Fursa Nje ya Nchi

  Рет қаралды 4,462

AYAPOA TV

AYAPOA TV

Күн бұрын

Je, unahitaji kufanya kazi nje ya nchi?
Ayapoa Group Limited ni kampuni ambayo inatoa mafunzao,ushauri wa biashara na Ajira, leo nmekuleta fursa kwako unaehitaji kufanya kazi nje ya nchi na kwa taaluma yako.
Nafasi mbalimbali za kazi zimetangazwa kupitia website yetu ya
ayapoa.com/ajira
hapo utapata kazi mbalimbali kuendana na taaluma yako
#ajira #ajirazanjeyachi #usa #sua

Пікірлер: 25
@user-jesca-2004
@user-jesca-2004 8 ай бұрын
Naomba mnisaidie kupata kazi yoyoote ata za ndani elimu yangu 4m 4 ninacheti naweza kupata
@user-jesca-2004
@user-jesca-2004 8 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@luckysichone6705
@luckysichone6705 Жыл бұрын
Naombeni mnisaidie mm lengo langu nikwenda marekani,ila sina elimu zaidi yadarasa la saba.naweza kupata fursa?
@ayapoa
@ayapoa Жыл бұрын
wasiliana nasi +255 766887770
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 Жыл бұрын
Dada mimi ninapaspot yangu naitaji kazi za dani dubai
@ayapoa
@ayapoa Жыл бұрын
tuma maombi yako sasa kupitia www.ayapoa.com/ajira
@MiryThomass
@MiryThomass Жыл бұрын
Habali
@ibnismail8831
@ibnismail8831 Жыл бұрын
Maombi pamoja na Process za Safar zinachukua mda gan
@ayapoa
@ayapoa Жыл бұрын
Tembelea website yetu ayapoa.com/ajira
@shinestudiotz3221
@shinestudiotz3221 Жыл бұрын
Natamani kwenda ila sina visa
@ayapoa
@ayapoa Жыл бұрын
Tunaweza kukusaidia kupata visa
@mafrikanws
@mafrikanws Жыл бұрын
Unjipenda kujuwa zaidi ayapoa
@mafrikanws
@mafrikanws Жыл бұрын
Ni kwa watanzania tu ama aje
@ayapoa
@ayapoa Жыл бұрын
@@mafrikanws nikwawatu wa nchi zote, tunaweza kukusaidia
@ayapoa
@ayapoa Жыл бұрын
@@mafrikanws karibu sana
@aidanmhando2618
@aidanmhando2618 Жыл бұрын
Habari process za kwenda kufanya kazi Malta@ayapoa
@ayapoa
@ayapoa Жыл бұрын
Apply kazi kupitia website yetu ya ayapoa.com/ajira utaweza kutazama kazi zote hapo na uta apply kazi unayo ihitaji
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
Je izo kazi mnachaji pesa??
@RachelRachel-zx6dx
@RachelRachel-zx6dx Жыл бұрын
Hiyo number mnatumiwa.sms.haijibiwi wala haik online
@ayapoa
@ayapoa Жыл бұрын
Tunapatikana kwa namba +255 766887770 Masaa ya kazi kwanzia saa 2:00 Asubuhi - 11:00 Jioni
Wekeza Sekta Ya Benki | Mwl. Emilian Busara | Orbit Securities | Mambo ya Fedha
2:01:16
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
UKIFANYA HII UNAPATA PESA LEOLEO | FURSA
7:54
Success Path Network
Рет қаралды 7 М.
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Joel Nanauka
Рет қаралды 138 М.
NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI
1:22:20
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН