Huu wimbo ndiyo utaochezwa jumamosi siku kubwa kwangu siku ya harusi namshukuru Mungu Sana niombeeni na karibuni Sana
@malahimartine43975 жыл бұрын
Hongera Grady na Mungu akuongoze katika ndoa yako
@nswanalucheya57375 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Nengekuwa sijaoa, nigechagua wimbo huu na kwaya hii. Hongereni sana. Kutoka Zambia Kafue.
@chaulamkingatv45604 жыл бұрын
Nimeupenda
@csato94154 жыл бұрын
@NSWANA LUCHEYA, hata kama umeoa wewe pendelea kuusikiliza uwe kichocheo ktk kuimarisha ndoa yako, ni maneno kutoka kitabu cha WIMBO ULIO BORA, SURA YA 2 :8, 2:16, 5:9b, 4:1b, 1:15b, 5:11b, 5:II, 5:13b, 7:11, 7:12
@MethewRobert-e5fАй бұрын
Nmeipenda Dana wimbo huu Big up wanakwaya❤👍
@matildajoseph62445 жыл бұрын
Yani sichoki kuutazama wimbo huu,hongera sana waimbaji video imetulia sana, hongera mwanangu Laurian Nyoni kwa utunzi Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
@renataraymond89886 жыл бұрын
Hongereni naona vionjo vya Kingoni hongera Mr Nyoni Ubarikiwe kwa kazi nzuri.
@victorjidinga97434 жыл бұрын
Wimbo umenigusa Sana kwa kweli na nitapenda uchezwe siku ya ndoa yangu...
@mariagorethshirima47426 жыл бұрын
Daa hii ngoma kiboko sana, Nimewapenda wote ghafla kama ujumbe wenu mmnaotoa aise. Mbarikie sana Wana Gaspar kwa kazi iliyotukuka Sana.. Mpendwa wa Nafsi yangu...
@PeterJohn-yh4vh Жыл бұрын
Safi sana uwepo wa mungu ndio unafanya hivyo mulivyo
@josephichechi72514 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana Wana HT na wanakwaya, itabidi ntafute mchumba Kati ya hao wanadada kutoka na sifa wanazomsifia mpendwa wao. Pengine atakuwa akiniimbia na Mimi katika nyumba yetu
@keihagweteddy87114 жыл бұрын
Thanks for the nice song .
@athanasiaanney58394 жыл бұрын
Huu wimbo mzuri yaani nausikiliza mda wote dah.. hongera kwenu
@josephichechi72514 жыл бұрын
@@athanasiaanney5839 yes, unagusa sana. Yani ni wimbo wenye message kuu
@athanasiaanney58394 жыл бұрын
Yaani wanaume wenye mpango wakufunga ndoa siku za karibuni huu wimbo unawafaa na kupigwa siku ya harusi zenu
@josephichechi72514 жыл бұрын
@@athanasiaanney5839 wakuolewa waliisha jamani.
@ashleykevins98826 жыл бұрын
wimbo ulio na maneno mazuri ya kumfanya binti kukaza ndoa yake, wewe ni mzuri sana mpendwa wangu,
@monicahmutuku71915 жыл бұрын
Hongereni sana. Wimbo mtamu sana. Sauti nyororo barikiweni sana. Mungu awazindishie baraka.
@johnndungu48386 жыл бұрын
Na ninyi ni wazuri sana wapendwa wangu na wimbo wenu mtamu sana, Sauti yenu nyororo na safi zaidi, Sikomi kuwasikiliza hata, na mwendelee kutupatia zaidi mkibarikiwa
@okongostephenv54212 жыл бұрын
Well composed song. The message is powerful. Mungu azidi kuwabariki na utunzi wa nyimbo zaidi
@ernestlufuta16652 жыл бұрын
Wimbo bora, waimbaji bomba, video bora. Hongereni sana wanakwaya kwa uimbaji wenu mzuri!
@janetjuma52036 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wimbo ni mtamu sauti inavutia na nyi yi wenyewe khaki mnape ndeza sana
@jarlathbyrne31463 жыл бұрын
Thanks for sharing this beautiful video. Such delightful singers, fantastic young men and women. Thanks again. Keep well Keep singing! Jarlath
@teleziasonga18212 жыл бұрын
Safi Sana mbarikiwe
@raymondkapwa69666 жыл бұрын
Hongeren sana Wanakwaya wa kwa wmbo mzuri na kwa video nzr, mmependeza kwa mavazi mazuri na yakuvutia, Mungu azid kuwabariki mdumu katka kumtumikia yeye kwa Nyimbo nzr za kumsifu Yeye ,Amina
@simbajeff96324 жыл бұрын
Nyimbo zote za HT ni nzuri sana,zinapendeza sana,mwatubariki na tungo safi na midundo
@simbajeff96324 жыл бұрын
@@HOLYTRINITYSTUDIOS Nyimbo zenu zinakosha sana
@witnessnjovu42496 жыл бұрын
Asante nyimbo nzuri sana wewe ni mzuri sana mpendwa wangu
@achiengokoth81125 жыл бұрын
This song is a blessing to me I used on my wedding day when entering the the church,
@nicholausmihayo46263 жыл бұрын
Well dressed
@yosephandumbaro14254 жыл бұрын
Hongera Sana Kwa utume... A beautiful song in deed
@kassimourio68794 жыл бұрын
The way this song is marvelous why does not take more than 10mins... Those who sung it are really portraying the the words spelt out....meaning handsome and pretty as they are. They did justice for the song..congratulations!!! ...great work
@stephenerupe87824 жыл бұрын
i love how you guys look at each other in a romantic manner......wimbo mzuri sana,i would sing to someone in future
@sarafinasaid97583 жыл бұрын
wooooow
@charlesntakarutimana78204 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana lakini tutafakari yaliyomo Mungu awabariki sana
@nolaskoaloisi-jv6ov Жыл бұрын
Congratulations, Mungu azidi kuwatia moyo wa kuinjilisha kwa nyimbo.
@erickchikira13976 жыл бұрын
very nice song....saut ya kwanza mnanivutia mnoooooooo
@aquelinakanje21784 жыл бұрын
Leo wimbo huu umekuwa wimbo wa wiki kupitia Radio Maria Tanzania Hongereni sana
@florachuwa3014 жыл бұрын
Wooow wimbo uko vizuri sana...kama waimbaji wenyewe...mubarikiwe
@valeriamgani4524 Жыл бұрын
Wimbo Mzuri Sana 💐 💐 hongereni
@pvenboy45425 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya kwa kuimba wimbo mzuri wenye kuvutia
@teddymarshal40052 жыл бұрын
my dad asked the choir to sing this song on the day we paid our last wishes to my dear late mother....
@FlorentineKkrway3 ай бұрын
Wibo mzuri unacheche za upendo
@NorahOctavian-ei5nk3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@joelngingo93356 жыл бұрын
Hongera Laurian Nyoni Hongereni Gaspar del Buffalo Hongereni Holly Trinity studios. Amazing video ina utulivu wa kikatoliki.
@rahimatanzani65096 жыл бұрын
Hongereni wanakwaya mungu naomba na mm nipe mpendwa wangu najua kwa mungu linawezekana mume mwema hutoka kwako baba uliye mbinguni
@jescatumaini98525 жыл бұрын
Kumwimbia Mungu ni raha sana!!! Nimetamani!!!!! Mungu awabariki
@juliuschacha12186 жыл бұрын
kwa kweli mmenibariki sana. Hongera kwa kazi nzuri.
@graysonjohn10806 жыл бұрын
Namwona cherestine masemla hongera sana Mungu awabariki maneno yanasikika sana
@CharlesKisiri Жыл бұрын
Hongeren sana mungu awabariki kwa kazi nzuri
@faustinlyela35314 жыл бұрын
Tusali kwa nyimbo ya kwaya nami nilikuwa mwanakwaya wa parokia ya makole miaka ya 85 .from italy now
@mkamandye47906 жыл бұрын
Wimbo mzuri,video nzuri mno Mungu aendelee kuwabariki ktk utume huu
@evanskiplagat61355 жыл бұрын
Tamu sana ....blessed naskisa al the way from Colombia very inspiring
@shaibuemmanuel55646 жыл бұрын
HT...hakika ninyi ni furaha nawapongeza sana wanakwaya kwa kazi hiyo nzuri Nimependa mpka nahisi utukufu na upako
@florahmichael35405 жыл бұрын
Hongereni sanaaaaaaa kazi nzuri... Mungu azidi kuwabariki
@chanhumbadispensary2828 Жыл бұрын
Dàah nyimbo nzurii sana Mungu awabariki sana
@georgembugua68496 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana huo...hongera kwa sauti zenu nzuri
@lengwasingae37284 жыл бұрын
Jmn Mungu nijarie mume nfunge nae ndoa kansan tucheze wimbo huu
@victoriasiay42184 жыл бұрын
Wimbo Mzuri Mungu Wabariki sana Hongera na Mtunzi pia
@nancykaimuri79813 жыл бұрын
Wewe ni mzurii Sana.... love it walai
@fredetal6526 жыл бұрын
wimbo mtamu kweli. mungu awabariki zaidi
@winifridamikoma8626 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana mungu hawazidishie talanta zenu ktk masomo yenu na maisha yenu
@dianaweliam56086 жыл бұрын
Ubarikiweni sana hata kwamavazi mkovizuri daimamsijisahau nyie nikioo
@dushimiyimanajean89793 жыл бұрын
Nawapenda sana wajilani wangu . Kwaujumbe wa nyimbo zenu
@samuelndungu96104 жыл бұрын
Lovely song indeed. Aki mimi ntahama Kenya nkuje Tanzania.
@tharcissekayumba34065 жыл бұрын
Na wimbo hii , naenda mbinguni , mungu apewe sifa sana.
@dr.johnsonnyamohanga61476 жыл бұрын
Hongera sana wanakwaya kwa kazi nzuri ya bwana,mnilioifanya na mnayoendelea kumfanyia bwana!
@rajopro6 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya kwa kazi nzuri. Nawapongeza pia HT kwa kiwango kikubwa cha Video hii... Mungu Azidi kuwabariki.
@benwabiblia6 жыл бұрын
Doooh mi niwapongeze sana Holy trinity studios kwa ubora ninaouona kwenye video na audio ya wimbo huu. Inanifanya niwaze au kuna ka "partnership" ka Rajo na Holy trinity, maana viwango hivi nimezoea kuviona kwa Rajo hahahaa. Mungu wetu mwema awabariki sana jamani
@isayakalinga64756 жыл бұрын
Naombeni mawasiliano yenu
@faustinemwamlima23346 жыл бұрын
@@HOLYTRINITYSTUDIOS mkuu naomba mawasiliano yenu tufanye kazi 0757052730
@vitusmtei22976 жыл бұрын
ongereni
@petermuganda37066 жыл бұрын
hakika
@estermalema73954 жыл бұрын
Mbarikiwe na mungu kwa kazi nzuri
@josphine4322 ай бұрын
Still watching at 2024???
@albertosimplisti14166 жыл бұрын
Hongerni Sana wanakwaya mmeimba vizuri saaaaanaaaa, pia mmependeza sana mungu azidi kuwabariki
@justinakalekana63444 жыл бұрын
Mmeimba vizuri wanakwaya mungu awabariki Sanaa
@dativambaga62066 жыл бұрын
Waooooh! Wimbo nzuri xana,mbarikiwe xana
@renaldernathal38275 жыл бұрын
Ww n mzuri sana mpendwa wang i lyk it Mungu awabariki
@mwangankayagwa67865 жыл бұрын
Well done kwaya mt.Gaspar
@nagagwanagagwa95915 жыл бұрын
Mbarikiwe mno mno, nitamwimbia Mungu siku zote maishani mwangu.
@marryjames13705 жыл бұрын
Nimeupenda sana wimbo,ongera
@happymaiga49634 жыл бұрын
Hongereni sana mnaimba kwa hisia kweli. Kweli Mungu wetu mi mziri sana
@fortunatusmisana41505 жыл бұрын
Hongera Sana gasp makoleeeee Kama nawaona vileeeeee kipindi nikiwa apo CBF tukiwa wte hapo. Nitawalika Latina ndoa yangu ingawa wachache nawafahamuuuuu
@kasiabahati22076 жыл бұрын
kwa kweli mnavutia kwa kila wimbo jaman mungu awazidishie Mara dufu
@fredrichard51925 жыл бұрын
Halloow wew ni mzuri sana mpendwa wangu ee Bwana bless me
@stellasona92696 жыл бұрын
Hongereni Sana kwa kujitoa na kutumia muda wenu kwaajili ya Bwana!! Mbarikiwe Sana
@valemuhemuhe43154 жыл бұрын
Wimbo mtam Sana, nimeipenda na wanakwaya mmependeza
@williammgohele2365 жыл бұрын
Wimbo mzuri mungu awabariki mmependeza pia hongereni sana.
@matthieubarenga884 жыл бұрын
Toutes les chansons religieuses de tous les pays j'ai les adore . je les écoute régulièrement sur you tube.
@gladnesssidiu49224 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki Kwa kweli kwa Yesu raha
@josephinemtey70875 жыл бұрын
Nimeufuraia ni nzuri n.a. mnaimba vzuri
@acquelinapissa29685 жыл бұрын
Wimbo mzuri video nzuri
@agnesngaiza74246 жыл бұрын
Wanakwaya ata mbinguni tunaimba kazi ninzuri sanaaa mbarikiwe
@magrerhgesso30856 жыл бұрын
Hongereni Sana wapenzi wangu you have done well. Mbarikiwe sana
@manenomassaka5 жыл бұрын
Mungu awainue katka kazi zenu nyimbo nzur kweli
@gervasvitus19256 жыл бұрын
Huu wimbo utawabariki watu kama washiriki ni Mke na Mme tofauti na hivo huwezi pata Baraka
@belindananjala88446 жыл бұрын
wimbo mzuri sana,nimewapenda na Mungu awabariki sana na azidi kuwamiminia baraka ili mzidi kumtumikia kwa nyimbo zingine tena
@janetpatrick5516 жыл бұрын
So nice keep it up
@lucaskulwa60746 жыл бұрын
mungu awatangulie kulitanganza neno la mungi
@rosinamutuku47074 жыл бұрын
Wimbo mzuri ufutia moyo kweli
@kanisiusmarko78526 жыл бұрын
Hakika wewe ni mzuri sana ewe mpendwa wangu! @wimbo ulio bora. Hongereni wanakwaya wa Gaspar del buffalo
@julianaphilipo24244 жыл бұрын
Jaman wimbo ni mzur sana na nimebarikiwa kwakweli hongeren sana kwa kazi nzur
@gaudensiakazindo54204 жыл бұрын
Hongereni wanakwaya mmependeza sana
@timothikibhona Жыл бұрын
Wimbo huu niki upiga huwaga unani kosha sana❤❤
@olivermizengo755610 ай бұрын
😊
@simonbukuru12015 жыл бұрын
Asanten kwa nyimbo nzur mungu awatie baraka daima
@jenithaheneriko42086 жыл бұрын
hongereni sana wapendwa kwa wimbo mzuri barikiwa sana
@dominicsomola4026 жыл бұрын
Nimeifurahia huu wimbo mzuri sana sana...nimeupenda...
@innydawiggle80646 жыл бұрын
Waoooo amazing Mungu abariki kazi za mikono yenu ha2a kubwa
@ritahotieno4023 жыл бұрын
This song reminds me someone who was special to me, whenever we met he played it for me😢
@ramadhanimakenzi21405 жыл бұрын
hongereni kwa wimbo mzuri
@pracidiaprudence43415 жыл бұрын
Mungu awabarikiiii sana sauti ya pili mmeimba vizuri