BREAKING! Saa 96 baada ya kuachiwa huru, Manji karudi Mahakamani leo

  Рет қаралды 191,777

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Mfanyabiashara Yusuf Manji leo September 18, 2017 amerjea Mahakamani ikiwa ni siku 4 tangu alipoachiwa huru kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi na leo ni muendelezo wa kesi ya dawa za kulevya.

Пікірлер: 130
@kelvinchuwa2212
@kelvinchuwa2212 3 жыл бұрын
Manji ni mtu wa watu sana Mungu akuvushe kwa hili Ameen
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 6 жыл бұрын
Allah akusmamie manji mateja wapo uraian ww mahakamani MUNGU NI WETU SOTE JAMANI
@paulsasuma8713
@paulsasuma8713 6 жыл бұрын
Mmmmh duuuh
@wazirimgeni8564
@wazirimgeni8564 6 жыл бұрын
Duu yaani ndo wamemuongezea umaarufu kabla ya ishu hii hakuwa maarufu sana
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Muuzaji ninani apo naanae takiwa kuzibitiwa ili awo mateja wasipate ayo madawa ninani
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 3 жыл бұрын
Nimemuona Le captain NADIR HAROUB ALI UPAPA Hongera Broh
@khamismcha9294
@khamismcha9294 3 жыл бұрын
Hii nchi atasijui inaongozwa je muliwaita wenyew waje waekeze leo munamshtaka munaitia aibu nchi yetu
@dismassendeu8042
@dismassendeu8042 3 жыл бұрын
Hii ni miaka mitatu nyuma, soma vizuri
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Kama wana makosa je??
@latifaayoub5750
@latifaayoub5750 6 жыл бұрын
Mungu atamfanyia wepesi inshaallah
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 6 жыл бұрын
God bless u more ...Mr Manji
@teslanewton8339
@teslanewton8339 3 жыл бұрын
Kama unadhani hapo kuna kitu kinaendelea, basi utakuwa unafikili kwa kiwango cha chini sanaaa!!
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 6 жыл бұрын
Mmmh kazi ya uandishi nayo changamoto...
@shedamtepa3643
@shedamtepa3643 6 жыл бұрын
waandishi wa habari mna kazi kweli kweli sio kwa kuhangaika uko
@zakayosilas6963
@zakayosilas6963 3 жыл бұрын
Kat ya vombo vya habar millardayo to wasema kweli wengine hata msiwashe kamela nikelo kweny mtandao uongo mtupu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Kilichomponza ni kuulizwa jambo na kujibu kuwa naweza kusema na mwenye mbwa siyo wewe mbwa hakutegemea kuwa angekuwa Rais naye akaipata joto ya jiwe ni kuwa usimtukane usiemjua wala kumdharau hujui kesho yake ndilo hilo lililomkuta manji akabanwa na yeye kwenye kodi nk ccm oyee kazi inaendelea
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 6 жыл бұрын
wandish wa habar nao wanatak hbar manji hna habar ukobize Mahakm
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 3 жыл бұрын
Pole sana Manji mungu atakufanyiawepesi
@emmanuelsimon545
@emmanuelsimon545 3 жыл бұрын
Kwa Hali hii swala la corona mama achana nalo tu hapo watu wanasalimiana inamana wao hawajui kua cc ni Mungu katuvusha
@saidkanji9882
@saidkanji9882 3 жыл бұрын
Manji Tanzania achana nayo kawekeze kwingine Mr.
@akberyuda5950
@akberyuda5950 3 жыл бұрын
Kwingine hakulipi SIO wajinga kama sisi
@georgedamas2771
@georgedamas2771 3 жыл бұрын
Kabisa mzazi
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 3 жыл бұрын
Manji mtu safi roho safi hana kisasi na mtu ame ajiri watanzania wenzake kwenye kampuni zake hela zake ame weka Tanzania na sasa yuko tayari kuwekeza tena na watanzania wapate ajira kumsumbua na kesi za kubambika sio tuu mna mzulumu haki yake Bali watanzania wengi wanao mtegemea kwenye ajira lazima ifike wakati nchi iwe salama kwa watanzania wawekezaji sio roho mbaya tuu fyuuu
@shuwehaomar6658
@shuwehaomar6658 6 жыл бұрын
hakuna marefu yasio na ncha wamemtesa kweli baba wawatu jiachie tu baba hawana maana hawo
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 3 жыл бұрын
Karibu tena mtoto wa mjini👋👋
@ishaumazoea6644
@ishaumazoea6644 3 жыл бұрын
Dah!!! Karudi kweli kama ndoto maisha acha tu dunia mapito
@reubenismail3672
@reubenismail3672 3 жыл бұрын
Mimi mwana msimbazi Ila namuombea manji mungu amsaidie amalize vema Hilo jambo!
@khamisihaji2905
@khamisihaji2905 3 жыл бұрын
Watu na hahati zaoukamatwe na sare za asikari na makosa mazito mazito kisha uachiliwe hivi hivi 2 daa watu wanakamatwa hawana hatia yoyote wanaambiwa magaidi daa hongera manjiiiiii
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 3 жыл бұрын
Kweli huko mahakamani....Lakini anaoneka mtu mwenye Amani ......Mwenyezi mungu atatufanyia wepesi.....Don't give up brother.....
@sultanhamad4924
@sultanhamad4924 3 жыл бұрын
Hii niyamiaka mitatu iliyopita
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 3 жыл бұрын
Siasa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@ramadhanhemed9931
@ramadhanhemed9931 6 жыл бұрын
Pesa bhna 😀😀😀 Mara hii anang'aa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 жыл бұрын
Ramadhan Hemed hata mie nimeshangaa alivyokuwa kachoka na midevu, leo kasuti swafiii kamemtoa😊😀😀
@richardmakao7488
@richardmakao7488 6 жыл бұрын
mwenywe anapenda watuuu ila hawa watu sijui
@getrudemoshiro2581
@getrudemoshiro2581 3 жыл бұрын
Baba rudi bwana ununue mbaazi,choroko zetu walau
@agustinocharles2650
@agustinocharles2650 3 жыл бұрын
😄😄
@issaidrisamusa8437
@issaidrisamusa8437 3 жыл бұрын
Mm siijui vema Tasnia ya habari Naomba mnielewesehe HIVI MTU KUMPIGA PICHA KAMA HAJARIDHIA NI HALALI ? Maana hiyo mionzi inakera na inaumiza Kwa kweli
@ackshuba8679
@ackshuba8679 6 жыл бұрын
waandish wa habar mna kaz ngum
@machinjashabani5331
@machinjashabani5331 3 жыл бұрын
Mmmmh!
@bakariyussuph974
@bakariyussuph974 3 жыл бұрын
Aiseee
@TheChidonline
@TheChidonline 6 жыл бұрын
waandishi wa habari mna indaa
@hemedwow8802
@hemedwow8802 3 жыл бұрын
haya mambo ndio yanafanya mpk mbaaz na choroko mpk leo hazina soko tena!!
@ahmedadan1915
@ahmedadan1915 3 жыл бұрын
Kweli yule makonda ni msenge sana
@reginamanyangu6682
@reginamanyangu6682 3 жыл бұрын
Mungu amuepushe jmn
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@amaniwahure8663
@amaniwahure8663 6 жыл бұрын
mbona hakuna chochote alichoendea jamani?
@manenomachaku1462
@manenomachaku1462 3 жыл бұрын
Sasa hawa Utopolo nao vp wameitwa apo kwani Tff hahahah njaaa jaman Canavaro na Afidhi wametumwa na naani!!!
@zuleajuma7297
@zuleajuma7297 3 жыл бұрын
manji ana papenda sana tz na imanibyata isha tu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
That is what we call money talks!!
@ReactorsWatcher
@ReactorsWatcher 3 жыл бұрын
Namsikitikia sana manji aisee, wamemtesa sana awamu ya 5 na hii ya 6 naona bado wanaendelea kumtesa. Mwacheni mtu wa watu apumue. Mmemnyang'anya mali zake zote na still bado mnamtesa. Pumbavu kabisa
@rajabuissa6107
@rajabuissa6107 3 жыл бұрын
utopolo nini unaongea mbona ni uozo unazungumza???
@abdalahmaganga8183
@abdalahmaganga8183 3 жыл бұрын
Hii video ni ya mda mrefu sana kumbe hawa waandishi nao ni waongo
@emanuelkenethkanyela9137
@emanuelkenethkanyela9137 3 жыл бұрын
Huu ni mchezo hapa Hamna lolote wale mafisadi waliokuwa wanahdulumu hela za wananchi wanaludi kwa staili hii mwisho wa siku kaachiwa huu ni mpango wa kina kikwete na genge lake mimi naawambia ataachiwa ty
@donmata10
@donmata10 3 жыл бұрын
Mungu atakusaidua
@kelvinchuwa2212
@kelvinchuwa2212 3 жыл бұрын
Mungu atakuongoza yote yataisha
@peterchande957
@peterchande957 6 жыл бұрын
kujiamshia dude kivipi? kwani lazima ucomment?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Media mna kazi sana
@getrudemoshiro2581
@getrudemoshiro2581 3 жыл бұрын
Hahaha waandishi wa habari mbona MTU mwenyewe hana mpango na nyie
@andresmartin6332
@andresmartin6332 3 жыл бұрын
Hii video ya kitambo mirad l
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 3 жыл бұрын
HII NI YA ZAMANI SANA
@modiranks7076
@modiranks7076 6 жыл бұрын
Mnao bambanya mb pambaneni na hali zenu tuachieni ss wenye free wifi tuangalie taarifa zote hata zile za upuzi.
@majaliwaemile3057
@majaliwaemile3057 3 жыл бұрын
Mhuu okeay
@ellyswema2113
@ellyswema2113 3 жыл бұрын
Don Pablo
@paulolucas2161
@paulolucas2161 3 жыл бұрын
Alafu mchizi hana habari na Corona anasalimiana na watu free na hana baracoa
@leocadiathomas584
@leocadiathomas584 3 жыл бұрын
Kaaaa mwacheni jamani
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Wanatuzuga tuu
@allywajihi8071
@allywajihi8071 3 жыл бұрын
Naona chawa wa Yanga wamejaa🤣
@saviongaila3546
@saviongaila3546 6 жыл бұрын
daah.... na Captain #Cannavaro
@mdfdkfb2766
@mdfdkfb2766 6 жыл бұрын
Allah with u
@twahirumtunguja4136
@twahirumtunguja4136 3 жыл бұрын
Waandishi munataka habar na jmaa hataki habar na nyie
@mangulymanguly162
@mangulymanguly162 3 жыл бұрын
Uyu mama Samia atumuelewi kazi anayo fanya, kupandikiza chuki au, madini yashaanza kutoroshwa kina job Ndugai washaanza kuongea pumba bungeni na nasikia yuko China, wachina Co marafiki wachina ni mabeberu tena zaidi ya wazungu ivi nyinyi Wa Africa mbona amujielewi
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 жыл бұрын
wachina ndio wameushika dunia kwa biashara na sio marekani unasikia marekani kuweka vikwazo vya kiuchumi kwa yeyote maana hana nguvu na akiweka vikwazo hasikilizwi mabeberu wale wanaopora pesa za wafanyabiashara Bank pesa za haramu lkn sasa wako ktk mahakama ya haki sio
@allyflavour8005
@allyflavour8005 3 жыл бұрын
rudi ndugu yanga nao waonekane
@nassorosendaro4738
@nassorosendaro4738 6 жыл бұрын
Waandishi wa habar mnazingua me nilidhan mtatuambia kaenda mahakaman kufanyaje kumbe hamna lolote nimemaliza tu mb zang nadhan kwa sasa kila atachofanya manji mtataka mtuambie adi akienda kuoga
@y6y6hg77
@y6y6hg77 6 жыл бұрын
Nassoro Sendaro 😁😁😁mpaka akienda kuoga watuambie wee noma
@nassorosendaro4738
@nassorosendaro4738 6 жыл бұрын
Y6 Y6hg wanazingua bhana!!!
@y6y6hg77
@y6y6hg77 6 жыл бұрын
Nassoro Sendaro Nikweli kaka wanatumalizia mb tuu
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 6 жыл бұрын
Nassoro Sendaro 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@neisawanjiru391
@neisawanjiru391 6 жыл бұрын
Sorry to say No democracy in Tanzania
@tereseamasawe8111
@tereseamasawe8111 6 жыл бұрын
Hapa kazi tu. Hishima sasa ipo.
@tatualmazrui5945
@tatualmazrui5945 3 жыл бұрын
Mbona hawamuhoji hhhhhhhhhh au wanamuogopa
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 6 жыл бұрын
penda sana manji mungu amekupigania mpaka uko njee mungu ni mwema siku zote.
@jafarsalum2123
@jafarsalum2123 6 жыл бұрын
kama nimemuona canavaro vile?
@churiabdallah8778
@churiabdallah8778 5 жыл бұрын
Jafar Salum ndio
@seiphselemani1506
@seiphselemani1506 3 жыл бұрын
Tshert imepauka
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 6 жыл бұрын
Vp amefungua kesi dhidi ya makonda au mbwembwe kwishinei
@hekimangusulu6615
@hekimangusulu6615 3 жыл бұрын
Ongeeni Sasa hapa ndo Vita ianapo anziya wanasimba
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 3 жыл бұрын
Kwa navowafahamu mikia FC,saa hizi wanaharisha!
@kipletumba5781
@kipletumba5781 3 жыл бұрын
Alifanya nini
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 3 жыл бұрын
Namuona kama Canavalo huyo?
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 6 жыл бұрын
Daaah hata cm aliimisi
@judesammy9643
@judesammy9643 6 жыл бұрын
Huyu ni mwenye manji biscuits ?
@imrannasser6198
@imrannasser6198 6 жыл бұрын
Jude Sammy no huyu ni wa tanzania a big shot business man anamiliki biashara nyingi
@hassansamata9696
@hassansamata9696 3 жыл бұрын
Hiyo Corona iko wapi wahindi walivyo waoga Manji kajiachia
@mwahamedychilungu8981
@mwahamedychilungu8981 3 жыл бұрын
manji sio muindi ni mtanzania mwenye asili ya kiindi
@suzyjames4968
@suzyjames4968 6 жыл бұрын
sku hzi hii page inapoteza malinda sasa kaenda kufanya nn nyie wandishi sku hzi waongo sna hamtupi habari nzuri masikini mb zangu
@kpetres2872
@kpetres2872 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@user-xw5re3bh5x
@user-xw5re3bh5x 6 жыл бұрын
kabisa ndugu mpewa hapokonyeki
@annastaziakibole5603
@annastaziakibole5603 6 жыл бұрын
jaman hahahaha waandishi wa habar angalieni msianguk maana si kwa mbio izo
@johnbernad3407
@johnbernad3407 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😂
@mahmadougronkjaer8316
@mahmadougronkjaer8316 6 жыл бұрын
yule ni lwandamina au ni nani
@chrissinyinza1172
@chrissinyinza1172 3 жыл бұрын
Rwandamina na kanavaro.
@rajabuissa6107
@rajabuissa6107 3 жыл бұрын
@@chrissinyinza1172 utopolo
@abdallahsalum7486
@abdallahsalum7486 6 жыл бұрын
analeta shobo namaakama ngoja watamkomesha tena uyo
@hamzamwilaphy2902
@hamzamwilaphy2902 3 жыл бұрын
Mahakama gani
@wamburamachele8850
@wamburamachele8850 6 жыл бұрын
😂😂 anajua kuvunga kweli inajifanya kuongea na simu ili wasimulize Maswali.
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 6 жыл бұрын
Wambura Machele 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 6 жыл бұрын
Wambura Machele 😂😂😂😂 hata ningekua mm pia ningefanya tu hivyo aki
@yunicemgina331
@yunicemgina331 6 жыл бұрын
😀😀😀
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 6 жыл бұрын
nimuhindi huyu.mbona hayuko asili ya africa jamani eee
@TheChidonline
@TheChidonline 6 жыл бұрын
mama peku peku asili ya africa ni nini au mpaka uwe chausiku ndio ndio unakuwa muafrika?
@ramadimbegu7996
@ramadimbegu7996 3 жыл бұрын
Huzawa tu unatosha
@mwigakatumpula9817
@mwigakatumpula9817 3 жыл бұрын
Waandishi wa habari Wanataka habari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔🏃
@youtub8320
@youtub8320 3 жыл бұрын
Na sina habari ahahahaa
@yusuphjunior3767
@yusuphjunior3767 6 жыл бұрын
Ahsante mungu hiki ndicho nilkuwa nakisubil kutoka kwa manji maana hii nchi imezidi dhuruma mno
@estherkhotencia2232
@estherkhotencia2232 6 жыл бұрын
Wacha weeeeh....tajiri manji
@fatumaaden8378
@fatumaaden8378 6 жыл бұрын
Just muache huyo mzee mashamba ni dictator analala magufuli
@michaelmilanzi6108
@michaelmilanzi6108 6 жыл бұрын
naona anataka kudai mashamba
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 6 жыл бұрын
Michael Milanzi hahahaahah
@markosamuel6490
@markosamuel6490 6 жыл бұрын
captain cannavaro
@bahatikilindo1795
@bahatikilindo1795 6 жыл бұрын
kimenuka
@judesammy9643
@judesammy9643 6 жыл бұрын
Hii yote ni bashite 🙆🏾
@aminaathuman715
@aminaathuman715 3 жыл бұрын
Simba tufanye mpango huyu mtu aondoke hapa nchini
@andrewsadiki9914
@andrewsadiki9914 6 жыл бұрын
Acheni choyo ndio maana mnakufa masikini tena huyo pesa zake na michongo lakini Magufuli na Bashite pesa za uma mnaufyata wajinga wakubwa nasubirini ccm wanajiengeze muda wakubaki ndio mtashikishwa adabu vizuri
@jundanimikidady1183
@jundanimikidady1183 6 жыл бұрын
xxxvideo
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Anataka kujiamshia dude huyu kanjibhai
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 6 жыл бұрын
😂😂😂
@mwanahella9650
@mwanahella9650 6 жыл бұрын
Hassanova junior 😂😂😂na dude lenyewe likiamka halina wa kulituliza chaai💃💃💃
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 6 жыл бұрын
Hassanova junior Hakuna cha dude wala nini watu roho mbaya tuu zimewajaa.
@ummimohammed1856
@ummimohammed1856 6 жыл бұрын
Wahenga walinena aliyepewa kapewa......Allah akujaalie kila la kheri..
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 5 МЛН
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 115 МЛН
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Mtoto wa Manji asimulia namna baba yake alivyoipenda Yanga
9:02
Kauli ya Manji kwenye Mkutano Mkuu wa Yanga SC
1:40
Azam TV
Рет қаралды 219 М.
RIDHIWANI AFUNGUKA: Ni kuhusu kukamatwa kwa Yusuph Manji
12:34
Millard Ayo
Рет қаралды 74 М.
Dakika 215 za Yusuph Manji kujitetea kesi ya dawa za kulevya leo
2:59
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН