Dawah kanisani kwa pastor Ezekiel | Waislamu wakatalia kanisani.

  Рет қаралды 122,091

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 1 700
@jacobponga1540
@jacobponga1540 2 жыл бұрын
Masha Allah, Hongera sana ustadh Ramadhani kwa kuilingania dini ya uislamu kwa haki na ukarimu tena sana, siku ya kiama lazima itatimia wakubali ama wakufuru hawapunguzi chochote kwa Allah, wanafaa watubie mapema kwa M/mungu ni mwingi wa kusamehea lau sio ivyo huyo pastor Ezekiel na kanisa lake wote hao ndio watakua kuni za motoni wa jahanam siku hio..alafu ustadh ndio unaona huyo tapeli unamuuliza swali kwa bibilia anakwepa eti imetosha shk, hajui lolote kuhusu ukristo wala uislamu tena ako na kiburi kama firauni alipo muona nabii musa.. wako na macho na hawaoni, wako na masikio wala hawasikii pia akili inamaana haitumiki..ole wao walio mkufuru M/mungu watapata adhambu kali sana.. Ustadh Ramadhani nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH, jazakallahu kheri..In sha Allah... wako Abdulrahman Wachira
@saididd4142
@saididd4142 Жыл бұрын
Ustadhi uko na busara sana,masha Allah. Mungu akupe nguvu uzidi kuwatoa watu katika giza.
@najimarashid9762
@najimarashid9762 2 жыл бұрын
I Was a Muslim before but thank God for saving my soul and bringing me to the true light... Glory be to God 🙏🙏🙏..... JESUS HE IS THE WAY, THE TRUTH AND LIFE AMEN.
@eudiusirungu1275
@eudiusirungu1275 2 жыл бұрын
May Almighty God protect you and water your salvation ..through the blood of Jesus Christ Amen
@zeinab3918
@zeinab3918 2 жыл бұрын
Najima rashid you lost the way of life and after the life my ar- rashid give you hidaya inshallah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
How can you explain further?
@zeinab3918
@zeinab3918 2 жыл бұрын
Asc sheeq it's ar-rashid another name of allah can i use it my ar-rashid like my Allah swt I forget to add ar-rashid
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 2 жыл бұрын
Allah akuongoze njia ilo nyoka waniskitisha Najma Rashid
@mamsissam4mp338
@mamsissam4mp338 Жыл бұрын
Ustadha Masha Allah .mungu akupe umri mrefu
@serahwamuraya9143
@serahwamuraya9143 3 жыл бұрын
Asante kwa kuangazia neno la Yesu ktk NEW LIFE MINISTRIES...imeleta mwangaza mzuri kwamba Yesu anatupenda sote..hana ubaguzi ktk uponyaji au ukombozi wake.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
According to whom will he healed people? Because as by my knowledge in the bible he said I by myself can do nothing so waiting to enlighten me he did miracles according to whooooo??🤔
@floramakena127
@floramakena127 2 жыл бұрын
Nige omba mungu atupe nguvu wacristo wezangu tusikubali kuchanganwa na wanadamu wezetu,,,,,,,
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 3 жыл бұрын
Masha Allah, Dawah lazima iendelee sheikh Ramadhan kuria... I love you sheikh wetu for the sake of Allah .
@anthonyonuti8473
@anthonyonuti8473 3 жыл бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/o2ebqZyEatyagdE
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 3 жыл бұрын
@@anthonyonuti8473 kzbin.info/www/bejne/mnWugX6XZ52IpNE
@truthchannel5285
@truthchannel5285 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/h4vYmXmnjKqid9k
@salimsaint5041
@salimsaint5041 3 жыл бұрын
Insha Allah Da'wah iendelee kisha Allah(SWT) akakufanyie wepesi Sheikh Ramadhan katika jambo hilo In sha Allah
@shamimibrahim1089
@shamimibrahim1089 3 жыл бұрын
Muslim is here to show the true way ,,
@agnessngala3589
@agnessngala3589 3 жыл бұрын
Be blssd pastor Ezekiel for the wisdom you have you know how to balance things
@MohamedYusuf-pq6of
@MohamedYusuf-pq6of 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujazi Sheikh Ramadhan kwa kufundisha waislam Tawheed. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana kuona Waislam wanatafuta Nuru kwenye Giza.
@barbarapatel7162
@barbarapatel7162 2 жыл бұрын
This guy has wisdom in answering the question he is being asked may God bless you our brother in Christ
@carendeborah5687
@carendeborah5687 2 жыл бұрын
Evengelist Ezekiel na Mungu akuinue juu Kwa juu wakuonelee mawinguni ukipepea..wabaki hapo wakikuita pia mchawi.Shetani Ashindwe!
@jacobsladder890
@jacobsladder890 3 жыл бұрын
Evangelist Ezekiel....take heart. You are a great witness for our Lord and Saviour Jesus Christ!!!
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
Jesus is your lord 😱😱😱😱?? when did he claim that it's new for me I have been reading the bible in a while but I have never came across with that bold claim so with all respect can you enlighten me where you found the divinity of jesus... I only saw him saying I by myself can do nothing so waiting for you??🤔
@_monicahthehistorian_
@_monicahthehistorian_ 2 жыл бұрын
Quote the verse that Jesus said so. Why are you misleading people? Read John 17:3 May God grant you a better understanding. 17:3 *Now this is eternal life,that they may know you, the only true God and Jesus Christ whom you have sent.* Remember Jesus Christ is son God. He was sent to earth by God and after accomplishing the tasks he went back to be with His Father.
@briejoy3760
@briejoy3760 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 2 жыл бұрын
Huyo ni njaa tu imempeleka
@Dirkawaaye
@Dirkawaaye Жыл бұрын
Nitolee kwa bible where Jesus (as) said he is God
@hidayacollege4725
@hidayacollege4725 Жыл бұрын
Allahu Akbar. may Allah bless you sheikh. you are really doing great job
@peacemakersplus37
@peacemakersplus37 3 жыл бұрын
Evangelist Ezekiel!! This is great wisdom! May the blood of Jesus Christ protect you as you save lives...
@shanicemasai5589
@shanicemasai5589 3 жыл бұрын
Amen be blessed 🙏🙏🙏
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
How can blood save anyone??? 🤔
@peacemakersplus37
@peacemakersplus37 3 жыл бұрын
@@Asiyah2000 Unfortunately a carnal mind receives nothing from God. You ask because you are not spiritual... Ask the devil worshippers especially the Illuminati why the human BLOOD is important to them...without the shedding of blood of Jesus Christ a man cannot be forgiven
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
@@peacemakersplus37 what in the world you just proven my point shading of blood is the symbol of satan worshipers so are you devil worshippers?🤭
@peacemakersplus37
@peacemakersplus37 3 жыл бұрын
@@Asiyah2000 Only Jesus Christ can change your life and save you from eternal destruction..You can't follow Him and go wrong
@graytonndamgoba4805
@graytonndamgoba4805 2 жыл бұрын
I have never see a Christians going to Mosque to ask Christian why they are there. And thank you Mr presenter for giving this platform the for the name of Jesus to be grolified
@kenyan9739
@kenyan9739 2 жыл бұрын
Hatuna hiyo time
@faridavilita2343
@faridavilita2343 2 жыл бұрын
Sasa tunapigania Dini? Waokoke watu wakristo Na waaisalamu tumwaabudu Mungu💞
@enuelabunimkali9529
@enuelabunimkali9529 3 жыл бұрын
Jina la bwana mungu ningome imara mwenye shida hulikimbilia na akawa imara ;
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
Yeah the one and only true God that jesus prayed and prostated to in the garden of gisemony ☝🏽
@rashidwanini2331
@rashidwanini2331 3 жыл бұрын
Allah akulinde Sheikh Kurya .... Waislamu wengi wamepotea na mitihani ya dunia imefanya waingie katika njia zisizofaa.... Allah atuongoze sote tuingie imani kamili na mwisho mwema In Shaa Allah
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Yesu anaokoa njoooni kwa Yesu kuna mengi
@cristalclear2499
@cristalclear2499 3 жыл бұрын
No one's fighting Islam. But what you're doing is fighting Christianity. People have the right to choose which direction to move to according to where their heart is leading them. Wacha porocho mingi bwana.
@maryfeddy2798
@maryfeddy2798 3 жыл бұрын
Kweli. Inaonekana waislamu wako na wasiwasi wafuasi wao waodoka Kwa ndini Yao.
@cristalclear2499
@cristalclear2499 3 жыл бұрын
@@maryfeddy2798 exactly. Hakuna muchristo amesema wacha kuenda musikitini. Na hii waswasi imetoka wapi.
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 3 жыл бұрын
*I WILL PRAISE JESUS ALL THE DAYS OF MY LIFE I will never be ashamed of my faith and my precious Jesus without Jesus we are nothing Jesus is our ALL IN ALL*
@naomimuthonitaveta7966
@naomimuthonitaveta7966 3 жыл бұрын
Stop threatening her of what God will do to her. She has a free will to choose where to go. Hongera dada kwa msimamo wako.
@theblessedone7526
@theblessedone7526 3 жыл бұрын
Aky huyu sheikh ana taabu
@paulinedavid2166
@paulinedavid2166 3 жыл бұрын
Mambo yote ni Kwa YESU ,am christian and am proud to be a christian YESU ni bwana wa mabwana yeye diye Jana Leo na ata milele AMEN 🔥🔥🙏🔥🔥🔥🔥🙏🔥🙏🙏🤲🙏🙏🤲🙏🤲🤲🙏🙏🤲🙏
@rambokoze6017
@rambokoze6017 3 жыл бұрын
Going to hell if you don't change your way of thinking
@damarismbirithu3055
@damarismbirithu3055 2 жыл бұрын
Ameeeeeeen
@briejoy3760
@briejoy3760 2 жыл бұрын
Hko tu banduki kw Yesu ndani ndani 🙏🙏🙏
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 2 жыл бұрын
Bwana wako yupo nyumbani.hyo yesu ni mtumwa wa mungu.17.3 yohana.musome bibilia msiropokwe
@anethipriva5837
@anethipriva5837 2 жыл бұрын
Yes Bwana wa mabwna .....halleluyaa
@mwikalijosephine5178
@mwikalijosephine5178 3 жыл бұрын
Salvation is personal and a man's choice leave people alone to seek God face since ur idols never work na so called misikiti.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
You said what 😂??? first of all miskiti is not the place of dancing and singing that is the nightclub but hold on churches do sing and dance 😱 wait what went wrong🙄🙄🙄🙄🙄... btw Hindus cure their sickness in their so called holy river in the name of Krishna and they often get cure by the grace of God almighty but they don't give that credit to God rather they bow down to idols that they made into their own hands thinking the idols cure them so your logic Hinduism is true faith since they have toucheble and effective miracle....wow what a logic 👌👏🏼👏🏼
@highhigh7476
@highhigh7476 3 жыл бұрын
Utajaza mwenyewe
@rambokoze6017
@rambokoze6017 3 жыл бұрын
You are not well informed,Islam is the only religion that don't believe in idols and you will never find even a pic of a living object in the mosque unlike christians having statue of Mari and Jesus in their churches.Plz find out your facts Islam teaches us to believe in One God and all His prophets.
@simonndiritu4778
@simonndiritu4778 2 жыл бұрын
AMEN only through JESUS CHRIST who give ife
@jacquelinekavita7289
@jacquelinekavita7289 2 жыл бұрын
I wish you could read more about islam the only genuine religion.
@martinemalungu6702
@martinemalungu6702 2 жыл бұрын
Ev ezekiel ur the best preacher wacha waongee usiku watalala ,mimi naamini wewe ni mtumishi wa mungu,,,," from ABBYGiSh"
@mimimkenya2325
@mimimkenya2325 3 жыл бұрын
Fatma ashaamua! Amepata kile hajapata muskitini. Stop threatening her. She's at the right place wacha kumtisha na ajali. Our Lord is not selective He saves anybody even you will get saved soon and preach the gospel. May the Lord open your eyes.
@yummyfoods7014
@yummyfoods7014 2 жыл бұрын
True darling nashangaa kabisa na msichana anasema ashaenda mpaka kwa mganga ingekuwa paster ezekiel ni wa mashetani angesema kulingana na venye ameona kwa mganga....
@rebound2179
@rebound2179 3 жыл бұрын
Evangelist Ezekiel, tushukuru Mungu kuwa umeokolewa. Mungu na akusaidie upate masomo ya Ukristo. Kuna mengi unayohitaji kujua. Kwa mfano, sio ukweli kwamba Yesu hana mipaka ya ki-imani.
@maggiealf4474
@maggiealf4474 3 жыл бұрын
Mimi mara ya kwa kuja Saudi Arabia nilitamani kuwa Muslim lakini baada ya kuona vitu ambavyo waislamu hafanya nikasema hata wanipe million of money I will remain to be Christian.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 жыл бұрын
Waislamu hawalipi watu ili wawe Waislamu. Pili wewe unaangalia tabia za watu badala usome dini na tukiangaliana nyinyi wakristo ndio waovu zaidi.
@maggiealf4474
@maggiealf4474 3 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Hakuna mtu anaweza lipa mtu aingie dini nyingine ni matendo ndio inafanya mtu aache dini aingie kwa nyingine.
@DELIVERANCECHURCHLANGATA
@DELIVERANCECHURCHLANGATA 3 жыл бұрын
Hiyo salamu ni ya wayahudi. Kutoka mwanzo imekuwa hivyo sio Yesu tu aliye agiza. Ikiwa shekh umekubali hiyo ssalamu, kubali pia sabato kwa sababu quor'an imekubali sabato. Na pia mumuite Mungu Yahweh kwa kiyahudi wala si Allah
@margaretgathecha1143
@margaretgathecha1143 3 жыл бұрын
Don't we have a free will? What is the problem? Nobody should be forced on faith matters.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
But isn't Christianity forced upon us Africans where is our intellect our ancestors were brutally abused by this Pauline faith...wake up guys 😫😫😫😫😫😫
@weliaaqilofficial2483
@weliaaqilofficial2483 3 жыл бұрын
Magret my sister even illuminati has a power so don't be fooled that is miracle.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
@@weliaaqilofficial2483 exactly even doctors heal people does that mean they are Gods or miracle....what a joke 😂😂😂
@dominicorero712
@dominicorero712 3 жыл бұрын
Islam is antichrist
@lastgospel706
@lastgospel706 3 жыл бұрын
@@Asiyah2000 ..doctors treat
@BJumah
@BJumah 2 жыл бұрын
The name of the Lord be praised. We thank God for the wisdom issued to him.
@mildredwekesa3357
@mildredwekesa3357 3 жыл бұрын
Ameen,,,Yesu n wa wote na damu yake inatutosheleza.asante sana mtumishi Ezekiel injili idumu
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
So you are happy jesus got tortured and humiliation while crying for God to save him from the crucifixion 😫😫😫😫😫 why are you so mean to jesus he was crying God to save him from the torture and beatings and you hare saying such stupid things where is the love 😥😥😥?
@mildredwekesa3357
@mildredwekesa3357 3 жыл бұрын
Mungu akukumbuke kwa hiyo chuki uliyo nayo.ila ujue Yesu anakupenda zaidi.na n vile mlipotoshwa I wish mpate ukweli .wakristo twampenda Yesu alie asilie twampenda na km mm najivunia.xo endelea na chukizo yako at the end of the dei hutawahi fanana na Yesu wala matendo yako yanatisha.ngojea mkristo msikitini plz.Km c NEEMA na DAMU ya Yesu haungekuwepo.zidi kueneza chuki hadi kaburini
@josephnthei290
@josephnthei290 2 жыл бұрын
Mama amesema mungu sio miungu sheikh acha kuforce pepo.
@fjghfufgg3227
@fjghfufgg3227 3 жыл бұрын
Acheni ufisadi ya dini, Sasa kama mtu amezunguka kila mahali na hapati uponyaji asiende kanisani kuombewa kisa ni mwislam, hebu acheni watu wapone bana mbinguni hakutaenda dini ila matendo na haimanishi mtu akienda kanisani kuombewa ameokoka
@mtorombwana3464
@mtorombwana3464 3 жыл бұрын
Mi simtetei ustadh wala sipingi maoni yako. You have every right of expression. Amefanya kazi yake na kwa upande mwengine ameinua jina la mchungaji. Bt lengo la yote hsya ni matatizo watu wanapitia mikononi mwa ushetani na nguvu za kichawi ambazo wanadam wenye chuki hufanyia wenzao aidha wasifaulu maishani au kuwapa mateso, ambayo wao hakuna faida wanapata. Ni uhasidi ndio hobby zao. Muhim ni tatizo liondoke, hata ukipewa mkojo na upone, thats it.
@sarahkudoyi4371
@sarahkudoyi4371 2 жыл бұрын
Very true dear hawa waislamu wanafanya kazi bure nguvu za giza haitawai shinda nguvu za Yesu kristo...yesu ndie njia ya uzima wa milele
@natrinemweha8625
@natrinemweha8625 3 жыл бұрын
Lakini bona anawafuata hivyo, inakaa ako kinyongo waislamu wakienda kumtafuta Yesu??...Pia wewe njoo kwa Yesu kuna amani, kwa Yesu hakuna kujichanganya na majini utapata moto. Our God is a fire consuming God my friend.
@jedidahmiren3839
@jedidahmiren3839 3 жыл бұрын
I think Kenya there is freedom of worship so no need of question anyone.
@royfordmutuma3066
@royfordmutuma3066 2 жыл бұрын
Tunamjua mungu wetu wee kaa na hallah wako .....basi usisahau ndini yenu ndogo sana mbele ya Mungu.....sisi hatuna ndini....ndini yetu ni yesu
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 жыл бұрын
💖☝ALLAH AKUPE NGUVU SHEIKH WETU💕💪
@oscahinyangala1490
@oscahinyangala1490 3 жыл бұрын
Wewe huoni huyu ni WA YESU CHRISTO??????????????????!!!!!
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 жыл бұрын
@@oscahinyangala1490 YESU KRISTO mbona Kanisa halijui kabisa... tena wala hakuwahi ingia humo
@carolinelucky9199
@carolinelucky9199 3 жыл бұрын
Shekh bwana yesu asifiwe...wataka vipi na ndini na nyinyi nyote Wana wa mungu....mungu akujalie ujue zote twatafuta uso wa bwana.
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
MUNGU azidi kukuinua 🙏🙏🙏Mchungaji Ezekiel kunayo sababu ya kumtumikia MUNGU endelea kuisambaza injili ya YESU kristo aliye hai.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
Which gospel the mathew one or John one or the Luke there are 66 books and 73 which they all disagree at some points be aware and they all claim that same holy ghost inspired them while they differ the basics so which was the gospel of jesus???😫😫😫😫😫😫
@playinglist7754
@playinglist7754 2 жыл бұрын
Am Dominic: kulingana na maojiano ya huyu anae jiita masheki nimeamini kua sisi wa Cristo hatuambudu mungu moja na waislamu
@mwambinguphilip55
@mwambinguphilip55 3 жыл бұрын
Huyu sheikh kachanganyikiwa akaacha kufundisha msikitini amekuja kuchunguza na kuangalia ni Mungu yupi anafanya kazi Anaeabudiwa Hapo Mungu Alie Hai, Mungu Hana dini ila yuko na njia moja ya kweli ambayo ni Yesu kristo Sheikh Mpokee Yesu use na uzima
@julimugambi6330
@julimugambi6330 3 жыл бұрын
Hallelujah, mungu kweli atazidi kuitwa mungu na hakuna aliye na nguvu kama zake .mungu was muujiza nitamuishia.
@japhetmunga3088
@japhetmunga3088 3 жыл бұрын
Shida waisilamu wanaskia vibaya mwisilamu akifata dini yenye anataka. Hutowai kuona Mchrito anenda Msikitikani akitafuta watu waliosilimu warudi kwa uchrito. Kama Uisilamu Dini ya Mwenyezi Mungu, wacha Mungu atetee Dini yake watu wasome neno lake wapate ukweli na wafuate dini Yake bila Kushurutishwa.
@dgffydyeu4014
@dgffydyeu4014 3 жыл бұрын
Kabisa yni hawa waislm wananichosha mm
@bintmohamedmalevi3771
@bintmohamedmalevi3771 3 жыл бұрын
Huyu dada amenifurahisha sana Kasema ukweli kutoka moyoni mwake. Allah amfungulie ktk maisha yke.kavurugika kweli. katoka mbali ya wapi maskini.
@catherinemuyembe1528
@catherinemuyembe1528 2 жыл бұрын
Hivi ndivyo walimuendea Yesu na maswali...poleni sana makuhani.
@evans1292
@evans1292 3 жыл бұрын
Atakaye mkiri YESU ni Bwana kwa kinywa chake na kuamini ya kwamba alifufuliwa katika wafu na MUNGU ataokoka
@FF.Basolutions11100
@FF.Basolutions11100 3 жыл бұрын
Amen
@Mzungumweusi.254
@Mzungumweusi.254 3 жыл бұрын
God bless you pastor Ezekiel na Mungu anapenda watu wote wanaomwamini na kunyenyekea mbele zake
@jeffmulei8895
@jeffmulei8895 3 жыл бұрын
Huyu jamaa haadoke kanisani msimruusu jamani anapotosha eti mama amuodoe akampe madawa huyu atakua mgaga msikubali kutoka kanisani mungu wetu ana dini shikirini hapo
@rabut.j.1829
@rabut.j.1829 3 жыл бұрын
Our Jesus is sweet and no one will defeat Him,we serve one God and where your faith is feeling free go there and praise...
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 2 жыл бұрын
Mnaabudu mtu?jesus ni mtu tu mnapotea wapi?hahah
@heriabudu3207
@heriabudu3207 2 жыл бұрын
True 👍
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Wallahi waisilamu mnapotea kwa kutokujua maandiko na uweza wa mungu katika Qurani takatifu chungeni sana ni nyakati za mwisho sheitani anatafuta waumini waliohoi katika dini ili awapoteza Alishaahidi Allah nitawakalia kila pembe waja wako
@annekivai1045
@annekivai1045 3 жыл бұрын
Evangelist Ezekiel. Greater grace. God is love period
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
What do you mean God is love?🤔
@christine-rf6hd
@christine-rf6hd 2 жыл бұрын
Amen God is our love and he will still loves us
@amenaamena1553
@amenaamena1553 2 жыл бұрын
Wewe si Mungu hauna mamlaka ya kuhukumu kabisa,hiyo kifo ya ajali ikurudie mwenyewe in Jesus Name 🙏🙏
@gracesheila6842
@gracesheila6842 3 жыл бұрын
Thanks Ezekiel the little you know you stood by it.
@abdikeirjimale8620
@abdikeirjimale8620 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ambariki na aendelee kukubarikini daima na amani na furaha na mafanikio yote katika maisha yote ya dunya na akhera.
@freddythyson2732
@freddythyson2732 2 жыл бұрын
Thanks Ezekiel for standing for the truth ,,,,may the name of the Lord be glorified
@elisekinya3721
@elisekinya3721 2 жыл бұрын
Praise God forever ever and Ever amen.siku zinaisha mkishindana na wakiristu... very soon all Muslims will be christians.
@catherinekuria1365
@catherinekuria1365 3 жыл бұрын
Sheikh thank you for spreading Jesus Christ to many Muslims they will go to this Church after they start watching new life channel and discover wenzao wamekombolewa wakapata watoto wakapona wakawa hawaoti ndoto za kiPepo wakafanikiwa kikazi,,,and God will turn there Knowledge into foolishness ,,,I see Jesus touching you sheikh and only then will u understand y your fellow Muslims are going to Church na hio kusoma kislam yote utaiona bure,,,, revival is already here every tongue will confess the Jesus I Lord Hallelujah to the Lamp of God
@aminatsumamakanga7908
@aminatsumamakanga7908 3 жыл бұрын
Usiwahi jaji duni je una jua matendo yako yatakufikisha peponi?hata kauliyako inaonyesha uko na kibri hii ni dunia na peponi kutaingia walio amini iwe umkristo au hata uwe huna dini matendo atatazama matendo ndugu
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
Innalillah wainna ilahi rajiona Allah awanusuru waislamu wote na awaongoze katika njia iliyo nyooka.
@puritychaleka1008
@puritychaleka1008 3 жыл бұрын
Mbona msifate wanao abudu mungu, ngo'mbe waganga na hisitoshe simuwahubirie hao waisilam mbona wewe pia umeingia kanisani na huku wasema ni makafiri
@marywanjiru8178
@marywanjiru8178 2 жыл бұрын
Yesu ataendelea kushinda majini so usidhanie utasmamisha kazi ambayo Mungu aliyoianzisha Mungu habagui na kama waislamu wanaingia kwa dini ya kikristu let them be waCha kurudisha watu nyuma,,may God have mercy on us you
@freshiadavida5141
@freshiadavida5141 3 жыл бұрын
Yesu ndiyo njia ya ukweli,hata nyinyi waislaam kuna siku mtamfuata yesu
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 жыл бұрын
Uyo yesu mwenyewe ndio atakuja kwenye uislamu
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 жыл бұрын
Uyo yesu mwenyewe ndio atakuja kwenye uislamu
@freshiadavida5141
@freshiadavida5141 3 жыл бұрын
@@chunaabdullah1333 okay 🤔 that your opinion
@theblessedone7526
@theblessedone7526 3 жыл бұрын
@@chunaabdullah1333 uislam gani unaozungumzia wewe kipara ndezi🤣🤣🤣
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
😅😅yesu mwenyew mpaka astaafu mpira ulaya tutamfuata
@joannanjala2510
@joannanjala2510 2 жыл бұрын
Amina more blessings brother Ezekiel
@diananjoki6788
@diananjoki6788 3 жыл бұрын
katika kuokoka kuna ile spiritual joy and peace, and Holy Spirit decents you. The name of JESUS CHRIST our LORD and Savior has power. John 12:44-48 Then Jesus cried out, "When a man believes in me, he does not believe in me only, but in the one who sent me. (45) When he looks at me, he sees the one who sent me. (46) I have come into the world as a light, so that no one who believes in me should stay in darkness. (47)" As for the person who hears my words but does not keep them, I do not judge him. For I did not come to judge the world, but to SAVE it. (48)There is a judge for the one who rejects me and does not accept my words;that very word which I spoke will condemn him at the last day. So dont hesitate to go where JESUS is and be saved. Shalom❣️
@lizlovedbyGod
@lizlovedbyGod 3 жыл бұрын
Amen
@kingsanke
@kingsanke 3 жыл бұрын
Amen
@ritanget9174
@ritanget9174 3 жыл бұрын
Amen
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
What in the world🙄🙄🙄🙄 jesus told to believe the only true God that sent him and you rever to him lord..what went wrong where is your logic my friend 😱😱😱😱
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
@@lizlovedbyGod what 🤔
@saidilindukwa
@saidilindukwa 13 күн бұрын
Ustadhi Ramadhani endelea Na Kazi hiyo waokoe Hawa ndugu zetu WA damu,Allah akupe nguvu Na pepo
@brianngiela9294
@brianngiela9294 3 жыл бұрын
Yesu Kristo ndiye njia, Sheikh endelea kufunza watu kuhusu ukuu wake Kristo, mwishowe utashuhudia mwenyewe jinsi Paulo alivyomshuhudia Kristo na kuona Nuru yake, endelea kujulisha waislamu kuwa katika Kristo Kuna upendo na Kuna nguvu, Bwana Yesu Asifiwe, ALLELUYAH EMMANUEL
@lynnemwangangi2942
@lynnemwangangi2942 3 жыл бұрын
Amen🙏
@naomymose1866
@naomymose1866 3 жыл бұрын
Amen
@عبداللهباحميد-ت7ج
@عبداللهباحميد-ت7ج 2 жыл бұрын
MASHA ALLAH Nimefurahi Kwa Hekma Ulio Nayo Wanya Nae Taratibu Na Maswali IN SHA ALLAH Urudishe Kwa Njia Ya Haki
@victorody9214
@victorody9214 2 жыл бұрын
Mungu atupatie hekima ya kumuelewa zaidi, na tutende yanayostahili
@rebound2179
@rebound2179 3 жыл бұрын
Poleni Sana ndugu zetu wa Mombasa. Here is a case of jumping from one frying pan into another frying pan. Neither Uislamu nor Ukristo wa vitambaa na Maji au Mafuta unasaidia. Tafuteni Ukristo wa kweli, ambao hutumia jina la Yesu pekee!
@spiritualrevivalministryke7996
@spiritualrevivalministryke7996 3 жыл бұрын
Thank you so much Ezekiel because of your wisdom. Conviction in our hearts is the key.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
What exactly did he said that convinced you intellectual not emotionally be careful we ain't animals so please elaborate for me what reasonable things he said that convinced you?.🤔🤔🤔🤔
@mimimkenya2325
@mimimkenya2325 3 жыл бұрын
@@Asiyah2000 You are missing a lot, try Jesus and you'll never be the same again. I've seen and been with many Muslims who hide and come to Church for miracles, signs and wonders.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
@@mimimkenya2325 I could say the same Christians do come our mosque oftenly as a Muslim dressed to get feed and help so what?? that is not something to measure the truth try again 😴
@mimimkenya2325
@mimimkenya2325 3 жыл бұрын
@@Asiyah2000 Do Pastors come to the mosque to interrogate them and try to convince them not to get help, I guess not. It's one's faith that matters.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
@@mimimkenya2325 who cares the pastors Christians come to the mosque and seek help that is my revers so that doesn't measure the truthfulness of any religion you pick that pathetic argument Muslims come to the churches so what?? I could say the same 😏
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 2 жыл бұрын
Pastor Ezekiel Mungu akulinde. Yaani vita ya waziwazi lakini Mungu akulinde Mtumishi wa Mungu
@Nancy-k2k
@Nancy-k2k 2 жыл бұрын
Amen may God s protection be upon him always
@elsaomondi2027
@elsaomondi2027 3 жыл бұрын
Once I am lifted up I will draw all men to me says Jesus Christ. Time is short stop these fault finding and run to the Savior. Every eye shall see him and Every knee will bow and say Jesus Christ is Lord.
@jeffmulei8895
@jeffmulei8895 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ustathi ana roho chafu sana
@jeffmulei8895
@jeffmulei8895 3 жыл бұрын
bona unashagaa kwani huyo mungu wenye aponyi? Sisi tunajua mungu wetu anaponya kabisa wacha kushangaa bwana njoo ata wewe
@wamamawama5501
@wamamawama5501 2 жыл бұрын
AMEN
@sharonsharice16
@sharonsharice16 2 жыл бұрын
Amen
@vincentomondi5612
@vincentomondi5612 2 жыл бұрын
@@jeffmulei8895 ni mpuzi sana huyu sheikh, anauliza maswali za ovyo sana
@carendeborah5687
@carendeborah5687 2 жыл бұрын
The more you seek the truth the more Mungu anazidi kuwaleta..utachoka tu.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 жыл бұрын
Ustadhi Ramadhan Allah akulinde na akupe ulinzi, tayari tatizo limejulikana huyu anaejiita mkiristo ndie anachukua waislam kuwapeleka hapo,alafu anajifanya kwenye yuko hakuna walaghai, wauwaji,washerati, wachawi ambapo kila uchafu uko uko aliko, Allah awafungue macho waone njia ya haki, hata bibilia yenyewe haijui, napia QURA'AN hakuifahamu, napia yeye anajua yesu ndie mungu wake
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 3 жыл бұрын
Amin
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 3 жыл бұрын
Subhanallah alah amuongeze dd shekh umejitahidi alhamdullilah allah atupe mwisho mwema mwili umeninisisimuaa daaa allah atuongoze na wtt wetu
@cicilywanjiku2215
@cicilywanjiku2215 3 жыл бұрын
Si kila mtu Ako na maisha yake! Mbona kuvuatilia watu! Raha zenu ni wakati watu wanateseka! Just give people peace! Kila mtu ni mzima!
@iamjoseph795
@iamjoseph795 3 жыл бұрын
Am a Christian from Nairobi u have a wife pure Muslim born and even studied in Sudan Arabia. He used to tell me abt Islam . BT the big thing is even before we meet she used to go to church .
@ambbabu4122
@ambbabu4122 3 жыл бұрын
Innalillah wa innaillahi rajjiun 😭😭😭😭😭 wallahy nashindwa kuamini kama nikweli shina la uislam kenya n mombasa, yani watu hawajui kabisaa uislam na masheikh wetu nao wanasubiri wana siasa ndio wajitokezee ili wapewe pesa Subhana Allah
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Shina lauislamu kenya ni lamu
@khuiii9032
@khuiii9032 3 жыл бұрын
Kuwa na hekma kama hukutaka kusoma usaidiwe VP dungu yangu
@abelmbata37
@abelmbata37 3 жыл бұрын
sio Kenya pekee waislamu wengi sana sasa hivi wanaenda makanisani nasema wengi sana sema sisi hatuwaoneshi.
@paulinerathgeber1045
@paulinerathgeber1045 3 жыл бұрын
Yesu ndiye njia, Waislam amkeni
@njaginjeru7131
@njaginjeru7131 3 жыл бұрын
Come unto me, all ye that labour and are heavy laden, and I will give you rest. Take my yoke upon you, and learn of me; for I am meek and lowly in heart: and ye shall find rest unto your souls. For my yoke is easy, and my burden is light (Matthew 11:28-30)...JESUS IS THE ONLY PROPHET WHO CALLED PEOPLE UNTO HIMSELF! MUHAMMAD WAS A FAILURE1 HE COULD NOT HEAL A BLIND PERSON..TAFADHALI WACHANA NA HUYO DADA...
@bentayosi8671
@bentayosi8671 3 жыл бұрын
Ezekiel continue doing God work by the blood of Jesus Christ kuna miujiza
@Queenesteri137
@Queenesteri137 3 жыл бұрын
John 10:30 Jesus said I and the Father are one. John 14:6 Jesus Answered I am The way the truth&life no one comes to the Father unless through me.Hakuna afikae kwa Baba ila kupitia mimi Jesu Kristo Kasema.
@Emmanuela_pius
@Emmanuela_pius 3 жыл бұрын
Hallelujah
@ibrahimhajji6210
@ibrahimhajji6210 3 жыл бұрын
Read also John 17:30
@Queenesteri137
@Queenesteri137 3 жыл бұрын
@@ibrahimhajji6210 because he had taken the Form of a man in earth though God the son, as in phillipians 2:8-11&after Resurrection He was raised above all names in Heaven, earth&hell not just in this world but in the world to come
@Queenesteri137
@Queenesteri137 3 жыл бұрын
@@ibrahimhajji6210 it was an answer to the Quiz in the vedeo that Jesus never claimed to be God&no Bible verse say's so, they are many. Actually was one of the reasons of his crucification coz they called it blasphemy, Jesus claiming to be God,John 8:58 He said before Abraham was, I Am as God told Moses in exodus My Name Is I Am.
@apostlemosesobanda4512
@apostlemosesobanda4512 3 жыл бұрын
@@ibrahimhajji6210 Brother thanks for quoting a verse, so I welcome you to christian faith so that we teach you more about the word of God, please there is no such verse (John 17:30) in the bible and please be very careful before quoting any verse in the bible you may mislead many!
@suzanjacob3672
@suzanjacob3672 3 жыл бұрын
Mungu ananjia nyingi sana na anawatu wake wengi sana kwa ajili ya kuendelea kueneza ukuu wa matendo yake....na kitu naamini moyoni pia shekhe Mungu ameamua kukutumia kama chombo chake cha kueneza injili ya kristo...ubarikiwe sana na Mungu anakupenda sana..naimani siku ukiijua njia sahihi utarudi kuamini na Mungu akupe hiyo neema
@AbdulmajidHyder
@AbdulmajidHyder 3 жыл бұрын
Tumejionea kwa kweli Wallahi inasikitisha sana.Hayo yote yanaletwa na uchache wa Imani na uchache wa Imani inaletwa na Ukosefu wa Elimu.Wallahai, thumma wallahi,thumma wallahi, Waislaam twenda Ulizwa Na Allah.Wenye Elimu, khaswa wenye Mali wale Matajiri hamu wasaport wenye Elimu ama Ma Daa'i Kufanya kazi ya Allah.Hali sasa hivi inafikia hapa Waislaam kwenda Makanisani sababu kuu ni Shida kando na Ukosefu wa Elimu.
@almeidhalu3238
@almeidhalu3238 3 жыл бұрын
True....zote Ni shida hzi,muumini Na muislamu ni wawili tofauti sio Kila mtu ana udhabiti watauhid..... waisilamu wengi walajimaunga twashindwa kuwaondoa Kwa shida hio,wakifanya wengi waisilamu wasilalamike maana washashindwa
@athmanmaalim9311
@athmanmaalim9311 3 жыл бұрын
Mmmh kweli kabisa
@mwambinguphilip55
@mwambinguphilip55 3 жыл бұрын
My sister you are on the right truck na huna hukumu yoyote kwa kumuabudu Mungu Alie hai
@ashleypetertv5894
@ashleypetertv5894 3 жыл бұрын
Huyu dada roho yake ishaamua kuwa hapo kanisani alipo ndio atapata usaidizi..Halleluya!!wakati wa mwisho there would be a massive revival all over tha world..
@saidahj2543
@saidahj2543 2 жыл бұрын
Waislam wanapenda siasa...nyinyi fanyeni yenu wakristo tufanye yetu
@mimimkenya2325
@mimimkenya2325 3 жыл бұрын
Sheikh, we Christian believe in the trinity, which is God the father, God the Son and God the Holy Spirit. Jesus Christ came to this world as a human being to save the world but He is still God. Don't just base your argument on one scripture. The Bible has so many scriptures that talk about Jesus being God. Hongera Mtumishi Ezekiel for your wisdom. Jesus is love.
@rahabmaina3240
@rahabmaina3240 3 жыл бұрын
Wacheni watu watoke kwa utumwa wa dini...more anointing servant of God we are in last days Jesus is coming soon endelea kukomboa watoto wa mungu
@jumapandu4761
@jumapandu4761 3 жыл бұрын
Mtihani kwa kwel Allah atunusuru ss na vizazi vyetu
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 2 жыл бұрын
Mwenye ez Mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa vile alivyo muumba Isa (yeso) nidivyo alivyo muumba Adam munamtukana Mungu mmoja kwa kumshirikisha
@joycewafula935
@joycewafula935 3 жыл бұрын
Yesu ni roho , alkuja kwa mfano wa mwana damu ,pongezi ndigu Ezakiel 🙏
@mjombamjomba9235
@mjombamjomba9235 3 жыл бұрын
Hongora
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
Where did you get that from?? 🤔
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
@@mjombamjomba9235 she just make fool of herself and you are clapping her.. bad friend 😫
@ritanget9174
@ritanget9174 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
@@ritanget9174 do you believe your God got beaten and get tortured by his creation??🤔
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 2 жыл бұрын
Huyo. Pastor. Ezekiel mungu amemweka hapo .wasram hamtaweza.kushindananae kwa nguvu aliyopewa no na mungu...mungu anazihirisha no uwea on wake..kwa kuwahurumia watu no na no kuwafungua. Yesu anawavuna no waisram wewe mwisram utakaye on kataa kuvunwa na no yesu.juu.yako
@noahgilead6210
@noahgilead6210 3 жыл бұрын
Mbona huyu shehe anasumbua watu.... People have seen Light jesus is light.. Even in the middle East people are being baptized now.. Amen
@kenyan9739
@kenyan9739 2 жыл бұрын
Very true hadi saudi church inajengwa
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 2 жыл бұрын
Mateso yakikupata utakimbilia kwa Yesu tu. Yesu akulinde Pastor Ezekiel. Na hakika Yesu anatukuka
@mwambinguphilip55
@mwambinguphilip55 3 жыл бұрын
Roho wa Mungu azidi kumuongoza fatma be blessed
@mohamedasaid7910
@mohamedasaid7910 3 жыл бұрын
Hongera Sheikh. Muislamu hajielewi ni Waislamu au Simuislamu.
@johnmunenegitonga3821
@johnmunenegitonga3821 3 жыл бұрын
People have seen the light. More will follow the light . practical Jesus
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 2 жыл бұрын
Sheikh Mungu akubariki kwa kazi nzuri ya kueneza injili ya Kristo. Akujalie maisha marefu. Yesu ni Bwana
@saagministry5481
@saagministry5481 3 жыл бұрын
I feel sorry for those trying to block others from experiencing the goodness of Jesus in a unique way in their life. Let them be reminded that Jesus fights battles for Himself and He has never lost any battle and He will never. Why would people have any problem when their fellow human beings who have been suffering are being delivered and receiving their miracles. Is that they are rejoicing in their sufferings, diseases and bondages. I challenge them to either perform those miracles or show us their own who can perform those miracles in the presence of all faiths in other names beside the name of Jesus.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
Woah is that how Christians conduct themselves so according to you something is true such as christianity if it has effectively miracles right??? Well hindus wash their sick ones in a river they rever as holy and oftenly they cure their sickness so does that mean Hinduism is correct religion 🙄??that is the most weakest argument I have ever heard in my life that is called subjective feelings and emotions which is not universal logic🤦‍♀️ you are basing your beliefs these kind of arguments then it's not worthy to even pick🤭... so try proof your faith in rational way and objective way to differentiate the other faiths what you just said even Hindus can claim the same that their holy water in the name of ganesh cure them from illness and whatever they go by so be a real man and present something touchble rational besides your subjective emotions which is not universal truth btw jesus did every miracle in the name of whoooooo?? Very interesting question waiting for the answer not according to your head but according to the collection of books ( bible )🤔🤔🤔🤔
@ritanget9174
@ritanget9174 3 жыл бұрын
Even they don't feel ashame coming at the gate of a church ati wana hoji waislamu hakuna mtu anabebea mwenzake imani yake na imani yako itakuponya
@mimimkenya2325
@mimimkenya2325 3 жыл бұрын
@@Asiyah2000 Read the Bible as a whole don't be selective. You will find many scriptures referring to Jesus as Lord because of the trinity God the Father, God the Son and God the Holy Spirit ...all these is one. Jesus came to the world as a human being to save mankind. It's out of the abundance of the love of God to us. Jesus Himself performed miracles, signs and wonders and all the other prophets too. There's joy in salvation and in the Lord Jesus Christ. The Bible says that every knee shall bow and every tongue confess that Jesus Lord. I pray that you taste His goodness and get out of that religious bondage you're in.
@Asiyah2000
@Asiyah2000 3 жыл бұрын
@@mimimkenya2325 hmm that is irrational approach..well first of all you quoting the bible as if it's words of God sorry dear to upset you with truth but is collections of books Which is the manipulative words of John mathew Luke and paul who never meet jesus And came way after jesus and you quoting from that corrupt book as if it's authority over jesus while jesus never proclaimed divinity at to begin with in fact he commanded his followers to worship one God and don't associate patner with God as the first commandment so what you just said doesn't reconcile in Jesus's teachings he disproves you🤷‍♀️ btw you said other prophets did miracles and wonders so why jesus is different to these prophets who did huge miracles some of them than him why you calling him God and not other prophets like moses who was even called ilohim which means god he is more likely to accuse him divinity than jesus because jesus never called god and he never proclaimed Himself divinity since they perform the same thing 🤔 why double standarded.... anyways jesus said I by myself can do nothing without God's permission so here you go 🤷‍♀️
@ibrahimmohammed9361
@ibrahimmohammed9361 3 жыл бұрын
@@mimimkenya2325 so 1+1+1=1 seriously ignorance its wat put people astray even Jesus said I can't do it alone wat ido is father will so Jesus is basically saying they is God whom iworship
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 жыл бұрын
Shaikh ramadhan kuria bin kaguo...hats off kwa ujasiri uliopewa na Allah...na Allah atakunusuru kokote uendapo inshaAllah uwe ktk khairi na salama..km alivo ambiwa sayyidna Abubakar sidiq na Mtume wetu s.a.w...INNALLAHA MA'ÀNAA
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 3 жыл бұрын
Ameen
@hashim8130
@hashim8130 3 жыл бұрын
Mweye ezi mungu amuongoze dada yetu na sisi sote kwenye njia ya haki
@anthonyonuti8473
@anthonyonuti8473 3 жыл бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/o2ebqZyEatyagdE
@anthonyonuti8473
@anthonyonuti8473 3 жыл бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/kHjFh5SQZbV5hqs
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 3 жыл бұрын
Amin
@HassanAli-vy3kb
@HassanAli-vy3kb 3 жыл бұрын
Amin
@serahwamuraya9143
@serahwamuraya9143 3 жыл бұрын
Asante kwa Mungu kutupenda sote...haijalishi wewe uko ktk dini Gani mradi tu kuamini kwamba Yesu anaweza yote, Mungu anasikia yote
@moshantoj
@moshantoj 3 жыл бұрын
Huyu Shekhe siyo MTU mzuri. Huwa anasilimisha wakristo lakini ona anavyoumwa waislamu wakienda kutafuta usaidizi kanisani mpaka karibu machozi itoke.
@djhassim_254
@djhassim_254 6 ай бұрын
Lazima ikuume ndugu yako akiingia kwenye Giza . Painful I say
@zainaal-nabhani9034
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Mashallah sheeh ramazan mungu akubariki sana akupe wwpesi katika kaziyako
AFANDE NJOGU AJIANDAA KUSILIMU ALLAH AMUONGOZE PAMOJA NA WENZAKE
1:00:17
Straight Path Dawah
Рет қаралды 19 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 36 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 86 МЛН
MASWALI NYETI YALIYOWATATIZA WACHUNGAJI
35:55
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
Wachungaji waikataa bibilia mbele ya waisilamu eastlegh ajabu sana by sheikh Anwar
32:11
Waislamu wanaoenda  kufanyiwa miujiza kanisani | Nini tatizo?
21:44
Straight Path Dawah
Рет қаралды 124 М.
DADA ASHANGAA NA MAANDIKO HUKU WENGINE WAKISILIMU.
50:01
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
KWANINI NILIACHA UKRISTO- RAMADHAN KURIA BIN KAGUO NCHINI OMAN
1:00:04
Straight Path Dawah
Рет қаралды 38 М.
MKRISTO APAMBANA NA "KRISTO" ANA KWA ANA
1:12:19
Straight Path Dawah
Рет қаралды 91 М.
ALIYESILIMU AAMUA KUTOBOA SIRI😀
58:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 36 МЛН