amen
@lwasamabalelukiza2037
@lwasamabalelukiza2037 5 жыл бұрын
Dennis Kiango ..
@joh_001
@joh_001 2 жыл бұрын
Yameisha timia kama ulivotabiri mkuu
@twahasaidi7578
@twahasaidi7578 2 жыл бұрын
Wtz tutalia mpaka bc ila hakuta patikana kama huyu labda kasimu majaliwa
@mussankulunge5824
@mussankulunge5824 7 жыл бұрын
xio mbaya one of challenge
@meddyyassin4741
@meddyyassin4741 7 жыл бұрын
maguful apo bigup, japo kwa nape umemuonea,umeamua umfuge jambaz makonda,,na umeamua kumtumbua wazir alyekua anatimiza wajibu wake, that's not fair
@pascalmsuyajr.7980
@pascalmsuyajr.7980 3 жыл бұрын
Daah ndo ivo tena 😢😢😢
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 3 жыл бұрын
Daaah bwana weeeee ndo nazidi kuumia yani, Mama ana shughuli pevu
@leriq1
@leriq1 7 жыл бұрын
zote sanaa #magumashi
@jumasaid3926
@jumasaid3926 7 жыл бұрын
saaaaafiiiiiii na yataifishe hayo mandinga mkuu wa kaya watafaham tu we c waspotspot bhn.
@josephcharles9477
@josephcharles9477 7 жыл бұрын
Piga kazi baba Magufuli, Achana na kelele za hawa wanafiki wanaoamini wao ni malaika. Kamwe usiwaangalie hao maana tuliokuchagua tunakukubali baba
@jasminasha9551
@jasminasha9551 7 жыл бұрын
Na madawa ndivyo yanavyo safirishwa kwenye hayo magari hatari sana
@kimongearusha247
@kimongearusha247 7 жыл бұрын
Duuuuuu Maigizo haya sijui yataisha lini.
@janegeogre3234
@janegeogre3234 2 жыл бұрын
MZEE ULIKUA TOCHI YA TAIFA NA DUNIA! R I P DADY NOBODY TO BE COMPARED WITH YOU!!@....why should black heros die so soon????!!!!....
@erastomihambo6943
@erastomihambo6943 7 жыл бұрын
pinga kazi rais wetu tuko pamoja na wewe
@mussakiza4268
@mussakiza4268 7 жыл бұрын
Aaaah hujanshawish mzee
@omarymuhunzi4950
@omarymuhunzi4950 6 жыл бұрын
watanzani tungekuwa na maamuzi ya pamoja tungempa magufuli mihula mitatu hii nchi ingekuwa nusu ulaya
@kingswebe3251
@kingswebe3251 7 жыл бұрын
Sowez amini uongo wa thahili huo amekwepa masawali kuhusu nape akaona aigize kihivi lakin niuongo tu movie hiyo imeandaliwa na yeye mwenyewe
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Obedi Swebe fala tu msenge wew
@jichomtego3435
@jichomtego3435 7 жыл бұрын
Punguzeni kodi ili watu wasikwepe kulipa kodi. Ukinunua gari huko nje ni bei poa sana, ila ukija hapa TRA utadhani wanauza wao magari. Hii nchi inatoza kodi kubwa mnoo. Punguzeni kodi ili watu wajivunie kulipa kodi.
@trishahsongs6995
@trishahsongs6995 7 жыл бұрын
Jicho Mtego kweli kabisa punguzeni kodi
@onesmomrisho5456
@onesmomrisho5456 7 жыл бұрын
ole wao viongozi wanaomuhusisha Mungu kwenye mambo ambayo Mungu hajawaambia ole wao nasema..Hasira ya BWANA ni kali nayo inawaka moto naye atalipiza kisasi juu ya adui zake..Viongozi na wananchi woote wanaochezea akili na aman za watanzania ole wao..KIKOMBE CHA HASIRA YA BWANA KINAELEKEA KUJAA, NAYE ATAACHILIA VITASA VYA UCHUNGU JUU VIONGOZI NA WANANCHI WAVURUGA AMANI..KWA JINA LA YESU
@jichomtego3435
@jichomtego3435 7 жыл бұрын
Ameen. Nimeyaheshimu maneno yako Onesmo Mrisho.
@omaryamiry3651
@omaryamiry3651 7 жыл бұрын
hapa kaz 2
@salehlofy4251
@salehlofy4251 7 жыл бұрын
hatutaki pirika za kuzungu kushka na kuacha tunataka faida kwa unayoyafanya biashara bla faida ndo nn!
@miraclelogistics1526
@miraclelogistics1526 7 жыл бұрын
Huyu ndiye Rais tuliyekuwa tunamtaka wenye chuki wajinyonge ,tulichezewa vya kutosha-Mungu akubariki baba.
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
kweli Miracle pamoja sana
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Miracle Logistics haswaaaa
@ajtra3073
@ajtra3073 7 жыл бұрын
jamani watanzania nendeni shule mukapate elimu kidogo ...yaani munaambiwa fungua macho tazama hile nyie wajibu nooo atutaki...its a game u foolish wake up...Magufuli game ..ni movie kategeneza kama mkewe bashitee alivyotengeneza hili amfunge Gwajima mdomo...hivi yiyi amujui ni movie nyingi uwa zatengenezwaaa na shoga 👉huyu...Tanzania nchi huru jina bado tutabakia maslevu..hansa kwa uongozi wa shoga huyu..ukisema ukweli basi walala kituo cha polis na wafukuzwa kazi ..
@ajtra3073
@ajtra3073 7 жыл бұрын
nendeni mukamuunge mkono Nape na Mange kimambi wanayetetea Haki yetu na kutufungua Macho wengi na sio kumpa huyu shoga nafasi ya kiki aliyeitengeneza mwenyewe...Kaeni mukijua Magufuli ni mtetea Haki kwa Bashite tu na sio kwako wewe mwananchi, mtanzania. amukeni watanzania Wake up hivi amujiulinzi kwanini kakaaa kimia kwa matukio yotee yanayozuma sasa Tanzania? yeye kama baba kwanini asiingilie kazi na kukanya watoto wake na kumkalipia yule aliye kosea? sasa jibu unalo wewe mwenyewe? wake up watanzania au munataka mpaka siku hili atakapo kuja kwako na kumvua nguo mama na baba yako mbele yako ndio utaamini kuwa Magu ni rais kichaaa anayependelea mtu mmoja tu au kabila lake tuu..?? Bashitee akikushuti au kukubaka au kuuza madawa ya kuleviya azalani au kuja kwa duka yako na kubeba mali yako haaaa akuna neno kwani ni mke wa Magu au tuseme ni wa kabila moja ..hila wewe ukisema ukweli kuhusu jambo duuuh watakuuwa na familia yako yote tena kwa kukuzalilisha sasa wewe unaejiita Mtanzania naomba nijibu hapa Haki yako itasikilizwa na nani? au Haki yako ipo wapii? kweli wasumbutu kumpigia makofi na vigeregere kwa mtu asiye kupenda kila kukicha anatengeneza movie hili umsikilize yeye tu na kumsifia yeye na sio kukusikiliza wewe mlipa mshaara wake.. Watanzania itambueni haki yenu na acheni ujinga..kushikana kwa pamaja ni nguvu kutengana ni uzaifu. mimi ni mtanzania na sipendi kuonewa hila sina nguvu zaidi bila yako wewe..
@ajtra3073
@ajtra3073 7 жыл бұрын
nendeni mukamuunge mkono Nape na Mange kimambi wanayetetea Haki yetu na kutufungua Macho wengi na sio kumpa huyu shoga nafasi ya kiki aliyeitengeneza mwenyewe...Kaeni mukijua Magufuli ni mtetea Haki kwa Bashite tu na sio kwako wewe mwananchi, mtanzania. amukeni watanzania Wake up hivi amujiulinzi kwanini kakaaa kimia kwa matukio yotee yanayozuma sasa Tanzania? yeye kama baba kwanini asiingilie kazi na kukanya watoto wake na kumkalipia yule aliye kosea? sasa jibu unalo wewe mwenyewe? wake up watanzania au munataka mpaka siku hili atakapo kuja kwako na kumvua nguo mama na baba yako mbele yako ndio utaamini kuwa Magu ni rais kichaaa anayependelea mtu mmoja tu au kabila lake tuu..?? Bashitee akikushuti au kukubaka au kuuza madawa ya kuleviya azalani au kuja kwa duka yako na kubeba mali yako haaaa akuna neno kwani ni mke wa Magu au tuseme ni wa kabila moja ..hila wewe ukisema ukweli kuhusu jambo duuuh watakuuwa na familia yako yote tena kwa kukuzalilisha sasa wewe unaejiita Mtanzania naomba nijibu hapa Haki yako itasikilizwa na nani? au Haki yako ipo wapii? kweli wasumbutu kumpigia makofi na vigeregere kwa mtu asiye kupenda kila kukicha anatengeneza movie hili umsikilize yeye tu na kumsifia yeye na sio kukusikiliza wewe mlipa mshaara wake.. Watanzania itambueni haki yenu na acheni ujinga..kushikana kwa pamaja ni nguvu kutengana ni uzaifu. mimi ni mtanzania na sipendi kuonewa hila sina nguvu zaidi bila yako wewe.
@trishahsongs6995
@trishahsongs6995 7 жыл бұрын
Mr msifa kweni weye magu uko kweli mbona swala la bashite umefanya kama ulioni kisha watu wa innocent ndo unajifanya kuwa shukuliya hatua
@brucechonjo3417
@brucechonjo3417 7 жыл бұрын
Hamna lolote hii nnchi, hii nchi kila siku maigizo, kila siku jipya huwez jua n filamu y kutengenezwa au n vepe, kila kikitokea hiki kinafunikwa n hiki , mie magu ckuelw wala nn , utawala wako n maigizo tu hmna lolote.
@dct4lif
@dct4lif 7 жыл бұрын
Mkuu hata ukamate meli zimejaa almasi baadhi yetu tuliokupigia kura na kukupigia debe hatutakaa tukuelewe
@levocathgaitani1594
@levocathgaitani1594 7 жыл бұрын
hapa kaz tu
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 7 жыл бұрын
WAPONGEZE LAKINI UWACHUNGUZE PIA WAKIJUA UNAWAAMINI WANAFANYA MADUDU.
@dadycarenjr5732
@dadycarenjr5732 7 жыл бұрын
asante Anko Magu pia milard ayo Mungu akubariki sana wewe ni mwanahabari unaejielewa sana no umbea umbea hapa kazi tu#
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
pamoja sana haturudi nyuma, ni kuchapakazi Tu hakuna huzuni kwani tumefiwa!!!!!?
@dadycarenjr5732
@dadycarenjr5732 7 жыл бұрын
Sonjohn W. Joram hapa kazi no udaku udaku
@rayyanmissanga239
@rayyanmissanga239 7 жыл бұрын
Sonjohn W. Joram kipofu anaongoza njia
@rayyanmissanga239
@rayyanmissanga239 7 жыл бұрын
Njarita Leonard jipu lingne ni ww
@jichomtego3435
@jichomtego3435 7 жыл бұрын
Wewe sio mtanzania . Una sura mbaya sana. Watanzania hatupo hivyo
@fredrickndomelo1745
@fredrickndomelo1745 3 жыл бұрын
Jembe.
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 7 жыл бұрын
Hii nchi ni zaidi ya MUijuavyo.. #BashishiBby
@abuhemed7131
@abuhemed7131 7 жыл бұрын
Bull shit!
@augustinateshamelkiory6752
@augustinateshamelkiory6752 7 жыл бұрын
nabado
@pipsmakers7610
@pipsmakers7610 3 жыл бұрын
Jembe
@sadalaramadhani104
@sadalaramadhani104 3 жыл бұрын
Nani kama wewe tuta kupata wapi tena😭😭
@augustinateshamelkiory6752
@augustinateshamelkiory6752 7 жыл бұрын
iko siku wataelewa tu unachokifanya
@hussenchambau7257
@hussenchambau7257 7 жыл бұрын
kwa hapo magufuli amenifanya nimpende sana zuia baba tutakapo kuwa na akili tuta chimba sisi
@salimmustafa1935
@salimmustafa1935 7 жыл бұрын
siasa imetuathiri kupitlza vjna tupige kaz
@omarhmcha9008
@omarhmcha9008 7 жыл бұрын
katika mwaka niliopatikana ni huu nianzie wapi magari yangu yakifahari
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 5 жыл бұрын
Hahahaha tukapokuwa tunakili asante baba
@MarieHeleneEtienne-bf9ub
@MarieHeleneEtienne-bf9ub 3 ай бұрын
hakuna kulala wanyooshe baba
@salimmustafa1935
@salimmustafa1935 7 жыл бұрын
kazkaz
@malickmakatta6089
@malickmakatta6089 7 жыл бұрын
,sameer unafaidika nini na huo ujanja wa kuingiza magari?
@ibrahimally6455
@ibrahimally6455 7 жыл бұрын
Yan mijitu inadanganywa nayo inakubal huwo ni mchezo tyu anacheza na akili za watanzania hv ww kwaakili yako mtumba ndo unavyo hifadhiwa hvyo kma kwel watuoneshe bill of lading tuamin na kwann awamchukulii hatua hyo mwenye mzigo hayo ni mapichapicha ya kujisafisha tyu kwa hya matukio mawil aliyo yafanya kashaona wananchi hawana imaninae ndo anajisafisha hvyo
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Ibrahim Ally mama uko ndo anadanganywa
@bahatidan4751
@bahatidan4751 7 жыл бұрын
lol lies u tell magufuli how did u know about hilo contena? movie hiyo we are not stupid.. please can u state the name of these owners? hupotezei issue ya unyanyasaji na false use of power n what u did to Mh Nape bloody fool..unamshikia Nape gun wewe magufi n bashite.. what kind of dictator r u?
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
safiiiiiiiiiiiiii mkuu was nchi tumbua wajinga wajinga hao walizoeaaaaaaaaa
@frankkanyara5165
@frankkanyara5165 7 жыл бұрын
hapa kazi tu kudadk
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 7 жыл бұрын
Magu baba Kamata woote .
@hashimmusa9485
@hashimmusa9485 7 жыл бұрын
magu acha magumashi
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
hatuna imani na uncle maana tumeona mtu ambae kajaribu kusimamia ukweli nahaki ya vyombo vya habari na uvunjifu wataratibu za habari katumbuliwa umeficha uovu mkuu wa b
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Abeid Mayanga hama nchi choko wew
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
+Shadhiri Navaranga km mamako
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Abeid Mayanga kama mama yako na baba yko
@mwanaharakatidjguy6546
@mwanaharakatidjguy6546 7 жыл бұрын
kiki
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Dj_guy Lucas kamwambie mama yko kwenu hko boya wew
@jumahamis4063
@jumahamis4063 7 жыл бұрын
mim nakuelewa sana Rais wangu mim sitaki kua mnafik kama wale eti anekua madalakan mbaya muda wake ukiisha ndo anaonekana mzuli piga kazi tunyoo shee nchi wata elewa tu maguuuu
@petermaiga3319
@petermaiga3319 7 жыл бұрын
nakuombea Rais wangu tuko pamoja tusonge mbele, mwisho wao umefika
@onesmomrisho5456
@onesmomrisho5456 7 жыл бұрын
msitufanye sisi watoto tunaelewa vyote
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Onesmo Mrisho unaelewa nn mwehu wew
@onesmomrisho5456
@onesmomrisho5456 7 жыл бұрын
Shadhiri Navaranga huwa sibishani na vibuyu sema ukichoka utatulia utapewa na hela na magufuli
@onesmomrisho5456
@onesmomrisho5456 7 жыл бұрын
Shadhiri Navaranga wasiojua kutumia katiba ndo wehu..endelea ongeaaaaaaaAaa bando likiisha nunua jingine endelea
@amanichanga3448
@amanichanga3448 7 жыл бұрын
Pumbazo hilo ...Acting ...
@abelmathias3437
@abelmathias3437 7 жыл бұрын
hata wakikuachia nchi peke yako tumbua tu maana ukipata MTU wakukusaidia kutumbua wanampiga vita alaf badae wanasema utumbuajia majipu so wa raising peke take hatuwaelewi tuko pamoja naww kwenye utumbuaji majip
@saintwiz
@saintwiz 7 жыл бұрын
hatudanganyiiiiiiiki
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
John Amani
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
john aman acha ufala wew mwache magu apge kazi
@saintwiz
@saintwiz 7 жыл бұрын
we nae boksi kabsaaa
@chibutvonline8710
@chibutvonline8710 7 жыл бұрын
anajiosha tu hana lolote ,, haibu imemtawala
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
kondele tv wew n msengeeeeeeee
@chibutvonline8710
@chibutvonline8710 7 жыл бұрын
Shadhiri Navaranga ujitambui kijana,,iyo michezo ya kisiasa ivi tangia ameingia madaraki amewafanyia nini wananchi ,,cha kumsifia ,,kazi yake ni kuiyangalia dar tu
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 7 жыл бұрын
Propaganda
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Ibrahim Mkoko mama yko ndio ana propaganda msenge mkubwa wew
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 7 жыл бұрын
Duuuuh yaani maisha ndio magumu kiasi hicho mpaka wanawake mnaamua kujiuza kilazima kwenye mitandao, hahahaha Wanawake nyie hata muwezeshwe vipi kazi bure tu. Sasa kama wewe hapo kuandika matusi kwenye comment yangu ndio umeona ujanja mwenyewe wakati sehemu ya ku-comment ipo na ulikuwa una uhuru wa kuandika chochote lakini ukaona bura uje kwangu ukijua labda na mimi ni chizi kama wewe ntakujibu matusi au sio?? Next time uwe unaangalia na mtu mwenyewe sio kila mtu tu anaweza kukuingilia kinyume na maumbile, Wengine sio mambo yetu hayo hahahahahaha SHADHIRI NAVARANGA bila ya shaka utakuwa umenielewa Mtanzania mwenzako.....
@nickykimambo4803
@nickykimambo4803 7 жыл бұрын
hizo ni kiki tu ili tusahau alichomfanyia Nape Leo, mwenye akili hawezi kushangilia kwa ilo embu muangalie hizo nguo za mitumba zilivyofungashwa ndio mtajua ilo picha waliliandaa ili kuwahadaa wananchi wasiojielewa.
@ibrahimkhamis1862
@ibrahimkhamis1862 7 жыл бұрын
Nicky Kimambo
@kiumbechambinguni
@kiumbechambinguni 7 жыл бұрын
mchono huu angalia instagram kwa kamanda mange kimambi
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Joseph Kaboyoka mange ni kahaba tu pimbi wew
@reignsupreme7741
@reignsupreme7741 7 жыл бұрын
looks like it's staged
@kennethmichael5758
@kennethmichael5758 7 жыл бұрын
very much
@martinwangwe8966
@martinwangwe8966 7 жыл бұрын
I dnt think you know Magufuli, he was like this since he was a minister so just go over his clips on youtube when he was a minister and you will understand.
@sulaimsameer2668
@sulaimsameer2668 7 жыл бұрын
After kumuachisha kazi nape ame plan kuwafunga macho wananchi kwa kujipeleka Bandarini....Mzee uraisi sio kichwa ngumu na kukurupuka ,, Is being Wise 4 watever ur doing ...so badilika utawala wako ni shida tupuuuu
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Sulaim Sameer wew unalaana sio bure
@sulaimsameer2668
@sulaimsameer2668 7 жыл бұрын
Hassanova junior @Laana ww ndo unayo
@shadhirinavaranga7009
@shadhirinavaranga7009 7 жыл бұрын
Sulaim Sameer we n msenge
@sulaimsameer2668
@sulaimsameer2668 7 жыл бұрын
Shadhiri Navaranga @ Tukana tu ndugu yangu mungu anakuona
@ibrahimmkoko5850
@ibrahimmkoko5850 7 жыл бұрын
Shadhiri Navaranga youtube sio sehemu sahihi ya kutangazia biashara yako ya ushoga. Nenda Instagram ndio kuna mashoga wenzako kule pia utapata wanaume wanaopenda kuwaingilia wanaume wenzao, Hapa unajipotezea muda tu aise hakuna hata mmoja anaependa hiyo michezo
@simonfundi5472
@simonfundi5472 7 жыл бұрын
Huna jipya
@andrewnyambega5590
@andrewnyambega5590 7 жыл бұрын
nyie si mmezoea kushabikia upuuzi vya msingi mnaponda
@dadycarenjr5732
@dadycarenjr5732 7 жыл бұрын
Simon Fundi tupe wewe jipya basi lione kwanza hovyooo tu
@jasminesamir8504
@jasminesamir8504 7 жыл бұрын
Mimi ananiboa tu
@briggsanji9176
@briggsanji9176 7 жыл бұрын
Andrew they bora uwaambie na wewe
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
ww una jipya gani kwa umbea wa mtandaoni!!? Anko Magu ataeleweka tu.
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOWATUMBUA WAFANYAKAZI WA 3 WA TRA
4:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 38 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 24 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 21 МЛН
JPM ALIVYOWAKA KUHUSU MAKONTENA KUCHELEWA
8:38
Millard Ayo
Рет қаралды 351 М.
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA KAIMU RPC RUKWA/ "ANAKIBURI....."
8:13
Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015
14:29
Magufuli aamsha dude jingine bandarini
7:49
Azam TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
5:57
Millard Ayo
Рет қаралды 935 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 24 МЛН