No video

DR.PATRICK NHIGULA AFICHUA SIRI KUTENGULIWA KWA NAPE NNAUYE NA JANUARY MAKAMBA(MAKAMBA AKAMATWE)

  Рет қаралды 33,316

Zandaani media tz

Zandaani media tz

Күн бұрын

DR.PATRICK NHIGULA AFICHUA SIRI KUTENGULIWA KWA NAPE NNAUYE NA JANUARY MAKAMBA(MAKAMBA AKAMATWE) MAANA AMEFANYA UFISADI MKUBWA MATILIONI YA FEDHA YAMELIWA NA YEYE. AMEFIRISI NCHI AKAMATWE.

Пікірлер: 31
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 Ай бұрын
Namshukuru Jehova kwa kulipa walimkejeri Mwendazake
@leonardmaganja4627
@leonardmaganja4627 Ай бұрын
NCHII IMESHAKUFA HAKUNA WA KUIOKOA. HAYA MATATIZO HATA KUYAZUNGUMZA NI KUHATARISHA MAISHA. NCHII HII HAITAPONA MPAKA KIYAMA.
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Wa kuiokoa ni ninyi wananchi , mkiendelea kutegemea wana siasa mtabaki hapo hapo sikuzote za maisha yenu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Kwa kweli hawa wanateuliwa kwa kujuana leo unaona unaona watoto wao ndiyo kila. Hakuna hata wanakojuwa wanawekwa kuendeleeza wizi tu. Kuna wakina watoto wa Kikwete.
@leonardmaganja4627
@leonardmaganja4627 Ай бұрын
WAKENYA AKILI ZAO ZI HAI ZA WATANZANIA ZMEKUFA NA KUFARIKI. NCHI HII NI YA MACHAWA NA WANAFIKI HAKUNA NA HUTAKUWA NA MAPINDUZI YA MAENDELEO . TANZANIA TULIIPENDA LAKINI MAFISADI NA MACHAWA WAMEIPENDA ZAIDI
@user-mn2et2pf6z
@user-mn2et2pf6z Ай бұрын
Nhigula uko sawa.mfano bunge tu ndo unajuwa hakuna inchi hapa.mbuge akiweka hoja ya unaini upigaji anashambuliwa na wabunge wenzake
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Ай бұрын
Kina nape ndio waelewe katiba mpya ni muhimu....
@evelina9621
@evelina9621 Ай бұрын
A"chani.kutukana.tanzania.iko.nyuma.sana.ukmbuka.nyerere.alivyo.watoa.wakololeni.akasema.mwaka10.atawaita.waone.maendeleo. viwanda.vingi.na.mengineo.sasa.vipo.tunaita.walewale.tuwakabiza.uzalishaji.situo.kupiga.lekodi.nyerere.baba.wa.taifa.alie.zamani.mbaraka.mwishe.toka.mrogoro.hebutukumbuke.watuu.zama
@abelmwakipesile9868
@abelmwakipesile9868 Ай бұрын
Kule sijui,kule sijui kama haufahamu si uache
@suafaahsuafaah345
@suafaahsuafaah345 Ай бұрын
Amka wew tuu sis tuwache hiv hiv
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Ай бұрын
Kwahiyo tukiichukuwa tuipeleke wapi na kwa nani ulianza vizuri lkn sasa unapoelekea kwa sisi watanzania hatuzoea
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 27 күн бұрын
Tz InaongozwA kijambazi kabisa, eemungu tusaidiye utujariye watuwenyeroho wamungu watuongoze, CCM imekwisha wamebaki mashetani wabinadamu
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Ай бұрын
Who owns Tanganyika? 😂
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Ай бұрын
Kweeeeeli unayoyaongea. Kama nyerere angekuwa kama waoo , basi ndo hivo.
@salimhamad-ms6qo
@salimhamad-ms6qo Ай бұрын
Kizimkazi kwao Samia hakuna mikarafuu
@froma3732
@froma3732 Ай бұрын
Tukabali utawala Rais Samiha amewapa watu Uhuru wakujieleza Mulikuwa kama mlotiwa maji ndio Mujuwe kuwa Tunapoelekea kuna Mwangaza sio Rahisi kubadilisha mfumo kwa Miaka 3
@hamidjuma2178
@hamidjuma2178 Ай бұрын
100 pcnt
@isaachayes9783
@isaachayes9783 Ай бұрын
Huyu pumbavu kweli tapeli, nepotism matako yako!
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
💯💯💯💯💯💯💯💯🤝🤝🤝🤝🤝🤝✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾
@user-wq6hr7ny4u
@user-wq6hr7ny4u Ай бұрын
Mwendawazimuwewe
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Ай бұрын
Ni wewe.😮
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 Ай бұрын
Dr.acha ujinga
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
Lice ?
@maase2023
@maase2023 Ай бұрын
Kwani waziri kuondolewa au kuhamishwa kuna ajabu gani? Mbn mmeshikila mabango juu ya nape na makamba kulikoni? Acheni majungu na fitna zenu hizo je kesho wakichaguliwa tena hizo sura zenu mtaweka wapi??? Mmmmhhhh
@user-rz9xx7nx8t
@user-rz9xx7nx8t Ай бұрын
Watu ukiwambia hayo ni wabishi ndiyomana tumefika hapa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Wewe uko Ulaya unaambia watoto wetu au wananchi waingie barabarani wakila virungu wakauwawa utawasaidia nini unataka tubebe mizigo wakati tu wazee njoo wewe na familia yako myingie barabarani nensa zako sisi siyo Wakenya ona vijana wanavyokufa
@user-wq6hr7ny4u
@user-wq6hr7ny4u Ай бұрын
Njoo uandamane sisi Amani nizaidi yachukizako
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Mtakao ikomboa nchi yenu ni nyie wananchi, mpaka karne hii unategemea mtu aje akupaginae kweli? Kwa jinsi hii watotot wa viongozi na watawala watazidi kuongoza hii nchi mpaka mwisho
@malikidaudi2517
@malikidaudi2517 Ай бұрын
Dr acha kuchochea watu eti wainngie barabarani .wewe kama hujui madhara yake anzisha harakati zako tukuone na watu wako
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 Ай бұрын
Mna njia nyingine? Maana kura zinachezewa na wamesha tamka waziwazi
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,3 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 69 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 96 М.
Dangote Petrol Production, Nigerian Petroleum Sector +More | Politics Today
53:20