DR.SULLE SASA AUTUA MZIGO MZITO/WANAOSEMA KUHUSU MIMI WANATAFUTA UMAARUFU UWELEWA WAO NI MDOGO SANA

  Рет қаралды 14,542

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 135
@JadeMCT-i9o
@JadeMCT-i9o 4 ай бұрын
Ahsante sana Dr Sulle nnakuheshimu nnakuaminia nnakuthamini sana kama Shekhe mtaalamu mwenye elimu ya juu kabisa ki scientific and spiritually may Allah yehfadhak duniani na akherah mahasidi Mungu atakuepushia mbali nawe Shekhe mashaAllah Tabaraka Allah Rahman mashaAllah Sheikh Mungu akulinde na majahili ameen thummah ameen
@YusuphKazigo
@YusuphKazigo 5 ай бұрын
Tunamshukru Allah kutupa mtu km ww sio ww ni mungu wako Llah akupe umri mlefu inshaaAllah kusamba mambo mzr ya Allah
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 7 ай бұрын
Sulle kama Sulle huna mpinzani. ALLAH akuhifadhi.
@AbdalahMussa-xo6fh
@AbdalahMussa-xo6fh 5 ай бұрын
Ndugu zangu tuache matabaka tumtumie uyu doctor sule tutapata faida kubwa ishaall
@Suleimanokechi
@Suleimanokechi 6 ай бұрын
Alhaji Doctor sule nakukubali sana sheikh wangu
@NassourJuma
@NassourJuma 7 ай бұрын
Dr sule ni zaidi y genius..hongera sana
@mukhusinathuman6596
@mukhusinathuman6596 7 ай бұрын
Sule ni genius..👍
@halimatunda7711
@halimatunda7711 5 ай бұрын
Nakuombea uzima maisha,Mwenyezi Mungu Anasaidia nipate hela nikuite kwetu usaidie vijana hakuna mwangaza,mabb wameenda uwezo wakulea mkid hata mmoja hawaezi, Inshallah
@xenioribra3765
@xenioribra3765 7 ай бұрын
Allah. Akutunze
@sultansallah8772
@sultansallah8772 6 ай бұрын
Ujanja ujanja. Wa kiswahili huuwezi kumleltea ALLAH
@ShabaniAbdi-bn1gz
@ShabaniAbdi-bn1gz 7 ай бұрын
Mwamba wa kimataifa 👏💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 3 ай бұрын
Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman 🤲 Dr sule.. Allah akuhifadhi 🤲
@HemedSamsoni
@HemedSamsoni 7 ай бұрын
Mwenyez mungu akupe maisha marefu ... ❤❤
@Commonp
@Commonp 7 ай бұрын
Mashaallah nimesikiliza mpaka mwisho ❤
@ole_larusai587
@ole_larusai587 7 ай бұрын
Wapinza wa Dr.Sule wamepigwa na kitu kizito na Chenye ncha kali utosini.❤
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 6 ай бұрын
Wameyakanyaga😂😂😂😂
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 7 ай бұрын
Safi sana dokta wewe unajuwa
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 7 ай бұрын
Waisilamu Takbiiir
@toufiqjaffary7991
@toufiqjaffary7991 7 ай бұрын
Umetoa darasa zuri sanaa doctor 🙏🙏🙏
@sylvesternjgwila1055
@sylvesternjgwila1055 7 ай бұрын
King sule
@AthumanMohamed-xq1qe
@AthumanMohamed-xq1qe 6 ай бұрын
Dt ninakuewa sana
@AbdullahNamachokole-gm3ub
@AbdullahNamachokole-gm3ub 7 ай бұрын
Nakukubari sana dr sule kama unavy sema kwa ss atuone umuhimu wako ila ukifa ndip tutaona umuhimu wako ila nice sana
@NicholasZulu-dj5jt
@NicholasZulu-dj5jt 7 ай бұрын
Dr sule pigakazi mu saidi yawatu malipo nka mungu wa ace fitina
@Rooney1184
@Rooney1184 6 ай бұрын
[Sura ya 24] -{surat Al nur} 21. Enyi mlio amini! Msizifuate nyayo za Shet'ani. Na atakaye fuata nyayo za Shet'ani basi yeye huamrisha machafu na maovu. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu na rehema yake juu yenu, asingeli takasika miongoni mwenu kabisa hata mmoja. Lakini Mwenyezi Mungu humtakasa amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 7 ай бұрын
Huyu dr sule anjua dini hajui kuhusu majini malaika ndiye wanaoshukuwa dua zetu kumpelekeya mwenyezi mungu
@bilalabas9636
@bilalabas9636 7 ай бұрын
Dah sheikh ww sio mtu wa kawaida Kila nikikuskiliza napata kitu kipya Allah akuhifadhi
@ISMAILIbrahim-ys5vl
@ISMAILIbrahim-ys5vl 7 ай бұрын
Nakuelewa sana she sule
@halimaa9367
@halimaa9367 7 ай бұрын
SubhanaALHA
@Kizuamediatv
@Kizuamediatv 7 ай бұрын
Mashaallaah
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 7 ай бұрын
Hakuna aya wala hadithi , ni rai zake na akili zake. Usidanganye masufi. Alhamdulilah law kuufaham usalafy
@HemedSamsoni
@HemedSamsoni 7 ай бұрын
Sule akili nyingi
@MesalimRashid
@MesalimRashid 7 ай бұрын
AsthakafiruAllah.
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 7 ай бұрын
Kinacho wasumbuwa hawa ni chonyo majini wanatumia ila uwatumie viziri wapo wanao tumia majini kwa kuangalia akhera na wapo wanao tibia majini kuangalia dunia sasa hivi vitu lazima wavitambue hao mashekhe uchara
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 7 ай бұрын
Ndio watu huwa wanaharibiwa nyota zao kwa hasadi na chonyo
@Rooney1184
@Rooney1184 6 ай бұрын
[Sura ya 3 Quran]-{surat Al Nisai} 38. Na ambao hutoa mali yao kwa kuonyesha watu, wala hawamuamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho; na yule ambaye Shet'ani amekuwa ndiye rafiki yake, basi ana rafiki mbaya mno.
@ameeranassor1619
@ameeranassor1619 7 ай бұрын
Dr Sule Mwenyezi Mungu akubariki kwa kutupa elimu yako, nakufuatilia sana na najifunza mengi sana kutoka kwako. Huyu ndugu mtangazaji aendelee kujifunza, darsa nzuri ila haijapata mtangazaji au muulizaji mzuri
@Rooney1184
@Rooney1184 6 ай бұрын
[Surat Al baqara] Aya ya 268. "Shet'ani anakutieni khofu ya ufakiri na anakuamrisheni mambo machafu. Na Mwenyezi Mungu anakuahidini msamaha na fadhila zitokazo kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa, Mwenye kujua" Aya ya 269. "Yeye humpa hikima amtakaye; na aliye pewa hikima bila ya shaka amepewa kheri nyingi. Na hawakumbuki ila wenye akili."
@HassanMdimu-d3f
@HassanMdimu-d3f 7 ай бұрын
Siri ya Pepo na moto ni ya MUNGU,hivyo tusihukumu.
@KeyanChamp
@KeyanChamp 7 ай бұрын
Mm naamn mbo yapo dunian
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Twataka sunna na quruani
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 7 ай бұрын
Iyo ya pete utambulisho tupe Dalili ustadh tuambieni kweny hadith na Quaran😢tine
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Doctor twataka debate hapa ili tuelewe sulle vs shaff
@Rooney1184
@Rooney1184 6 ай бұрын
119. Na hakika nitawapoteza na nitawatia matamanio, na nitawaamrisha, basi watakata masikio ya wanyama, na nitawaamrisha, basi watabadili aliyo umba Mwenyezi Mungu. Na mwenye kumfanya Shet'ani kuwa ni mlinzi wake badala ya Mwenyezi Mungu, basi huyo amekhasiri khasara ya dhaahiri. 120. Anawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu 121. Hao makao yao ni Jahannamu, na wala hawapati makimbilio kutoka humo.
@allyatom2076
@allyatom2076 3 ай бұрын
hata binadamu wapo mashetani
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 7 ай бұрын
Kina shafi wanatoa fatwa wakati elimu hawana
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 7 ай бұрын
HAPA UKWELI TUTAUJUA SASA
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 7 ай бұрын
Kwan ww hukumuhukum hamornize kua atakufa ety aombe msamaha
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 7 ай бұрын
Ila Harmonise ulimpeleka motoni
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z 7 ай бұрын
Kasahau
@MesalimRashid
@MesalimRashid 7 ай бұрын
Unamsaidia mpaka mtu aliyeritadi ambaye hukumu yake unaijuwa.Innalililahi wainailahi Rajeun.walmushrikina fiinari jaharnama halidina fiha Abadan.
@kasimuhamisi195
@kasimuhamisi195 7 ай бұрын
Elimu kubwa, Akili nyingi
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Lakini dua ziko nyingi kwa nini tutumie majini na dua ziko za utajiti ama kinga
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Doctor hapa twataka debate vs shaffi
@Rooney1184
@Rooney1184 6 ай бұрын
[Sura ya 6] -{ Surat Al An aam} 43. Kwa nini wasinyenyekee ilipo wafika adhabu yetu? Lakini nyoyo zao zilikuwa ngumu, na Shet'ani akawapambia waliyo kuwa wakiyafanya.
@MesalimRashid
@MesalimRashid 7 ай бұрын
Mandhaladhi yashfau indhauila biidhini,,,
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 7 ай бұрын
ujinga tu unatumia akili badala ya dalili dini haijengwi kwa rai rai tu bali na mafundisho ya mtume muhammad SA,W
@majutojuma7654
@majutojuma7654 6 ай бұрын
Kwaiyo wewe ulitaka atumie nn? Sasa akili tulipewa yanini kama sio kutafakari? Nyie wenye mtazamo huu ndio mnaotukwamisha.
@Benjathekingofficialtv
@Benjathekingofficialtv 7 ай бұрын
Shetani ana nguvu sana 😂
@umugwanezaliliane7988
@umugwanezaliliane7988 7 ай бұрын
Mtangazaji upanga wa radi Mambo vipi kaka
@mwajumapetekwa1734
@mwajumapetekwa1734 6 ай бұрын
Just
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Tufanyie matukio live na pete ya ajabu
@omarsultan8029
@omarsultan8029 7 ай бұрын
Dr sulle .Rangi gani ya kito cha pete ni Inzuri kwa wanaume kuvaa ??
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Majini wengine wanaishi kwenya minuyu pia
@bafaaabuu
@bafaaabuu 7 ай бұрын
Na kwa nn usiseme njia ulizo fanya juu ya hiyo Pete yenye mim ili uheshimike
@danielkamau2987
@danielkamau2987 7 ай бұрын
Tafathali toa adiko unayo sema..dio tunjifunze..
@KhamisiOmar-v3h
@KhamisiOmar-v3h 7 ай бұрын
Kuna hili jambo pia kuombea maji dua kisha yakatumika kwa wagonjwa ama kumwaga sehemu ya biashara.kuna kutumia majani ya mkunazi kwa mambo tofauti na si tuu vipo vitu vingi hutumika kama madawa na watu hutegemea utenda kazi wake.na ili hali watu wanajua allah yupo.mimi naona kutokana na uelewa wangu hizi ni asbab.mfano allah ndie anae toa roho za watu lakini sababu za watu kufa ni nyingi.wengine ajali maradhi hapa inategemea ulipo fia nia yako nini?ndio maana ya jambo lako mwenye anae jua uhakika wako ni allah peke yake..
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 7 ай бұрын
Kunahitilafiaba lakini sule malaika sio jini malaika n DC iye wanatechukua dua sio jini
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 7 ай бұрын
'vaa pete kwa mapambo tu
@FatmaSalim-bd9ix
@FatmaSalim-bd9ix 3 ай бұрын
Kwanza hiyo ya kukayaga ARDHi nakubaliana nayo SAAAAANA
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Je jini akiitaji damu
@jituakilimali15
@jituakilimali15 7 ай бұрын
Sasa Siri hiyo 😮naijua wewe tu na mwalimu wako yahaya hussein
@aishahasan7722
@aishahasan7722 7 ай бұрын
Hata marehem Shaikh YAHYA Husein walimwita mshirikina nawala hakujal alkuwa akitabir nyota nakutibu watu,
@nailaomar4810
@nailaomar4810 7 ай бұрын
Huyu mtu namchukia sana Hana ushekhe wowote mshirikina mmoja
@Putin331
@Putin331 7 ай бұрын
Unataka kufirwa sasa
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 ай бұрын
Mtangazaji uyo hajui kuhoji..hapendi kumsikiliza mtu mpaka mwisho Ili tuelimikale yeye anamkatisha ..wakati anataka atupe Siri ya Vito na majini
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 7 ай бұрын
Haya yote yanapelekea shirk, hayafai hata kama yana manufaa
@paulmushi2428
@paulmushi2428 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅 Suleeeeeee toboa bhana Waislamu wabishi Uislamu na kutumia majini ni sawa kabisa hata Muhammad aliwatumia katika mapigano ya Badri 😅
@salehothman6144
@salehothman6144 7 ай бұрын
Uislamu upi unaruhusu kutumia majini na Muhammad yupi wee mwehu sana
@SammyMuimi-xi2ql
@SammyMuimi-xi2ql 7 ай бұрын
Toboa siri😂😂😂😂😂
@salumsimai642
@salumsimai642 7 ай бұрын
Namuelewa sule Ila shida yake hatoi dalili anaongelea zaidi ufahamu wake na uislamu ulishatimia ss ni kufata tu Sasa unachokifanya onyesha ushahidi juuu ya uhalali huo kwa sababu tumeambiwa mkivutana ktk rudini ktk kitabu na sunna suala matumizi ya Pete na mvuto mbona geni kwa mitume na maswahaba
@majutojuma7654
@majutojuma7654 6 ай бұрын
Nawewe toa dalili kwamba anachosema Sule sio kweli.
@HijaxZone
@HijaxZone 7 ай бұрын
Naona hekima ikitumika
@AyubuKalukula
@AyubuKalukula 7 ай бұрын
Tubu kwa Allah sule hakuna muongozo ulobora ila nikutoka kwa rasulillahi
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 7 ай бұрын
Sahihi. Mvuto uletwe Kwa Kutegemea Kitu/Kiumbe (Pete) badala ya Nguvu ya Mungu?! Huyo Yusuf na WA mfano wako Walikuwa na Mvuto kwa Kutumia Pete/Kiumbe?! Kumtegemea/Kushirikiana na Kiumbe au Kumfanya Mungu hawezi lazima ahusishwe na Kiumbe Hapo ndo Shida. Kweli Pete ni Pambo, Zinaongeza Nguvu/zinapunguza Nguvu kulingana Aina ya Pete na Madini yaliyomo ktk Pete, Jinsia ya Mtu (Me/Ke) na Kuvaa Pete pasi itikadi ya Msaada wa Mmajini Si Dhambi/Si Haramu. Laakin Kuitikadi Kutakuwa na Msaada wa Kijini badala ya Mungu/Kwa Kushirikiana na Mungu hapo ndo Ushirikina/Haramu sababu BinAdam hatuna Elimu ya Ghaiybu ya Kujuwa UchaMungu wa Jini Muislamu/Jini Mwema. Kinachokhofiwa ni Kuterezeshwa na Majini huweza Kujidanya Mwema/Muislamu kumbe Kafiri-Shaiytwan/Kafiri. Kama BinAdam tu Unamuona/unamjuwa laakin huwezi Juwa aloficha Nafsini/Moyoni (Sirini) mwake ndo utajuwa Siri ya Jini ambaye humwoni/haonekani na hata Ukimwita aje Uonane naye ana Kwa ana haji/hajitikezi Kwa Umbile lake halisi Bali hujibadilisha ndo atashindwa Kukurubuni/Kujibadili akudanganye yeye Mwema/Muislamu na kumbe ni Kafiri/Si Mwema Bali ni Shaiytwan/Ibilisi?!🙌 Sasa Kwanini ujitie ktk Mashaka Hali Mungu ameweka Njia nyingi zisizo na Mashaka?!🙌 Hapo Kutakuwa tu na Masharti Magumu na ya Siri ya Kishirikina/ya Kufuru baina yake/Mganga na Jini/Majini yatamuongoza pasina Kujuwa au Kuona Kufanya ya Haramu/Shirki na Kuitikadi/Kuamini ni Nguvu ya Kipaji Cha Mungu Kumbe Nguvu za Kichawi/Jini🙌 Mfano; Unaweza Kuoteshwa na Jini Usiku kwamba Uandike Aya ya Sura ya Qura'an ukailaze Makaburini/Jalalani Kwa Siku Kadhaa Kisha Uchanganye na Dawa/Vitu (Vyakula/Vinywaji) vya Halali tu ukadhani na Kuamini ni sahihi Si Dhambi/Si Haramu kumbe umeshafanya Haramu/Kuru Kuiweka/Kuilaza Qura'an Makaburini/Jalalani-Kwenye Najisi. Afu sio Lengo Kutibu/Kupona tu na Kama ndivyo basi hata Makahaba/Mashoga huwa na Maisha Mazuri Kwa Vipato vya Haramu. Wengi hujifanya/hudanganywa Kwa Kauli Utasikia; "unachotaka Kufanikiwa Kupona Ugonjwa/Kupata Mali tu, kwani Wewe Unauwa Mtu?!" Kwani Kahaba/Shoga anajuwa Mtu?! Kinachoangaliwa ni Njia/Utaratibu ulotumika/unayotumia Kuponya/Kutibu au Kupata Mali/Kuvuta Watu (Wateja) ni sahihi, amefundisha Mtume/Allah anaridhia?!
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Zitaje hixo sababu zako
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 7 ай бұрын
Skia sule mm nipo pamoja na wewe mpaka dunia itamaliza
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 7 ай бұрын
Hakuna mpinzani wa Sule kuweni waelewa huyu kakosea Kuhusu majini na mapete 😢 asiambiwe ?? Mbona yy alimwambia harmonise alipokosea !! Huyu kakosea hataki tu kukubali
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 7 ай бұрын
Doh!! UISLAM ni kua mchawi me sisemi utaenda motoni lakini kama kuna mtu amekuelewa basi ameuelewa uchawi na anaimuishi hata kama haufanyi
@abdullzahor3019
@abdullzahor3019 7 ай бұрын
Huku sule anapoelekea anapotea bila kujua nahii ndio shabaha ya ibilisi kwa masheikh km hawa huwapotezea bila wao kujua km wanapotea
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 7 ай бұрын
Huyu jamaa hana Elimu ya dini ila anajifanya mjuaji na ndio maana hataki kukubali kuwa amekosea Kuuchanganya Uislamu na Ushirikina na Uchawi.
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 7 ай бұрын
Je ulipeana vipi mikataba na majini?
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 7 ай бұрын
kuna jamaa hapa ananiambia dr kabadili gia angani pete sasa si mvuto wala makarama tena bali ni faida ktk mwili wa mwanadamu
@jjtm164
@jjtm164 7 ай бұрын
waislamu ni Washirikina wote
@Khmediy3241
@Khmediy3241 7 ай бұрын
Wakristo mafreemason woteeee!
@rajuxcharity
@rajuxcharity 7 ай бұрын
Acha ushamba wa kristo ndo washirikina hadi uko Italy wanapo wapangia sheria hadi wamesha waletea ushoga
@jjtm164
@jjtm164 7 ай бұрын
@@rajuxcharity Washirikina wanatumia (wanafuga majini) na majini hayakuli ugali chakula chake ni damu huoni hii
@Khmediy3241
@Khmediy3241 7 ай бұрын
@@jjtm164 nyie majini yenu ya kifreemason yanakula wali au ndo makalio yenu
@MesalimRashid
@MesalimRashid 7 ай бұрын
Uislamu is pure..acha ujinga.huyo Sule amepotea.na jini wake.
@myself4128
@myself4128 6 ай бұрын
Ardhi sio cement😂😂 na mtune akisali akiwa amevaa Viatu na hakuna aya alisema msivae viatu isipokuwa vikiwa vichafu Tatizo la sikuhizi dini imekuwa biashara mtu anajibwabwajia tu
@Fathertrucker
@Fathertrucker 7 ай бұрын
Mbona maswaaaba hawakua Wakijua elimu hiyo ya pete ya mvuto ama bwana mtume salla lau ally wassalam
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 7 ай бұрын
Kuwa na elimu ni kitu kingine,ishu ni elimu halali?jitahidi kutoa elimu huku ukisapoti na rejea ya Aya ktk Quran. Maana hata elimu ya uganga nayo ni elimu
@jesusislord9190
@jesusislord9190 7 ай бұрын
Waislam wamejificha weee asaivi wanadhihilika
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 7 ай бұрын
ndo mana ndacha alikuchapa kwa hoja zake za kijinga yani ulikosa nguvu kwa vile wewe unamuamini sana jini kuliko mungu
@rashidally8494
@rashidally8494 6 ай бұрын
Yani nyie wengine mna tia huruma mna msifu huyu ujahili wake wakati hizi hoja zake zote hazina asili katika dini hemu kwanza tusome Uislamu ndio mtajua kama ni mtu ambae amezama kwenye ushirikina mcheni Allah
@MOHDNASSOR-zv5cx
@MOHDNASSOR-zv5cx 7 ай бұрын
Mshirikina mkubwa , ALLAH atakuhukumu mchawi ww .Sule shetani WA kibinaadamu👎
@AshrafKashukali
@AshrafKashukali 7 ай бұрын
wewe una kipimo kinachopima ushirikina?? au nyinyi ndo Wazee wakukalilishwa msikitini?
@papsmicrocreditcompanylimi1443
@papsmicrocreditcompanylimi1443 7 ай бұрын
Hahahaha kwamba anakipimo Cha ushirikina?? ​@@AshrafKashukali
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 ай бұрын
ukijifunza tauhid utaona kuwa Dr sule ni mshirikina.
@al-miskrychannel478
@al-miskrychannel478 6 ай бұрын
Huyu mwamba ni mshirikina. Hafai kusikilizwq kabisa
@FelixMurishi
@FelixMurishi 7 ай бұрын
Waislam wote munatakiwa mfuge majini kama dk Sule/ muhamad mwenyewe alikuwa na majini
@rajuxcharity
@rajuxcharity 7 ай бұрын
Acha ushabik mandazi fata yakwenu uko
@FarajiMapogo
@FarajiMapogo 7 ай бұрын
Hiyo nguvu ya biashara kwenda kwa haraka kwanini ngivu hiyo isiitake kutoka kwa Allah badala yake kwajini?
@saidinsenda954
@saidinsenda954 7 ай бұрын
Ilo si shida elimu yako inaelewaka ila kwenye uislam aipo ingekua ipo kwenye uislam mtu angeifundisha apo naww uelewi sheikh ayo unayo eleza ayapo kwa dini ao tupe dalili kweny dini Quoran ao ata sunna tup dalili
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 7 ай бұрын
Uisilamu ndo huu sasa
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 7 ай бұрын
Toa dalili sio maneno mengi bila ushahidi.wengine wanasifu una akili nyingi ni kweli🥺lakini elimu hakuna viswahili vingi tu.mara biology,sayansi, spiritual life,mara tiba zote hizi ni janja tu.umehaibisha uislamu na uganga wako na mapete,majini bila elimu.nenda madrasa usome.shida ya kuitwa sheikh bila elimu ni shiiiiiiida.wasiona elimu wanaweza thani umesoma kweli kumbe ujanja tu.
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 7 ай бұрын
Mbona harmonize ulimkufurisha bila ww kumsikiliza? Na ukasema ni wamotoni akifa ww ndio unaengawa pepo na moto acha ushirikini, huwezi sema eti, pete inaweza kukusaidia chochote huwezi tegemea pete
@salumsimai642
@salumsimai642 7 ай бұрын
Shida ipo ktk matumizi uliyo yatoa na namna yakutumia hayo majini
@salumndihokubwayo-t4o
@salumndihokubwayo-t4o 7 ай бұрын
Dini sio kiswahili dini ni dalil
@Rooney1184
@Rooney1184 6 ай бұрын
ألم أعهد إليكم يا بني آدم أن لا تعبدوا الشيطان إنه لكم عدو مبين * 50. Je! Sikuagana nanyi, enyi wanaadamu, kuwa msimuabudu Shet'ani? Hakika yeye ni adui dhaahiri kwenu
DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........
38:03
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
KISA CHA ISRAAH NA MIRAJ PART TWO//DR.SULLE VS MUHAMMAD AL ALAW
1:35:55
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 2,5 М.
KARANGU FINALLY SPEAKS OUT ABOUT HIS MARRIAGE LIFE.
13:42
KIKUYU VYBES
Рет қаралды 7 М.
#LIVE DR.SULLE  NA MCH.NDACHA/JE, YESU NI MUNGU? (DAY ONE
6:22:01
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 35 М.