DR.SULLE MIMI NAISHI MAISHA MAZURI KUSHINDA WABUNGE NA MAWAZIRI

  Рет қаралды 105,389

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

#drsulle #tanzania #islaamic

Пікірлер: 274
@RahmaRahma-q4d
@RahmaRahma-q4d 7 ай бұрын
MAASHA ALLAAHU, SHEKHE WANGU ALLAAHU SUBUHAANAHU WA TA'ALA AKUWEKE MBALI NA HUSDA
@MamuduAziz-h1z
@MamuduAziz-h1z 5 ай бұрын
Pesa za sadaka hizo misikitini na kuuza dawa feki za nguvu za kiume na bado unaombaomba Dubai saudi wewe unajua Quran tu kuroga watu
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 11 ай бұрын
Mashaa-Allah nakubali sana maneno yako Dr sule. Nairobi (kenya)
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 11 ай бұрын
mashaAllah tabarak Allah. Fanyeni kazi. Bongo imejaa husda. Nilikimbia huko 2008.
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm Ай бұрын
Piga Dua shekh sio unakimbia kimbia tu
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 9 ай бұрын
Mashallah Allah akuzisishie sheikh wetu.akuepushe na husda
@muhammadmagtuf714
@muhammadmagtuf714 8 ай бұрын
Mashaallah tabaraka Allah ahsant jazaka allahu kheir sheikh ❤
@abdulg4070
@abdulg4070 7 ай бұрын
Mashallah. M mungu akulinde na HASAD
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 Жыл бұрын
Maa shaa allah allah akukinge na macho ya watu uliwah kumsaidia ndugu yangu matatizo ya kifua had leo mzima kila wakat na kila siku tunakukumbuka
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 3 ай бұрын
Mashallh m mungu akuzidishaie
@Lifeeofemmy
@Lifeeofemmy 10 ай бұрын
MashAllah MashAllah Mabrook Sheikh Sule
@Maas-d5d
@Maas-d5d 5 ай бұрын
baraka llahrahmani Allah akuzidishie Insha Allah
@miishhassn
@miishhassn Жыл бұрын
😂mashallah allah akulinde na hasad shekh wetu tunakupenda kwa ajili ya Allah
@neemafatu471
@neemafatu471 11 ай бұрын
Mtihani mkubwa Wallah
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! ALLAHU BAARIK 🤲
@SaliminSwalehe
@SaliminSwalehe 11 күн бұрын
Nakukubali sheikh
@sudikimaro270
@sudikimaro270 9 ай бұрын
Hawa mashekhe wanazingua sikuhiz wanachangia sehemu kubwa sana kuupoteza uislam uislam umekataza riiaa yani kujitangazia neema zake allah alizokujaaliaaa
@mundhirustvonline2511
@mundhirustvonline2511 7 ай бұрын
Soma tafsir ya suratul ضحا aya ya mwisho
@MerlickEduard
@MerlickEduard 5 ай бұрын
Maisha mtu akifanikiwa usifatilie mungu ndio mkweli
@khadijaabdallah1402
@khadijaabdallah1402 5 ай бұрын
Yaani huyu shehe nikujisifiia tuuuu sio kufundisha dini hao wanaomskiliza sijui hawamchoki?
@SoudShuraim
@SoudShuraim 5 ай бұрын
Na hakika neema za Mola wako zihadithie..suratul dhuha aya ya mwisho
@joycebongo9275
@joycebongo9275 11 ай бұрын
Mashallah Allah akuzidishie
@zendontv5224
@zendontv5224 Жыл бұрын
Naku amini doctor sulle,mimi kijana wa mzee masanga wa Uganda
@eddiejackndikumasabo979
@eddiejackndikumasabo979 5 ай бұрын
Sheikh Unajisifu sana
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 8 ай бұрын
{ ثُمَّ لَتُسۡـَٔلُنَّ یَوۡمَىِٕذٍ عَنِ ٱلنَّعِیمِ } [Surah At-Takāthur: 8]
@MwinyiKhamis-ic1zf
@MwinyiKhamis-ic1zf 5 ай бұрын
Mashaallah shehe sule mung akulinde
@salehothman6144
@salehothman6144 11 ай бұрын
Subhannallah!! uko vizuri sana Dkt.Sule
@saidiyusufumuhode3159
@saidiyusufumuhode3159 Жыл бұрын
Maa shaa Allah Dr
@shabanihamisi1146
@shabanihamisi1146 11 ай бұрын
Tumefundishwa Al istikhara,kwa jambo lolote lile lakini hizo Dua za kumuona adui kwenye maji tunawas was na mfumo huo maaana pia Dua za kishirikina pia zipo kwa hiyo dk kuwa makini
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 11 ай бұрын
Aaaah
@AshaZuberi-wz8tv
@AshaZuberi-wz8tv 5 ай бұрын
Amina inshaallah ustadhi sule
@BahathisimoniPoulailler
@BahathisimoniPoulailler 3 ай бұрын
Bonjour dk sulle asante sana nyenye maubiri mimi naitaji number yako inshaAllah 🙏🙏
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 Жыл бұрын
Masha Allah
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 11 ай бұрын
Mche Allah dr sule.watu wanaomba na wanajibiwa wala wewe hujui
@IdrissaAbdalla-j3c
@IdrissaAbdalla-j3c 5 ай бұрын
Mashallah 😊
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz Жыл бұрын
Mashaallah dr sule mbona naitaka hiyo dua nimuone huyo hadui yangu kaka
@herielimtui3875
@herielimtui3875 7 ай бұрын
Dr Sulle usiache kuwasaidia wajane allah akupe wepesi
@azzahrau
@azzahrau Жыл бұрын
MashaLLAH❤
@islander3191
@islander3191 11 ай бұрын
Wallahi wengi wetu humu hatuna basic knowledge ya dini, naona mashallah nyingi kwa dr sule, lkn yeye he mean kutangaza biashara yake, ati yeye dua yake inajibiwa, kwani inahusu nini story yote, si angejipigia dua yeye apate ma trillion mbona anakwambieni nyinyi mumchangie, huyo ni tapeli hana ushekhe km alivosema ni wizi tu, na nyie vijana someni dini yenu msewe watu wa kufata tu kila upuuzi kama wanasara wanavodanganywa na wahubiri wao. Wallahi hasara kubwa ktk umma wa kiislam. Allah atuoneshe hakii na batil na tuwe watu wa kuifuata haki tunapoiona ameen.
@makamekhamis871
@makamekhamis871 11 ай бұрын
Naam. Maneno yako ni ya kweli
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 11 ай бұрын
​@@makamekhamis871kweli kabisa akhy umesema ukweli kabisa ,,,,huyu jamaa tapeli mkubwa ,,,lkn maskini wengi wajinga wasioelewa misingi ya dini wanapotezwa kirahisi na wamuona huyu jamaa Ni sheikh kweli ,,,,Allah atupe fahamu katika akili zetu,,,
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 11 ай бұрын
Waallahi ALLAH atuhifandhi maana huyu jamaa Hana hofu ya Mungu kabisa. Mimi namjua njee ndani Hana hayo maisha anayojitamba mitandaoni hata kidogoo. Na sio mkweli taapeli Sanaa. Huyu kachanganyikiwa na maisha. Waislam amkeni acheni wapuuzi kama Hawa, badala ya kufundisha dini Kazi yake ujanjsujanjaa! Huyu anatangaza Biashara yake tuu
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 11 ай бұрын
Alishaongopa mbele yangu uyo lakini hakujua anachokizungumza Mimi nakijua ukweli Wake mtupuuu. Kazi kuchukua sadaka za waislam na kwenda Kula na wake Zenu Daresalaam.
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 11 ай бұрын
Kama ni pesa za waislam mmezikusanya Sana lakini Mpaka Leo hamna lolotee mlofanyaa na Bado munaendeleaa!! Mcheni ALLAH acheni kutuchezea shere
@stephanomkanyipelele1046
@stephanomkanyipelele1046 7 ай бұрын
Sure nimekuelewa USTAATHI DUA
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 11 ай бұрын
Ktk vitu nimeungana na ww ni kwenye dua hasa ukiamini kwa Mwenyezi Mungu
@maase2023
@maase2023 11 ай бұрын
Sulle ushauri wangu bora utulie tu rafiki yangu maana ss unatangsza fatwa za mali yako na wakezo badala ya dini bora tulizana tu
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 5 ай бұрын
Jisifu tu weye, Angalia Ulaya gharika ya mvua Ulaya ilivyoporo.osha marimba. Ujue kila unachopata Duniani sio chako. Utakufa utaviacha na hao utakaowachia hujui watakaa navyo au watavifanyia israfu. Ukakuwa hai lakini vyaweza vikakutoka ukabaki mtupu kama ulivyozaliwa na mama yako. Acha kujisifia ghorofa wakati waislamu wenzio tena wacha Mungu kwelikweli wanalala kwenye vibanda full makuti. Muogope Allah hajakosea kukupa wews ghorofa akampa mwengine kibanda cha makuti wakati nyote mnamcha yeye think twice Acha kibri hicho ni kibri na ujinga kabisa faraja la kwanza. Jisifie kumcha mungu ili watu wakuige. Sio mali. Ume ni bore sheikh limbukeni.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 5 ай бұрын
Hajisifii ila anawajibu wanaowaita mashehe njaa, ndio maana anasema yeye hajafikia hadhi ya shekhe, pili hii anawapa moyo watu wa hali ya chìni ila na wale wanaojiona wanajua sana.
@nahimanawanjani9865
@nahimanawanjani9865 10 ай бұрын
Asalam maleikum Shee nisomeye na mm
@Babaharvey3624
@Babaharvey3624 5 ай бұрын
Shabibi,msukuma,tabasamu ❤
@IbrahimKhanOfficial
@IbrahimKhanOfficial 11 ай бұрын
إنَّ اللهَ لا يقبضُ العلمَ انتزاعًا ينتزعُهُ منَ النَّاسِ ، ولَكن يقبضُ العلمَ بقبضِ العُلماءِ ، حتَّى إذا لم يترُك عالمًا اتَّخذَ النَّاسُ رؤوسًا جُهَّالًا ، فسُئلوا فأفتوا بغيرِ عِلمٍ فضلُّوا وأضلُّوا Mwenyezi Mungu haichukui elimu kwa kuinyakua kwa watu, bali anaikamata elimu kwa kuwakamata wanachuoni.(yani kwa vifo vya wanachuoni) Hata asipomuacha mwanachuoni, watu wanawafanya wajinga kuwa ni vichwa vyao, na wanaombwa na kutoa fatwa bila ya kujua. Wamepotoka na wamepotea na wana poteza wengine
@YunusiKHatibu
@YunusiKHatibu 10 ай бұрын
Sawa Dr sule nakwaamini sana kwa utoaji wa mada zenye mafundisho
@hajjikavumaabdallah5911
@hajjikavumaabdallah5911 7 ай бұрын
Hajjj kavumaAbdALLAH
@abdullahmsuya665
@abdullahmsuya665 5 ай бұрын
Shehe mjanja sana, hicho kisa pia kina malengo pia ya kulokota wagonjwa wengine hapo, ni mwendo wa maokoto tuu! Hiyo dua ni ya uongo subhanallah
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 5 ай бұрын
Hatukuelewi😊😊
@binbadru8408
@binbadru8408 11 ай бұрын
Ulikuja Zanzibar ukachangisha fedha kwa ajili ya kujenga hospital ya kina mama mbona mpk leo kimya ?
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 8 ай бұрын
Kanunulia gari😮
@ZenaUsangi
@ZenaUsangi 5 ай бұрын
😂😂😂
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 11 ай бұрын
Kwa kauli hii inaonyesha kua tayar tumeshapokea na kuamini kua wabunge na mawaziri ndo wanatakiwa kuishi maisha mazuri na sio kwmba binadam wote wanatakiw kuish maisha mazuri
@MwanahamisiGona-t3c
@MwanahamisiGona-t3c Жыл бұрын
Mashaallah
@KIMSwahili
@KIMSwahili 11 ай бұрын
Mashallah
@ummyomina
@ummyomina Жыл бұрын
Mashallah
@Khalidumary
@Khalidumary 4 ай бұрын
Unajua maana ya jina ustadh
@azizayassin3623
@azizayassin3623 11 ай бұрын
❤❤❤❤hyu miye nakuelewa sna
@KabijSaib
@KabijSaib Жыл бұрын
Mashaalah❤❤
@pastorhermantv5420
@pastorhermantv5420 11 ай бұрын
USHILIKINA UMETAWALA UMMAT MUHAMMAD DUH MPOKEENI YESU KRISTO KUA BWANA NA MWOKOZI WENU
@ZenaUsangi
@ZenaUsangi 5 ай бұрын
BWANA WA NANI YESU UNAMJUA WW NINAE MJUA SIO BWANA ILA NI ISSA BIN MARIAM
@makamekhamis871
@makamekhamis871 11 ай бұрын
Dah, mtihani kwa kweli.
@yamuremyejames6382
@yamuremyejames6382 8 ай бұрын
Allah Akbar
@MichaelSekwao-r7h
@MichaelSekwao-r7h 11 ай бұрын
Kweli shekhe
@kugotwa004
@kugotwa004 11 ай бұрын
Sheikh kidogo nimuoe mwanao Amina ni hvy tu ungekuwa bamkwe wangu
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 11 ай бұрын
Kwahy ungemuoa kwasababu ya kitonga au?
@abuahlaam
@abuahlaam 11 ай бұрын
Huu ni utapeli anachotaka hapa ni mmfate mkauziwe dua zake za kiishirikina
@aminakasim1198
@aminakasim1198 11 ай бұрын
Astaghafirullah Mmbona huu ni mtihani
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza Ай бұрын
Acha kufru ndugu yangu
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 11 ай бұрын
Mwamba doctor Sule
@amosbigirimana5469
@amosbigirimana5469 Жыл бұрын
Ukiona mwenziyo afanikiwa uzikumuombeya duwa.izo nihusda kwaiyo makheh wetu hawana haki yakumiliki gari wala nyumba.
@IssaNasir-v2e
@IssaNasir-v2e 8 ай бұрын
Mchawi huyu tapeli kawa mpiga nyota tukisema ukwel mnasema husda..
@juniorwiseprophet1240
@juniorwiseprophet1240 9 ай бұрын
Niwangapi sasa waliona hao maadui wao kwenye maji hayo ?
@hassadfazal3418
@hassadfazal3418 Жыл бұрын
Masha Allah
@saay4273
@saay4273 11 ай бұрын
MashaaAllah
@khamysamursally5932
@khamysamursally5932 11 ай бұрын
Mmmmh kujisifu si moja ya Riaa?
@JumanneSaidi-w8e
@JumanneSaidi-w8e 11 ай бұрын
Mashaallaha
@Mtambo2002_tv
@Mtambo2002_tv 7 ай бұрын
Safi sana
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 10 ай бұрын
KWANZA MIMI NINGEKUA HAPO NINGEKUA WAKWANZA KUTOKA YAAAN BAADA KUELEZEA WATU MAOVU YANAYO ENDLEA WEWE WAJITAPA NA UJINGA SUBHAANA ALLAH
@faridsalummaulid4681
@faridsalummaulid4681 10 ай бұрын
Sema MashaAllah usiumie hahhaa
@rashidmexes3629
@rashidmexes3629 11 ай бұрын
MWIZI WEWE, UNAINGIZA PESA KUPITIA UTAPELI
@MasoudMrisho-r4z
@MasoudMrisho-r4z 11 ай бұрын
Mashaallah
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 11 ай бұрын
Jamaa jongo kichizi yani
@QeysSeif
@QeysSeif 11 ай бұрын
Huyu si shekh bali mpiga pesa tapeli allah amuongoze ni mjinga sana ktk dini kama kweli kasoma atwambie kasoma kwa mashekh gani na amesoma mpaka levo gani kiufupi hatumtoi ktk dini lkn ana chembe chembe za ushirikina na ni mtu wa bidaa mzushi na mzushi hukmu yake hato kunywa maji ktk haudwi ya mtume pia ni fasiq achilia mbali kujiita shekh hata ushahidi wake tu haukubaliwi bora tuitwe mawahabi alhamdulillah kuliko kuwa kama hawa na allah asiziunganishe nyoyo zetu na wapuuzi kama hawa ndugu zangu someni iitiqadi yenu ya ahlu sunnati wal jamaa ili mfaulu msiwasikilize hawa waganga watawapotosha
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 9 ай бұрын
Amesomea falaki na ushirikina mamake
@MohamedKalimazila-qn9te
@MohamedKalimazila-qn9te 8 ай бұрын
Ndo shida yetu hiyo.Shekhe kakosa Nini hapo?
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 8 ай бұрын
@@MohamedKalimazila-qn9te shida yenu na nani sema shida yako
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 8 ай бұрын
Mpiga ramli huyo
@imani2870
@imani2870 8 ай бұрын
Mwalimu mzuri sana
@userfirqatunnajiyah
@userfirqatunnajiyah 5 ай бұрын
Hiyo riaaa mwambaaa
@joojombi2341
@joojombi2341 11 ай бұрын
Mnakosaga vya kuleta ktk chanel yako
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan 11 ай бұрын
Sule watu wanakuajua usimalize maneno we mipgaji tu mjini hapa
@jeffhard5773
@jeffhard5773 11 ай бұрын
Hata Mim pia taarifa Hiyo ninayo siku hizi uislamu sio sheikhe wala ustadhi nasio kanzu shungi Wala bakashia Imani hakuna siku hizi Bali ni maslahi binafsi tu
@mbagaherbal4796
@mbagaherbal4796 11 ай бұрын
Taapeli huyu jamaaa hatareee, na hata ushahidi akitaka ninao.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 8 ай бұрын
​@@mbagaherbal4796kakufanyaje
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 ай бұрын
💪💪🔥🔥🙏🙏🙏
@maimunasalim7946
@maimunasalim7946 Жыл бұрын
Pesa tu izo wanazochangisha waislamu wanatapeli tu mungu anaona na halaf hakuna mweslamu wa kweli kujigamba mbele za watu kama yuko na mali hizi si miongoni mwa tabia za weslamu mtu anajihusudu mwenyewe
@faridfrefre35
@faridfrefre35 Жыл бұрын
Hajajigamba kaeleza mafanikio ya harakaat
@maimunasalim7946
@maimunasalim7946 Жыл бұрын
@@faridfrefre35 hata kama mafanikio yake yy yawe siri yake na mola wake sio kuongelea mbele ya mitandaoni
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 Жыл бұрын
Hii ndo comment nilikua nikitafuta. Whatever he talked about doesn't sound right islamically.
@jumanejuma1296
@jumanejuma1296 Жыл бұрын
Wewe ni mchawi wa dhahiri ni bora ukale nguruwe na sio kumsema dokta sulle
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Жыл бұрын
Roho mbaya me nimefrah kusikia mafanikio ya doctor sule
@habibabarker1644
@habibabarker1644 7 ай бұрын
Anapenda kujisifu saana hata kama unazo
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 5 ай бұрын
Ndo utajili unawo kupa kiburi cha kuwa sema waumini vibaya ivyo kisa kautajili ww unajiita shelkh,, ???????? Acha jeuri ww mungu unae mudanganya anakuonatu subiri kipigo alafu ukatafuta lawama kwa mashelkh wenzio,
@khadijaabdallah1402
@khadijaabdallah1402 5 ай бұрын
Huyu ustaz maneno mengiiii
@HamisaMiraji-q9f
@HamisaMiraji-q9f Жыл бұрын
Lakin mtume asema kuitangaza neema ya allah ni kuishukuru
@bashirusalumubashirusalumu7140
@bashirusalumubashirusalumu7140 11 ай бұрын
Karna uislaam tunachinja kwa ajili ya Allha siyo kea ajili ya kumuombea mtu dua
@amsodewiz4901
@amsodewiz4901 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl 11 ай бұрын
mashallah
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 9 ай бұрын
Hakika Allah asema dunia ni pepo kwa makafir na ni mateso kwa muhmin na akhera ni pepo kwa muhmin na ni mateso kwa makafir sasa huyu sheikh wa mchongo hayupo ktk muhmin bali ni muislam maana kuna tofauti ya muhmin na muislam ndio maana Allah innamal muhminina ihwa kwan wapo waislam ni makafir. Allah amuongoze 🙏
@jumakhamis226
@jumakhamis226 11 ай бұрын
MASHENIIIIIIII HIYOOOOOO
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 Жыл бұрын
Ila shida ukweli sasa.
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 8 ай бұрын
Unatudanganya tu unaenda kuwanga unapewa hela alaf tunasingizia dua.sema kweli tu acha kudanganya.
@JumaMohammed-ct6vg
@JumaMohammed-ct6vg Жыл бұрын
Duuuu kwa kweli apa atuna shekhe 😂
@JumaMohammed-ct6vg
@JumaMohammed-ct6vg Жыл бұрын
Allah akufahamisge
@JumaMohammed-ct6vg
@JumaMohammed-ct6vg Жыл бұрын
Kwa Nini ujigambe ikiwe we ni kiongozi wa dini majigambo ya aina hii..........
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 11 ай бұрын
​@@JumaMohammed-ct6vgkuhadithia neema za mwenyezi mungu ni kushukuru na kuacha kuhadthia ni kukufuru
@hudhaifatissa7490
@hudhaifatissa7490 5 ай бұрын
Mmmh mtihan huu ndio nn kujigamba hivyo
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp 11 ай бұрын
Shukuru mungu wKo acha kujigamba ezy kam izy g0
@kwisa4899
@kwisa4899 5 ай бұрын
2017 gari nayo yakujisifia kweli la 3
@PopoteSiopopote
@PopoteSiopopote 11 ай бұрын
We si mwizi
@issamohammednassor8688
@issamohammednassor8688 Жыл бұрын
2017 ni old sanaa hio dr sulee
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Жыл бұрын
Ujui magar ww ya zama kwa wapi ulaya au hapa tz?
@juniorwiseprophet1240
@juniorwiseprophet1240 9 ай бұрын
Nimegundua waisilamu wengi saana ni mashabiki sio wakujaji na kuuliza sasa tujiulize Huyo ni mungu gani mpaka damu ya wanyama? Alafu ipi tofauti yenu na waganga wa vitabu maana ndio hiko hiko hufanyika..
@makamekhamis871
@makamekhamis871 11 ай бұрын
Biashara ni matangazo
@salumuomar5188
@salumuomar5188 11 ай бұрын
Duuh uyu jamaa sijui kasoma wapi? Yani anaongea matakataka tu mbele zawatu kisha majinga yako yanasikiliza pumba
@rashdabdulazizi4193
@rashdabdulazizi4193 11 ай бұрын
Acha husda wewe ulitaka asome wapi? haya kama wewe ulipo soma panajulikana mbona huonyeshi juhudi tukakutambua, au ndio unatembelea nyota ya Dr sule mini? 😂
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Angalia yaa Shaikh usije bambikiwa kesi za kishetani!
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 5 ай бұрын
Shekhe uislamu unakataza hayo,kujisifu tuu kila mtu akitangaza maixha yake hadharani itakuwa hekima hiyo kweli itaq llah mche allah mbora ni mcha mungu usifnye vitu kwa ria nyuba magari tunaziacha duniani gali la kweli jeneiza
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 ай бұрын
Dr. Sulle, yote yanapita.
@husseinallysuleiman4657
@husseinallysuleiman4657 7 ай бұрын
Adhab kabr ina v 8 mara7 ndan ya shimo nawaza sana v56
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 ай бұрын
cheki sura yako dr sule mbaaya kama kala ndimu vile
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 21 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 316 М.
DR.SULLE AUVAA MGOGORO WA PALESTINA NA ISRAEL/USIYOYAJUA
38:31
ISLAAH ISLAMIC TV
Рет қаралды 67 М.
DR.SULLE HATAKI MASIHARA TENA//ELIMU YANGU ITADUMU NITAKUMBUKWA NA........
38:03