No video

DUDUBAYA AFICHUA YA MWAMPOSA, NGUVU ZA GIZA, KUUZA MAFUTA NA MAJI, ONA FACT ZAKE

  Рет қаралды 58,822

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Ай бұрын

Пікірлер: 97
@JoycePius-em9ki
@JoycePius-em9ki Ай бұрын
Kaka dudu baya uko vizur mungu akuweke miaka mia mbil
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Amina kaka yangu mungu aendelee kukibariki
@NiceWatson
@NiceWatson Ай бұрын
Mwamposa ni mtume mzur Alerujha Alerujha Alerujha wamuache kabisaaaa mtume wetu Mungu asante kwa mtu mwema kwetu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🏻🙏
@rechokusilimka5739
@rechokusilimka5739 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂niko pale nimekaa😂😂😂
@chrisshonga
@chrisshonga 9 күн бұрын
Mmemsahau kumuamini MUNGU na sasa hivi mnamuamini mwanadamu! NENO liko pale pale na litabaki pale pale milele AMELAANIWA AMTUMAINIAE MWANADAMU
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Ай бұрын
Huyu dudu ninamuekewa anatema madini kweli kweli big up dudu 😂
@japhetferuzi1219
@japhetferuzi1219 Ай бұрын
Uko vizuri mtumishi
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf Ай бұрын
Braza dudu nakukubali sana tangu nipo mdogo enz zile una ngoma inaitwa nakupenda tu minywele tifutifu ukitema mate yanadunda nikiisilizaga pale clouds miaka ile ila asa tatizo bro dudu ukiulizwa swali moja majibu kiroba
@nsajimwasege68
@nsajimwasege68 Ай бұрын
😀😀😀
@levygasper7438
@levygasper7438 Ай бұрын
BABA nae unatakiwa UweuNampa nafasi yake haujaja duniani kupitia Mama pekeyake SEMA hivi nimekuja duniani kupitia BABA na Mama hizi kauli zakusifia Mama tuu bila BABA sizipende 🙏
@FiollaIsaya
@FiollaIsaya Ай бұрын
It is what it is mwanaume haujui uchungu Wala maumuvu ya mimba
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Ай бұрын
Ultimately mwenyewe mimba​@@FiollaIsaya
@levygasper7438
@levygasper7438 26 күн бұрын
@@FiollaIsaya kwani ww mwanaume??Nami nasema hivi mwanamke hayajui maumivu tunapitia mwanaume ili mtoto akuweufikiye uutuzima
@FiollaIsaya
@FiollaIsaya 26 күн бұрын
@@levygasper7438 sio kweli wanaume kazi yao kujaza mimba kinacho endelea tumboni Kwa mwenzio hawakijui maumuvu na kutokulala usiku yeye hajui ,kuchwanwa chwana leba mwanaume hajui maumuvu yake pili mwanaume wengi pia siku hizi hukimbia mimba anae hangaika ni mama so mwanaume hawezi beba uzito wa mwanamke hata chembe
@user-qe6ym5no8l
@user-qe6ym5no8l 6 күн бұрын
Amina brow
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 19 күн бұрын
Kaka dudu uko vizuri sn,✔️ Mungu azidi kukubariki sn.
@sekelagatusekelege9325
@sekelagatusekelege9325 Ай бұрын
Ashukuriwe Mungu anayeweza kudhihirisha kweli kupitia waja wake
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Ай бұрын
Yuko vzr dudubaya jpo nahc n vtu vchche tu aviweke sawa ili awe sawasawa zaidi.Ana kitu kzr sn jpo awe tu specific cs kukangny huk kdg na huk kdg hs kwa miungu wawili ndy shida.Binafs nataman ht nipate namb yke kuwasiliana nae nje ya mtandao.Maana ujasiri tuu alionao kumkir Mungu pkyke kw kizaz hk tyr ni ushnd mkubw kilichobak n kuweka tu saw baadh y mambo.Ni mtumish mzr sn isipokuw machche tu kuyaweka sawa
@zakariakapinga9862
@zakariakapinga9862 Ай бұрын
jamaa ana hilca na silca za uchungaji ndani yake
@nurdinally3451
@nurdinally3451 Ай бұрын
Mbona kanyoka jamaa anaongea kweli mnao mtukana mko sawa kweli
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Ай бұрын
Mh hiyo haithibtsh kwmb amzungumziaye n wa Mungu, ukimsikiliza vzr, utagundua yko vzr, ila sasa afny nn au aende kwa nan kwke n changmoto kdg ndy maana unamsikia akikanganya ht zle pande 2 za imani ambzo km unazijua vzr sio za mmoja.
@emmanuelshilagi3302
@emmanuelshilagi3302 29 күн бұрын
kwanini usiwe Mchungaji dudu Baya maana nimekufahanu mapema nikiwa mdogo sana lakini nakuona saiz siyo yule wa zamani Bro natamani umtumikie Mungu na atafanya makubwa sana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Like kapelo lako liko wapi linakupendeza mno Mr konk
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur Ай бұрын
Hongera sana Mchungaji Dudu baya
@mussaisaac
@mussaisaac Ай бұрын
Amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu kuombewa sio shida Yesu mwenyewe aliwaambia wanafunzi wake iweni na imani kubwa.
@SimonHaule-tp3ny
@SimonHaule-tp3ny Ай бұрын
Hujalielewa andiko hilo,
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 28 күн бұрын
​@@SimonHaule-tp3nyyaani mnachekesha sana kwa sababutu A mtuakisoma andiko lilivupnajidai hatukaelews
@SaiSitta-kj7wh
@SaiSitta-kj7wh 12 күн бұрын
Uko sawa mtakatifu
@KenethKibona
@KenethKibona Ай бұрын
Upo vizuri
@Princewaweru
@Princewaweru Ай бұрын
Nyimbo zako tu nyingi zinaonekana we ni mtumishi wa Mungu kwa sisi wenye macho ya roho tunajua
@AyubaYahyazawad
@AyubaYahyazawad 4 күн бұрын
Ndiyo ukiombewa ukapona endelea na maombi usilale mbaya wako halali we utalalaje
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh Ай бұрын
Mwamba ulipata lanayamungu hebu jalibu kuunzisha kanisa mungu akubaliki unajichelewashwa
@JulianaMwanjala
@JulianaMwanjala Ай бұрын
Ubarikiwe sana mwanangu Dudu baya
@ianak4
@ianak4 Ай бұрын
Unaombewa kwa Jina la Yesu au ili mradi umeombewa tu? Na hata kama ni kwa Jina la Yesu, unafahamu kuwa kuna mbwa mwitu waliovaa ngozi ya kondoo nao watakuwekea mikono na kisha utaitikia tu "Amen" na kujimaliza? Sio kila anayeliitia Jina la Bwana ni wake (na anasema wapo wengi ila Yeye hawatambui), na ndio maana tunaangamia kwa kulipotosha Neno na kukosa maarifa. Kuwa makini kipenzi cha Mungu, kaa kwenye mstari ulionyooka ili usikumbwe na mabalaa (maagano) na usiwe chukizo kwa Mungu. Peace.
@Magreth-e2q
@Magreth-e2q 9 күн бұрын
Dudubaya. Mbona. We were. Wanasema. Nimkorofi
@Dominant97
@Dominant97 29 күн бұрын
Exactly
@profamanzala1693
@profamanzala1693 13 күн бұрын
Alleluia
@jonasmbala1326
@jonasmbala1326 Ай бұрын
usimhukumu mwenzio usije kuhukumiwa kwani maisha yake siku zote binadam hubadilika ndio maana tumezaliwa na kukuwa na tabia nazo zinabadilika pia sasa ww unayebeza Dudu baya kubadilika msikilize maneno yake vzr ndio utajua kwamba ww unayemtusi ndio utabaki na yako ilamwenzio yuko hatua nyingine na Mungu wake Acha kuhukum yy kajutia alikotoka ndio maa ana anatangaza wokovu
@AnastinaIshisha-lt2rn
@AnastinaIshisha-lt2rn Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ubalikiwe
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Dudu baya amefanya sana ushoga kwahiyo kisaikolojia kichwani ni taka taka tu😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Ulilala naye akakupa utamu wa ushoga anacheka kwa raha alizo Kupa hongera
@rajabmkuya9023
@rajabmkuya9023 Ай бұрын
​@@zebedayokatamaduni9676😅
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 Ай бұрын
Dudu baya kapungua sana, ni bora akabidhi maisha yake kwa Yesu
@joycelaura4611
@joycelaura4611 12 күн бұрын
mwili huo ndio mzuri ule alibongeka sana mwili mkubwa sio afya ndgu
@andyjk5974
@andyjk5974 Ай бұрын
jinsi waadrica walivyo pumbazwa wanakua defensive balaa. tutaliwa sana Waafrica kwa ujinga wetu. delusuonal brainwashed. kanunueni mafuta na udongo. kama mnadhania ulaya waliombewa ndio wakafikia hapo
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Acha waendelee kununua mafuta na udongo mwamposa aendelee kuongeza mahoteli , alafu wao wakae na mafuta na udongo, watu hawaelewi😮
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Ай бұрын
Dudubaya na wengine mtaongea mengi,but Mwamposa ni Mtumishi wa Mungu aliyekubali kutumika na Mungu aliye HAI. Hivyo kama mnadhan ni nguvu za giza katumieni nq nyinyi basi.
@wilhelminshauri7410
@wilhelminshauri7410 Ай бұрын
Bahati mbaya sana hakuna mtume au nabii ndio maana kuna roho mtakatifu
@ianak4
@ianak4 Ай бұрын
Kingine, huyo unayemkimbilia kama unavyosema anaamini katika huo utatu mtakatifu unaouamini wewe? Soma sana Neno na liamini, wewe kama wewe pia una uhusiano mkubwa na wa kipekee sana na Mungu, usipende kukimbia kimbia huku na huko na kusahau Mungu amekuambia "atakufunza na kukuonesha njia unayopaswa kufuata, na atakushauri kwa uangalifu mkubwa" Zaburi
@EvaristoMwasenga
@EvaristoMwasenga Ай бұрын
Leo kama nimemwewa sana
@TumainiMchomvu-zv3sv
@TumainiMchomvu-zv3sv 25 күн бұрын
Jamaaa anaa akili sana
@annanamuyala
@annanamuyala Ай бұрын
Kweli kaka nikufanya kazi kwa iman utabarikiwa
@HusseinJamal-v9v
@HusseinJamal-v9v Ай бұрын
Kaongea ukwel,mengne tumuachie mungu tusijudge vibaya
@norahfrank
@norahfrank Ай бұрын
Ukweli. Utabaki kuwa kweli.wote wanaokosoa huduma,mf. Mwamposa ni wale wasiojua maandiko na wengi ni wachawi wenyewe.wanasoma bibilia na kuondoka na vipande tu.ni aibu sana hata kwa huyu msemaji
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Konki tunakupendaga Sana
@user-ld3yh5kv5n
@user-ld3yh5kv5n 22 күн бұрын
Jamaa alienda kuomba msaada
@HalimaNgenzi
@HalimaNgenzi Ай бұрын
Ww huna akili na hata hvyo unaonekana una mapepo mrudie mung ww ni tomaso
@user-zo1ym2te7r
@user-zo1ym2te7r Ай бұрын
Mulicho andika nakinachoongelewa tofaut
@RajabuJumanne-pl8ir
@RajabuJumanne-pl8ir 24 күн бұрын
Nikweli kichwa cha habari na yanayoongelewa ni vitu viwili tofauti, hilo nitatizo la waandishi wakibongo.
@Magreth-e2q
@Magreth-e2q 9 күн бұрын
Dude. Having. Mwaposa. Ameowa
@user-ib3tc4dc4s
@user-ib3tc4dc4s Ай бұрын
Dudu maisha yamemshinda na analaana ya kumpiga mr nice na alimvunja kiuno laana inamuandama ana wivu huyooo
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Wewe mwamposa kanunua gari la wagonjwa unafanya mchezo mpeni jizo hela watoto wake wapo mbea baadae wataishi maisha mazuri baadae
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th 26 күн бұрын
Oyo jamaa c almpiga Mr nice uyo njaa tu
@NiceWatson
@NiceWatson Ай бұрын
Navona inawachona sana hii ya juzi Baba mwamposa kujjaza watu ya usiku usio sahaulika Alerujha Alerujha Alerujha
@sarahrichard2813
@sarahrichard2813 Ай бұрын
Msikilizeni alichokiongea ni positive
@TumainiMchomvu-zv3sv
@TumainiMchomvu-zv3sv 25 күн бұрын
Tesha tumia akiliiii
@Furahazawadi-ym4be
@Furahazawadi-ym4be Ай бұрын
Miyesisikiye anamusema mumbaya mwaposa dudu
@user-sh6ch6ex1h
@user-sh6ch6ex1h Ай бұрын
OILIchaFu
@Laizer3
@Laizer3 Ай бұрын
Mambobya dini hamna ajuae ukweli.
@user-gp1hi7sw5k
@user-gp1hi7sw5k Ай бұрын
Acha kutukana waganga
@LobikiekiMarko
@LobikiekiMarko Ай бұрын
UMEMALIZA DARASA LA TATU🤑🤑🤑🤑
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo Ай бұрын
Konk 3 master Putin 🎉🎉🎉
@kingdavidmoto6149
@kingdavidmoto6149 Ай бұрын
Dudubaya umekuwa mchungaji
@user-jj3os9bx6m
@user-jj3os9bx6m Ай бұрын
Toka hapa chizi
@VeloniceDonard
@VeloniceDonard Ай бұрын
Ww hakili zako haziko vinzur Kaz ya kujadil ya wenzio yako umeyaweka wap toa na yako tuone
@joycelaura4611
@joycelaura4611 12 күн бұрын
da wewe unachelewa kuelewa kwan mbona kaongea vzr tu jmn si anahojiwa
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
aka yake Imemponza😂😂OIL CHAFU HUWA HAINA MVUTO
@selemanshaban7496
@selemanshaban7496 29 күн бұрын
Shetan ww mvuto gan unataka awe nao Ili iweje
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 29 күн бұрын
@@selemanshaban7496 umekurupuka tu MVUTO wa jina. OIL CHAFU SIO JINA ZURI KUJIITA. NDO HIVYO
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz Ай бұрын
Jesus is everything
@K-go1qj
@K-go1qj Ай бұрын
Dudu afungue kanisa sasa
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 Ай бұрын
Acha uongo wewe.kila mwanadamu ni mtu wa mungu.ila hujawa mwana wa mungu.ulichelewa kuacha Bangi na Gongo.make bado afya na akili haijakaa vizuri.kazi ya mungu huiwezi.endelea na uchawa.
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed Ай бұрын
Dudubaya we mtu wamungu tangu llini sauti sura vyote vinekufa na gongo
@SimonHaule-tp3ny
@SimonHaule-tp3ny Ай бұрын
Yesu alisema mwenye afya hamhitaji tabibu,bali mgonjwa,udhaifu wake ndy unaomsogeza jirani na Mungu.
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni Ай бұрын
Ufunuo 22:17-18
@user-tr4ib1pr1t
@user-tr4ib1pr1t Ай бұрын
Umeokoka?
@user-xl5xi1uq9z
@user-xl5xi1uq9z Ай бұрын
Mbona sauti inaonyesha imekauka kwa ajili ya bangi na pombe kali ,afu una maneno ya kiuni tu eti konki master hatar
@napendahuruma3320
@napendahuruma3320 Ай бұрын
Hanywi pombe wala havuti bangi wala sigara so usimjaji mtu kama humjui
@augustinemainde
@augustinemainde Ай бұрын
Dudu baya Kama unaweza na wewe tumia nguvu za Giza uvute watu acheni ujinga wenu,na wivu wenu
@samwelsitta5089
@samwelsitta5089 Ай бұрын
Braza samahani naomba ukasome warumi 10:2-3
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r Ай бұрын
Ivi uyu alisikia intervew au unafata zako iyo capshen tu😂
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Ай бұрын
Kweliiiiiiiiii jee?
@PatrickTeshaTesha-zp4ld
@PatrickTeshaTesha-zp4ld Ай бұрын
𝕄𝕥𝕦𝕞𝕚𝕤𝕙𝕚 𝕨𝕒 𝕨𝕒𝕝𝕖𝕧𝕚😂
@napendahuruma3320
@napendahuruma3320 Ай бұрын
Hanywi hata pombe uliza tunaomjua so usimuelezee mtu kama humjui
@Dominant97
@Dominant97 29 күн бұрын
Saui ya kiroho iyo mkuu plus madini ulonayo utasaidia watu,fungua kanisa achana na makuu ya dunia
@brown5418
@brown5418 Ай бұрын
Endelea kusubiri Mungu anakusudi na wewe
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 18 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 28 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 11 МЛН
MWIJAKU AWASHIWA MOTO NA DUDU BAYA, WATAKA KUZICHAPA LIVE
8:36
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 18 МЛН