Tume ya Mishahara ya Kenya (SRC) yaamsha hasira upya baada ya kutangaza nyongeza kwa vigogo

  Рет қаралды 18,531

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 219
@hajinachembe4310
@hajinachembe4310 2 күн бұрын
Dj smaa mwenyezimungu atakulipa kwa kazi unayoifanya.
@hajinachembe4310
@hajinachembe4310 2 күн бұрын
990,000×20=19,800,000/=
@djsma255
@djsma255 2 күн бұрын
Damn​@@hajinachembe4310
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 2 күн бұрын
Huo uharifu ambao inaonekana wananchi wanafanya ni mdogo ukilinganisha na uharifu wanafanya viongozi maana serikali inafanya ujambazi mkubwa sana wa rasilimali za wananchi
@ChaumaraAli-z5i
@ChaumaraAli-z5i 2 күн бұрын
asante Dj sm unatujuza mengi tusio yajuw congratulations for you
@khamisshee803
@khamisshee803 2 күн бұрын
Waalekum musalam warahmatullah wabarakatu AKA BACHUCHU MOMBASA 001 +254
@trancefarah
@trancefarah 2 күн бұрын
Since Ruto is the president the whole of Kenya is fucked up. Ipo siku Zakayo atashuka tu
@jumakassim8718
@jumakassim8718 2 күн бұрын
Insha'Allah
@ceasarj6761
@ceasarj6761 2 күн бұрын
Nonsense
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 күн бұрын
MUNGU ibariki TANZANIA 🇹🇿♥️
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 күн бұрын
Hapana Hawa wameamua kumkaanga ruto hawamtaki inaovyoonekana
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 2 күн бұрын
Dj Smaa hiyo mishahara haina tofauti sana na ya Tanzania. Mishahara ya Wabunge Kenya Ksh. 739,600 ni sawa na Tsh 17,000,000, Tanzania wanapokea kwa mwezi 13,000,000, tofauti si kubwa. Pia ujue uchumi wa Kenya uko juu zaidi yetu.
@nomoboy152
@nomoboy152 2 күн бұрын
Br nikwel hii kitu sema ni kwamba sie wabongo hatufatilii
@trizereve3386
@trizereve3386 2 күн бұрын
Huyu apewe kazi kenya sound perfect 💯
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 күн бұрын
Apewe kazi Kenya aje kuuwawa na izo vita zenu uko.kenya hakuna amani 😂😂😂 mumuache kaka yetu m' TZ wetu #uzalendo kwanza😂😂
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 күн бұрын
​@@MS.independent8934mbona kwenu mnatekwa na kuwawa kama yule jamaa wa juzi alietupwa katavi aliwe na wanyama pori 😂😂😂
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 күн бұрын
​@@MS.independent8934😄😄😂😂
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 күн бұрын
@@africanmandetraveler2847 TANZANIA tupo vzr kushinda wa Kenya acha nyenge ww😂😂😂 sisi tunaweka uzalendo kwanza na tuna amini kwenye mazungumzo nasio kumwaga dam ivo kama kwenu Kenya utazani ni paka wakichinjwa namna watu wanavyo uwawaa na police hovyo🌚🌚
@samuelmwatsuma4462
@samuelmwatsuma4462 2 күн бұрын
SRC wamefanya hivo,, alafu hao waheshiwa wakatae ndio wachanganye Gen Z,. wadhani tuko pamoja lkn tumewasoma game plan yao
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 2 күн бұрын
Smaa jaribu kutuelezea na mishahara ya viongoz wa Tanzania pia plz
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Күн бұрын
Hata mm nataman ajadili nch yetu jinsi ya kutokana na umasikini wa fikra yy Kila siku Ulaya Urusi marekani china haitusaidi na sio Afya Kwa ubongo
@wambuageorgemutua1930
@wambuageorgemutua1930 Күн бұрын
Siasa ya Kenya ni ngumu kaka, wachana nayo... Hii ni siasa, betrayal every corner
@greysongisiri4751
@greysongisiri4751 2 күн бұрын
15000k nisawa na 300,000 na kidogo za Tz
@ChaumaraAli-z5i
@ChaumaraAli-z5i 2 күн бұрын
Dj sm nakuomba tu chambulie kwa Nini kenye pesa yao iko juu kuliko Tanzania kwa uchumi gn mbona km Tanzania ni ipo vizur kuliko kenya
@kevicristian2738
@kevicristian2738 2 күн бұрын
Tupo vizuri kwenye kiswahili na music tu😂
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy 2 күн бұрын
Thank you so much,, your very smart guy ❤
@abdulnation6257
@abdulnation6257 2 күн бұрын
nawapata sana kutoka Durban south africa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 күн бұрын
15000ksh equal to tshs 312,000 current exchange ya sasa ni 20.8ths
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Күн бұрын
Mmmhh hao wanasiasa ndugu sijui km wataenda mbinguni
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 күн бұрын
Yani kinachotokea hapo kaka sky Kwa maelezo hayo nikwamba uyo mtu anajaribu kumwagia petroli kwenye moto...alafu kingine wakenya wasichukulie powa iyo hali yakenya haipo sawa kabisa..mungu tu awasaidie waelewane na wawe na aman mana hali sio sawa kabisa
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 2 күн бұрын
Usijaribu kuchezea wananchi wa Kenya ni hatari kuliko hata umeme 💪💪💪💪
@benson23823
@benson23823 2 күн бұрын
Acha mna pasula maduka zawatu munaiba bali zawana inji wenzenu kisha mdayi mpo hatari Acha msinge fungula maduka zawatu manaiba mali zawatu mnaona raha hata mungu hayupo nyuma ya maandamano yenyu 😮😮😮😮
@saidmwasemu-do5tp
@saidmwasemu-do5tp 2 күн бұрын
Kwa kwel tuko katika wakati mgumu sana
@brayanhamaro5514
@brayanhamaro5514 7 минут бұрын
hiyo pesa ya kujenga tu nizaidi ya milion mia nane kwa tz
@HumphreyNgere
@HumphreyNgere 2 күн бұрын
Wako na lengo fulani hi ni binu ya kujaribu kunasa GZ maana hakika imewalemea😮
@robertnkyalu3241
@robertnkyalu3241 2 күн бұрын
Sns ni mabigwa wa uchambuzi lkn upande wa pili Mbona ya nchini mmefumbwa midomo Ili niongee ninyi ni wabobevu na watetezi wa mfumo wa maisha halisi mchambue na kero za nchi yetu sio Kenya ,mali,Africa kusimi nk
@Jureyji
@Jureyji 2 күн бұрын
ni sawa tu kwann ujiweke mdomoni kwa mamba?
@user-ev2xf1tv3w
@user-ev2xf1tv3w 2 күн бұрын
Ee wachambue na kwetu bana mbn kuna uchaf mwing kuzid ata na kenya
@chiragahmbura9523
@chiragahmbura9523 2 күн бұрын
Huu ni mchezo wanatuchezea hawa eli Wabunge wakatae hizo nyongeza za mishahara tuone kma wanatujali
@salimbilali5174
@salimbilali5174 2 күн бұрын
They r not the same.... Telkom iko kando
@djsma255
@djsma255 2 күн бұрын
Oh ok
@deekendi191
@deekendi191 2 күн бұрын
40M kenyan shillings =820,300,090.40 (million 820 tsh.) iyo nyumba tu, bado mishahara na vingine duuuh
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 2 күн бұрын
Smaa mada ya kenya hau iwezi kabisa bro
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Күн бұрын
Ruto ndo mkuu hakuna kisichofanyika bila yeye kujua,so hao srs wamepata go ahead toka kwa rais
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 күн бұрын
@dj Sma usishtuke kamwe kwani hio ndio serikali kamili ya bwana ruto uliekuwa unamtetea juzi, watu wapo maandamano kupinga matumizi mabaya ya hella za umma na wanao.ba mishahara ipunguzwe but kwa zarau ndio wanapandisha mishahara laajabu huoni madaktari, walimu na Polish wameongezwa mishahara ndio tunqchopigania big bro, #join the race and feel the pain now
@matukutajuma156
@matukutajuma156 2 күн бұрын
DJ SMAA UPO VIZURI SSSSSSANA HONGERA SNS!!😮
@user-hx2if3ep2m
@user-hx2if3ep2m 2 күн бұрын
Kuna wahuduma wa afya saivi wamekamilisha takriban miezi mitatu wako kwenye mgomo hawajalipwa mishahara Yao sababu serikali inalalamika Haina pesa.
@HansChuma
@HansChuma Күн бұрын
Jaman em nijuzen naviongozi wakwetu wakitanzania wanapokea kias gan em tafadharin wanaojua niambien....
@marcongeleja9450
@marcongeleja9450 2 күн бұрын
Gen Z waeende mpaka ikulu wakapige picha huko watoe kabisa sasa nchi iongozwe na jeshi kama burkina faso.
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 2 күн бұрын
Africa ndio inatakahivyo hizinjia za demoklasia zinatuludishanyuma unakuta mkuu wawilaya anamsafala wa V8 nuw anaendakufunguabwawa angaliabajet yake sasa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 күн бұрын
How do you feel about it @dj Sma..? This is why we outside big bro.
@missiontown001
@missiontown001 Күн бұрын
laki tatu Mzee hiyo ni Airtime tu 😂😂😂
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 Күн бұрын
Ruto anazungukwa 😢
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k Күн бұрын
HAPA TUNAIBIWA JAMANI HIO MISHARA IMEFANYA TUMBO INANIUMA WALAI JAMANI 😢N KUNAWATU WANALALA NJAA DUU KWELI MASKUNI HANA HAKII
@Kudonjoshow
@Kudonjoshow 2 күн бұрын
15,000 Kenyan shillings nisawa 300,000
@moddyfirrem6475
@moddyfirrem6475 2 күн бұрын
Smaa amini usiamini kuna viogozi wapo nyuma ya hayo machafuko yote,, Tena chakushangaza si wa upinzani ni viongozi ambao wapo mrengo wa kulia ila wanaogopa kumsaliti zakayo
@nicenice3881
@nicenice3881 2 күн бұрын
Ksh 999000= Tz ml 20
@Kudonjoshow
@Kudonjoshow 2 күн бұрын
50,000 nisawa na 1 million Tanzanian shillings soo piga esabu
@ManiMizengwe-jb3vy
@ManiMizengwe-jb3vy 2 күн бұрын
Huku Kenya vijana hawafanyi maandamano Kwa mipango kula kundi latokea upande wake inakua shida kupewa ulinzi nimakundi menngi kula kona
@arkei4003
@arkei4003 2 күн бұрын
Hawa wezi wamelipwa na watu walio kwenye serikali bro
@selestinokazumba
@selestinokazumba Күн бұрын
15𝙠 𝙠𝙬𝙖 𝙗𝙤𝙣𝙜𝙤 𝙣 𝙡𝙖𝙠𝙞 3
@djafro8729
@djafro8729 2 күн бұрын
Clinical officers in Kenya are on strike for 6 months. Government say nothing
@biomedicaleliatosha7485
@biomedicaleliatosha7485 2 күн бұрын
Kina kitu kinawaka ndani..moshi unaonekana nje. Kenya predza played with Putin, and now he has started to see
@patrickochieng79
@patrickochieng79 2 күн бұрын
Lakini it was stopped it won't be passed
@matanohassan9667
@matanohassan9667 2 күн бұрын
NDIO MAANA WAANDISHI WA HABARI JUZI WALIMKAMUA RUTO KAKA DJ RUTO NI MSHENZI KULIKO UNAVODHANIA
@rashidiselemani3229
@rashidiselemani3229 2 күн бұрын
15,000ksh=309,314.94 tsh
@ibba8082
@ibba8082 2 күн бұрын
15k = 116.28 USD😂
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 күн бұрын
@@ibba8082 Unajichoresha bro life Ya USA huwezi linganisha na life Ya Ken ao Tanz
@aloycekomba1
@aloycekomba1 2 күн бұрын
Ukitafakari vizuri utagundua tatizo sio RUTO ila wanamchezea mchezo tu
@hamisself6820
@hamisself6820 18 сағат бұрын
Apna tatizo ni ruto ndio anafanya ivyo c ata SRC anafanya ivyo indio azidi kuapandisha asira gen z
@hamisself6820
@hamisself6820 18 сағат бұрын
Ruto amenunua serekali yake yote
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 2 күн бұрын
For now from India but I'm from Zanzibar
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g 2 күн бұрын
Wana SNS ,,, SRC washaondoa hiyo mshahara wabunge wamesema hawataki ...Rudi ctzn Sasa utazame
@djsma255
@djsma255 2 күн бұрын
At time of recoding ilikuwa bado,
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 күн бұрын
Awaja tuzidi Tanzania watumishi wetu wanalipwa zaidi ya pesa wanazo lipwa watumishi wa Kenya.
@Zapata88
@Zapata88 2 күн бұрын
Pamoja sana kutoka 🇷🇼
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 күн бұрын
Nchi Nzuri na safi takuja kutembeya uko mwanangu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 күн бұрын
Kaka smaa iyo chat itazidi kufanya hali iwe mbaya Zaid..Yan wanazidi kuchochea izo chati
@djafro8729
@djafro8729 2 күн бұрын
Ruto Yale anasema na mdomo ni tofauti na matendo yake. Mbunge ndio ilipitisha hio misahara. Tume ya misahara they only implement
@Kudonjoshow
@Kudonjoshow 2 күн бұрын
Speaker wabunge 27 million Tanzania shilling
@hamadihamisiambale8943
@hamadihamisiambale8943 2 күн бұрын
Hii noma wakenya tumeisha watu wanakula hela za bure.bila kazi yakueleweka
@michaeljuma7764
@michaeljuma7764 2 күн бұрын
Kenya is going to a downfall😢
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 2 күн бұрын
SPIKA ANAKULA MILIONI 24 ZA BONGO
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 2 күн бұрын
Mm naomba kuuliza ila sorry nipo nje ya mada kdg but inahusi haya mambo ya maslahi je kwa mfano Tz wambe salary wanaz9 pata je zina katwa kodi, pili je salary wanayo pesa wana changia kwenye mifuko ya hifadhi km NSSF, naomba km kuna uwezekano km pata makala ya hii issue pls
@menmkinga2109
@menmkinga2109 2 күн бұрын
Kenya needs to restructure their national debt,wapunguze govt spending iyo mishahala wanayo ongeza will cause more protest na soon ata wafnyakaz wa daraja la chini na kati nao wataandama koz hatoweza lipwa on time,
@yusufmohamed7235
@yusufmohamed7235 2 күн бұрын
Hapo wanapopokea hela hizo, baadhi ya hospitali hazina dawa, wananchi mashinani wanaishi katika hali mbaya ya uchochole, duh yasikitisha jamani kwani ukorofi wa ubadhirifu wa mali ya umma pamoja na ufisadi ndio mtindo wa kila siku.😢😢😢😢
@zenajustus5731
@zenajustus5731 2 күн бұрын
Mm ndio nilikua shocked jana hii habari ikitoka,nilishtuka
@rajdaboy
@rajdaboy 2 күн бұрын
Mm siku zote niko tu hapa Nairobi Kenya
@alisalimkenya3972
@alisalimkenya3972 2 күн бұрын
Ruto aliwaahidi baada ya kupitishwa finanace bill atawaingeza, sahii anawapa donge nono awasaidie wakati huu mgumu
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 2 күн бұрын
Nafikiria maandamano ya kesho yatakua mabaya Sana tuombeeni watz
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 2 күн бұрын
Wadau wametumia fursa
@swahilibrotherhood
@swahilibrotherhood 2 күн бұрын
Politicians are not serious, hao jamaa wanatakiwa wapewe pressure enough
@MwatumAhmed
@MwatumAhmed 2 күн бұрын
Waaah😢😢
@abubakarimsere
@abubakarimsere 2 күн бұрын
Hivi kwanini tusimpe nchi Dj smaa 😢 ni mawazo yangu tu
@djsma255
@djsma255 2 күн бұрын
😂😂😂
@hassansela1393
@hassansela1393 2 күн бұрын
😂😂
@shd12m55
@shd12m55 2 күн бұрын
😂😂😂dah alafu masubi wazili wa ulinzi
@japhetkyarukambaaristides8698
@japhetkyarukambaaristides8698 2 күн бұрын
Kwamba Djsmaa awe ndo kama "mama samia" sindio 😂😅
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@mussahussein4619
@mussahussein4619 2 күн бұрын
15. Tz 300000
@user-bl3rp5tk5f
@user-bl3rp5tk5f 2 күн бұрын
elf 15 ya kenya ni zaid ya laki 3 ya tz😂 hatar sana babaa
@paulntalima6998
@paulntalima6998 2 күн бұрын
Pesa yao izidishe mara 21 ndio unapata ya kenya
@salimmadafa4840
@salimmadafa4840 Күн бұрын
Behind haya maandamano kuna western.... Hawa ni wakenya kama wale wanaoandamana lakini hawana huruma, hii sio akili ya wananchi wanaoipenda inchi yao. Hawa walitakiwa kufanya kazi na Rais kumshauri nini cha kufanya.Hawa wanachochea ghasia kwa makusudi
@manmcog1741
@manmcog1741 2 күн бұрын
Elfu 15 ya Kenya ni 308,700/=
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 2 күн бұрын
UYO PRIME CABINET NA CABINET SECRETARIES WANAKULA 990K NI KAMA MILION 20.5M ZA KIBONGO
@trendz_2548
@trendz_2548 2 күн бұрын
😂😂😂😂hawa watu wanatuzuga ile wajifanye wamekata tuone wanatujali ila tunajua mchezo wanaoucheza. Hii serikali inatunyonya zaidi
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 2 күн бұрын
15,000ksh = 307,500Tsh
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 2 күн бұрын
THAT NONSENSE HAS BEEN DROPPED ALL HOUSES OF REPRESENTATIVE UNANIMOUSLY REFUSED
@zingahassan5851
@zingahassan5851 2 күн бұрын
I think it's a cover up they don't want GEN Z not to focus on finance bill but wanataka tuongee abt SRC.....coz mswada kupitishwa BUNGENI hata rais asipoweka sign after 21 days ...Sheria inapitisha
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j Күн бұрын
Gen Z wamekiwasha kiyajua you haya
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 2 күн бұрын
Hakunataifagum kulitawala dunian kama kenya
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c 2 күн бұрын
Huyo kigogo atachomewa nyumba labda kama haishi kenya sawa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 күн бұрын
Indirect ruto must go!!
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 2 күн бұрын
Hiyo hesabu yote fanya mara 20.58 kwa pesa ya Tanzania
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 күн бұрын
mshahara wa mbunge wa kenya ndio mshahara wa mama samia Tanzania wakenya tunapitia wakati mgumu😢😢
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 күн бұрын
Na bd mtashika adabu yenu mpaka mlee udongo
@mohamedngoshani2067
@mohamedngoshani2067 2 күн бұрын
sababu ya kumjibu hvo nn ​@@KassimAlly-xp4dz
@modrizii
@modrizii 2 күн бұрын
Mshahara wa rahisi haujawai kuwa hadhara tanzania na bado ana malupulu kibao
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q 2 күн бұрын
Ushakula au bado uko na njaa
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 күн бұрын
@@modrizii Ni mil 9 magufuli aliwekaga hadharani
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 күн бұрын
Ruto ndie wakulaumiwa kabla ya wabunge, wataka kusema yeye haoni haya? Je,yeye hana uwezo wakuliongelea hili? Na yeye mwenyewe alipoingia uongozini akabuni office ya fast lady na second lady ,hiyo mishahara yao sasa!! Amezidi spiiker wa bunge mara 10,hii haijawahi tokea, alikua amekuja na mbinu kua mtoto wake mkubwa w kike na wakiume wawe na office zao na walipwe hao watakua washauri wa vijana,wakenya tukakataa,huyu ruto ni abari nyengine wala sio mtu mzuri
@prospermbwambo2265
@prospermbwambo2265 2 күн бұрын
Wakenya ni zamu yenu wafanyabiashara wenu wameumiza sana wakulima watanzania na stl mnaendelea kutuumiza kila wakat and what mfano zao la kitunguu linatumia gharama kubwa but mnakuja kuchukua kwa low price mkijua mkulima wa kitanzania anateseka but na nyiny teseken kidogo mjifunze
@alisalimkenya3972
@alisalimkenya3972 2 күн бұрын
Hawa watu wamewekwa na ruto kuharibu maandamano yaonekane ni ya majangili
@majaliwamabalakifutumo8765
@majaliwamabalakifutumo8765 2 күн бұрын
Hii ishu huenda ruto kaamua kuyatoa haya yajulikane hakua njia ya kuya sema
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 2 күн бұрын
Dj smaa my brother sasa nazani Hume helewa kwanini wale watangazaji hawa kuwa nataka kumsikiliza ruto uongo wake, Maana kila siku huwa hana hongea uongo mtupu
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 күн бұрын
Mambo ya maandamano hayana chakuyapangia ila watu wameshajua wenye sio waandamanaji ni wakora
@AmaniSangawe-fc1dy
@AmaniSangawe-fc1dy 2 күн бұрын
Hizo hela za Kenya Fanya 22.1 mara huo mishahara utapata hela ya tanzania
@obongobongo77
@obongobongo77 2 күн бұрын
Just sit back n relax
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 2 күн бұрын
Tunaumia Sana wakenya
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 2 күн бұрын
Yaani 25k Airtime ni ya nini...kenya tumenyanyaswa na hii serikali
@edwinaura-yk1ei
@edwinaura-yk1ei 2 күн бұрын
Mimi niko kenya nyumbani kwetu
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 күн бұрын
Nyinyi achaneni na Kenya maana mambo yake hamtayaweza, juzi mlitetea ruto mkasema waandishi wa habari walikua hawampi heshima kama raisi, ukweli nikwamba, ruto usipomuwahi wewe anakukalisha, hakuna maojiano hata mamoja ruto aliyoruhusu mwana habari amuhoji mambo ya ndani, nae ukatiza watu kama hivyo, Kenya ruto hajawahi kuacha sekta ifanye kazi yake bila kutoa vitisho na kupanga vile atakavyo yeye,hiyo ilitoka jana na hii ni baada ya kupata vibaraka wengine wakimsuport, hiyo ni njia yakuridhisha vibaraka wake ili waendelee kuwa upande wake, huyu ruto mtuachie tu sisi
@user-vn6vx1qk5i
@user-vn6vx1qk5i 2 күн бұрын
Kes 15,000x22.2 (rate varies) = Tzs 333,000
@mohammedshishishi6375
@mohammedshishishi6375 2 күн бұрын
Mtu anaye juwa siasa ya kenya uliza dudubaya
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 2 күн бұрын
Dudu baya. Bangi zile
Hotuba ya Rais Ruto! Uchambuzi na Ushauri kwa Ruto kutoka kwa DJ Sma
30:28
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 23 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 18 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 03/07/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
Abducted Cop Shakur Speaks After Being Released!! - GEN Z HERO
13:37
Это мои машины😏
0:16
PetrBillion & Father
Рет қаралды 1,6 МЛН
heavy equipment
0:26
Mr PumpOperator Saudi Riyadh
Рет қаралды 3,2 МЛН
КИТАЙСКИЙ ВЫХЛОП на GEELY TUGELLA #shorts
0:51
Мистер Глушитель
Рет қаралды 969 М.