Ubarikiwe Sana binafsi nimependa hapo Kuna biashara 3 zipo kwenye dam 1)ushonaji mm fundi mzuri Sana 2) ufugaji kuku 3)Bustan zamaua napenda Sana hatakwangu hukosio Aina. Zamaua Je? Kufanya zotekwapamoja inawezekana? Plz ushauri kamahutojali
@Coachsamwel Жыл бұрын
Nashauri anza na moja kwanza hasa hiyo yenye kuhusisha ujuzi wako zaidi bila mtaji mkubwa mf.ushonaji then ikianza kukulipa ndipo utaongeza nyingine Kuna kuwa na vyanzo vingi vya mapato na kuwa n vyanzo vingi vya mahangaiko (multiple sources of income vs multiple sources of struggles) kama biashara ya 1 haingizi hata 2m au 5m au zaidi kwa mwezi.. tulia hapohapo mpaka isimame
@maryammaulid10852 жыл бұрын
Kaka Nina laki 7:na nipo kijiji nifanye biashara Gani tofauti na chakula
@Coachsamwel Жыл бұрын
Umeona biashara katika hizi nilizokutajia? Kikubwa zaidi fanya utafiti wa soko kubaini mahitaji na matatizo ya soko ili upeleke suluhisho
@SamuelMacky-g2r Жыл бұрын
Somo linaeleweka
@Coachsamwel Жыл бұрын
Asante karibu sana
@ElizabethWanjira-pq2or Жыл бұрын
Izo vitu mtu anaeza pata ajy kama za vipodozi na electronic
@Coachsamwel Жыл бұрын
Yes inawezekana
@veronicastephano89744 жыл бұрын
Mwalimu hapa kwenye biashara no11 mambo ufugaji wa kuku.umenigusa kuniambia kuna watu wanaishi na kuku sio kama wako kibiashara
@Coachsamwel3 жыл бұрын
kuishi na kuku VS kufuga kuku 😁... Wewe upo kundi gani Veronica
@veronicastephano89743 жыл бұрын
@@Coachsamwel 😀😀😀 hapa mimi niko kwenye kuishi na kuku mwalimu sio kufuga