HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE(Part 2)

  Рет қаралды 729,762

Global TV  Online

Global TV Online

5 жыл бұрын

HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE(Part 2)
Siku ya tarehe 27 June 1976, ilianza kama siku nyingine yeyote ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa katika mji mkuu wa nchi ya Israel, TEL AVIV, Uwanja ujulikanao kama Ben Gurion International Airport.
Moja ya ndege ambayo ilikuwa inafanya safari yake katika siku ya leo ilikuwa ni ndege ya kampuni ya Air France Flight 139 ambayo ni ndege aina ya Airbus A300B4-203 yenye namba za usajili mkiani F-BVGG.
#OPERATIONENTEBBE
kzbin.info?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 409
@zengogospel
@zengogospel 5 жыл бұрын
Hongera sana, ila nakuomba usiwe unaweka sauti ya video umeondia uhondo, ibaki sauti yako tu, ina faaa sana,sana,Unafaa kuwa mwinjilisti Yesu Kristo mnazaleti siku moja ndugu yangu tumeonekana Mungu mkuu, ubarikiwe
@tinapeter1014
@tinapeter1014 4 жыл бұрын
TUNAOJUA KIBOKO WA IDD AMIN NI JULIUS KAMBARAGE NYERERE GONGA LIKE APO TWENDE SAWA
@zubedasaid5962
@zubedasaid5962 5 жыл бұрын
Kwa kipindi hiki sio rahisi kufanikiwa kwa misingi ya kazi za technology ya mawasiliano ya anga. ikumbukwe makomandoo wa kiyahudi walisafiri kwandege kupitia anga za za Egypt kwa level ya chini kwa lengo la kutoonekana kwa kunaswa na rada za Egypt. Pia walijiongoja usiku sasa utaona kwa kiufupi walifanikiwa kwa misingi hio kupita anga za Adui zao bila kunaswa.Pia tusisahau wayahudi walikuwa na ramani ya uwanja wa ndege wa Uganda kwani ni wao ndio walioujenga huo uwanja. Lamwisho kutoka kanda za juu ya mto Nile mpaka Uganda aiport kulikuwa hakuna vinasa anga wakati huo.
@katagilakatagils4127
@katagilakatagils4127 Жыл бұрын
Hata Adolf wa ujeruman alifanya mengi alipowachokonoa wa islael mnajua kilicho mkuta hata Pharaoh hapo zamani alishindwa kuwazuia hao jamaa Wana maarifa mengi
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 5 жыл бұрын
Wangapi wameinjoy hii party two mgonge like hapa
@Nairobian1
@Nairobian1 3 жыл бұрын
Asante hayati mzee Kenyatta kwa usaidizi ulioutoa kuwasaidia hawa waisraeli.
@ramauminye6143
@ramauminye6143 5 жыл бұрын
Ambae hajaiona hyo movie atafte inaitwa 7days in Entebe
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528
Biblia inasema usiwaguse masihi wangu wala usiwadhuru manabii wangu tena imeandikwa Kisasi ni changu mimi nitalipa,tena imeandikwa kwa kila jambo Kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi
@FidelMbula
@FidelMbula
Ninikuhusu''israeli'na'hamas'mimi'ni'kwa'upande'waisrael
@joshuakilakoi3847
@joshuakilakoi3847 5 жыл бұрын
Inanifurahisha sana. Na tunasubiri kitabu. Hongera sana Israeli
@domydocta.
@domydocta. 5 жыл бұрын
Makala nzuri tangazeni bei ya kitabu. Wengi tunapenda mambo kama haya Sema Language barrier ndio tatizo. Tuwekeeni kwa lugha yetu kiswahili ili tupate kujua mengi
@Segerethom
@Segerethom 5 жыл бұрын
Navuta picha mabaharia tunavyo enjoy mambo ya kivita. Gonga LIKE hapa.
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 жыл бұрын
Mliokuwa mnasubilia opereshen entebe 2,,,,show love
@kennedyrubaza5846
@kennedyrubaza5846 5 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮ASANTE SANA BROTHER ENDEREYNE KUTUPA BRUDANI THANK YOU MY KING
@brokenigga2842
@brokenigga2842 5 жыл бұрын
"Ananias Edgar"
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 5 жыл бұрын
Nimeotea mda ... Tunaenjoy mpaka mwisho ... Hakika mpangilio upo sahihi ... Big up sana ...
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 4 жыл бұрын
Hio Filamu ninayo mzee Salute,
@osm721
@osm721 4 жыл бұрын
Sauti nayo ulibarikiwa...
@nabiswamukoro2167
@nabiswamukoro2167 3 жыл бұрын
Usijaribu muchezo kwa kazi ya Mungu.
@PeterNjenga88
@PeterNjenga88 4 жыл бұрын
Napenda Sana usimulizi wako ambao unaashiria tukio baada ya Jingine Kwa ufasaha na utaratibu.Nimependa Sana simulizi zako...
HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE(Part 1)
40:32
Global TV Online
Рет қаралды 2,1 МЛН
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
HISTORIA: RAIS Aliyekatwa Masikio Akiwa Hai, Na Yeye Aliwakata Wengine
18:44
BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20
18:32
Global TV Online
Рет қаралды 615 М.
HISTORIA YA KAGAME / RAIS ALIYEITOA RWANDA MACHINJIONI!
28:28
Global TV Online
Рет қаралды 538 М.
HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa  KIFO Kwa WEMA Wake!
22:09
Global TV Online
Рет қаралды 590 М.
How the US President Travels
12:16
neo
Рет қаралды 8 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН