WAISLAM TUNAMFATA NABII SULEIMAN/MTU AKIPINGA HUYO HANA ELIMU//KARINI SIYO SHETANI/WATU MSOME

  Рет қаралды 3,545

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Ай бұрын

#live #film #simba #movie #love

Пікірлер: 54
@alisaid1347
@alisaid1347 Ай бұрын
SUBHANALLAH KWAHIYO HIZO AYA ZA SULEIMAN NA MUSA MA HARUN NDIO ZINA ISHARA YA KUWAFUATA AU KUFUGA MAJINI !!??MCHE ALLAH WE JAAHIL ,NABII SULEIMAN TUNAMUAMINI SIO KUMFUATA , NABII YAQOUB ALIOA NDUGU WAWILI TUMBO MOJA BABA NA MAMA WEWE UNARUHUSIWA KUOA NDUGU WAWILI NA UKAISHI NAO WOTE!!!??
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 Ай бұрын
Nawaambia iliyo kweli Uislamu na uganga hauwezi utenganisha, Uislamu na Majini (mapepo) hauwezi kuutenganisha, Uslamu na Ushirikina hauwezi utenganisha. Njoo kwa Yesu mpate uzima wa milele bure mtadanganyana na kuzidi kudanywa. Andiko hili mtalikumbuka saa ile ukifa ni kuzimu moja kwa moja
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 Ай бұрын
Kwani wale wachungaji na yale mafuta ni nini kwani
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 Ай бұрын
@@yussuphsultan1400 mafuta na chumvi Ni uganga na uchawi njoo kwa Yesu ataondoa hayo
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 Ай бұрын
@@binarytanzania nakuuliza swali wewe hujawahi mfiara mwanamke? Ongea kweli
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 Ай бұрын
mashallah allah mtukufu ameumba binadamu na majini rengo yakumuomba mwenyezi mungu majini wema niwa islam na majini mabaya niwashirikina
@user-bh5cu2jy6c
@user-bh5cu2jy6c Ай бұрын
Shekh mbogo hebu tofautisha kati ya kumfuata na ukumbusho juu ya manabii waliopita sisi waislamu shida hatusomi tunajenga hoja kutetea uovu bt sisi tunatakiwa tumfate muhammad tu 7:157 qur an
@hafidhimuadham9976
@hafidhimuadham9976 Ай бұрын
Shekh mbogo mnatoa elimu kubwa sana elimu hiyo watu wachache tu ndio tuliopewa uwezo huwo duniani asilimia 30) tu dunia nzima sema pokea yote utakayopewa nawaumini
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Ukimaliza tuambie wapi tunamfuata yeye Suleiman kupitia pete.
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w Ай бұрын
Sisi hatupo kwenye sheria ya sulaimani bali sheria ya muhammad , kwaiyo wa kufata ni muhammad tu.
@bakariabdallah836
@bakariabdallah836 Ай бұрын
Kutaja jina la mungu tu ni mtihan na lamtume shekh hanis huyu n wa wap
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Huwezi kumtetea mchawi ispokuwa nawe ni miongoni mwao
@IdrissaMoussa-tx7jy
@IdrissaMoussa-tx7jy Ай бұрын
Mbogo uwo niwushilikina nakwambia ukweli
@farishfarish258
@farishfarish258 Ай бұрын
Mbogo huna elimu
@bakariabdallah836
@bakariabdallah836 Ай бұрын
Shekh hujui kitu yaan hujui wallah
@user-bh5cu2jy6c
@user-bh5cu2jy6c Ай бұрын
Kwa kifupi shek mbogo na sulle daah leo mnatetea majin kwel mazinge kapambana na dini mda mrefu lakn hakuingia kwenye udhalili huu
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 Ай бұрын
Endelea kutoa maarifa maana mambugila wapo wengi, pia tufundisheni Dua tofauti tofauti na nyiradi na idadi maalum kwenye kuhomba haja fulani Shukran. Mimi ndio yule jinni niliyekuwa nakupigia simu 😅😅😅
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 Ай бұрын
Mbogo wanae kupinga hawasomi ila wamekalia sifa tu elimu zinamafungu mengi
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd Ай бұрын
Wewe upuuz ulisema yakwamba achana na hawa masheikh mbugila mbugila loe unakataa mpuuzi kwel huyu umesaau kwamba ile clip bado tunayo
@Dafetty
@Dafetty Ай бұрын
Sio karim ni karina😊
@MirajiIssa-iz3jv
@MirajiIssa-iz3jv Ай бұрын
Wewe unaoyesha elimu huna ila unataka kuulaghai umma kusoma aya inayomtaja suleymani sio kumfua lejea maana ya aya hiyo ndo uelewe inamaanisha nini
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota Ай бұрын
We jamaa mjinga cjawahi yaan ushahid wa kumfuata nabii suleiman ndo umetoa haya hyo hv umeilewa ....kaka aya hyo hakuna inapoonyesha kumfuata suleyman aya imenukuu vile masheitwan walivyofuata yale ya uongo kwenye ufalme ya suleiman
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 Ай бұрын
Sisi uku kwa Yesu hayo majini ndio tunayaita mapepo tunayakemea na kupiga kelele kuwatoka watu. Hakuna jini mbaya na mwema hapa wote ni waovu mmemkata Bwana wa uzima wa milele. Neno la Mungu linasema katika 2wakorinto 11:14 Shetani ana uwezo wa gujigeuza na kuwa mfano wa malaika wa nuru
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 Ай бұрын
Na yesu aliwatoa pepo wabaya tu
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 Ай бұрын
@@yussuphsultan1400 Hakuna pepo au jini zuri mnadanganyana tu pepo Ni pepo
@alihaidary4143
@alihaidary4143 Ай бұрын
Sura yako kama firauni
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota Ай бұрын
We kaka kweli elim huna ..aya iyo haionyesh kumfuata suleiman hapo katika umma huu...mitume yote iliyopita tunaiamin kwa ibrahim tulivyoambiwa tumfuate maan yake nini ...unafaham soma kaka acha ujinga huo
@hawa6052
@hawa6052 Ай бұрын
Mnaonaje tukujikita kusoma Tawhid jamani
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Hili halijui dini ujinga umekuzonga kusoma aya iliomtaj sulimani sio kumfata kile ni tuu Haya ndo matatizo yakujifunza uganga wakaacha kunifunza dini
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota Ай бұрын
Jinga ili nikajua linatoa ushuhuda wa kumfuata nabii suleiman ...lilichofanya eti ni kunukuu aya ya iliyomtaja nabii suleyman kweny suratil baqra sasa ndo nin ....ndo kuna mahali pa kumfuata hapo...afu hao waliofuata uo upotefu ni makuhani wa zama hz ambao wananasibisha uchaw kwa uwez wa nabii suleiman
@user-tr3vt7nf2p
@user-tr3vt7nf2p Ай бұрын
Dr sule mimi nakulalamikia sana sheikh wng siitaji utajiri mimi nahitaji tiba
@rahimumustafa587
@rahimumustafa587 Ай бұрын
Shehe mbogo tofautsha kufuata na nakuamini labda nikusaidie kila nabii kaja kwazama zake nadharia nadharia zangu kwahy manabii nikuwaamin syo kufuat lakini lapil kutajwa Seleman kati ruky sy kumfuata, mbona frauni naye unaofuata?
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Kumbe wewe ni mpumbavu kwahiyo kusoma hiyo aya ndio kufuata yeye?
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w Ай бұрын
Huyu ushekh kaupata wapi maana ni juha hajielewi
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota Ай бұрын
Sheikh ili jinga sana ...sasa kuna mithani gani kati haya aya alieitoa na kumfuata suleyman...na kuisoma kwenye ruqia ndo imesema kuwa tumfuate suleiman😂😂
@khamisfarouk9493
@khamisfarouk9493 Ай бұрын
Assalam alaykum mm nna matukio mengi yalomtokea mtu nnaemjua matukio ya ajabu na skutaka kuyahadithia ila nikimpta sheikh Walid au Dr Sule ntamhadithia
@nassleydady5783
@nassleydady5783 Ай бұрын
Shesh. Sema munafata uo uganga t muctuchangany waganga wakubwa
@AnnEsteban-sb8ln
@AnnEsteban-sb8ln Ай бұрын
Mfuate shekhe shaf akufundishe ww bado unajichanganya tu
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd Ай бұрын
I can't waste ma time 2 listen some nosense person like this
@omaar5693
@omaar5693 Ай бұрын
tobaa,, Kwani hizo aya zinatoka katika kitabu cha suleimani? sasa teamfuata au twamsoma,,, na musa na haruni... umemsahau furauni nae ametajwa maranyingi twamfuata ama?... sipingi ila iyo hoja si ya kielimu...
@user13375
@user13375 Ай бұрын
Kwani we jin😂😂
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd Ай бұрын
Mbugila mbugila hilineno maana yake ni kuto kujua au maamuma au ni bwege.sasa hii ni dharau na kibuli huyu mpuuzi kwel kwel
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Huwezi kutumia majini ispokuwa uwe mchawi
@user-kg9fn1ph9d
@user-kg9fn1ph9d Ай бұрын
nabi Suleiman aliyetumia majini alikua mchawi?
@mobutu3884
@mobutu3884 Ай бұрын
Hao walimu wenu yani hivyo wanavyowachanganya na vitabu vyenu wenyewe ndivyo hivyo wanvyowachanganyia maandiko ya Biblia, kama wanapishana kwenye maandiko yenu wenyewe ndio wataielewa Biblia?😂 ni msiba mzito. Watawapoteza sana , ndio maana mnaambiwa someni wenyewe vitabu mtaelewa hao wote wapo kimaslahi tu hakuna mwalimu wa kiislamu anaeijua Biblia bali ni janjajanja tu kama hizo.
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Ай бұрын
Wewe hauna tafiti katika dini yako ya Ukristo,nyie Wenyewe hamfanyi ubada moja na kwenu marumbano yapo,Roman hawezi kusali KKT na Bibilia zenu zinatofautiana,Kwahiyo popote pale kutofautiana kupo kulingana na uelewa wa vichwa vya watu,mfano katika Nyie Wakristo wapo wanaosema Yesu sio Mungu na Wengine wanaamini Yesu ni Mungu,Wapo wanokula Pasaka na Wengine hawali pasaka,Wapo ambao hawasali jumapili na wapo wanao sali jumamosi,wapo wanaosema Mungu ni nafsi tatu na wengine wanapingana na hilo!Waislamu wote duniani tunamuamini Mungu mmoja na Quran moja hata kama yapo madhehebu mengi lakini hakuna anayepinga mambo muhimu!
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Ай бұрын
Kuna mambo katika Uislamu ni ya ziada,mtu akifanya anapata malipo na hasipo lifanya hapati dhambi;kwahiyo Uislamu ni elimu pana sana!
@mobutu3884
@mobutu3884 Ай бұрын
@@RamadhaniLukambuzi kwani kuna dini inaamini kuna Mungu zaidi ya mmoja?
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi Ай бұрын
@@mobutu3884 Ndiyo ipo inaamini katika Mungu wengi!
@nomar3708
@nomar3708 Ай бұрын
​@@mobutu3884wakristo munaamini trinity 3 in 1. Miungu mitatu . Biblia zipo 63 na sio maneno ya yesu ila Paulo ndio amending. Kwenye hizo biblia hamna hata mara moja yesu amesema mimi mungu niabuduni. Ma pastor wenu wote wanashindwa kuonyesha hilo. Yesu mwenyewe kamsujudia mungu kwenye biblia. Yesu ni mtume wa mungu kama moses( musa) joseph( yusuf) na mitume wengine kabla yake na baada yake. Nyie wakristo munamuabudu lakini yesu sio mungu wala hana sofa za kuwa mungu.
DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........
38:03
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 46 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 506 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
AINA ZA MAJINI NA KAZI ZAO || BAYANA YA KHUTBAH YA IJUMAA || 12/8/2022
44:57
Ust Abuumuhammad Said
Рет қаралды 8 М.
MAJINI WA DK SULE SIO WEMA USIMTETE || MAJIBU KWA BABA KIR'WASHA || Muhammad Bachu.
1:04:29
🔴LIVE :DR.SULLE MWANADAMU WA KWANZA ALIKUA MWEUSI SIYO MWEUPE/HISTORIA
59:53
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 46 МЛН