Simulizi ya mfanyabiashara aliyesababisha Waziri Mkuu kumsimamisha kazi ofisa wa TRA

  Рет қаралды 330,323

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 444
@mohamedmohamed614
@mohamedmohamed614 5 жыл бұрын
Waziri mkuu umenifurahisha mungu akulinde kwa kusimamia haki mungu ibariki Tanzania na viongozi wake
@jobemjema1661
@jobemjema1661 5 жыл бұрын
Kwahili waziri mkuu mungu akubariki sana
@rashidialiuwali939
@rashidialiuwali939 4 жыл бұрын
tumepata Rais na wazili mkuu hiii nch sijawahi kuona haya yanayotokea askali wanakuwa majambazi
@rashidialiuwali939
@rashidialiuwali939 4 жыл бұрын
walikuwa wanachukulia kama sio mtanzania wanayuwa ni mrundi nini
@rashidialiuwali939
@rashidialiuwali939 4 жыл бұрын
ni vizuri hapo TRA wote watimuliwe. mbona tunachukua wahuni kuwaweka sehemu za kiselikali tatizo kubwa
@ericklaura7511
@ericklaura7511 2 жыл бұрын
Imagine mzigo alisharudishiwa ila mpaka Leo tarehe 18/01/2022 Bado hajapewa stahiki zake zote zikiwemo za usumbufu kama alivoagiza Hayati JPM . I hate my country😠
@theobarddimoso8835
@theobarddimoso8835 5 жыл бұрын
Kama unaamini huyu nikakaake na brother K tajiri wa kigoma,like hapa.
@veronicatweve4786
@veronicatweve4786 5 жыл бұрын
Theobard Dimoso 😂😂
@batchivitalis2282
@batchivitalis2282 5 жыл бұрын
Hongera kaka kweli
@batchivitalis2282
@batchivitalis2282 5 жыл бұрын
Wachunguzwe tra na police ndo zao
@luganomasebo6606
@luganomasebo6606 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 uko makini
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 5 жыл бұрын
Wabishi hao😄😄😄
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 2 жыл бұрын
😭 asante sana kaka Majaliwa ww ndio umebaki mtetezi wetu
@hekimajonathan9874
@hekimajonathan9874 Жыл бұрын
Kumbe bdo tunao watetezi Nchin, pole San Baba mpka machozi yamenitoka Kwa walivyokuonea hivyo jaman, Mungu azidi kukupa HEKIMA zaidi waziri wetu kasim majaliwa ❤❤❤❤
@masterfelimaster1014
@masterfelimaster1014 5 жыл бұрын
Wel done waziri mkuu hapo ndipo mjue kama siyo kama mtu anapenda kutoa pesa zake(rushwa) alizotolea jasho kirahisi ni usumbufu tunaopewa na hawa watu wa tra na mapolisi ila hapa mapolisi wapo safi.
@annahngururi6595
@annahngururi6595 Жыл бұрын
Ee mungu watetee wanyonge.Baba huyu amejikakamua sana katika kujieleza.Waziri mkuu wa Tanzania Mungu aendelee kukupigania na kukulinda pia.AMEN.TUMEKUSIKIA MARA KWA MARA UKITENDA HAKI
@fredrickmuono1228
@fredrickmuono1228 Жыл бұрын
Ahsante Mh; Waziri mkuu Pole kwa kazi unayofanya kwa ajili ya kulipigania Taifa letu Hakika nakuombea kwa MUNGU azidi kukulinda na kukupatia maisha marefu na kulitumikia Taifa yetu Amen.
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
Ameeni
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 жыл бұрын
Yaani dunia hii,mungu awaazibu wote waliomfanyia ivo,mungu ajawahi kushindwa atakulipia tu.nasisi watanzania tunakuombea kwa mungu ,namungu atakulipia tu lazima duwa ya masikini haipotei.wamekutesa sana.pole,Ewe mwenyezimungu mja wako msaidie.amina
@johnsondiscoequipments992
@johnsondiscoequipments992 Жыл бұрын
Waziri mkuu mungu hakuzidishie Ekima Amani na maisha marefu kwa kulinda haki zetu wanyonge mungu ibariki Tanzania na viongozi wenye mioyo ya upendo na Utii Amina
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Dhalimu tre mungu walaani uwape magonjwa yasotibika uwakoseshe furaha katika maisha yao uwajaalie wawe kuni za motoni kwa dhuluma zao na kuwatesa watu wanotafuta riziki za halali mungu nitakabalie duahii
@bilalikambo7202
@bilalikambo7202 5 жыл бұрын
Rahaa ya ukwel hata ukifa unaenda peponi
@ibrahimkhatibu4561
@ibrahimkhatibu4561 5 жыл бұрын
Daa! Jmaaa kapitia kugum sn 🙏🙏
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 5 жыл бұрын
Wow ! Waziri wewe ni kiboko good job .
@danfordaugustino3461
@danfordaugustino3461 5 жыл бұрын
Hatua ambazo magufuli angechukua zingekuwa Kali zaidi . Ila waziri mkuu kajitahidi ilibidi afunguliwe na Duka lake
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 жыл бұрын
Sasa watu wa5 hawana job
@petrusmakupe2093
@petrusmakupe2093 Жыл бұрын
Miaka mitatu hajafanya biashara?angekuwa nafaida kiasi gani...angaliani hilo
@erickkihuru4529
@erickkihuru4529 5 жыл бұрын
Hakika inahuzunisha inatisha maisha tunayofanyiana mungu atajbu kwa wakat wake
@mwinjumathomas5132
@mwinjumathomas5132 5 жыл бұрын
Haya ndo mambo yanatakiwa yafanywe na serikari kuliko kudili na wapinzani asante sana waziri mkuu,kwa kujali wanyonge
@happymahega2000
@happymahega2000 4 жыл бұрын
True
@SaadaHussein-qt1co
@SaadaHussein-qt1co Жыл бұрын
Asantee saana Waziri Mkuu Mungu akubariki siku zote na akupe / awape afya njema pamoja na familia zenu, ni shidaaa bin matatizo makubwa wananchi tunataabika , tunasurubika kupata haki zetu
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 3 жыл бұрын
Mungu akupe kila lakheri Mh. Kasim Kwakurudusha furaha na matumaini brother K👍
@user-oj3fq4pi2u
@user-oj3fq4pi2u 6 ай бұрын
Bravoo Waziri Mkuu, hongera mzee baba, dah umenikumbusha. Enzi zenu na Mzee baba Magu..Mungu akulipe mema kutokomeza maovu nchini
@richardsaston3285
@richardsaston3285 Жыл бұрын
Baadhi ya maafisa wa serikali wanaroho za kishetani. Waziri Saidia watu wanaoonewa. Amini Mungu atakulipa.
@jamalmmoja1277
@jamalmmoja1277 5 жыл бұрын
Hii serikali kiukweli wamenyooka mungu awajalie
@jafariakili2360
@jafariakili2360 4 жыл бұрын
Bado kidogo
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Hii ndio Tanzania. Dunia inatazama jinsi nchi yetu ilivyo. Hivi kwnn jamani vituko vya namna hii. Kudhalilisha watu hivi.😭😭😭 Viongozi wetu polisi na mizigo ni wapi na wapi. Tatizo watu hawafanyi kazi kwa ufanisi na hawamuogopi Mungu. Kwnn wanadamu hamna huruma hivi. Kwnn lkn. Mungu tusaidie kushughulikia hawa wanyang'anyi. Watoe kwenye viti wale wote wasio haki, wanaotesa watu na wala rushwa. Ni sb tu hamyajui Maandiko sb unapeleka mauti sufuriani kwa familia zenu. Mungu aseme na nyie. Moto uwake juu yenu sb mnasb watu wapate pressure na sukari yaani wawafanyie nyie kazi familia zao ziteketee sb yenu. Mungu awe mtetezi wa watanzania
@akimjames-vq2wo
@akimjames-vq2wo Жыл бұрын
😅😅😮😮😅
@mochings8012
@mochings8012 5 жыл бұрын
Pole sana brother K
@luganomasebo6606
@luganomasebo6606 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kanaongea kama brother K
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 жыл бұрын
Kuna haja ya kuwabadili wafanyakazi karibu wote wa TRA ktk hi nchi,waende taasisi zingine,Kuna network mbaya Sanaa,Ukitaka kuamini waliojuu ya huyo ofisa muovu kwa Nini hawajachukua hatua juu ya Jambo hili?
@mauajuma3762
@mauajuma3762 Жыл бұрын
Huu Ni uonevu wa Hali ya juu jamani 😭😭😭 inasikitisha Sana watu tunateswa mwenye nchi yetu,huyu baba nimemuonea huruma Sana
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Sana sema Yuko na MUNGU hakika nchi hii inanuka DHURUMA TUPU ,AIBU KWA SERIKALI ,MAANA NDO WANAOAJIRI WATU WA HOVYO HOVYOO , INAWEZEKANAJE MZALENDO KAMA HUYU WANATESEKA HIVI , UONEVU ULOZIDI ,ASISIMAMISHWE TU , AFUKUZWE KAZI , NA AMLIPE FIDIA ZOTE NA WAMFUNGE MIAKA 100 JELA
@bahakyejo3800
@bahakyejo3800 Жыл бұрын
Katika siku nilizowahi kufurahi ni baada ya kumsikia waziri mkuu juu ya hili ,,yesuuuu mtenda miujiza asante kwa baba huyu na kiungozi wetu waziri mkuu hakika ww ww ndie
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 жыл бұрын
Hii nchi rushwa Ni shida mnooooooooooooooo ,yaani wenye mamlaka wananyanyasa.Hongera waziri mkuu.
@halimangaure4527
@halimangaure4527 4 жыл бұрын
Waziri mkuu njema....Allah akujaalie kwa kumsaidia huyu baba
@allykimeru944
@allykimeru944 Жыл бұрын
Mungu akubaliki Sana mheshiwa Waziri mkuu
@loveremedy5348
@loveremedy5348 2 жыл бұрын
Safiiii waziri wetu wew kiongoz Bora ..jamn watanzania wanatesek sn jamniii
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Mfanyabiashara amefungiwa vitu miaka 3 mtaji c umeisha jaman
@FulbertFisoo
@FulbertFisoo Жыл бұрын
Duh pole sana mtanzania mwenzetu kwa mkasa uliomkumba , na hongera waziri mkuu kwa kutenda haki
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 5 жыл бұрын
Nimeumizwa sana na hii simulizi ya huyu mfanya biashara wazir mkuu mungu akujaalie sana kama jina lako lilivyo rais hajakosea kukuchagua
@hasanalimbinga8874
@hasanalimbinga8874 5 жыл бұрын
Baba waziri oyeeeee live ccm naipenda
@GodlivingUrassa-w7p
@GodlivingUrassa-w7p Ай бұрын
Mungu akulinde, akutunze mtetezi wa watu.
@sigorijoseph4977
@sigorijoseph4977 5 жыл бұрын
Pole mkuu kwa usumbusu na ni serikali yako
@myembegrayson964
@myembegrayson964 5 жыл бұрын
Good kwa ujasiri na uadilifu
@lucassamwel5544
@lucassamwel5544 4 жыл бұрын
Safi San
@salimalamri5897
@salimalamri5897 5 жыл бұрын
TRA lazma wabadilike
@shomytventertainmenttanzan7842
@shomytventertainmenttanzan7842 5 жыл бұрын
Yani wamekuwa wezii sana jamani
@user-zf2hx1cq4d
@user-zf2hx1cq4d Жыл бұрын
Hiyo ndió kazi ya kiongozi kutetea haki za raiya wake na si kuwakandamiza hongera waziri mkuu,, mungu akupe maisha marefu.
@ismailihassan4593
@ismailihassan4593 5 жыл бұрын
Polisi watanzania nimajambaz kama polisi wa kongo serekali ya tanzania ikachukue mfano nchin rwanda polis wa rwanda wana maadili mazur.
@TamuzaKale
@TamuzaKale 5 жыл бұрын
Nimesikia hiyo. Rwanda polisi hawana tabu kabisa!
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 2 жыл бұрын
Dah pole sana babaangu tena pole sana na haki yako haipotei kwa hali yyte ile dah is very so sad
@amnaalshabani2777
@amnaalshabani2777 5 жыл бұрын
Mbona mungu mkubwa japo umeteseka haki yako imepatikana
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 ай бұрын
Hata fine ya EFD iwe 15000000 ni mbinu za kutaka rushwa nzuri bigup serikali yetu kurekebisha❤❤❤
@hkdarmys
@hkdarmys 5 жыл бұрын
Waziri Mkuu God Bless
@saloujohn3639
@saloujohn3639 5 жыл бұрын
Omg daaaah noma hao ma offisa hadi aibu hawakuona au kuona huruma daaaah kweli noma pole mzee yaliokukuta hi ndio nchi ya kikomando sema mkombozi kashapatikana na timu yake mungu awabariki ,hapa kazi tu love u JPM
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Жыл бұрын
Majaliwa kasim majaliwa nakuuita Tena majaliwa kasim majaliwa muheshimiwa mungu ndo atakae kulipa piga kazi watanzania tuna Imani na ww sanaaaaaaaa
@wolframmwalo2432
@wolframmwalo2432 5 жыл бұрын
Asante waziri mkuu
@salumhatman7223
@salumhatman7223 Жыл бұрын
Hongera waziri wetu mkuuu, kassim majiliwa mwenyezi Mungu akulinde, Ameen
@msabahamalonda2249
@msabahamalonda2249 5 жыл бұрын
Japo huwa naumizwa sana na jeshi la police kwa kutumia vibaya malaka waliyopewa lakn leo Nmefurahishwa na Jeshi la police kituo ch tandamti kariokoo, hiv ndivyo wanatakiwa waenende Maadili ya kaz yao. Thanks wazr Mkuu, Thanks Jeshi la Police.
@esnartmagoti9292
@esnartmagoti9292 5 жыл бұрын
Pole sana kaka! Dai haki zako mpaka kieleweke
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Жыл бұрын
Mama Samia mama,, hukukosea kumchagua Majaliwa, huyu ni msaidizi jasiri na mwenye huruma Kwa raia.
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Жыл бұрын
Kama ni kweli kwa maelezo hayo hii nchi iko hatarini kabisa.Taasisi zote Kuna shida
@erickzephania1030
@erickzephania1030 5 жыл бұрын
Daah! Uyu jamaa amenitoa machozi, watumishi kma hao ni wakuchapa bakora adharani kabla ya kifungo
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Ай бұрын
Hii nchi kuna watu wanateseka sana jaman🔥🔥🔥
@darzolamacha5169
@darzolamacha5169 5 жыл бұрын
Sijapata kuona MTU jasiri kama huyu big up broo hii nchi maafisa ni shida tupu.
@user-zj3ke9gc2u
@user-zj3ke9gc2u 5 жыл бұрын
Mkigoma uyo jembe
@irenemwambungu5683
@irenemwambungu5683 Жыл бұрын
Mungu hakubariki mweshimiwa
@kondwaninyirenda98
@kondwaninyirenda98 5 жыл бұрын
Mfanyabiashara ata km ajasoma lkn kutunza kumbumbuku hodali sana
@lucky9285
@lucky9285 5 жыл бұрын
Wanatafuta kwa jasho sanaaa
@lucanusnickata8852
@lucanusnickata8852 5 жыл бұрын
Kusoma na kuhifadhi kumbukumbu kuna uhusiano gani watu wenyewe wanasoma kwa jili ya kujibu mtihani na kupata cheti basi
@aminaagapty5565
@aminaagapty5565 4 жыл бұрын
Nimekupenda sn mh kassimu majaliwa umetenda haki mungu akuweke uzidi kuwatetea wanyoge
@annamachaki3644
@annamachaki3644 Жыл бұрын
Jmn kuna watu wanatesa wenzao Mungu uone asante waziri mkuu Mungu akubariki🙏🙏👍
@adelaidedaycareprenurseryk6324
@adelaidedaycareprenurseryk6324 5 жыл бұрын
Waziri Mkuuu juuuuuuuuuuuu Makondaaaaa Oyeeeeeeeeeeeeee
@christophermalongo1577
@christophermalongo1577 5 жыл бұрын
Mkuu na mshahara usimame mara moja maana ushahidi unatosha kumfukuza kazi.
@husseinkarim7839
@husseinkarim7839 5 жыл бұрын
Hao maofisa wa TRA na commissioner na polisi lazima wahojiwe na kuchukuliwa hatua.
@gemkachar
@gemkachar 5 жыл бұрын
na takukuru pia wahojiwe
@marymsuya4928
@marymsuya4928 Жыл бұрын
Ina umma sana chako mwenyewe kinakuuwa
@felisterapornary2612
@felisterapornary2612 5 жыл бұрын
Jambazi sio lazima atumie siraha 🙈🙈Hongea kwa ujasili wako
@cleverboy3812
@cleverboy3812 5 жыл бұрын
Safi sana mh. waziri mkuu... Wewe unafaa kuwa raisi ajae 2020
@denishaule6314
@denishaule6314 Жыл бұрын
Ndio maana nashindwa ama kukosq sababu ya kumchukia mzungu….sababu miwatu meusi ina shida kuliko yale meupe…nmejisikia vby sana
@juliusjohn9453
@juliusjohn9453 5 жыл бұрын
Kwa hili na mengine Rais Mtamlaumu bure. Je ungekuwa wewe usingechukua hatua kwa hawa watu wa TRA?
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 жыл бұрын
Mhe. Waziri Mkuu asante Kwa kumuelewa huyu mfanyabiashara. Wasiwasi wangu haya uliyoagiza huenda yasifanyike Kwa uaminifu. Wezi hawana mshipa Wa aibu.
@mwanamutemi
@mwanamutemi 5 жыл бұрын
Ajabu hakuna kilicho fanyika mpaja juzi June habari za huyu mfanyibiashara zimemfikia Rais Magufuli ! Waziri mkuu hakusikizwa !!!
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. 2 жыл бұрын
Natamani nipate feedback za kilichofuata kama alipata stahiki zake
@santinosabugo2114
@santinosabugo2114 Жыл бұрын
kasimu kasimu kasimu majaliwa nimekuita mala tatu mungu akuongoze vema kuliongoza taifa wapiganie wanyonge amina
@user-nc5bf3ez8q
@user-nc5bf3ez8q Жыл бұрын
Huyu ndo magufur alyebakia ap tanzania dar ❤❤❤❤
@medardjustinian5223
@medardjustinian5223 5 жыл бұрын
Ndivyo watanzania wanavyoteseka katika nchi yao, ahsante sana waziri mkuu
@emmanuelmuntuju4937
@emmanuelmuntuju4937 5 жыл бұрын
Ndugu na mweshiwa waziri mkuu Mungu akuzidishie maisha marefu. na nakuombea uje kuwa rais wa awamu ya sits na mambo yatanoga zaidi.
@salmasimai2375
@salmasimai2375 Жыл бұрын
Umesema kaka
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 жыл бұрын
Mshukuru sana Mungu hukupigwa risasi baba
@wamaladenis4915
@wamaladenis4915 5 жыл бұрын
apa kazi tuu
@ericamwakyokile1889
@ericamwakyokile1889 5 жыл бұрын
Haya mambo yanaumiza sana. moyo.Kuna mambo yanayoendelea chini kwa chini watu wanaumizwa sana.Tanzania ni nchi ya amani ila watu wake kweli wanahuzuni kwa ubabe huu.asante waziri japo kupata muda wa kuongea na wananchi.watu wanamambo mioyoni .hii husababisha chuki sana.Mungu aturehemu.
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 Жыл бұрын
Huyo mfanyabiashara nae ni mjinga maana una angaika na watu wanaopumua km wewe usiwaroge nini....mimi uwa sipotezi muda nikijua jina lako nakutia bridi miaka 50
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
AMANI YA KWENYE MAANDISHI LAKINI WATU WAKE WENGI WANAMAJONZI ,HAWANA AMANI NA RAHA MAANA SI KWA MANYANYASO HAYA
@HamisHusseinBwenya-nc7pj
@HamisHusseinBwenya-nc7pj Жыл бұрын
Mungu akulinde Waziri Mkuu kwa kuwatetea wanyonge wanaodai haki zao.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 ай бұрын
Pole bro K
@a.msanga1621
@a.msanga1621 5 жыл бұрын
Waziri wetu mpendwa safi sana kwa maana ya very good kwa maamzi mazuri na yenye tija pongezi kwako
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l Жыл бұрын
Asante
@ashaally6993
@ashaally6993 5 жыл бұрын
Safi sana👏👏😍
@smarty1064
@smarty1064 5 жыл бұрын
Asha Ally upogo mdada?
@juliusjohn9453
@juliusjohn9453 5 жыл бұрын
Ntunzwe. Hongera. TRA mnaiangusha nchi kwa ubnafsi. Hizo hela na mali zote mtaviacha. Jifunzeni toka kwa Zakayo.
@mwantebeexpertsurvive672
@mwantebeexpertsurvive672 5 жыл бұрын
Pole sana"" brother K""
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 5 жыл бұрын
Nimesisimka mwili hadi machozi yamenitoka kutokana majaribu aliyopitia mfanyabiashara hyu. je ambao hatuonani na vingozi tunafanya biashara ktk mazingira gani?.
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 5 жыл бұрын
Wanahaha watu wamejielewa siku hizi hawatoi rushwa
@rajabungatanda3749
@rajabungatanda3749 4 жыл бұрын
Aisee inauma sana yani kunawatu Wanajifanya nchi hii nimali ya babazao Yani yote haya yanamkuta kwakua ametaka kulinda haki yake Aiseee kaka mungu atakusimamia Mimi kama mtanzania mwenzako mzalendo nasimama nawewe big up Nakama yupo anaemuunga mkono agonge like hapa
@salmasimai2375
@salmasimai2375 Жыл бұрын
Nipo
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 5 жыл бұрын
kwa nn kila kitu mpaka viongozi wa juu ndo washugulikie hawa watumishi wakawaida wanafanya kazi gani?
@jovinekahwa9628
@jovinekahwa9628 5 жыл бұрын
Good question
@tanzanianchiyangutaifalang8376
@tanzanianchiyangutaifalang8376 4 жыл бұрын
Wafanyakazi wa chini si ndio hao wanaolazimisha kupewa rushwa.
@aishamkumba9857
@aishamkumba9857 4 жыл бұрын
Hawa T.R.A mungu anawaona wallah
@abershima6592
@abershima6592 4 жыл бұрын
Mungu,akubariki,wa,ziri,mkuu
@MayaMaya-ov9xz
@MayaMaya-ov9xz Жыл бұрын
Makonda ana akili sana za politics. Nimegundua leo
@philipmbunda3610
@philipmbunda3610 5 жыл бұрын
Nimeumizwa sana na tukio hili, ni dhahiri kwamba baadhi yetu bado hatumwelewi JPM na kasi yake ya kuleta mabadiliko katika taifa hili. Mungu ibariki Tanzania, hongera Majaliwa Kassim
@abelsteven3189
@abelsteven3189 Жыл бұрын
Ngoma imeanza mwaka 2016 kaka
@ChristineMagessa-xq8nl
@ChristineMagessa-xq8nl Жыл бұрын
Múngu akulinde waziziwetu mkuu hongera Sana mkuu
@mwanduchuma6189
@mwanduchuma6189 5 жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa mungu akujslie afya
@ricksonmrema1693
@ricksonmrema1693 5 жыл бұрын
Good waziri mkuu
@YusraMadodo-sl5oh
@YusraMadodo-sl5oh Жыл бұрын
Hongera sana waziri mkuu Mungu akuongoze nakuomba baadae uje uwe rais wet wa baadae tunakupenda San WW ndiye umekuwa watetezi wawanyonge
@user-gr9px4pi2w
@user-gr9px4pi2w Жыл бұрын
Yaani hii haikubaliki kabisa, ongera waziri mkuu, viongozi wetu ni lazima msikilize shida za watu na kutolea maamuzi ya haraka haiwezekani wafanyabiashara ndio wanalipa kodi inayolipa mishahara maofisa wa TRA NA POLISI alafu wananyanyaswa kiasi hiki na kufirisiwa kwa njia ya rushwa na kufanyiwa hila za makusudi, inauma sana hawa wote waliohusika wafukuzwe kazi na kufikishwa mahakamani ili hiwe fundisho kwa watumishi wa umma
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Waziri aliunguruma wakati wa JPM lakn Kwa sasa jindamizi gani lipo ujasiri wake sio km wa mwazo,Mungu amlinde waziri mkuu wetu hii ni zawadi kutoka Kwa Mungu
@hassancharo1496
@hassancharo1496 Жыл бұрын
WENZAKE walio karibu naye c wazuri SANA lazima aji chunge
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
@@hassancharo1496 Uko sahihi kabisa mbona hawamuungi mkono Waziri Mkuu? Wanayakwao.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Waziri hao watu ni wabaya sana wanaweza kuenda kwa njia nyingine ya kwatesa wanaotoa habari kwa sababu huwa wanasema wao ndiyo mwisho hao polisi na TRA. Kwahiyo wanaweza kuwatesa hao wanainchi wanao jitolewa muhanga. Kwani wengine tunaogopa tunajinyamazia lakini hii Inchi baada ya Magufuli kuondoka waliwaingilia wanainchi kwa pupa ati walikuwa wamekosa haki yao. Kwani rushwa kwao ni haki yao.
@user-ky5wu4gc9g
@user-ky5wu4gc9g 2 ай бұрын
Huyu baba nimemfwatilia muda mrefu sana ameililia sana serikali lkn alikua asikilizwi mpaka alifikia kutishiwa maisha
@ElnestJohn-nh6yy
@ElnestJohn-nh6yy 2 ай бұрын
Wewe majaliwa nimagufuli tosha ❤❤❤❤❤
@estermeshack610
@estermeshack610 Жыл бұрын
Ubarikiwe baba na Mungu azdi kukupa kibari katika nchii hii ya kuwatetea watanzania
@geofreybalyobalyo4538
@geofreybalyobalyo4538 Жыл бұрын
Hatar kidgo sasa...haya mambo yasikie tu yasikukute.....sema muha jasiri sana safi
@user-kf9gz9vo9p
@user-kf9gz9vo9p Жыл бұрын
Waziristan mkuu hongera unafaa kuwa raisi
@esterkinyaga3836
@esterkinyaga3836 Жыл бұрын
Huyu ndie raisi mtarajiwa anajuwa shida za watu
@luizabahati5198
@luizabahati5198 5 жыл бұрын
Dah...kumbe alipatwa na maswahiba hivi...Yani huu ninuuaji nakubaliana na maamuzi ya JPM hao TRA wafukuzwe KAZI na wapelekwe mahakamani Tu hakuna namna...wamemsakama Sana jamani..Mungu atakurejezea haki zako zooteee
@bensonmwakyando5776
@bensonmwakyando5776 5 жыл бұрын
Polisi wa nchi hii ni mtapel sana,wezi na mafisadi na TRA sio sehemu salama.
@oliverswalo
@oliverswalo Жыл бұрын
Pole sana kaka
@masterfelimaster1014
@masterfelimaster1014 5 жыл бұрын
Ni muhimu sana kuwe na kitengo fulani ktk wizara yako wafanya biashara wakiletewa figisu waje kwako wajue watapata utetezi. Kwani uonevu ni mkubwa sanaaaaa na hawa watu mkiwafuatilia mtawakamata tuu afisa ana nyumba la kifahari na magari tofauti tofauti kuliko ukubwa wa cheo chake.
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 111 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 34 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 1,2 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 35 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 34 МЛН