Karibu kujiunga na group letu la USHAUR kwa Ada ya shilingi elf 2 tuu chat.whatsapp.com/J9TmVsMHxqn9xnjO9TIQqo
@digitalaffiliatemarketing2105 ай бұрын
Asilimia 90 ya mahusiano ya kizazi cha sasa hivi watu wapo kwa ajili ya kutumiana kingono ama kimaslai ya fedha tuuu..kupata mwenza ambaye mtapendana kwa dhati ni kazi mnooooo
Fake love ❤️ ❤ sauti yako tamu daah mm kama wewe napenda sana kungumza
@MwitaAbdalla-g9l9 ай бұрын
imeipenda madam ya leo
@vincentoluoch34067 ай бұрын
Kweli kabisa
@Devilinintungwawc2vk4 ай бұрын
Dada yangu umeongea ukweli sana
@MARYKABILITHU3 ай бұрын
kama Mimi nikimpingia azuange
@EmanuelHendrck5 ай бұрын
❤
@davidmguji44093 ай бұрын
Bado elimu ya mapenzi huijui unadhani kupigapiga simu au kutuma sms ndo upendo. Mababu zetu walifanyaje kipindi kile walikuwa na simu. Hebu zungumzieni na namna ya kutoka kimaisha siyo kila siku ni mapenzi tu. Piga mahesabu ya kujitegemea hutaumia dada.
@jumarajabngereza67135 ай бұрын
😭
@maryamsuleiman63407 ай бұрын
Mimi nina rafiki naelewa sanakua hanamda namimi ,dalilizote nazionawazi ,ilanimekua km chizikwake ,ninakosa hatanguvu ninapomuwaza ,hadinajiuliza nimekuje ,manasiomtu wahivyo kunyenyekea mwanamme, ilahuyu nashindwa kabisa ,hii ni nini?
@ivomhagama97966 ай бұрын
Kimbia la kuvunda halina ubani move and go.
@AnaMaige-c7b2 ай бұрын
Poles sanaaa ujawaaa chochotee basis nivile yyy ajawai kuku wazaaa at a SK moja ila unatumia mda mwing kumuwaza hiyo hana mda naww jikazee na mpotezeee
@MeckOdas7 ай бұрын
Dada habali mim nina mtu nikonae kwenye mahusino ya kimapenz lakn nashindwa kuelewa maan nikimhtaj aje dating anakuja pia nikimuhitaj aje kwang hat kwa mambo mengine ua anakuja aliwahi cku moja aliwahi kupata matatizo ya msiba aliniomba nimsaidie kumuongezea nauli asafir kwenda kwao nilimjib sina pesa saiv nipo vibaya lakn nikamuahid kumpatia nikifanikiwa haikutokea shd yoyote ila shda ya ambayo anayo huyu mtu wangu hapend nishike cm yake kuangalia chochot ila nikimuulza kw nin hautak mim kushika cm yako ananijib mim ninajielew niamin tu wala usipate was was lakn nashangaa yey hatakama nimetumiwa txt kwenye cm yang anakua na was was sana alaf mim ni boss wake katika kaz alaf ninachoshindwa kuelewa huyu mtu haniombi pesa mala kwa mala labda awe nashida kubwa ndio huniomba naomba ushauli wako huyu kweli ananipenda kwel! au au ni fake love
@sevlineernest14977 ай бұрын
Achana naye huyo. Kama simu huwez chukua hiyo ndio kipimo sahihi cha kujua faragha yake. Kama hawez kukubali uchukue simu yake lkn yako anachukua Cancel.
@ivomhagama97966 ай бұрын
La kuvunda halina ubani,mtoe kabsa utalia vibaya
@sevlineernest14977 ай бұрын
Ms Liz you are very smart. Je, wewe ni kabila gani?
@richardrichope35282 ай бұрын
Kabila gani unata mutambike 🤔??
@HajiraMnbv6 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@AbdullyJonh6 ай бұрын
Dada hujmb
@MhagamaShadrack-bk2ll8 ай бұрын
Mimi nikimtumia mesej hanib anataka had anitafute yeye
@MhagamaShadrack-bk2ll8 ай бұрын
😢
@ivomhagama97966 ай бұрын
Aaaaaaah inamana yupo ambaye akimtafuta anajibiwa chapu na kwa wakati.wew ni extra kwake