DIBATE YA KIHISTORIA 2021 FULL | MASWALI TATA NA MAJIBU | FUATILIA MPAKA MWISHO UPATE STAREHE

  Рет қаралды 92,678

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 2 жыл бұрын
Am muna alhamdulilah kwa kuwa Muislimm MASHAALAH MASHEKHE🙏ALLAH WAONYESHE NJIA NA WALOBALI INSHAALLAH
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 3 жыл бұрын
Allah atuwekee MaSheikh wetu InshaAllah kwa kupiganiya Dini yetu awalipe mema hapa duniani na Akhera
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 3 жыл бұрын
Amiin
@nassirsbahock6710
@nassirsbahock6710 3 жыл бұрын
Mungu awahifadhi viongozi wote wa kiislamu wenye kutangaza njia ya unyenyekevu..
@charlesmgonja8689
@charlesmgonja8689 2 жыл бұрын
.Mwenyekiti. Mko vizuri mdahalo unanoga
@januarynicholas8088
@januarynicholas8088 2 жыл бұрын
Mungu awalinde nyote kwa kutufundisha neno nzuri bwana Yesu asifiwe
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 3 жыл бұрын
باركم الله فيكم Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojli
@hidayalema4273
@hidayalema4273 3 жыл бұрын
..
@hhlkll9160
@hhlkll9160 2 жыл бұрын
Jamani mm nampendasana sheikh mmbaruko
@paulwambua4956
@paulwambua4956 3 жыл бұрын
Mungu Atukuzwe kwa kazi nzuri kabisa inayofanywa na waadventista wa Sabbato. Na Mwenyezi Mungu Awabariki saaaana. Ila kwa dakika za mwisho tumekosa sauti kabisaaa
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 2 жыл бұрын
Yaani wakristo poleni Sana kwa kudanganywa.... Eti nabii mussa, Ibrahim wamenfuata yessu wakati yesu kaja mwisho kuliko wao hata kuzaliwa hakuzaliwa kipndi Chao... Dahh poleni
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 жыл бұрын
Shukran sheikh Ibrahim na masheikh wote kwa kweli wakiristo wamelewa mada ila tu ni viziwi mabubu na ni vipofu kama ilivyoeleza qu'ran ( kitabu kitakatifu)
@betsonishengoma3263
@betsonishengoma3263 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Yesu ahimidiwe
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 3 жыл бұрын
Masha Allaah Allaah awalinde
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 3 жыл бұрын
Amiin
@cimpayeriziki5035
@cimpayeriziki5035 3 жыл бұрын
Mashehe kwa pasta nyote mwafundisha neno nzuli mwapiganiya mbingu mwenyezi mungu awape pepo kwa huruma zake mungu nawapenda sana Mazinge kigogo wa wislilam
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 3 жыл бұрын
kweli Mungu awazishie watumishi Mungu 👍👍👍
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Masha"Allah
@zainabpadoni7635
@zainabpadoni7635 3 жыл бұрын
Waisilamu Mungu awasaidie muijue kweli nayo kweli iwawekee huruu
@soccertv293
@soccertv293 3 жыл бұрын
Kweli uislamu ndio kwelli
@maggiemamaafricaofficial7080
@maggiemamaafricaofficial7080 3 жыл бұрын
Mimi na yesu mbaka mwisho
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@PhabianiJacobMakaya-sc6jj
@PhabianiJacobMakaya-sc6jj Жыл бұрын
Yesu ni muislamu wewe ni mkristo wap na wap
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 3 жыл бұрын
Waislam Kitabu chenu kinawaambia na mnapaswa kutambua ukristo hata mfanyaje....
@lisauroble31
@lisauroble31 3 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI KTK KUTUFUNDISHA AMINA
@fatumabakari1480
@fatumabakari1480 3 жыл бұрын
Kwann wakiristo huwa wanapayukaaa😂😂😂😂😂
@asnatyahya3979
@asnatyahya3979 3 жыл бұрын
Hawajiamin
@waltershayo1339
@waltershayo1339 3 жыл бұрын
Ss huyu petro si ndie aliyefukuzwa na yesu ss wao wanamfata dah Mwenyezi Mungu tunashukuru kuwa waislam
@lilolovel9473
@lilolovel9473 2 жыл бұрын
Yesu anaambia wafuasi wake wamsaidie kufundisha dini ya Mwenyezi Mungu, tena yeye ndio mungu!!!
@jafarfarhan7749
@jafarfarhan7749 3 жыл бұрын
Maaashallah
@musalumbi8490
@musalumbi8490 3 жыл бұрын
Msemaji wa kwanza upande wa Wakristo amechanganyika na mada. Anasema Yesu aliwaongoza mitume na manabii katika njia, kisha anasema dini yao ni ya ubatizo. Kuna dini ya ubatizo? Ubatizo ni nguzo ya dini ya Kikristo. Na Ukristo ni kuamini na kumfuata Yesu. Lakini Yesu alifundisha njia ya unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu. Yaani njia ya Al Islam (unyenyekevu). Wakristo mksema kuwa manabii walikuwa wakristo mnadanganya kwa sababu hata Imani ya ukristo ilianzishwa baadaye sana baada ya kuondoka Yesu. Yesu mwenyewe hakujiita mkristo maana yeye mwenyewe ndiye aliyeitwa Kristo, yaani mpakwa mafuta (cheo tu, wala sio dini). Wala yeye mwenyewe hakuwahi kuwaita wanafunzi wake wakristo.
@NurdiinXabiib
@NurdiinXabiib 2 жыл бұрын
That's Clear enough thanks to axeplen the way , Allah makes these people to understand...
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 2 жыл бұрын
Wakristo maskini hawana DINI ,VITABU,MUNGU,MTUME, na wala IBADA.
@mutanafatiibrahim2240
@mutanafatiibrahim2240 3 жыл бұрын
Vizuri sana
@Mosetyi
@Mosetyi 2 жыл бұрын
Why mess up?
@michaelchisichi8727
@michaelchisichi8727 3 жыл бұрын
Mungu tunaomba balaka naamani
@benardobunga
@benardobunga 3 жыл бұрын
Wakristo ndio dini ya kweli kwa sababu wananena kutumia lnjili kuliko wasilamu ambao wananena wakijisifia bila Neno. Nikiangalia mkutano huu naona tofauti kwa sababu ya walimu mweslamu wanatumia vijikaratasi inamanisha hawana huhakika na Quaran Yao.
@soccertv293
@soccertv293 3 жыл бұрын
Acha uongo
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 2 жыл бұрын
Kwa maandiko gani
@PhabianiJacobMakaya-sc6jj
@PhabianiJacobMakaya-sc6jj Жыл бұрын
Utoe na maandiko yakuthibitisha sio tu ukristo ni dini halafu huna ushahidi
@mosesmuyamwangi7905
@mosesmuyamwangi7905 3 жыл бұрын
Mnapingana kwa dini za ugeni ilhali mlikuwa waumini kabla ya dini za kizungu na kiarabu kuletwa
@emmanuelngewa8894
@emmanuelngewa8894 3 жыл бұрын
kabla haijatufikia injili iokoayo tulikuwa katika imani za umizimu na za matambiko ambayo ni kinyume na sheria ya Mungu ilipo tufikia ile injili iletayo wokovu katika kristo yesu tuliamua kuachana na miungu isiyo okoa na tukamfata Mungu Muumbaji...shida ni moja tu kwamba wakati injili inaletwa ilikuja kwa mfumo wa madhehebu yanayokinzana katika mafundisho ya kumjua Mungu ilihali Biblia ni moja. ndipo sasa panapokuwapo na mijadala kama hii...kati ya wakristo kwa wakristo na madheheebu yao na kati ya wakristo na waislamu..okoka mfate yesu
@djdogoladharrt1922
@djdogoladharrt1922 3 жыл бұрын
Nimependa mapenzi kwa wote akika Tanzania inaenda kuajuu namungu yupo nasi upendo ndosilaha ya ushindi
@maggiemamaafricaofficial7080
@maggiemamaafricaofficial7080 3 жыл бұрын
Shida ya wisilamu wako na kiburi wakifundisha that is the problem
@christopheryaa2444
@christopheryaa2444 3 жыл бұрын
its because they lack knowledge....and ukienda mtaa wenye uko na waislam the place is not developed at all coz they are lazy.
@musalumbi8490
@musalumbi8490 3 жыл бұрын
Q5:47 haijataja Wakristo bali Injili, hii hapa Aya: وَلۡيَحۡكُمۡ اَهۡلُ الۡاِنۡجِيۡلِ بِمَاۤ اَنۡزَلَ اللّٰهُ فِيۡهِ‌ؕ وَمَنۡ لَّمۡ يَحۡكُمۡ بِمَاۤ اَنۡزَلَ اللّٰهُ فَاُولٰٓٮِٕكَ هُمُ الۡفٰسِقُوۡن
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Mchungaji anatoa quran 3:99 Allah anasema enyi mliopewa kitabu kwanini mnawazuia watu kuijua njia ya Mwenyezi Mungu kisha anachakachua na waefeso je Hiyo njia ya mwenyezi mungu ni ipi???
@BabaLaos
@BabaLaos 3 жыл бұрын
Mwisho hamna sauti🤭
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 3 жыл бұрын
Kweli mnajua vitabu lakinii mnakosea mnayakosoa maandiko ya mungu jinsi ya kuyajadiri mnatakiwa kufundisha watu kwaupole bwana wa majeshi asema mm siwezi nikaa kuyayumbisha maneno ya mungu
@vom84
@vom84 3 жыл бұрын
Waislam vitabu vyenu vinawakataa kinomaaa, hivi mnavisomaga kweli🤣🤣😂😂
@omanbarka1588
@omanbarka1588 3 жыл бұрын
😂😂😂
@saidiramadhan9554
@saidiramadhan9554 3 жыл бұрын
Tatizoo iloo
@sircharles9775
@sircharles9775 3 жыл бұрын
Hivi wameelekezwa vizuri kuhusu maana ya dini ila wanapinga bila msingi
@daudyussuf8180
@daudyussuf8180 3 жыл бұрын
Mashallah
@fatumabakari1480
@fatumabakari1480 3 жыл бұрын
Imagne wanasema watangaze din ya mwenyzmung af bwana yes asifiwe badala ya kumsifu mung😂😂😂😂
@dani72130
@dani72130 3 жыл бұрын
Neno la Mungu ndio Mungu mwenyewe, Nikuulize swali, Yesu Kristo katoka mbinguni au kwa wanadamu? Kama katoka kwa Mungu basi ni amri ya Mungu kumsifu kwa sababu ametoka kwa Mungu.Ukitii neno la Mungu ni nguvu kubwa sana.
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 2 жыл бұрын
Bacon's una marks 100 over 100
@shabaniassani2819
@shabaniassani2819 3 жыл бұрын
Ivi Wakristo walisomaga ao awakujaliwaga kusoma
@wiseboywissebo3856
@wiseboywissebo3856 3 жыл бұрын
Wanafata mkumbo baba alikuwa mkristo basi na mimi nafwat maana ukiangalia hata vitab vyao vinawakataa
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Mchungaji anajikanyaga sasa yesu ni dini ama anawaelekeza watu kuijua hiyo njia
@waltershayo1339
@waltershayo1339 3 жыл бұрын
Yesu ni njia kweli kwani ss waislam tunakataa yesu ni njia yesu hakuwa mkristo
@sircharles9775
@sircharles9775 3 жыл бұрын
Kuvuka mada Kwa upande wa uislamu na kutoelewa kwingi hata toka Kwa nukuu katika korani
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Mchungaji usipotoshe watu kanisa kwa mujibu wa yesu ni kusanyiko la watu mathayo 18:15 toka lini jangwa la sinai likajengwa kanisa ??? Mbona yesu hakujenga kanisa bethlehem kwa kuwa hakupinga torat ya musa
@yia73
@yia73 Жыл бұрын
Very clear they called themselves christos ,not God naming them christos.
@rezikomer9552
@rezikomer9552 3 жыл бұрын
Huyo anaye zungumza kutowa maneno ndani ndani ya quran jee ana mimini uisilamu ni wamuhamad na muhamad ana mwamini yesu maneno yake jeee bibuli yazungumza kuhusu muhamad
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 3 жыл бұрын
Wahadhiri wa Kikristo HAWAKAI AU HAWATULII KWENYE VITI VYAO.WANAWASIWASI KAMA PANYA ALIOPIGWA JICHO.
@iwacuburunditv2298
@iwacuburunditv2298 3 жыл бұрын
Sula zenyew zawaislma ni zakijini
@christopheryaa2444
@christopheryaa2444 3 жыл бұрын
Kwani ni siri.........si hata wenyewe wanajua ivo
@salwamohammed9218
@salwamohammed9218 2 жыл бұрын
Nyinyi ndio mnasura ngumu
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH 3 жыл бұрын
wapendwa tena marafiki wetu...wokovu umewatafta walakini hamtaki,kilio chaja jioji mwenyewe josh toka KENYA
@jeffmulei8895
@jeffmulei8895 3 жыл бұрын
Waislaam muokoke muachane kufumfuata MTU alieye kufa
@shehantn9288
@shehantn9288 3 жыл бұрын
Rete uzibitisho was aya ukiristo nidin wap
@biramsakh9212
@biramsakh9212 3 жыл бұрын
Alipoongea muislam mimemfahamu vizuri ila alipoingia uyu mkristo sjui ata a naongea nini
@sammunialo5463
@sammunialo5463 2 жыл бұрын
Mbona hamjaacha tusikize swala la nyongeza? Maana alilemewa kulijibu mazinge. Alishindwa kabisa. Aibu iliyoje?
@yehoshafatshabani3342
@yehoshafatshabani3342 3 жыл бұрын
midahalo ni mizuli ila upande wa mitambo wekeni muundo mzuli yaweza kuwa na hujuma
@iwacuburunditv2298
@iwacuburunditv2298 3 жыл бұрын
Waislam hamuezi kushinda ukweli!
@soccertv293
@soccertv293 3 жыл бұрын
Ukweli ni up
@waltershayo1339
@waltershayo1339 3 жыл бұрын
Kwani yesu alipeleka dini gani kwa waisrael ni uislam
@desirenzambimana4378
@desirenzambimana4378 3 жыл бұрын
Waislam nyinyi mumevuruga kirakitu kwabaclisto Ila tuweze gusikia poleni Sana tumeagundua tu
@rezikomer9552
@rezikomer9552 3 жыл бұрын
Mboba bible imesahauliwa kila kitu ni ndani yaqurani hiyo ni bible waificha kwa jina la qurani. kuwa mkweli baba
@egonyjefmsagati9259
@egonyjefmsagati9259 3 жыл бұрын
Naboa
@rezikomer9552
@rezikomer9552 3 жыл бұрын
Brother ufahamiki kwa vyovyote wewe wa upande wawakiristo
@robertmbeye7764
@robertmbeye7764 3 жыл бұрын
Sasa uislam wapi pamesenwa ni dini?
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 3 жыл бұрын
Ukristo hauendi bila UWONGO.Master hao wooote wamelipwa iliwaongopee.Yohana Omari ndio mkuu wa MABASTERD WA UWONGO.
@dani72130
@dani72130 3 жыл бұрын
Katika mihadhara mingi wanatumia uongo kusilimu watu wao wakijifanya ni wakristo, wanaona wakristo nao wanatumia uongo.
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 3 жыл бұрын
ila mtasumbuka Sana wakristo maana waislam wagumu kuelewa
@hoziaissai3768
@hoziaissai3768 3 жыл бұрын
mbona wanafunz wayesu ndo wapo kwenye quran au mmegeuza maneno maana yesu alisema Kuna manabii wauongo watakuja sijui Hawa walojawa na mungu miwili maana ukipita kwenye mjumba yao maajabu 2 nahapo wakitoka wanaonana mashaka wengine wanaswal kwa visit kiunon hiv ndugu zangu Kuna iman Tena hapo
@qerysir4410
@qerysir4410 3 жыл бұрын
Hapo katika maswali 'editor' alianza kukata vipande na kuweka sauti za wengine wakti wakristo wanaongea. Kumbe janjajanja za waislamu tu!!
@rezikomer9552
@rezikomer9552 3 жыл бұрын
Mukirsito you dont make any sence
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
Let us be neutral and look at this objectively, without Bias and without any racism. Without pre-conceptions. Completely neutral with our intellectual cup the right side up, because if it was upside down, nothing, no matter how profound, will go into the intellectual cup. Question: Did you ever question yourself that the Gospels by Mark, Luke, Matthew, and John have no last names? In court or in your passport or driving license, do you not have your last name? How valid is a document without any last name to give it validity? Second: Jesus spoke Aramaic. The name for God in Aramaic is Elah. Please look it up. Muslims say Allah. Third: Did the mother of Jesus or Jesus himself claim he is god or the son of god? Fourth: Muslims love Jesus and Mother Mary more than lip-service Christians. Why? Muslims keep a beard and they prostrate in praying to One God Almighty as Jesus did. Muslim women wear a head-cover called hijab like Mother Mary. They do not eat pork like just like Mother Mary or Jesus. Fifth: If Christians claim that you will only be saved if you believe in Jesus, them what about other prophets like Moses and Abraham and Jacob and Job, and other good people before Jesus was born? Will they go to hell? Certainly not. Bible in its original form must have been profound. But it has been tampered with, unfortunately. Be serious, because this is your life in the hereafter. You must study the Last Testament: the Quran. If you find it good, accept it. Otherwise reject it. You owe your whole life and your whole afterlife to yourself. At least that much. Is that too much to overcome with our minds so much affected by a singular, one-stream, bias-laden, pre-conceptions? I respect you and your faith. But please do more research. As an intellectual, you owe yourself that much. Much respect...Ray, from Canada
@rezikomer9552
@rezikomer9552 3 жыл бұрын
Hiyo ni bible sema siqurani wewe mkrito
Mwalimu Ndacha akula kibano, Ipi dini ya Mitume na Manabii?
1:00:39
Straight Path Dawah
Рет қаралды 65 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga
22:08
Millard Ayo
Рет қаралды 346 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН