NYERERE MAKALA || Hii hapa historia ya Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere

  Рет қаралды 56,672

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Tanzania inaadhimisha miaka 24 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere aliyefariki tarehe 14 Oktoba 1999 jijini London, Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.
Sehemu ya historia ya Mwalimu Nyerere kwenye harakati za kuwania uhuru sambamba na uongozi wake kwa Tanzania.

Пікірлер: 27
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 ай бұрын
Tanganyika shall not die.If,it dies our history of the struggle for freedom will die with it as well as our pride as community.
@NaomiCharles-bb8md
@NaomiCharles-bb8md 3 ай бұрын
Jamani serkar musini fiklie vibaya Kwa kuzi post istoria ya viongoz na penda sana kuzi ona ziki pewa samani na ziki kumbukwa mala kwamala na ipet ipenda sana makala iz 💪🇹🇿
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 2 ай бұрын
Katiba mbovu Bora uhuru usingepatikana
@richardlubano7888
@richardlubano7888 10 күн бұрын
Wonderful. No other.
@NaomiCharles-bb8md
@NaomiCharles-bb8md 3 ай бұрын
I love baba nyelele 💪
@AggyAggy-yp4my
@AggyAggy-yp4my 10 ай бұрын
Ahsante
@bezalelindahani
@bezalelindahani 7 ай бұрын
Lazima makara ya mwalim Nyerere yaheshimiwe
@eliudimwakasenga9754
@eliudimwakasenga9754 10 ай бұрын
Tunajivunia 🎉🎉🎉
@safarinisafari
@safarinisafari 4 күн бұрын
Historia hii ina chekesha tu mwanzo mwisho ni jina moja tu hamuoni aibu? Kanakwamba nchi ilikuwa na mtu mmoja na harakati alizifanya yeye mwenyewe
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 6 күн бұрын
Nilipata bahati ya kumsikiliza Mwalimu wakati wa uhai wake.Nilishuhudia upendo wake kwa wananchi wote bila ubaguzi.Nakumbuka maandiko yake siasa yake:Azimio la Arusha 1967,Ujamaa,Ujamaa na Kujitegemea.Nilifundishwa shuleni na ndani ya CCM na kutahiniwa na kufaulu juu ya masomo haya.Sasa,2024,sina hakika kama wanafunzi wetu na wanachama wetu katika utoto wao wanafundishwa na kutahiniwa juu ya imani hii ya siasa yake.Tumebadilika,tunajenga majengo vyuoni ya imani za siasa za China_Conficius
@safarinisafari
@safarinisafari 4 күн бұрын
Yeye ni mtanzania wa pili kupata degree nje ya nchi je huyo wa kwanza ni nani?
@safarinisafari
@safarinisafari 4 күн бұрын
Taa alianzisha nani? Mnataja yeye kupata uongozi hao waasisi?
@joshuakamu196
@joshuakamu196 6 ай бұрын
shujaa wetu walimu juluus Nyerere 🙏🙏🙏😭😭😭
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i 2 ай бұрын
Ana ushujaa gani katulisha matango pori kawafirisi wazawa kawapa mali wahindi mzee alikuwa mjinga sana kawauwa wazalendo kina sokoine mnamsifia bure kaliangusha taifa ona leo watanzania wamelala na chama kimoja
@ProsperUlungi
@ProsperUlungi 2 ай бұрын
Bila shaka utakuwa muislam ndio maana unachuki​@@user-um8xn4ge4i
@safarinisafari
@safarinisafari 4 күн бұрын
Alipo jiuzulu nani alikua mtawala? Na je mtu huyo anahisabika kwenye awamu hizi sita? Au yeye ni wasaba?
@rachelmwaikambo8396
@rachelmwaikambo8396 10 ай бұрын
❤🙌
@mussamisinzo4934
@mussamisinzo4934 6 ай бұрын
Duh
@MudiAlly-hw5wo
@MudiAlly-hw5wo 10 ай бұрын
❤❤❤❤
@LabaniAkyoo
@LabaniAkyoo 6 ай бұрын
Baba wa Taifa
@mishekimalili6817
@mishekimalili6817 10 ай бұрын
Nijivunia kuwa kiongozi bora
@chirangim2439
@chirangim2439 10 ай бұрын
Ni Mwanamajumui - Shujaa wa Afrika
@EzekielEzekielly
@EzekielEzekielly 3 ай бұрын
Histoliyayakambole
@ramadhanikuhanga3324
@ramadhanikuhanga3324 10 ай бұрын
Dah sasa kipindi hicho aligombea na nani wakati alikua peke yake
@yumagabriel9384
@yumagabriel9384 2 ай бұрын
@safarinisafari
@safarinisafari 4 күн бұрын
Taa alianzisha nani? Mnataja yeye kupata uongozi hao waasisi?
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
Kisa Kizito cha Mzee aliyemnyooshea Bakora Mwalimu Nyerere
17:48
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,7 МЛН
Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili
31:05
SIMU. Tv
Рет қаралды 1,9 МЛН
HOTUBA YA MWL.NYERERE MWAKA 1995 Prt1
35:35
Uhai Online Tv
Рет қаралды 123 М.
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН