Hotuba 3 za JPM zilizogusa Hisia Za Maelfu ya Watanzania

  Рет қаралды 193,344

MAGUFULIFICATION OF AFRICA

MAGUFULIFICATION OF AFRICA

Жыл бұрын

#Magufuli #Tanzania #Magulificationoftanzania #short #shprts #shortvideo #shortsvideo #shorts
Hotuba 3 za JPM zilizogusa Hisia Za Maelfu ya Watanzania
Licensed under a Creative commons AttribushareAlike 4.0 International License. Based on a work at https

Пікірлер: 91
@hillarymuliro3135
@hillarymuliro3135 Жыл бұрын
Hatukujua kwamba u were the best in the world,Baba I wish God gave u second chance to serve Ur poor servants
@hemedbakari8997
@hemedbakari8997 Жыл бұрын
Hizi hotuba za baba wa pili wa Taifa ndio zinamaliza bando langu.tulikupenda sana Mzee wetu
@mohamedally2041
@mohamedally2041 Жыл бұрын
Hj
@mohamedally2041
@mohamedally2041 Жыл бұрын
The
@geneouscravery3428
@geneouscravery3428 Жыл бұрын
Baba tutakuenzi kwa mazuri yako mungu akusamehe makosa Yoko na akulaze mahali pema
@livinkimath88
@livinkimath88 Жыл бұрын
Hivi samia anafuatilia hutuba ya hayati mwema au anasikiliza mambo ambayo atuyaelewi
@abuadobakaly2394
@abuadobakaly2394 Жыл бұрын
Baba alikuwa akiongea nchi inatulia kimya tunasikiliza
@dullamk5694
@dullamk5694 Жыл бұрын
Haswaa
@NigelAnudo
@NigelAnudo Жыл бұрын
Ukweli Mtupu Tanzania 🇹🇿 imebarikiwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kalutalumenge5260
@kalutalumenge5260 Жыл бұрын
Ninashindwa cha kusema baba, Ulikoitowa Nchi na kwa sasa inapo elekea ni shida tu. Ila ninafarijika sana maana nimemzaa John.
@abedinegoelias9616
@abedinegoelias9616 Жыл бұрын
Daaa..! Cjui walikufikiaje kipenz wetu..! Yaan wew hakika tulikupenda mnoooo baba...!
@jamescr3917
@jamescr3917 Жыл бұрын
Charismatic speech in world wide
@malongomwanangwa4330
@malongomwanangwa4330 Жыл бұрын
Jembe mungu akupumnzeshe
@oscarmbindi1760
@oscarmbindi1760 Жыл бұрын
Ni kweli ulistairi kuwa Rais
@chrizostombujune2460
@chrizostombujune2460 Жыл бұрын
Ameugusa moyo wangu
@samsonisaack5145
@samsonisaack5145 Жыл бұрын
Amina
@veronicakayungi
@veronicakayungi Жыл бұрын
Baba pumzika kwa amani,huku nchi hatuna hamu nazo rushwa zimerudi pale pale.Mungu anisamehe Mama Samia kumbuka kuna leo na kesho yule aliyekuweka hapo leo unayoyafanya akiamka leo atalia kwa uchungu sana umemgeuka kupita kiasi nikikuona nasikia hasira wewe mama Mungu anisamehe
@wilsondotto9332
@wilsondotto9332 Жыл бұрын
Tunakukumbuka sana acha tuteseke
@mubirirashidi
@mubirirashidi Жыл бұрын
Mashaaallah ❤️❤️❤️
@babajohn8308
@babajohn8308 Жыл бұрын
Sijui mungu tulimkosea nn
@josephkatana4461
@josephkatana4461 Жыл бұрын
Hon. John pombe magufuli was more than a president, I really appreciated him and I'll emember him forever , I wish I. Kenya we could have search a president,
@luciasafari4014
@luciasafari4014 Жыл бұрын
Nimekukubuka sana
@malongomwanangwa4330
@malongomwanangwa4330 Жыл бұрын
Tunashuru Kwa kutufungua maskio yeti na ubongo
@feliciantarimo5913
@feliciantarimo5913 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani Baba yetu tulikupenda Mungu akakupenda zaidi
@jauhirathumani4749
@jauhirathumani4749 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupumzishe peponi ameen
@mwizerwageorge4271
@mwizerwageorge4271 Жыл бұрын
Gift to God
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Жыл бұрын
Mungu wapumzike kwa amani amina
@alfredmutoka1198
@alfredmutoka1198 Жыл бұрын
Kilikuwa kichwa cha Africa icho
@kinanamorisho3263
@kinanamorisho3263 Жыл бұрын
JP mzee mzima eish kweli aliejuu anajua ulicho kiacha sasa.
@nuruurassa3033
@nuruurassa3033 Жыл бұрын
Rip magu tutakukumbk daima
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 24 күн бұрын
Asante moyo
@athanaschannel6391
@athanaschannel6391 Жыл бұрын
Inauma sana
@Shadrack-hh7oh
@Shadrack-hh7oh Жыл бұрын
Bora kufa na mawazo yanayo hishi kuliko kuishi nawazo yaliyo kufa
@eliasilaizar9787
@eliasilaizar9787 Жыл бұрын
Kwani mama awezi fatilia otuba ya mzee
@fredrickmutabilwa8269
@fredrickmutabilwa8269 Жыл бұрын
Tutakukukumbuka daima, Pumzika kwa Aman
@izackmollel-oy2wb
@izackmollel-oy2wb Жыл бұрын
Hakika hatutomsahau milele
@godfreysusa162
@godfreysusa162 Жыл бұрын
Kuna wengine apo viti vya mbele ukiwaangalia Kwa harakaharaka utadhani ni watu ila ukiangalia Kwa jicho la upembuzi kumbe ni wanyama tu wamejawa na tamaa. Tuone nyie mtafika wapi na izo tamaa zenu.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Жыл бұрын
Kweli wema hawadumu. Kuna mlevi mmoja juzi kasema watu wema huwa hawafi. Watanzania tunahitaji kufanya maombi maalumu kwa ajili ya hili taifa
@fredrickmutabilwa8269
@fredrickmutabilwa8269 Жыл бұрын
Huyu Naye Ni ajili ya wizi walouzoea kipndi kile,ndiyo maana alifagilia jukwaani
@ashashareef7013
@ashashareef7013 Жыл бұрын
Daha nikiskia sauti ya baba natokwa machozi
@anicethanthony6862
@anicethanthony6862 Жыл бұрын
Mama Samia ni Mnafiki sana Leo hii amemgeuka JPM
@ramadhanithomasi3031
@ramadhanithomasi3031 9 ай бұрын
Raisi
@wemazai2767
@wemazai2767 Жыл бұрын
Inauma sana tumepoteza shujaa wa pili wa Taifa letu
@charlesjustine7322
@charlesjustine7322 Жыл бұрын
Dah siku izi wanarud shule mzee wetu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 24 күн бұрын
Yahni
@laureanmuterani5040
@laureanmuterani5040 Жыл бұрын
Rip mwamba
@pendoramadhani1080
@pendoramadhani1080 Жыл бұрын
Ongera san Hayat MUNGUFULI
@isaacmartine2414
@isaacmartine2414 Жыл бұрын
Yaulimwengu yatapita Neno litasimama (utakufa hakika)
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Baba kwangu nataka kupondwa ukuta wa jilani yangu sina mtetezi hatuna serikali kwa sasa tunakukumbuka
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Watu walikuwa wanaamani masaa yote hotuba zimeturia zenye bashasha sivichambo vya taarabu na madole juu
@charlesmsacky2895
@charlesmsacky2895 Жыл бұрын
Tutakukumbuka xana
@wilsondotto9332
@wilsondotto9332 Жыл бұрын
Sitakusahau maisha yang, maana asahivi ukienda halmashauri unaambiwa hamna network kumbe anaangalia mfukon
@kelvinkaijage9684
@kelvinkaijage9684 Жыл бұрын
Mh sna hata neno maghu sku.moja ntakja uliko hko mbinguni nikupe umbea ulivyokufa yapi yalijitokeza
@zablonsabilah1011
@zablonsabilah1011 Жыл бұрын
Akuna Prezzo kama huyu🙏🙏🙏
@basitv2299
@basitv2299 Жыл бұрын
Ile ya ufunguzi wa bunge 2015 naiomba yote tafadhali.
@MagufulificationOfAfrica
@MagufulificationOfAfrica Жыл бұрын
Sawa sawa Nimekuelewa Mkuu
@abdulhamidjafar3176
@abdulhamidjafar3176 Жыл бұрын
Hazinichosh izii hutuba na kaa mwez t nazirudia tn mungu akulipe
@eliasilaizar9787
@eliasilaizar9787 Жыл бұрын
Nikweli na ndiomana tunakkumbuka kwasababu ulikua na maonomazuri
@eliasilaizar9787
@eliasilaizar9787 Жыл бұрын
Sasa yale yoote Uliyo kua ukipigavita yameshajirudia
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 Жыл бұрын
Huyu alikuwa anajielewa msemaukweli wengine wanajiona waondiowao
@malongomwanangwa4330
@malongomwanangwa4330 Жыл бұрын
Tuna mkumbuka sana huyu mzalendo
@robertngwagala5939
@robertngwagala5939 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@ernestmchiwa6418
@ernestmchiwa6418 Жыл бұрын
Kijazi
@nuruurassa3033
@nuruurassa3033 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
@frankemanuel2385
@frankemanuel2385 Жыл бұрын
Ulale pema peponi.
@mbogomasanja
@mbogomasanja Жыл бұрын
Pengo lako halito zibika
@ibrahimusanga1269
@ibrahimusanga1269 Жыл бұрын
Nitakukumbuka sana Raisi magufuli kwa matendo yako
@ndayikezajeanmarie
@ndayikezajeanmarie Жыл бұрын
Alikua jembe la tanzania
@ndayikezajeanmarie
@ndayikezajeanmarie Жыл бұрын
Amekua wakwanza atajifata
@shabansumuni2590
@shabansumuni2590 Жыл бұрын
Mangufuri
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 Жыл бұрын
Wewe ndio baba wa taifa
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Hatunae tena ila tunaishi na maneno yake
@davvidchambogo755
@davvidchambogo755 Жыл бұрын
Nenda baba
@irenealex
@irenealex Жыл бұрын
aamua slu hasan
@neemasogwa8569
@neemasogwa8569 Жыл бұрын
Ex bongos
@fu3443
@fu3443 Жыл бұрын
Kuzenza
@izackmollel-oy2wb
@izackmollel-oy2wb Жыл бұрын
Video
@user-cx9lt8hh4l
@user-cx9lt8hh4l Күн бұрын
🫡🇹🇿 RIP 2024
@abdulrazaqmohd-po8ru
@abdulrazaqmohd-po8ru Жыл бұрын
Abdul razak mohd
@johnmwanyula7514
@johnmwanyula7514 Жыл бұрын
CT
@godsonjohn9791
@godsonjohn9791 Жыл бұрын
Muviyakihindi
@fatumamohammed8660
@fatumamohammed8660 Жыл бұрын
Hu
@nipaeli8188
@nipaeli8188 Жыл бұрын
Ajαlι
@malongomwanangwa4330
@malongomwanangwa4330 Жыл бұрын
Umetuachia majonzi tuu huku dunian
@jumasaid3228
@jumasaid3228 Жыл бұрын
Tanzania tumepoteza kichwa kikubwa Sana huyo jamaa alikuwa raisi wa uhakika 😭😢mungu akujalie safari ya salama jpm
@jamescr3917
@jamescr3917 Жыл бұрын
Charismatic speech in world wide
@godsonjohn9791
@godsonjohn9791 Жыл бұрын
Muviyakihindi
@godsonjohn9791
@godsonjohn9791 Жыл бұрын
Muviyakihindi
@godfreymlila9958
@godfreymlila9958 Жыл бұрын
Huyu alie kaimu cheo cha ulaisi ni shida tunateseka,na kunamawaziri walitwambia tukiona vp tukaishi zambia,majizi matupu yaliyo baki
@tumainichapaulinje2775
@tumainichapaulinje2775 Жыл бұрын
Samia anamwangalia vibaya hatar
Magufuli akiwafungukia watanzania kuhusu uzazi wa mpango
8:58
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 581 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 28 МЛН
HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOWATUMBUA WAFANYAKAZI WA 3 WA TRA
4:21
Mwananchi Digital
Рет қаралды 38 М.
Donald Trump speaks for the 1st time on the assassination attempt
14:17
FOX 9 Minneapolis-St. Paul
Рет қаралды 10 МЛН
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA KAIMU RPC RUKWA/ "ANAKIBURI....."
8:13
Rais Kikwete Ampaka Mafuta Magufuli
13:32
SIMU. Tv
Рет қаралды 61 М.
Itakuliza.! HOTUBA YA KUSISIMUA NA HISIA KALI YA HAYATI MAGUFULI
11:36
KUMBUKIZI Rais Magufuli alipofanya Ziara ya Kushtukiza Bandarini DSM
30:33
MAGUFULIFICATION OF AFRICA
Рет қаралды 61 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН