No video

Dr. Chris Mauki: Mambo 5 ya Kutafakari kabla ya Kuamua Kuachana

  Рет қаралды 31,158

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Je unafahamu kwamba kuachana na mpenzi wako pasipo kufanya tathmini ya kina inaweza kuongeza madhara ya kuachana huko? Bahati mbaya wengi hawafahamu nini cha kutathmini au nini anatakiwa kutafakari kabla. Haya hapa mambo 5 yakutafakari kabla haujaamua kuachana. Ni muhimu, yafuatilie kwa umakini.
#DrChrisMauki#Kuachana#Mahusiano

Пікірлер: 93
@OdetteKahambu
@OdetteKahambu 3 ай бұрын
Aksante sana kwa ma adibisho. Ume Saidia sana mausiano yangu
@user-pt2kl3nb8g
@user-pt2kl3nb8g 7 ай бұрын
Asanteh sana mung akubariki🙏🙏🙏😊
@nashiminomary8422
@nashiminomary8422 3 жыл бұрын
Ahsante Sana nimejengeka hakika Sikukosea kwa Maamuzi yangu.... Japo nimepoteza mda mwing na Yeye ila acha tuu maisha yaendelee 🙏🙏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@user-xw2pz8lt3z
@user-xw2pz8lt3z Жыл бұрын
Ubalikiwe Sanaaa,, Kwa mafundisho Mazuriiii ,, umenisaidia Sanaaa
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 2 жыл бұрын
Asante MUNGU tangu nimeingia Kwenye hili darasa najiona nimekuwa watofauti sana MUNGU akubariki sana dokta
@rosenelima8618
@rosenelima8618 3 жыл бұрын
Asante sana daktar napitia mazito sana mimi niko mbali naye hanitafuti hata calls hamna, naumia sana ila nimesikia mafunzo ni mazuri sana.
@gladnessrwegalurila3843
@gladnessrwegalurila3843 Жыл бұрын
Asante sana kwa funzo zuri. Nimekuelewa sana.
@DrFf-pv7vq
@DrFf-pv7vq 3 жыл бұрын
Asante dr chris yaani leo umeongea point vinzuri nilikuwa nimeamua but kuna jambo hapo limeninguza God bless u
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 mnacharge sh ngapi, kama mtu anahitaji ushauri kwa njia ya simu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
SESSION DETAILS: FACE TO FACE SESSION (USHAURI WA ANA KWA ANA) Session ya ushauri ya mtu mmoja ni sh. 70000/= kwa session ya kwanza na 60000 kwa sessions zinazofuatia (followup sessions) na couple session (au session ya watu wawili) ni sh. 120000/= kwa session ya kwanza na 100000 kwa sessions zinazofuatia. Maongezi na ushauri huchukua dakika 45 hadi 60 (lisaa limoja). Ushauri ktk kundi (group counseling) ni sh. 250,000/= kwa lisaa limoja. Booking hufanywa kwa simu au msg siku moja au mbili kabla na malipo ya kwanza hufanywa kabla ya kukutana kwa namba 0713 407182 (tigopesa) au 0762 247863 (mpesa). Ofisi ipo ESAURP VILLAGE Survey, “University road” njia ya kuelekea chuo kikuu cha Dar es Salaam, au Makongo, au chuo cha ardhi, baada tu ya kumaliza geti la mlimani city, mkono wa kulia utaona bango jeupe lenye mandishi ESAURP VILLAGE. Contacts: 0713 407182, chrismauki57@gmail.com. Kumbuka: muda uliopotezwa kwa kuchelewa hautofidiwa na session isiyohudhuriwa italipiwa. Karibu
@fortunataangelo5575
@fortunataangelo5575 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 natafuta pesa, ila tuongee kwa njia ya simu, naishi Dodoma
@sofialinus8241
@sofialinus8241 3 жыл бұрын
Duuh 😲😲 Umeokoa mahusiano yangu, sikutathimini kabla, Nimewekeza nae, ananisaport ktk biashara zangu, napenda sana.....ila nilitaka kumuacha kwasababu tuna-dini tofauti...... naendelea kuvumulia Mungu anisamehe na kunionesha jambo jema la kufanya....... ASANTE SANA MUNGU AKUBARIKI 🙏🙏🙏
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Hongera kwa kujifunza kitu
@deokman90
@deokman90 2 жыл бұрын
Qq
@amalalshehri7308
@amalalshehri7308 2 жыл бұрын
Asante sana kwa mawaitha
@janekalondu4633
@janekalondu4633 2 жыл бұрын
Asante sana..hio point nimzuri sana..barikiwa
@swalhazira8533
@swalhazira8533 Жыл бұрын
Asante sanaaaa kwa somo lako dr kuna maneno hapo umesema niangalie faida zake na hasara zake nimepata faida zake ni nyingi na ilikua nimeamua kuachana nae
@upendoheavyd197
@upendoheavyd197 2 жыл бұрын
Asante kwamafunzomazuli ninandunguyangu anamika15kwenyendoa ivikalibuni amegundua mmeo anamwanamke wamezanaye amepatamshituko karnataka wachaneirabadoanampenda alimuaminisana akutegemeailo tunaombaushauli wake afanyaje iliawezekukaasawa
@annalyimo8462
@annalyimo8462 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@estherzilpah9998
@estherzilpah9998 3 жыл бұрын
Quite true doctor Chris Mauki, be blessed wherever you are for your nice lessons towards marriage.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Asante sana
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@sylviesaidi8863
@sylviesaidi8863 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 plz naomba ushauri wakwako
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Dr Chriss
@beatricemwakitinya5360
@beatricemwakitinya5360 3 жыл бұрын
Thank you ubarikiwe
@faeralmamari9744
@faeralmamari9744 Жыл бұрын
Nice lesson to
@venancelindo3322
@venancelindo3322 3 жыл бұрын
Ahsante kwa somo lako
@agnesylyelu6395
@agnesylyelu6395 3 жыл бұрын
Umeeeleweka sana ubarikiwe
@winfridamanumbu3254
@winfridamanumbu3254 2 жыл бұрын
Thanks dr
@carolinechebon4513
@carolinechebon4513 2 жыл бұрын
Thank you
@fatimaafrica6605
@fatimaafrica6605 3 жыл бұрын
Asante sana
@esterlaizer7237
@esterlaizer7237 3 жыл бұрын
Thanks bro be blessed
@ibrahimshaban9101
@ibrahimshaban9101 3 жыл бұрын
Asante Sana
@agapejosceline7683
@agapejosceline7683 3 жыл бұрын
Asante sana docta. Tuna faidika sana
@leahmungure6538
@leahmungure6538 3 жыл бұрын
Imenitokea,mume aliniacha na baada tu ya ile devorce kama miaka 2 Kupita akaanza tena kunifuatlia na kuahidi kunioa tena but haikuwa rahisi kumkubali.Mpaka sasa ana mke ameoa but anasema mimi ni mke wa pili.Na kunizuilia nisiolewe....nimempuuza nasonga mbele. Ahsante kwa somo kubwa limenihusu kabisa. Ubarikiwe.
@gladnessvictorine3152
@gladnessvictorine3152 2 жыл бұрын
Good fact
@stellaemilian6844
@stellaemilian6844 3 жыл бұрын
Asante baba umenijenga pakubwa point ya kwnz na ya pili nilihc cko sahihi lakini point ya nne na ya tano imenifanya nijue maamuzi yangu ni sahihi,nimejipima kupitia fundisho lako hili,barikiwa mnoo
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@phanicemukunga4697
@phanicemukunga4697 3 жыл бұрын
Thank you for good encouraged
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@sylviesaidi8863
@sylviesaidi8863 3 жыл бұрын
Yes Dr mm ufuraishwa Sana tu unanijega
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@sylviesaidi8863
@sylviesaidi8863 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 mm ninao sita tu kdg Dr kuusuyana na mpenzi wangu kwasasa ama badirika kidg alafu nimtu asiye ingeanga
@gladysalbinus7646
@gladysalbinus7646 3 жыл бұрын
Asantee umenijenga Tena
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@momo-md9hx
@momo-md9hx 2 жыл бұрын
Doctor Chris, salaam wengine hatuhisi chochote mpaka mambo yakianza kuwa ya tofauti ndo hisia zaanza kutawala🤧
@hawwahawwa8533
@hawwahawwa8533 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@stellahmelkiony8890
@stellahmelkiony8890 3 жыл бұрын
Ukweli mtupu huu Dr. Chris, endelea kutufundisha kuhusu ndoa ili tuimarike
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@stellahmelkiony8890
@stellahmelkiony8890 3 жыл бұрын
@@ChrisMauki1 Dr. Video ya mambo 6 mwanaume ayajue kuhusu mwanamke haifunguki iko private
@fidellakapella205
@fidellakapella205 3 жыл бұрын
Wow. .....
@rehemamhewa4639
@rehemamhewa4639 3 жыл бұрын
Thank you Dr
@ellyjames9375
@ellyjames9375 3 жыл бұрын
Naomba namba zako kaka
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks 0713497182
@rossieyokim4142
@rossieyokim4142 2 жыл бұрын
Me sina nyongeza but God bless you
@havijawazuberi9826
@havijawazuberi9826 Жыл бұрын
Habari doctor, namshukuru nimelewa Somo na hatua zote hizo nimeziweza, shida ipo kwake nimemove on lakini ananisumbua sana kwa sababu mwanzoni nliumia mimi na hakujali hisia zangu kabisa nikawa kipofu na kiziw kwa yote aliokua akinifanyia lakini nimechoka nasimtaki tena.yy imekua kero Sasa na nimejaribu kuwanae lakini nimeshindwa doctor sijui nifanyaje nisaidie
@RehemaBakari-vi7nf
@RehemaBakari-vi7nf 11 ай бұрын
Nmefunza but anakua mzto kwny majkum yke nfnye nn ikiwa nampenda
@everlynewere7154
@everlynewere7154 2 жыл бұрын
Ubarikiwe. Na Akiwa ameharibika akilli hatuelewani unafanya nana gani ?. Wazazi wanakuforsi Kuala hapo.
@dorcasjoel9565
@dorcasjoel9565 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri . Mimi naishi na mqanaume ambaye namtegemea lakini Ni msaliti , ananidharau, haniheshimu. Nipo kwake sababu
@theresiamartin3008
@theresiamartin3008 3 жыл бұрын
Nimejifunza jambo
@beatricemabula4783
@beatricemabula4783 2 жыл бұрын
Ahsate dk ya kwanza nimelewa sana.lakin kama mtu hakupendi kabisaa.kabisaainakuwaje apo
@steventemba4817
@steventemba4817 3 жыл бұрын
Doctor kuna vitu natamani unisaidie kisaikolojia tafadhali ubarikiwe kwa somo
@lucysylvester2763
@lucysylvester2763 2 жыл бұрын
Samahani doctoer mm ni mgeni humu naomba muongozo jamani! Ila zaidi nilikua nina personal issue naomba msaada wa kupatata walau no yako
@marthajoseph6902
@marthajoseph6902 3 жыл бұрын
Asante Mwl. Samahani nashida ya ushauri naomba nisaide plz
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Karibu 0713407182
@niwaelnathaniel5450
@niwaelnathaniel5450 3 жыл бұрын
Kweli kabisa doctor wengine wanajikuta wameachana na kurudiana kika siku
@zainazaina8711
@zainazaina8711 3 жыл бұрын
Hi Dr heeh mm Kwa kweli am done kuchepuka mpaka na kuzaa na nae day's to much Dr I Hv one son as itake care of him my self Dr hizo benefit zote ulizo zitaja nimezipitia hata nimeachana nazo now am doing my in things privetly we ar stil together but am doing my on things very privetly coz I ask for da divorce he doesn't want it pains me so bud coz everydy he lies to me he go to dat mchipuko he is a dog he can never change and we ar 2 wife's wid mchipuko pls help me
@swalhazira8533
@swalhazira8533 Жыл бұрын
Doooh huwo ni mtihani maadamu umeamua kumove on na maisha yako achana nae
@dianasamwel7929
@dianasamwel7929 3 жыл бұрын
Dar nimependa sana lkn mm kikubwa nahtaji uxhauri wako.
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 3 жыл бұрын
Habari diana
@salomeagathon1829
@salomeagathon1829 3 жыл бұрын
Somo nzr limeeleweka Dr. Naomba kuuliza ni sahihi kwa mwanaume ambaye ni mume wa mtu halali kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati wa kuchepuka na sio kwa mkewe?
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 3 жыл бұрын
Darasa Zuri hili
@anaksa4412
@anaksa4412 3 жыл бұрын
I dated this man for 5yrs en we had a dota, so it was this way;after 3yrs he married the 2nd wife without telling me 💔, i forgave him, he had a side chik, i forgave him too, after bearing him a bby gal it wasn't worthy too, i feel depressed juu i had no feelings at all, it made me flew 4 the case of my kids, he then insulted me 😰😰💔, naona hana maana kwangu juu akona mke, bali husema hampendi n angali, mimi ashanitoka roho, vitu vingi anafanya na babake wewe hakuna mahali unahusishwa😔🙆‍♀️help
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@niwaelnathaniel5450
@niwaelnathaniel5450 3 жыл бұрын
Sofia,dini inahitaji pia wewe kua na furaha maishani kama huna amani ya moyoni hata kanisani au msiktn utasahau kwenda dumu nae kigezo cha dini hakina nguvu dhidi ya nguvu ya penzi
@surferboy1426
@surferboy1426 2 жыл бұрын
Je? Ni Sawa kurudisha mtu aliye kusaliti?
@matha7750
@matha7750 3 жыл бұрын
Me naumia hantafut mpk nmtafute
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 3 жыл бұрын
Achana nae
@rosenelima8618
@rosenelima8618 3 жыл бұрын
Same kwangu ni hivo pia sijui nifanyeje,na niko mbali naye
@aminakipande5645
@aminakipande5645 3 жыл бұрын
haya mahusiano yattuua haki duh mm kwa now nishakata tamaa kbsa dharau .hataki ushauri mmh
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
Mm nina shida kubwa sn dr.
@upendomapile1234
@upendomapile1234 3 жыл бұрын
Hakuna mawasiliano ya kukupata jamani kaka
@aishaibrahim4477
@aishaibrahim4477 3 жыл бұрын
Nilipata mpenz katka wakati mgum.. na alikuwa akinifariji wakati huo lakin na yeye alikuwa na matatizo yake yaliyokua yakimkabili... Ninampenda MTU huyu Sana.. tulianza mahusiano Kwa muda mfupi
@aishaibrahim4477
@aishaibrahim4477 3 жыл бұрын
But alisema ananipenda Sana Ila Kwa sasa hayuko tayar kuendelea kuwa na Mimi cz anataka kuweka maisha yake yamevurugika Sana.. na anaona hatanifa nyia Jambo zuri kuniweka ido
@berthajoel3155
@berthajoel3155 3 жыл бұрын
Mung azidi kukubaliki ili uendele kutupa elimu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@fatumajuma6273
@fatumajuma6273 3 жыл бұрын
dah ushaur wako ni mzur unatutia moyo
@fatumajuma6273
@fatumajuma6273 3 жыл бұрын
mm naomb ushaur wak
@laliaelulu1815
@laliaelulu1815 3 жыл бұрын
Doctor me naitaji namba yako ya WhatsApp tafadhali
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 3 жыл бұрын
Karibu 0713407182
@yuliabakari890
@yuliabakari890 2 жыл бұрын
Namimi ninashida kubwa sana ambayo inanitesa naomba nikutafute whatsup asubuhi dr maana naweza zimia one day
Dalili Za Mtu Anaekuacha - Joel Nanauka
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 115 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 20 МЛН
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 462 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kukusaidia kumpata mpenzi sahihi
9:26
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 124 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za Kupooza Migogoro Katika Mahusiano
7:20
Chris Mauki: Dalili 5 ameshakutoa moyoni mwake
6:27
Chris Mauki
Рет қаралды 157 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 mpenzi wako ana machungu na wewe
7:12
Chris Mauki
Рет қаралды 35 М.
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
10:15
Chris Mauki
Рет қаралды 243 М.