Hata nikifunga saumu siwezi kaa bila......Dawah mitaani Mombasa.

  Рет қаралды 28,749

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Dawah mitaani kwa hisani ya Straight Path Dawah inaendelea katika mji wa Mombasa. Tafafhali subscribe ili tuendelee kufikisha dawah.

Пікірлер: 227
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
Wabishi wakiristo Sana wao wankazana mungu hangalii mavazi angalia roho mukae uchi kisha mujiuze kisha mungu angalia roho
@annkuya1446
@annkuya1446 2 жыл бұрын
Angalia zile inchi zenye watu wanatembea uchi ziko na Amani na hawapigani SAA yote ati wanaitetea dini ya mwenyezi Mungu wao wanaishi kwa Upendo maana MUNGU wao ndiye anaye watetea bila kupigana pigana. Halafu nyinyi munakimbilia huko kwa hizo inchi za watu wanatembea uchi sasa Hiyo ni akili gani? Amani ni kwa YESU pekee kuliko dini,dini hutenganisha haileti Upendo kwa watu Bali husababisha Chuki zaidi.
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
@@annkuya1446 alafu angalia zile nchi zinazo ongoza na ubakaji duniani ,uzinifu,ukwimwi ,ushoga,na robery kuuwana ni nchi za kislam ama nihizo za kutembewa uchi
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Masha Allah mungu mkubwa 😭 masikini anasema alikua anatamani awe anaswali mungu amuongoze
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Aamiin
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Amiin
@jamalathman6219
@jamalathman6219 2 жыл бұрын
Allah amuongoze ndugu yetu katika dini ya haki uisilamu
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 2 жыл бұрын
Huyu msichana nimekupenda sana ulivyojibu hayo maswali 🤲🤲Yesu ni Bwana 🙏🙌🙌🙌
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 2 жыл бұрын
Jesus loves us all no matter our religion backgrounds. Jesus is the way to the light without Jesus we are nothing. Nawapenda wote na upendo wa Jesus christ
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 2 ай бұрын
What about god?
@bnussrahlimsantah3730
@bnussrahlimsantah3730 2 жыл бұрын
Allah akuongoze sheikh wetu Ramadhani nafurahia sana hivi vipindi vya dawah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Shukran jazeelan, ameen
@saidasheikh8215
@saidasheikh8215 2 жыл бұрын
Asalamu aleykum sheikh, MANSHALLAH ALLAH akujalie afya njema na yenye mafanikio makubwa katika maisha yako na akupe hekima ,Amin ya ALLAH
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@maherzain615
@maherzain615 2 жыл бұрын
Ameen. Ila sista samahani rekebisha hio MashaAllah sio ManshaAllah
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 2 жыл бұрын
@@StraightPathDawah sheikh Ramadhan assalaam alaikum, naomba unisaidie andiko linalotaja skukuu ya Iddi,, verse zake
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
Masha Allah mashekh wetu Allah awape afya njema pamoja na umri mrefu
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Ameen
@user-yk2rf6lm9g
@user-yk2rf6lm9g Ай бұрын
​@StraightPathDawah nashauri video kama izi wanawake waliokuwa uchi mtie ukungu baadhi yasehemu ili miili yao isionekane mana wapo uchi sana alafu video zinakaa maisha marefu tunakusudia heri ila tutahadhari Baarakallahu fiykum
@manenoagrey1519
@manenoagrey1519 2 жыл бұрын
Wakristo tunaongozwa na Mungu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
Mungu.yupi.
@kingsdaughter2040
@kingsdaughter2040 2 жыл бұрын
I love the wisdom of this girl do not judge I love that🤣
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 2 жыл бұрын
Yes she has really WISDOM she can't be deceived easily
@rooseupojuubuanaaarose3011
@rooseupojuubuanaaarose3011 2 жыл бұрын
Masha Allah tabarak Allah sheikh Allah azidi kutunyoosha njia iliyo nyooka aamin ninafuraha kuona kaka yangu akiingia katika dini ya haki.
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Ustadhi ramadhan mnakazi nzito sana Allah wape nguvu na Imani🇹🇿🤲
@hansmswagara2789
@hansmswagara2789 2 жыл бұрын
Masha Allah MwenyeziMungu azid kuwajaalia Masheikh We2 kaz nzur ya MwenyeziMungu
@sudysuleiman8028
@sudysuleiman8028 Жыл бұрын
Masha Allah, Mwenyezi Mungu akulipe pepo kwa kufanya kazi kama alivyoagiza yakwamba Miongoni mwenu yatoke makundi kwa ajiri ya kutangaza MUNGU MMOJA Tu
@mariamfouziawairimu1295
@mariamfouziawairimu1295 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujaalie afya njema na baraka uzidi kuifanya kazi hii njema. Jazak'Allah kheir.
@iddyally7228
@iddyally7228 2 жыл бұрын
Allah awajalie mashekh wetu kwa kazi nzuri sana mnafanya na awaepushe na madui wa uislam
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 2 жыл бұрын
Christians fast and PRAY to be closer to God and build good relationship with God and muslims fast to feel the hunger like poor people that's the difference between those two fasting... GOD is love
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Read Quran 2:183 and stop misleading people with your false information
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 2 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Am not misleading neither decieving ,I typed what I was once told by a Muslim brother.... Sorry if you felt offended. May the peace of our Lord savior Jesus Christ be with you🙏🏽
@AminaCuisine692
@AminaCuisine692 2 жыл бұрын
Muslim's first of all to obey the command of Allah s.w.t since fasting us a pillar of Islam.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Read the Qur'an chapter 2:183 and you will know the Reason
@athmanmohammedngana8977
@athmanmohammedngana8977 2 жыл бұрын
Masha Allah...mwenyezi Mungu akuajalie afya njema ili uzidi kulingania dini ya Allah
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu allah akujaalie kila lenye kher na ww
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 2 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Ramadan mungu akulinde na mabaya
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Kufunga n kusali pamoja katika mwezi wa Ramadhan uwe karibu n Mungu muumba mlenzi ila wengi hawajui na kuomba msamaha n kushkr neema za Mungu
@estherwigfall2558
@estherwigfall2558 2 жыл бұрын
nimependa sana kuwasikiliza hawa wadada wameongea vizuri na muuliza maswali yuko vizuri sana
@al_huda_theguidance5034
@al_huda_theguidance5034 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sheikh wetu, mwenyezi mungu akujaalie mema humu duniani na akhera pia
@maryamobo9534
@maryamobo9534 2 жыл бұрын
MashaAllah sheikh mungu akupe umri mrefu na afya njema uzidi kufanya kazi yako njema
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Ameen
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
Shukrani Allah hamuogoze na dini ya haki
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Kusilimu ni kuamini moyoni na kutamka kwa ulimi kwamba Mwenyezi Mungu pekee ndiye Mola wa Ulimwengu. Haya ni maneno ambayo yanapatika katika Biblia. Haya maneno yana njia kadha za kuyatamka. Kwa mfano, Kusema Mungu ni mmoja. Hakuna Mungu mwengine ila Allah. Mungu ni mmoja hana mshirika... Kuwa Muislamu ni lazima pia kuamini kwa moyo na kutamka kwa ulimi kwamba, Hakika MUHAMMAD ni Mtume wa Allah.
@MarafikiBeachhotel-ou7xj
@MarafikiBeachhotel-ou7xj Жыл бұрын
Hakika nakupenda Ramadhan Allah ukuzidishie kila la kheir
@husseinguyo4379
@husseinguyo4379 2 жыл бұрын
Mashaa Allah Allah akulipe kwa daawah unayoyafnya
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 2 жыл бұрын
Masha Allah Subhanallah
@hajeralqaidi2115
@hajeralqaidi2115 2 жыл бұрын
Allahu akbar mashaallah Allah akupe mwisho mwema karibu katika dini ya haki
@alicemangat3165
@alicemangat3165 2 жыл бұрын
Yesu alikuwa akifundisha Injili! aliyoileta.
@maherzain615
@maherzain615 2 жыл бұрын
Wala sio biblia?
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
Nani alisema akifundisha Qur'an
@alicemangat3165
@alicemangat3165 2 жыл бұрын
@@maherzain615 Injili ni biblia agano jipya.
@alicemangat3165
@alicemangat3165 2 жыл бұрын
@@andallaathman3856 Hamna aliyesema alifundisha Quran. Uislamu haukuwepo wakati wa Yesu mpaka miaka 600 baada ya Kristo.
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
@@alicemangat3165 sasa umejibu hapo kma Kwa amesema akifundisha Qur'an yesu Sisi tunajua coz Kwa Qur'an injil
@mahdiyusuf3431
@mahdiyusuf3431 2 жыл бұрын
Mansha Allah Sheekh May Allah bless you Amiin
@maherzain615
@maherzain615 2 жыл бұрын
Samahani rekebisha MashaAllah sio Man
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 2 жыл бұрын
Masha Allah , JazakAllahu kheyran sheikh wangu .... Dawah iendelee mpaka chee.
@bnussrahlimsantah3730
@bnussrahlimsantah3730 2 жыл бұрын
Mashallah
@amurisabiti7037
@amurisabiti7037 2 жыл бұрын
Kazi nzuri Mash'allah
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 2 жыл бұрын
mashaallah kazi nzuri sheikh mungu awape nguvu na afya
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 жыл бұрын
MashaAllah Sheikhe wetu Allah akubariki kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu inshaAllah amiin
@sophianyangalio3796
@sophianyangalio3796 2 жыл бұрын
Waalakum salaam warahmatullah wabarakatuh
@awinojuju8522
@awinojuju8522 2 жыл бұрын
The braided girl is super...Ustadh una interpret Bible vibayaaa Wachaneni na Wakristuu
@mufid707
@mufid707 2 жыл бұрын
Allah'hu Akbar Allah'hu Akbar. Jazaka'llah kher Sheikh: Ramadhan.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Ameen
@maherzain615
@maherzain615 2 жыл бұрын
MashaAllah sheikh Ramadan umefanya jambo la maana kuendeleza daawa msa maana masheikh wa msa ni maulidi na siasa ndio wameeka mbele.hii kazi ya mitume wameitupa
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 2 жыл бұрын
SIO MASHEKHE ILA NI MASHEHENA!!!!! Mambo ya kuangaziwa ya Tele, waislamu wateseka hadi kufikia kuingia katika mambo yanayo wapoteza na kuwavuwa uislam, hukmu za Allah hazifanyiwi kazi, na kadhalika. Ila Hawa Wanafiki Wanaojitia Uislam Poa wamebaki na maulidi tu wala hawaoni aibu.
@makenakendi9014
@makenakendi9014 2 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brother
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 2 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh Ramadhan tulikumiss sana
@jei_Ibrahim
@jei_Ibrahim 2 жыл бұрын
Sheikh mdahalo ulikuwa vizuri in shaa Allah
@mwanapilikaiama4013
@mwanapilikaiama4013 2 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah tabaraka Allah
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah shelkh Allah hakulinde kwa kila jambo kazi nzuri sana
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 2 жыл бұрын
Masha Allah❤️
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 2 жыл бұрын
Dada uko vizuri kabisa hongera,
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 2 жыл бұрын
Masha Allah. welcome back bro Ramadan Kuria bin Kaguo kwa uwanja wa da'wa
@abdullahcassiem1208
@abdullahcassiem1208 2 жыл бұрын
Masha Allah Mungu akujalie Sheikh
@kuruthumkilongo7902
@kuruthumkilongo7902 2 жыл бұрын
Masha Allah
@jamalathman6219
@jamalathman6219 2 жыл бұрын
Mashallah jazakallah kheir
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 жыл бұрын
Masha Allah, Allah akulipe mema zaid sheikh wangu
@mwastimsingi9373
@mwastimsingi9373 2 жыл бұрын
Maashaallah
@judyliz4544
@judyliz4544 2 жыл бұрын
Girl more love,u very sharp big up
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
She is using her brains
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Maashallah!
@kenyan9739
@kenyan9739 2 жыл бұрын
Wow that girl with braid
@rasmiamohamed6210
@rasmiamohamed6210 2 жыл бұрын
Allah akbar
@rahmahasan32
@rahmahasan32 2 жыл бұрын
Waleikum salam warahmathullahi wabarakatuh
@anwarsadatas01
@anwarsadatas01 2 жыл бұрын
Like ,share subsribe and do not skip ad.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Well said
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 жыл бұрын
MaashaAllah brother ramadhan kaguo
@henriettahildah9688
@henriettahildah9688 2 жыл бұрын
Mashallah sheikh jazaakul kheir.
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
Huyo mwana dada amemweza sheikh
@remiomar7154
@remiomar7154 2 жыл бұрын
mashaAllah
@hassangaucho4084
@hassangaucho4084 2 жыл бұрын
A,alaykum.... Uyo dada anamin MUNGU mmoja ni sawa lakin pia atambue kwamba MUNGU baad ya kuwaumba watu aliwaekea sheria na mipaka ya kuish ktk hi dunia, ili tusishi vile tunavyopenda sis bali tuishi kwa kufata sheria za MUNGU na sivyenginevyo itakuw ni hasara kubwa badae
@xalimobootan3779
@xalimobootan3779 2 жыл бұрын
Huyo diana ni clever sana
@lizaaagich9610
@lizaaagich9610 2 жыл бұрын
This lady desave wisdom
@nusurakhamisi1026
@nusurakhamisi1026 2 жыл бұрын
mashallah
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 жыл бұрын
Taqbir Allhahu akbar
@remigimtenga7608
@remigimtenga7608 2 жыл бұрын
Sheikh Ramadhani Kuria unahekima Sana Sana huna majigambo wala matusi.Umepungukiwa na jambo moja tu na ni kumwamini KRISTO kuwa mwokozi.BWANA akuangazie nuru yake.
@saidmzee2554
@saidmzee2554 2 жыл бұрын
Mhhh ww kufa tu
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 2 ай бұрын
Muokozi ni mungu sio kristo. Kwaiyo hajapungukiwa na kitu ila wewe ndo umepungukiwa. Badala ya kuamini mungu ndio muokozi wewe unaamini yesu ndo muokozi.
@muminaroba9122
@muminaroba9122 2 жыл бұрын
MashaAllah
@samxx411
@samxx411 2 жыл бұрын
mie nadhani ungempa hata mfano wa mama mary (mariam) mama yake yesu mbona alijitanda na kuhifadhi mwili wake yeye mavazi hayo amepata wapi
@lizaaagich9610
@lizaaagich9610 2 жыл бұрын
Kabisa dada
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
Hawa wanaojiita wakiristo sijui wanakataa nini na wanakubali nini!!kila andiko lazima watie viraka na wanasema wanaamini bibilia zao
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 2 жыл бұрын
Sasa wewe biblia inakuhusu Nini Kama huamini
@kenyan9739
@kenyan9739 2 жыл бұрын
Yes tunaamini our bible and we use spritual gifts revelation descernment ,ati waislamu hawakulani hadi muone😂😂😂wapi
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
@@kenyan9739 ukiacha ujinga utaelewa lakini uwapo umelera ushabiki utajichetua hapo mpaka basi, nimesema hivi,kwenye uislam hata mkiishi miaka 10,000 na mkazaa watoto 300 bila ya ndoa hiyo ni zinaa na kila mnapofanya tendo la ndoa hapo mnaandikiwa dhambi, 😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄, umekurupuka bi kizee!!
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
@@kenyan9739 sasa umetokea wapi wewe nawe!!hapo kwa comments zangu umeona kuna huo ushubwada ulioandika? Hau nifedhea zimekushika!!iila nimekujibu japo mada hiyo haipo apo
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 жыл бұрын
@@kenyan9739 alafu umekuja kivyengine unadhani siku fahamu!!! 😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄🤣😂, kuna UISLAM, kuna WAISLAM, unatakiwa kujua, lakini kwenu hata came we stay msha jihalalishia, ukiona muislam anafanya tendo la ndoa bila ndoa thambi yake yeye na MUNGU wake, muislam akienda kwa waganga ni yeye na MUNGU wake, akilewa ni yeye na MUNGU wake, akiiba, ni yeye na MUNGU wake, akisengenya, ni yeye na MUNGU wake, akinyanganya, ni yeye na MUNGU, akicheza kamari,ni yeye na MUNGU wake, hayo yapo wazi na hukmu zake ziko wazi, najua umeamia huku lakini chakukusaidia tu, acha kucheza na watoto wa kike iwapo unafanya kwa maksudi alafu ujifaharishe maana wewe ndiwe utakua shetani uliemdanganya na moto unakusubiri, angalia uislam unasema nini usiangalie muislam anafanya nini, tunapngelea uislam hatuongelei waislam, alafu unaona ufahari kuchezea watoto wa kike!!jitu zima hovyooo!! UISLAM UKO PAFECT ,ikiwa unachezea watoto wa kike wakiislam ili utembee ukijigamba basi kati ya wale sheitwani miongoni mwa binadamu wewe umo ndani
@ummua5006
@ummua5006 2 жыл бұрын
Jazakumu Llaahu khairan
@casaica2993
@casaica2993 2 жыл бұрын
Unataka kuhonga huyo Msichana lakini amekuonea far
@kenyan9739
@kenyan9739 2 жыл бұрын
😂😂😍😍😍😍true the girl has descernment spirit
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Kuhoga aje msidhani wakati hamna ushahidi
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 6 ай бұрын
hyu dada ni argumentator
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Mnapenda kubadili maneno ya Biblia ili yawe uongo. Neno lipo wazi lakini mnalazimisha kusali kuwe kufunga. Mnachekesha kweli waislamu. Kristo ndiye njia,kweli na uzima. Wewe dada unayesoma Biblia,naomba unitumie namba yako nimefurahishwa na uelewa wako. Nipo Tanzania
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 2 жыл бұрын
Mr. Joseph itabidi mimi nawe tunganganie huyo mwanadada, manake,,daa, mrembo na haja pungukiwa na maarifa
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Kusali n kufunga Pako pamoja kwani waislam hufunga n kusali n kuomba msamaha n kushukuru Mungu nyie wakirsto someni maandiko muelewe Ibada y saum inashikanishw n swala ndo unaona mama haezi kufunga Wala kusali
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 2 ай бұрын
Na wewe toa mafundisho
@jamesoseko6245
@jamesoseko6245 2 жыл бұрын
Mtu anasilimu kabla hata hajaambiwa uislamu ni nini? Hao ni kupotea
@maherzain615
@maherzain615 2 жыл бұрын
Ataujua akiwa muislamu
@hudaaalhussein3841
@hudaaalhussein3841 2 жыл бұрын
Alikua atamani kuswali lkn hajui aanzie wapi lkn mngu amemplekea shkh kumsilimisha,huyu alikua ashapata imani
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 жыл бұрын
Mungu ndio kamuongoza huyo coz ana muongoza anae mtaka so ni mungu
@amaa6353
@amaa6353 2 жыл бұрын
Kaboom
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 2 жыл бұрын
Strange
@hamdishide3137
@hamdishide3137 2 жыл бұрын
M.a
@jamanoor8707
@jamanoor8707 2 жыл бұрын
MASHAA ALLAH
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 2 жыл бұрын
Tafadhali kaka usilazimishe.
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Silazima kusilimu nilazima kufikisha ujumbe atakae afuate akatae muachilie ndo maana Kuna moto n pepo
@samxx411
@samxx411 2 жыл бұрын
Pia sheikh wangu kuhusu kujihifadhi mwili mpe mfano wa chakula njiani kilichohifadhiwa kwa kufunikwa vizuri na kile chakula ambacho hakikuhifadhiwa kipi angelikipenda
@chuumubaby7845
@chuumubaby7845 2 жыл бұрын
MASHALLAH
@peterobiri2509
@peterobiri2509 2 жыл бұрын
Am happy for what hao madada wanasema. Niulizie why I don't join Islam online bro juu najua uliniahidi .
@mauahassan8816
@mauahassan8816 2 жыл бұрын
Takbiiirrrrrtr
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahu Akbar
@albannafoundation1038
@albannafoundation1038 2 жыл бұрын
Daawa ya uhakika malipo yenu mutapata Kwa allah
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 2 жыл бұрын
Fungueni akili yesu ni mu islaam
@sheikhamansoor3522
@sheikhamansoor3522 2 ай бұрын
Wakristo mmejua kuongea maneno mazuri sababu mnajifunza kwenye mitandao ya kiislam zamani hamjui hata ukristo wenu
@aslamchannelonline3541
@aslamchannelonline3541 2 жыл бұрын
Hawa wasichana, wanalenga waziwazi
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Kijana anatamam kusali wakati hajasilim.Kweli Allah humuogoza amtakae
@Footballer-1992
@Footballer-1992 2 жыл бұрын
Yani wewe, si uite mjadala ? Unaendea watu wenye hawana elimu alafu unatangaza wamesilimu. Tangaza majini walisilimu. Si Yesu muisilamu. Kuna penye Yesu alisilimu??? Tangaza dini kwa haki. Acha kufuata pesa
@halimanzara6339
@halimanzara6339 2 жыл бұрын
Aslam alykum warahamatulah wabarakatuh,ustadh unafanya kazi nzuri,naomba msaada wa kuonana na shkh Omar Fatae Niko na tatizo la sukari I need help
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Naomba utupigie simu 0777600777
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Pole ndugu Allah akupe afya njema
@zamzamsalimu6772
@zamzamsalimu6772 Жыл бұрын
Sasa na hawa kina ruto na gachagua wakipishwa safu ya mbele ni haki kweli?
@zaburi2386
@zaburi2386 2 жыл бұрын
Hao wadada hawana elim ya maandko lakn wana iq kubwa sana kwann uwalazimishe watu wa convert washasema mungu ni mmoja?
@saidmzee2554
@saidmzee2554 2 жыл бұрын
Ndo Kuna mungu wangp watatu au
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thepowerofsilentsoul2135
@thepowerofsilentsoul2135 2 жыл бұрын
Muslim Wa Kenya wako Sawa Kwa Mungu,,,but Wa Saudi Arabia wanafuck hata Ramadan,,,wakati Wa maombi tuombe tu Kwa Mungu
@leiladagane
@leiladagane Жыл бұрын
Umenichekesha haki.....
@Aminamohamad255
@Aminamohamad255 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
Huyu shehe,ni kama analazimisha watu wawe waislamu. Halafu anajihisi kuwa dini yao ndiyo sahihi,usihukumu. Wewe nawe umeukuta huo uislamu,huujui uislamu shehe,ni jambo ulilolikuta hujui undani wake.
@awinojuju8522
@awinojuju8522 2 жыл бұрын
Truee us wait for God's Judgement 🙏
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Ndio Uislamu ndiyo dini ya haki na kweli. Hakuna nabii hata mmoja aliyeabudu au kufundisha utatu
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 2 жыл бұрын
@@StraightPathDawah Yesu ndiyo Njia,Kweli na Uzima. Hakuna atakayefika mbinguni isipokuwa kwa kupitia kwake. (Hapo vipi?) Kumbuka Yesu siyo Issa.
@JesusChristLovesUs4ever
@JesusChristLovesUs4ever 2 жыл бұрын
*True kulazimisha sio kuamini na moyo it has to come from the heart lakini pushing someone and trying to manipulate their understanding*
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Yesu si Mungu. Please musome mandiko y yesu nakinywa chake alisema yeye alitumwa n baba yke nae n baba yenu
@kariukijohn148
@kariukijohn148 2 жыл бұрын
Ata musilimishe watu iyo nikazi bure
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Kwann nikazi bure. Islam means submission to almighty God
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 6 ай бұрын
Yaani Islam n kutii amri za Mungu
WAMAMA WASHANGAA MAANDIKO KATIKA DAWAH SOKONI KIANJEGE
35:02
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
WAMAMA WASHANGAA KUONA WAISLAMU WAKIPITA SOKONI KWAO
1:15:36
Straight Path Dawah
Рет қаралды 18 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Wachungaji waikataa bibilia mbele ya waisilamu eastlegh ajabu sana by sheikh Anwar
32:11
Japheth zabron aelezea Machungu anayo yapitua
13:12
Coast Media Plus
Рет қаралды 1,6 М.
🔴# MTAA KWA MTAA _ BANANA  #dstv ##azam #clouds
7:42
AKIC Online Tv
Рет қаралды 114
MAFUTA IMEPANDA MOMBASA
9:17
Mister Flavour
Рет қаралды 19 М.
KUTANA NA MASWALI MANZURI KUTOKA KWA WANAWAKE KATIKA DA-WAA MITAANI GITHURAI 45 KIAMBU COUNTY PART 2
33:07
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 19 М.
WALIOCHAGUA KUSIKILIZA DAWAH BADALA YA KUCHEZA MPIRA WAELIMIKA
44:26
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,5 М.
QUR'AN YATOA MAJIBU KATIKA DA'WAH MITAANI - EASTLEIGH
1:55:26
Straight Path Dawah
Рет қаралды 22 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3 МЛН