MAAJABU DARAJA LA MAGUFULI KIGONGO BUSISI, RASMI KUANZA KUTUMIKA, TANROADS WATOA TAARIFA HII KUBWA

  Рет қаралды 13,133

Uhondo TV

Uhondo TV

7 күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 18
@leokamil6284
@leokamil6284 5 күн бұрын
Mwendazake kweli ulibadilisha hii nchi kwa muda mfupi sana, sijui nisemeje umetuachia ukiwa nchi haieleweki kabisaa. Pumzika kwa Amani
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 5 күн бұрын
Je mama hana mchango kweli? Au mnasahau kwa makusudi?
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 5 күн бұрын
anao sana tena sana
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 5 күн бұрын
​@@KudraWanguvu-em1xwanamchango wakukabidhi bandari kwa waarabu siombaya😊😊😊
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 4 күн бұрын
Tumuombe maisha bora akhera na huyu mama mwenyez mungu amsimamie kwa uwezo wake mungu maana bila mungu hatuwezi kitu jamani na kila hali mja njia ni moja tu
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 4 күн бұрын
Jp Makufuli 😅😅😅
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 4 күн бұрын
Barabara unganishi za Daraja ziwe na urefu kilometa nyingi na upana wa kutosha ilikulipa thamani ya gharama iliyotumika kulijenga siyo mjenge vibarabara kama vya huku uswahilini kuliunganisha Daraja hilo.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 5 күн бұрын
Tanzania inanyanyuka.. .
@Worldunite
@Worldunite 3 күн бұрын
Mbona mnaleta mfarakano? Hili jambo liko wazi kwamba hayati JPM aliona umuhimu wa kujenga hili daraja na akaanza kulijenga, halikuwa jambo rahisi, na baada ya kifo chake mama ndo analimalizia, sasa, tunachoshindania hapa ni lipi?
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 5 күн бұрын
Huyu msimulizi ni mgeni kutoka nchi jirani? Pili, anapotosha kudai ya kwamba kuvuka kwa ferry kutoka Busisi hadi Kigongo ferry unatumia saa mbili. Hata kwa kupiga kasia huwezi kutumia zaidi ya saa moja!
@fauzseif7344
@fauzseif7344 5 күн бұрын
Sio meta ni metet
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 5 күн бұрын
Umekosoa nini?
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 2 күн бұрын
@@justardzelphine6526 😂😂
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 5 күн бұрын
Mbona nguzo zajuu zinaonekana sio imara mjitafakari
@leokamil6284
@leokamil6284 5 күн бұрын
Kutalipuliwa sasa mfuatiliaji ayupo
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 күн бұрын
Engineer wewe? Yaani kwa picha tayari umeshaona ubovu wa daraja?🤣
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 2 күн бұрын
@@kambamazig02024 tulia mmh jambo dogo Hilo unapo ambiwa jambo lifanyie kazi
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 5 күн бұрын
Mchango wa mama upo.....
HIZI HAPA SETI 2 ZA MCHONGOKO, IPO “SAMIA EXPRESS”
3:36
TRC RELI TV
Рет қаралды 25 М.
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 16 МЛН
BANDARI YA DSM: KINACHOENDELEA CHINI YA DP WORLD/ MKURUGENZI ATOA SOMO
10:31
WAPANGAJI WA STEVE NA NDARO
14:01
Ndaro Tz
Рет қаралды 340 М.