ESTA MASANJA YUKO KENYA,ANAWAKARIBISHA KWENYE SEMINA INAYOENDELEA KISII•HAYA HAPA MAELEKEZO ZAIDI

  Рет қаралды 1,642

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 26
@linetkaruri807
@linetkaruri807 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu Sana Kwa kumtia nguvu Esther kuinuka Tena.. Karibu Sana Kenya mtumishi pamoja na promover tv
@سبحانالله-ف7م3ذ
@سبحانالله-ف7م3ذ Жыл бұрын
Mama esta karibu Sana Kenya 🇰🇪 utufikie pia sisi coast
@tabby6064
@tabby6064 Жыл бұрын
Nafurahi sana kumuona Ester na promover tv...nilikua na waswas sana promover tv labda maono ya mvurugo ya yule mtu na ddke yangewafanya msiendelee na huyu dada.barikiweni sana
@tabithaibrahim8493
@tabithaibrahim8493 Жыл бұрын
Nawatakia kazi njema .Bwana awe pamoja nanyi.
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Yapi hayo mbon ckuona
@denisskashumba7919
@denisskashumba7919 Жыл бұрын
Kuwa macho ndugu muombee mungu akuonyeshe ukweli wa esta masanja hii ni vita usiamini kila roho bali zijaribuni hizo roho kuwa zimetokana na mungu
@bettyadhiambo9557
@bettyadhiambo9557 Жыл бұрын
Promover, Pamoja na Esther na wachungaji wengine karibuni sana KENYA🇰🇪🇰🇪 japo nipo Nrb🙏
@miriamglorynyaboke4884
@miriamglorynyaboke4884 Жыл бұрын
Baraka kwenu promover na Watumishi wa Mungu .
@zainaluoga1666
@zainaluoga1666 Жыл бұрын
Mwee namshukuru Mungu kwaajili ya huyu mama
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl Жыл бұрын
Msiwanyooshee Recho vidole kwamaana ni mtumishi wa Mungu aliye hai pigeni magoti muombe Mungu awafungue macho ya rohoni
@kadushimediatz
@kadushimediatz Жыл бұрын
Asanten
@hadasafesto6111
@hadasafesto6111 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Esther. Utukufu Kwa Mungu.
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Nmefurah kumuona madam Esta japo mm nmerud now tzd nikikuja Nairobi nitapata imeisha.but rafk zangu waki c naomben mfike seminan
@annak6738
@annak6738 Жыл бұрын
Ni kweli @ Tabby, shetani ni baba wa uongo,mimi wale akina Rachel nashindwa kuwaelewa wapo tu kuchafua Watumishi wa Mungu,maana hata TB Joshua walisema yuko kuzimu walimwona huko kuzimu. Rachel na dada yake ni wa kuwa macho nao sana.
@patricianyale
@patricianyale Жыл бұрын
Sana hao pia niwanadamu walinushangaza na pia huwa nawafuatilia lkn Kuna kitu hakikosawa kwao mungu ndo anajuwa karibu wanirudishe kwenye mapambo hao wadada walinivunja moyo Sana ahimidiwe bwana alinitia nguvu Tena ( hayo maneno yao sikuyapenda)
@tabby6064
@tabby6064 Жыл бұрын
Wale wadada kuna mahali shetani anaenda anawapa confusion but bado hawajatambua hilo.Mungu awasaidie sana
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Jamn mm kwa upande wangu naomba Kila mtu apige got amtafute YESU kwa bidii atadhibitika kwako.atakuonyesha mwenyew
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
​@@patricianyale mbon mm nlimefatilia testimony yao nikaona ain shidaa jmn au mm ndo sielew
@patricianyale
@patricianyale Жыл бұрын
@@maryandason1815 ipo moja waliongea vibaya Sana kuhusu huyu mama yangu ilinivunja moyo Sana Sana tuyawache shetani ameshindwe kwa Jina la Yesu
@denisskashumba7919
@denisskashumba7919 Жыл бұрын
Yani nipo upande wa nabii recheal na zipporal nawalichokisema nakikubali sana tena asilimia mia100%
@janeysemagogwa2670
@janeysemagogwa2670 Жыл бұрын
Nishamuogopa🤣
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Usinivunje mbavu jamani 😂😂
@tabby6064
@tabby6064 Жыл бұрын
Yale maneno ya yule mtu na ddke naona yalikuingia sana.wale wadada walitumiwa na ibilisi kuleta mvurugo...walitaka kuhudumu yeye na dadake pekee..tabia mbaya sana
@patricianyale
@patricianyale Жыл бұрын
@@tabby6064 kumbe ulijuwa hio mbinu shetani hutumia
@tabby6064
@tabby6064 Жыл бұрын
@patricianyale yes niliwasikiliza wale wadada but their claims were not making senseat all.Eti mpk host alikua wakala...walikua na muda wakufunga nakuomba kabla conference...swali ni je Roho Mtakatifu hakuwaonesha hio conference ni ya mawakala.Wale wadada walichezwa na iblisi sana bt hawakutambua hilo
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Umemuogopa Nan??
#Live Asb_30/3/2023 SEMINA MOSASA KISII MHUBIRI ESTA MASANJA
1:05:39
PROMOVER TV
Рет қаралды 1,5 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 35 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 18 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 28 МЛН
MASANJA AKIMTAMBULISHA MKEWE UTACHEKA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
6:15
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 102 М.
Subhanallah!Namna Mji wa Sodoma ulivyo leo hii
10:35
Kalamutz
Рет қаралды 93 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 35 МЛН