Hatua Tano (5) Za Mahusiano

  Рет қаралды 47,682

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 256
@FrancisTossy-zy2tu
@FrancisTossy-zy2tu Жыл бұрын
Aiseee daaaah Asante sana Mimi mahusiano yangu yalivunjikia kwenye stage ya 3
@alphanmartin6003
@alphanmartin6003 5 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka joel kwa somozuli lenye mafunzo ndani yake nimesikiliza kwa umakini sana na nimejigundua kwamba nipo hiyo stage ya 3 the stability stage naamini mpaka sasa nitabadilika na nitasonga mbele zaidi na pia nazidikumwomba mungu ili niweze kuvuka hizo stage zote salama mwenyezimungu akubaliki kakaangu uendelee na kaziyako ya kuelimisha jamii kwa ujumla na uweze kufika mbali zaidi ya hapo AMEN.
@aaaavvvv4261
@aaaavvvv4261 5 жыл бұрын
Hakika sababu mahusiano mengi nmepita hayana mamunzi mazuri sababu akiwe mlevi ndio tuongea sana bila ulevi hamna chakuingea asante kwa maneno mazuri mungu akubariki
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Ujumbe Mzuri SANA Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa SANA
@mwl.sologotv8138
@mwl.sologotv8138 6 жыл бұрын
uko deep Sana brother everything you touch, you directly touch my life na maisha ya watu wengi. be blessed and keep moving forward to teach the mass. Nabarikiwa Sana.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Ameen sOLOGO,NASHUKURU SANA
@andrewkatte2656
@andrewkatte2656 6 жыл бұрын
Dah mahusiano nimeumia sana kiac cpend hata kuckia story znazoweza kunikumbusha hayo ya zamani na bd moyo wangu una makovu!
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 6 жыл бұрын
Asante sanaa, Hapo kwenye power struggle stage Ndipo Nilipo poteza Mahusiano na mpenz wangu ila niliamuwa kuanza upya kumbe Ulikuwa ni stage nishakosea Tayari ila sitakosea tena maana huwa naishi kwenye ninacho jifunza. Asante Joel leo nakuja dukani #timizamalengobookshop# nakuja kuchukua CD alafu tunaonana tarehe 20 kwenye DARASA endelevu. Asante.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Justine Mmbando hongera sana na karibu sana mafunzo ni tarehe 11
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Hongera Justine,nakutakia kila la kheri
@justinmmbando5386
@justinmmbando5386 6 жыл бұрын
Joel Nanauka nilisahau asante tutafika hapo
@joshuajohn4670
@joshuajohn4670 6 жыл бұрын
Dj
@anthonykimaro807
@anthonykimaro807 6 жыл бұрын
Asaantheeee my dear brother barikiwaaaaaaa Sana. Daah hizo hatua nimejifunza mengi apooo.. Mbili na Tatu apooo
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Anthony Kimaro naona mbili na tatu imekugusa
@anthonykimaro807
@anthonykimaro807 6 жыл бұрын
Ndio brother Sana
@anthonykimaro807
@anthonykimaro807 6 жыл бұрын
Asaantheeee Sana barikiwaaaaaaa
@veronicacharles4527
@veronicacharles4527 6 жыл бұрын
asante kwa hili somo coach sikubahatika kupata somo hili mwanzo ...hivyo stage ya pili mara nyingi uwa inanishinda kuikabili nikidhani mtu kabadirika kumbe ni lazima hayo yatokee ili tusonge mbele zaidi
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Nashukuru Veronica,Nakutakia baraka zaidi
@valentinembuke6939
@valentinembuke6939 6 жыл бұрын
nashukuru Mungu na wewe pia kaka Joel,power struggle imenitesa sana halafu nishaolewa ila Mungu ni mkubwa sasa nimevuka na nimeelewa,ahsante sana kwa somo
@emanueljonasmacha2843
@emanueljonasmacha2843 6 жыл бұрын
Mr. Joel nakushukuru sana umenifumbua macho sasa. Mungu akubariki sana kaka.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Emanuel Jonas Macha Ameen nashukuru sanaa
@allymkamba1115
@allymkamba1115 5 жыл бұрын
Mm naona nirianza vizurii uku mwisho nirpo mnunuria sm tu kabadirka
@joharijuma8667
@joharijuma8667 6 жыл бұрын
Uwiiiiii yani ni bonge la somo nimejifunza kitu ambacho kimenishindaga miaka yangu yote ya mahusiano asante sana brother Joel Mimi nipo hatua ya pili ni balaa tu
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Johari Juma Hongera sanaa
@neemajulius8790
@neemajulius8790 4 жыл бұрын
Santee sana kaka kwa kuniongezea,, dea!! Mungu akujalie katika kaz zako
@aash4145
@aash4145 2 жыл бұрын
Hatua ya kwanzaaaaaa😂😂😂😂❤️❤️❤️❤️🌹🌹
@robertgwelela6581
@robertgwelela6581 6 жыл бұрын
Asante kwa msg nzuri .i will see you at the top.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Robert Gwelela karibu sana Robert See You At The Top
@johnkwela7326
@johnkwela7326 2 жыл бұрын
Bro Joel umeniongezea kitu nashukur kaz yako njema mm nipo hatua ya pili
@restadeborah608
@restadeborah608 6 жыл бұрын
Nashukuru kaka kwa mfundishoo bt ya kwangu yapo stage 2,,ningeomba ushauri wako nawezaje kuvuka kwenye hii stage 2 n 3 ahante
@worshipertv9968
@worshipertv9968 6 жыл бұрын
Asante kwa Mafundisho yako Kaka Joel kila napo kusikiliza lazima nipate kitu ntafata stage hizo ili mahusiano yangu yawe vizur
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Safi sana Elias,nakutakia kila la kheri
@patelnay4124
@patelnay4124 2 жыл бұрын
Yangu naona yametoka kwenye romance ,tukataka kuyarusha hadi kwnye commitment,,yalivunjikia hapo ,hayakuendelea😭
@rosadatheodothburetha6334
@rosadatheodothburetha6334 6 жыл бұрын
Dah ahsante sana nimeanza kuelewa sasa. Sijawahi kuvuka hatua ya pili😕
@hajijumanne387
@hajijumanne387 6 жыл бұрын
Kiukweli unanipa material mazuri kaka asante kwa somo hili
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Haji Jumanne nashukuru sana Haji
@mildrednasimiyu3524
@mildrednasimiyu3524 3 жыл бұрын
napenda sana unavyo vundisha
@petermdabwa173
@petermdabwa173 6 жыл бұрын
Nimejifunza Kwa mafundisho asante
@aminamassawe1768
@aminamassawe1768 5 жыл бұрын
Daaah hongera Sana kaka unatupa mafundisho mazur Sana...hiz stage kwa kweli niliishia stage ya tatu tukaachana kbx kwa sababu mtu alibadilika sana..na kwa Sasa Niko stage ya kwanza kbx sijui Kama nitafika hahahah namuomba Mungu kwa kweli
@lilykessy6284
@lilykessy6284 6 жыл бұрын
Kuna stage kuvuka si mchezo jmn!Unajua umepata mume/mke badae unagundua ni jambazi hyo stage inayofuata ni ngumu kukubaliana🙆 Somo zuri sana yn🙏🙏🙏🙏
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 6 жыл бұрын
Lily Kessy 😂😂😂😂😂😂hiyo ngumu kumeza
@feithchilala6374
@feithchilala6374 5 жыл бұрын
Unakuja kugundua mtu mbinafsi muongo baraha story alizokuwa anakupa mwanzo anazirudia tena tena zikiwa zimebadikika
@mimaryismail8500
@mimaryismail8500 5 жыл бұрын
Asnt kaka Joel mie nko kwny hatua ya pili kaka ang
@babalois7240
@babalois7240 6 жыл бұрын
Nipo kwenye ndoa Kwa miaka kadha sasa,Ila siku zote nilikuwa sijui kama kuna hatua nazipitia,But baada kusikiliza Somo la MAHUSIANO duuuu. .. Nimefanya tathimin ya safar yangu yote ya Mahusiano,Aisee naona kama stage Zote nimepitia na Sasa Tumekuwa na mahusiano mazuri sana na Mke wangu, NA SASA TUMEKUWA TUNAFANYA KILA KITU KWA PAMOJA ..NA NAONA MAFANIKIO MAKUBWA SANA.. AS A STRONG TEAM. @Baba LOIS
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Justine Mrope hongera sana Baba Lois nawatakia kila la kheri
@lucianotodeschini
@lucianotodeschini Жыл бұрын
Niko hatuna ya 5,thanx bro
@aminamassawe1768
@aminamassawe1768 6 жыл бұрын
Mimi nilifikia hatua ya tatu nikaona niachane nayo kbx..ila kaka nimekupenda bure huwa unafundisha vzr Sana kiukweli tunaelimika...niliachia stage ya tatu kwakuw mwanaume wangu alibadilika Sana na mm sikueza kuvumilia nikaona niachane na mapenz Kwanza maana niliumia Sana Yan mnoo...mpk sahv naona Kama wote wako hivyo..ila nadhan kwasababu sijawahi kuumizwa ndio maana nimeumia Zaid...barikiwa kaka Joel
@mariammariam2475
@mariammariam2475 6 жыл бұрын
Mungu anisaidie nipo kwenye atua ya kwanza kunamtu Nampenda sana ila yeye wakati wote yuko bize hiyo inanipa shida sana
@mamafadila7806
@mamafadila7806 6 жыл бұрын
Nakukubali sana uko sasa
@realitycomplexitygoo
@realitycomplexitygoo 4 жыл бұрын
Allah akubariki Leo ndo nimeelewa mara nyingi nimeishia hatua ya pili Leo nimejifunza kitu kikubwa sana
@mabexemmaxea811
@mabexemmaxea811 5 жыл бұрын
Mmmh!! Kwel Mimi nilimwacha hatua ya kwanza tuu(romans stage), hata ya pili atukufika Bros....
@azizsaleemz4134
@azizsaleemz4134 6 жыл бұрын
Hongera bro kwa somo zuri
@Unknow9473
@Unknow9473 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Ameen nashukuru sana
@meshackadam1521
@meshackadam1521 3 жыл бұрын
Kaka Joel kwa mm ninaona nipo kwenye hatua ya pili , lakini nahisi hatua ya kwanza sikuona kwa sababu nilikuja kutambua mwanzoni kabisaa mwenzang alikua anamahsiano na mtu mwingine ,
@janethezekiel4057
@janethezekiel4057 6 жыл бұрын
Mimi nipo kwenye hatua ya power struggle stage
@brhchannel6618
@brhchannel6618 6 жыл бұрын
Nice indeed Kaka Nipo kwenye Stability stage hapo.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
wow,hongera sanaaa
@hakiaman6859
@hakiaman6859 3 жыл бұрын
Kiukweli mm sijui nipo kwenye stage gani mahana naona ya kwanza na ya pili zote zinaniusu kiukweli sijui nitafika Lin uko kwenye stage ya mwisho au niambie mtaharamu nilikosea labda nitafute mwingene ndo atakae nifikisha stage ya mwisho niwe free
@cornelykanje7962
@cornelykanje7962 4 жыл бұрын
Kaka joel samahani sana koz mimi napitia mahusiano magumu sana na mwenzangu ya kuhpmbana especially yeye ni mjamzito.
@lilianbenson5774
@lilianbenson5774 5 жыл бұрын
Asante kwa kweli mada ya pili inanipa changamoto.
@albertinemacimu1247
@albertinemacimu1247 5 жыл бұрын
Daaah mi nipo kwenye hatua ya tatu maana kila kukicha unakuwa mwenyemaamuzi kabisaaa. Hadi unasema nimekomea hapa na kuchukia kila mwanaume duniani ila nashukuru kwamba kidogo navuta mguu kwenye hatua ya nne
@eliasluwela8498
@eliasluwela8498 6 жыл бұрын
nice one I'm on the 1st stage br
@maryraphael7810
@maryraphael7810 6 жыл бұрын
mmm,asante sana,nimejifunza kitu,niko stage 2,,
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
safi Mary hongera kwa kujigundua
@maryraphael7810
@maryraphael7810 6 жыл бұрын
sijuti kukujua kupitia online, umenifunza mengi,Mungu tu atakulipa kwa namna ya kwake yeye anavyojua,sasa hivi sintapata shida huko mbeleni kwenye mahusiano/ndoa yangu,maana nimeshatambua
@mwanamkasihabibu9915
@mwanamkasihabibu9915 6 жыл бұрын
Mie nataman haya ya kwanza ijrudue nmejfunza hongera kaka
@patelnay4124
@patelnay4124 2 жыл бұрын
Ila naamini Sasa nikiingia kwenye mahusiano mengine,nitakuwa nimejifunza, asanteee sana, ubarikiwe Kaka Joel
@royalmirage2005
@royalmirage2005 3 жыл бұрын
Thank you for good information
@mussajabiry3891
@mussajabiry3891 3 жыл бұрын
Mm nipo power struggle
@GodahMartin
@GodahMartin 6 жыл бұрын
great information ka mkubwa!
@gloryasenga3441
@gloryasenga3441 5 жыл бұрын
Nimekuelewaa Sana Kaka
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 6 жыл бұрын
Duh me mahsiano yangu huwa yansishia hatuwa yapili tu huwa napata tabu sana
@aash4145
@aash4145 2 жыл бұрын
Ama kwel stage by stage, mapenz
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 6 жыл бұрын
Asanteeeeee . mi nipo stag ya 3 , but ya 2 nusura tuachane
@alexdamian7869
@alexdamian7869 6 жыл бұрын
Daah hyo namba mbili inawatesa wengi .
@jamesford5219
@jamesford5219 4 жыл бұрын
Mimi mahusiano yangu yamevunjika juzi,nafkiri yamevunjikia hatua ya 2,maana nlikuja kugundua mpenz wangu hakuwa na future yoyote,pia ni mbishi sana na ananijibu anavyotaka,apo nikijaribu kumrekebisha anakuja juu,ckuwa na jinsi mahusiano yalivunjika,
@joelnanauka
@joelnanauka 4 жыл бұрын
James Ford pole sana,naamini kuna kitu umejifunza.Unaweza kutafuta pia video yangu nyingine niliyoelezea hatua tano baada ya mahusiano kuvunjika.
@jamesford5219
@jamesford5219 4 жыл бұрын
@@joelnanauka pamoja sana mkuu
@mrugamhono9451
@mrugamhono9451 6 жыл бұрын
Aisee nmependa sana nam nmepitia hayo ila nmefka ya tatu
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
mruga mhono hongera sanaa
@immajmganga6158
@immajmganga6158 5 жыл бұрын
Uko vizuri kaka
@magmjuni5780
@magmjuni5780 6 жыл бұрын
Unatufungua sana Joel, tunaweza kukupata kwamitandao mingine?
@ninirogers6997
@ninirogers6997 4 жыл бұрын
Brother ubarkiwe xna kwa hili somo. Mm ni hyo stage ya pili kabisaa
@yohanamagele3633
@yohanamagele3633 6 жыл бұрын
Wow great advice
@rosashy5076
@rosashy5076 6 жыл бұрын
I preciate u kaka .u opened ur minds
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Rosa shy thanks Rosa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Ahsante
@shaibumahanda6501
@shaibumahanda6501 6 жыл бұрын
Nipo kwenye struggle stage sema mwenzangu namuona kashaingia stability ila hapo nilipo nimeona kalbia mahudiano yafike mwisho lakn nilikomaa na mwezangu alikuwa ananiambia mbona nimebadilika sana??lakn naona kashaaza kunizoea nitaidalodii hii kwa ajilii ya kusikilizisha ilii iweze kutusaidia kuvuka hiii stage iliyongumu sana allah akubaliki kk joel
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Shaibu Mahanda ahsante sana naamini itawasaidia sana
@shaibumahanda6501
@shaibumahanda6501 6 жыл бұрын
Mungu n mwema akielewa kama mm nilivyoelewa itatusaidia sana na kufanya tufikie maamuz sahihi kwa wakat sahihiii thank you brother joel
@babuudamki4339
@babuudamki4339 6 жыл бұрын
mmmhh aisee nilifika hatua ya pili yakanishinda
@goldmaster6639
@goldmaster6639 6 жыл бұрын
baba nipo hatua ya kwanza yani Romans stage na ninamalengo na imani kwamba tutatafuna stage zoooote kikamilifu kwasababu God anapenda tunacho kifanya
@EvalineSabato
@EvalineSabato 8 ай бұрын
Inachukua muda gani kitoka stage moja hadi nyingine?
@deborahmakwega6420
@deborahmakwega6420 2 жыл бұрын
Choose to love 4
@tuntufyekapesa3901
@tuntufyekapesa3901 6 жыл бұрын
the best lecture ever
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Tuntufye Kapesa thanks sana Tuntufye
@mariaemilian5839
@mariaemilian5839 6 жыл бұрын
Mwalimu hauna group
@aronrwebembera3306
@aronrwebembera3306 6 жыл бұрын
A'm me kwakwel Kaka Joel nipo ktk stage ya power struggle na inanipa wakati mgumu sana kwakwel na ndoa bado nifanyeje ??? Kaka Joel
@christianmaterials4175
@christianmaterials4175 6 жыл бұрын
Choose to love (marriage) hadi muda tunafanya vitu as a team. Kila kitu ulichoongea hakuna ambacho sijapitia. Na vyote ulivyosema ni vya kweli.
@isaaclee5557
@isaaclee5557 5 жыл бұрын
Asee bro mimi cjawahi kumaliza hata hiyo atua ya kwanza naomba nipe ushauri hebu yan celewii hata nakwamaga wapiii
@yohanajoshua7881
@yohanajoshua7881 6 жыл бұрын
Ahahah n kwel Kabisa Romance stage
@safimusa1011
@safimusa1011 6 жыл бұрын
Duuuh!!! Kaka nanauka asantebkwa mosomo yako Mie napenda zana kuchart sana na partner wangu
@doreenkanje7717
@doreenkanje7717 6 жыл бұрын
Bro thanx nimejifunza kitu
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Doreen Kanje karibu sana Doreen
@georgewilliam7319
@georgewilliam7319 6 жыл бұрын
thanks papaaa...
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Karibu sana George
@raginauthor1881
@raginauthor1881 6 жыл бұрын
Niko hapa, nafuatilia somo
@sarahkiango1340
@sarahkiango1340 4 жыл бұрын
Jaman hiyo stage ya 2 inanicost
@allanjulia3469
@allanjulia3469 6 жыл бұрын
.najifunza
@titonimu4291
@titonimu4291 3 жыл бұрын
Very good teachings
@happynessbigili6001
@happynessbigili6001 2 жыл бұрын
Your blessed brother, thanks for your teaching
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 6 жыл бұрын
We fundi 👍🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@jobmaclean5382
@jobmaclean5382 6 жыл бұрын
Mimi nipo stage ya 4
@dicksongadson2223
@dicksongadson2223 3 жыл бұрын
mi.nipo atua ya kwanza lakin inanipa changa moto sana nifanyaje??
@nevilymaro2526
@nevilymaro2526 4 жыл бұрын
Asantee sana
@kfastak
@kfastak 5 жыл бұрын
Duh! Mimi mwenzenu hata sielew nipo hatua yangap ...!
@gerardamos5689
@gerardamos5689 4 жыл бұрын
Romance stage kaka
@shanimwinuka9550
@shanimwinuka9550 4 жыл бұрын
Asante bro
@beautychannel7092
@beautychannel7092 6 жыл бұрын
I hope ntakutana na hatua hizo kabla ya ndoa maaana sipendi majuto mm
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Urembo Asili kila la kheri
@nurdinimndeme2912
@nurdinimndeme2912 6 жыл бұрын
haha ' kabisa
@stevenkwahhe5028
@stevenkwahhe5028 4 жыл бұрын
Safi mrembo
@abelhilonga1095
@abelhilonga1095 Жыл бұрын
Eti sio mweusi ni mweupe mweupe mapenzi bana😂😂😂😂😂😂😂😂
@jenifertati677
@jenifertati677 6 жыл бұрын
Hio hatua ya pili mbaya sana ndio inayonitesa mm kwa sasa
@hakiaman6859
@hakiaman6859 3 жыл бұрын
Kiukweli unatujenga bhana
@anethisack8673
@anethisack8673 6 жыл бұрын
Me nahisi Niko stage ya pili maan ni hatariiii mnooo
@emmanuellaizer4548
@emmanuellaizer4548 6 жыл бұрын
shukrani sanaaa;;;;~
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Emmanuel Laizer Karibu sana Laizer
@justinecanisius5429
@justinecanisius5429 5 жыл бұрын
Good
@mwanaheriomary7333
@mwanaheriomary7333 5 жыл бұрын
Asnt, maana naishiaga ya 2 tuu
@omaryenock8203
@omaryenock8203 6 жыл бұрын
Uko sahihi sana
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Nashukuru sana Omary
@mariambeauty4884
@mariambeauty4884 6 жыл бұрын
wanifurahisha mbayaa😂😂
@joycelaizer4600
@joycelaizer4600 6 жыл бұрын
hapo kwenye stability stage huwa inanishinda sn... siwezi kustahimili
@safiaabubakar1120
@safiaabubakar1120 6 жыл бұрын
Thanks Joel Nanauka
MAMBO 4 YANAYOSHIKILIA KESHO YAKO - JOEL NANAUKA
7:44
Joel Nanauka
Рет қаралды 4 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 31 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 16 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 220 М.
Baada Ya Mahusiano Kuvunjika Kuna Hatua Tano (5) Lazima Upitie
6:42
JINSI YA KUMFANYA MTOTO WAKO APENDE KUSOMA NA KUFAULU.
10:27
MWAMNYANYI4
Рет қаралды 188
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 269 М.
LIFE WISDOM : KWA NINI WANAKUCHUKULIA POA - JOEL NANAUKA
13:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 41 М.
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 186 М.
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 159 М.
LIFE WISDOM: MAHUSIANO YANAYOPOTEZA MUDA WAKO - JOEL NANAUKA
13:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kudumisha mahusiano ya chumbani
9:55
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26