ZANZIBAR ,MKASA WA KUSIKITISA MVUVI ALIYEKUTANA MCHAWI MZITO BAHARINI.

  Рет қаралды 151,941

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

Күн бұрын

FUATILIA MKASA WA MVUVI ALIVYOKUTAKA NA MKASA WA KUZAMA BAHARINI KWA SIKU 4 BILA MSAADA.

Пікірлер: 96
@monicabalucci1624
@monicabalucci1624 8 ай бұрын
Nimeumia jaman naona Hawa kama ndo babangu jamani …wanawake tuwaheshimu wanaume wanaotupambania jamani 😭Mungu awesimamie baba zetu awape ahueni kwenye maisha yenu
@KhadijaNgoda
@KhadijaNgoda 8 ай бұрын
Amen
@FatumaMuya
@FatumaMuya 8 ай бұрын
Ameen
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 9 ай бұрын
Nawafahamu sana hawa watu. Wamezaliwa, wamelelewa, wamekuzwa, wamekuwa na wanaishi baharini. Bahari ni kubwa ila Allah ni mkubwa zaidi.
@carroljames8692
@carroljames8692 9 ай бұрын
What's papa in english?
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 9 ай бұрын
@@carroljames8692 "papa" for Swahili speaking Zanzibaris means "shark 🦈" one of the deadly creature out there
@myself4128
@myself4128 9 ай бұрын
Allah Hajaumba Kitu Nenda mecca utamkuta ametulia pale hata baharini hapajui...
@yassirswaleh7127
@yassirswaleh7127 9 ай бұрын
​@@myself4128na yesu nae kashakufa hatumjui ata yuko wapi
@mduda_i
@mduda_i 9 ай бұрын
@@myself4128 pale utakapokuja kujuta sentesi itakayokutia natatani mbele ya muumba aliumba ardhi na mbingu ukiwemo wewe na yesu ndani yake. usamehewe ni upeo mdogo wa kiakili
@nairomcomoria5788
@nairomcomoria5788 9 ай бұрын
🤲🤲🤲 mungu akufungulie kila la kheri mzee wangu
@shemsa_salum
@shemsa_salum 8 ай бұрын
amiin
@HappymackBazilio
@HappymackBazilio 7 ай бұрын
​@@shemsa_salum❤1a❤❤❤😅8😊òp
@shemsa_salum
@shemsa_salum 7 ай бұрын
@@HappymackBazilio what
@tariqebenson
@tariqebenson 8 ай бұрын
Napenda watu wa Zanzibar, ni wa kweli hawaongei kutafuta sifa Wala umaarufu. Hapo angekuwa mtu wa bara ungesikia baharini nilikutana na wachawi wengi nikawakazia😂
@NdongaKichwa-hz7jf
@NdongaKichwa-hz7jf 8 ай бұрын
Wabara wanapenda sifa na kujikweza
@MamaAbdul-c5i
@MamaAbdul-c5i 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂amewakazia
@tariqebenson
@tariqebenson 8 ай бұрын
@@MamaAbdul-c5i Ndioo😂😂😂
@gloeemm
@gloeemm 7 ай бұрын
😂😂😂 Bara ni wajanja weyeeee
@ramxeybashirymfinanga
@ramxeybashirymfinanga 7 ай бұрын
Wewe comments kwa channel usizungumzie chuki zako
@NdongaKichwa-hz7jf
@NdongaKichwa-hz7jf 9 ай бұрын
Mzee nakukubali kumuweka Mungu mwazo kama hajapanga halikukuti jambo lolote
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 9 ай бұрын
Anamtegemea Mwenyezi Mungu sw kielimu na sio kipumbavu kama unavyowaza wewe. Hapo lazima atizame malaika waliowakilishwa (nyota) na elimu za fani. Hakuna mvuvi mjinga, sasa jipeleke weye kichwa kichwa uone 😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 9 ай бұрын
Hata mamba anatengezwa.
@NdongaKichwa-hz7jf
@NdongaKichwa-hz7jf 9 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 uwo wako usenge na ujinga wa kifikiri Mungu ndo kila kitu awo Malaika unozungumza ww hawawezi kufanya chochote mpaka wapate Izini kutoka kwa Mola wao hanisi ww kasome acha Kuja kucomment uhanisi wako hapa Mshirikina mkubwa
@azizirania63
@azizirania63 9 ай бұрын
Maskin wazee wanateseka wanafaa kustaafu lkn ndio hivyo tena hawana namna😢
@Sadickmbwambo
@Sadickmbwambo 9 ай бұрын
Mashaa Allah Mzee ana Taqwa sanaa Allah Amfungulie kila lenye Kheri na yeye
@JacfarNur
@JacfarNur 2 ай бұрын
Amiin Amiin YA RABBI
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 9 ай бұрын
IzaaArada Shaia An'yakula Lahu kun fayaqun,Allah Azd kukuhfadh🙏
@JacfarNur
@JacfarNur 2 ай бұрын
Ntapata mdada wa Zanzibari ❤❤❤
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 9 ай бұрын
Tatizo meli nyingi kubwa zinazopita katika Bahari zetu zinavua kisasa zinamaliza samaki kwa wavuvi wadogo wadogo.ndio mana samaki wanakua hadimu kupatikana kwa wavuvi wadogo.
@AshaSuleiman-e9r
@AshaSuleiman-e9r 8 ай бұрын
Alhamdulillah maashallah kwa kumtanguliza Allah
@fatumamasudi4963
@fatumamasudi4963 7 ай бұрын
Allah atakulinda babaangu
@FekiHappy
@FekiHappy 9 ай бұрын
Naomba Allah Anisaidie niweze kutoa msaada jmn toka mwaka 70??
@shemsa_salum
@shemsa_salum 8 ай бұрын
Allah atufanyie wepesi wote ktk harakati zetu za halali za kutafuta rizki
@mwanashaali1109
@mwanashaali1109 8 ай бұрын
Barakah llahu fiik
@jambojomba9042
@jambojomba9042 8 ай бұрын
Assalaam alaikum, shukran sana shk Muhammad Bachu. Utawaambiaje hawa wanaoitakidi kuwa aina tatu za Tawheed eti ni UTATU?
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 9 ай бұрын
Jamani wazee wetu wamesema kweli wamechoka kazi ngumu usiku mtu anashinda Bahraini kwakweli tufanyeni mango wa hizo machine za both na raising hussein mwinyi aangalie mitandao aone watu walivyokuwa nashida wasaidie jamani hate michango
@mwananganzi
@mwananganzi 9 ай бұрын
Watanzania wenye uqezo wamuwezeshe huyu mzee wamtafitie mradi wa vifaa aweze kukodisha na kuingiza kipato aachane na kuvua yy mwenyew .
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 9 ай бұрын
Hizo ndizo shughuli walizozoea wamwezeshe vifaa vya kisasa boti za mashine na nyavu app watakua wamemsaidia
@yahyamaabad9837
@yahyamaabad9837 9 ай бұрын
Polen sana baba zangu😢😢😢
@TaarabChannel
@TaarabChannel 9 ай бұрын
Mupitie na kwangu wapenzi ❤❤❤
@rahmayasin9094
@rahmayasin9094 8 ай бұрын
Subbahanna 😢
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 9 ай бұрын
Vibwengo sindio walikuja kuwafuata utopolo kwajili ya kuwaloga al ahaly huko Zanzibar
@tualiboicratualiboicratual4504
@tualiboicratualiboicratual4504 9 ай бұрын
❤❤
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 9 ай бұрын
Allah akufanyie wepes Mzee wang
@DuliBrillant-mr8er
@DuliBrillant-mr8er 8 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭me niachen nilie tu
@CYRILTV2023
@CYRILTV2023 9 ай бұрын
🙋
@ManiAwilo
@ManiAwilo 7 күн бұрын
Huyomzee imaniyake ikosabiti watukamahawo niadimusana niwazee wenye historiya inafaa waeziwe
@Spagles
@Spagles 9 ай бұрын
HATARI kombo😂
@jumahalifa6436
@jumahalifa6436 9 ай бұрын
Nimechoka😂
@AgnesJackson-ts9or
@AgnesJackson-ts9or 9 ай бұрын
😂😂😂😂katisha
@nashnene6326
@nashnene6326 9 ай бұрын
Afu tukitaka kununua samaki tuna bargain ili kushusha bei tupate nafuu
@suleimanmatege3899
@suleimanmatege3899 9 ай бұрын
😂😂😂😂noma sana
@InvestorMtuiSamuel
@InvestorMtuiSamuel 8 ай бұрын
Mzee yupo vuzuri.
@noahnsubc1666
@noahnsubc1666 9 ай бұрын
muwasaidie mabaharia washastaafu
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 9 ай бұрын
NshachoKKA 😢😭😢😭😢😭😢😭
@yahyamaabad9837
@yahyamaabad9837 9 ай бұрын
Ndio mbumbwini mwezangu kipa kiarabu zo zetu sisi nimekuelewa
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 9 ай бұрын
Mimi samaki sibagain kama simuezi naondoka
@jitukorofi9517
@jitukorofi9517 9 ай бұрын
Sawa tajiri
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 9 ай бұрын
DR MWINYI WACHA KUZIBITI PESA ZA WAZANZIBARI NA UCHUMI WAKO WA MWEUSI. WAPE WANYONGE NA WAO WAISHI KAMA UNAVYOISHI NA FAMILY YAKO! IMELETWA KUWAPA TIA TAABU WAZANZIBARI NA MAISHA YAO
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 ай бұрын
Duùuu
@bindawood978
@bindawood978 9 ай бұрын
Ulikuwa wapi@natafuta matatizo karibu tena naona umerudi kwa kasi!
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 9 ай бұрын
@@bindawood978 MAISHA MAGUMU HAYANA MFANO, TOKEA HUDR MDHIBITI FEDHA WAWATOE WATU ROHO NA UTAWALA ZANZIBAR. NI UCHUMI MWEUSI KILA KONA NA SIJUI WAMETOKEA WAPI SHETANI HUYU KUWATAWALA WAISLAAM👀👀🤣
@bindawood978
@bindawood978 9 ай бұрын
Duh hatari sana, pole ndugu yangu pambana na usikate tamaa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 9 ай бұрын
Mjomba fahamu husipoitumia akili na maarifa yako uliyopewa na Mungu basi fahamu watu watakutumia, .. Huyo rais unayemtaja hapa ni binadamu km wewe nasi simba,... Acha kumtegemea binadamu
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 9 ай бұрын
Haji Haji Ali.
@KinanaSharif
@KinanaSharif 9 ай бұрын
🎉😢😢
@redtk2971
@redtk2971 9 ай бұрын
Huyu mzee sio mtu mzuri, jiazari sana na mtu anaetamja taja mungu kila muda kinywani mwake
@ibrahimumngereza7769
@ibrahimumngereza7769 8 ай бұрын
Mbona unantisha na nijirani yangu huyu
@MrSmile_Family
@MrSmile_Family 8 ай бұрын
tufafanulie
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 8 ай бұрын
Hamna huyu nimchamungu
@AllySibila
@AllySibila 8 ай бұрын
Ukimshiba Allah tu unakua hivi. Sasa wewe kila siku kila mda unamsikiliza zuchu na diamond
@abdulhalimhumud1917
@abdulhalimhumud1917 8 ай бұрын
@@AllySibila😂😂😂 eti kila Mda ananiskiliza zuchu na mondi
@carroljames8692
@carroljames8692 9 ай бұрын
What's papa?
@MgalulaMapesa
@MgalulaMapesa 9 ай бұрын
Shark
@alikhamisog3422
@alikhamisog3422 9 ай бұрын
Shark
@einsteinchacha5797
@einsteinchacha5797 8 ай бұрын
Kichwa cha habari cha uongo nime unsubscribe
@tomondiek2839
@tomondiek2839 9 ай бұрын
tukienda hivi sshahayayasshshejejej pumzika shshshshhshs wasi wasi gghsyysshshsh binadamu ggsyytshshsha maliza umeshika?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 9 ай бұрын
JAMANI NAULIZA KWA AYEJUWA UKWELI ATUPE MAARIFA KUHUSU HUYU PWEZA UKIMVUWA UKITIA NDIMU YANATOKEA MABALAA TUAMBIENI MABALAA GANI YANAYOTOKEA??? MIMI SIJUWI NA KUULIZA SIO UJINGA.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 9 ай бұрын
anakuuwa hawapatani
@salimmalaka256
@salimmalaka256 9 ай бұрын
@@sabihaibrahim143 TUFANYE YUPO NCHI KAVU UKIMTIA NDIMU ANA KUUWA AU AKIWA MAJINI???
@babyrurashid2393
@babyrurashid2393 9 ай бұрын
Sio kweli
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 9 ай бұрын
Tuulize zaidi wenye elimu na kila mtu ana elimu yake. Nahau haifiki hapo😂, maana kuna VISHEHE kanzu skuizi jambo hawajui hawasemi sijui watakujibu ni Shirki au ujinga wao tu ila jibu hawana. Tafuta mwenye elimu yake
@salimmalaka256
@salimmalaka256 9 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 LAZIMA ANAEJUWA AWE MVUVI MWENYE UMRI MKUBWA ATAKUWA ANAJUWA MAMBO KAMA HAYO KUNA WATU WANASEMA PWEZA ANA ASILI YA JINI KWA HIYO TUNAMLA JINI HAHAHAH.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
MKASA MZITO DEREVA BOLT ALIVYOMALIZA FAMILIA BAADA YA KUJIUNGA NA MASONIC
31:27
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 125 М.
KISA CHA DEREVA LORY,ALIVYOKUTANA NA FREE MASON USIKU WA MANANE SAFARI ZA KONGO
38:52
Haki inasimama tu leo tumemwagiwa maswali kama mawe wagaratia waleta mapya
55:55
MKASA,KIJANA ALIYEFUNGWA MIAKA 30 KESI YA KUSINGIZIWA KUMBAKA BOSS WAKE
41:38
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 56 М.
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 47 М.
STORY YA KUSIKITISHA KISA CHA DEREVA MKONGWE KUBEBA WASOMALI WAKIMBIZI
32:58
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 164 М.
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 212 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН