Hotuba ya Othman Masoud, asisitiza Zanzibar haiwezi kuendelea ikiwa chini ya Mkoloni Tanganyika

  Рет қаралды 14,029

Weyani Tv

Weyani Tv

10 ай бұрын

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, akizungumza katika Kikao cha Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo wa ngazi ya Mkoa, Majimbo, Matawi na Ngome zake wa Kisiwa cha Unguja, katika Ukumbi wa Majid Hall Kiembe Samaki Mkoa wa Mjini-Magharib Unguja leo Septemba 03, 2023.
#MiminaZanzibar
#ZanzibarnaMimi
#ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili

Пікірлер: 50
@salyali7807
@salyali7807 10 ай бұрын
OMO 🔥🔥🔥🔥🔥 May Allah akuhifadhi utuvushe kwa salama ... Allahumma ameen
@omarsaid7153
@omarsaid7153 10 ай бұрын
Elimu kubwa hii. Asante Mh.Raisi tumaini la Wazanzibari
@shekhansaid9543
@shekhansaid9543 10 ай бұрын
Chama bora kwa sasa
@user-nv9pz6pr1z
@user-nv9pz6pr1z 10 ай бұрын
Mungu atupe mwisho mema
@harounramadhan9771
@harounramadhan9771 10 ай бұрын
Inshallah Allah atufanyie wepesi
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 10 ай бұрын
❤❤❤
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 10 ай бұрын
Furaha yko itakuwa kubwa zaidi Ishallah 2025utapokamilisha kzi aliowach Maalim Seif😊
@w4058
@w4058 10 ай бұрын
Allahumma Aamiin Fadhila dua yako iwe Maqboul Yaarabiy
@w4058
@w4058 10 ай бұрын
Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil we need to stand with this dua and many others to defeat the dhalimum
@w4058
@w4058 10 ай бұрын
Hao wanata kupigiwa dua za kweli kweli
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn 10 ай бұрын
Kweli kabisa tonga si tu km wanavyodhani watanganyika
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 9 ай бұрын
ACT-WAZALENDO!!! AMKENI Kura za 2025, zinaweza kupigwa kwa SIRI Tanganyika, na kuletwa kwa SIRI Zanzibar.
@thuwenmbarouk2694
@thuwenmbarouk2694 10 ай бұрын
Tumekuelewa asiejua mwache apite
@harithmohd6318
@harithmohd6318 10 ай бұрын
Hakika allah akimuondosh mt hueka mt allah akupe ulinz mzur kwenye kupambania haki zete wanzanzibar naamin 20_ 25 wataondk t haoo mafisadi nakuomb raisi wet utakare kuja ongoz nch yet tukiipata dola kamili basi paspt iwe yenye hazi mzur pambo lake lamnje iwe chapa yakarafuu nandn yke kenye kurasa iwe waekwe wale waloipigania nch so wanyama km passport ya mungano Amn inshaallah tutashinda
@hajihassan5433
@hajihassan5433 10 ай бұрын
Ili tuwe na mamlaka kamili ni LAZIMA Muungano usiwepo. Napenda sana Muungano uvunjike lakini nina maswali magumu kichwani kwangu:- 1. Tutaweza kuushi bila Uunguja na Upemba? 2. Kuna kasoro nyingi zetu wenyewe na uzembe nje ya Muungano tutaweza kujirekebisha? 3. Nini hatma ya wenzetu na mali zao waliopo Tanganyika? 4. Vipi hatma ya Wastaafu wa Muungano na pension zao atalipa nani, vipi. Nakumbuka EAfrica Community ilipovunjika Wafanyakazi hawakulipwa na hakuna wa kuwalipa.
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 10 ай бұрын
Mi nahisi kuwepo kw uunguj na upemba unasababishw na muungano, hii ni kisudi la kuwagawa wazanzibari ili kuwatawala
@RashidiHassani-in9rb
@RashidiHassani-in9rb 10 ай бұрын
Si wasusie hata uchaguzi watupishe tuchukue urais iliwaje watukosoe
@SalehRashid-zz7dc
@SalehRashid-zz7dc 2 ай бұрын
unasemaje ww Ccm dude gani?
@jumarajab2754
@jumarajab2754 10 ай бұрын
Hamuheshimu hata Rais aliemuweka hapo panapompa kibri cha kusema
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 10 ай бұрын
Kwa sababu si raisi ndio maana haheshimiwi nani alimchagua mnajitia upofu mijizi ya kura nyinyi pumbavu kweli nyinyi watanzania
@labanigalusi874
@labanigalusi874 10 ай бұрын
muungano wann
@jumarajab2754
@jumarajab2754 10 ай бұрын
Umemshinda uwana sheria ataiweza Zaanzibar
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 9 ай бұрын
MUUNGANO WA KIKOLONI @jumarajab2754.Hakushindwa Uwana Sharia, lakini alipinga Sharia za kuifanya Zanzibar kuwa Koloni ya Tanganyika. Ndio sababu ya Wakala wa Ukoloni wa Tanganyika Rais Sheni alimvua Uwana Sharia. Kabla ya yeye Mwana Sharia Mkuu wa Zanzibar Wolfgang Dourado alisema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si Halali. Ndio sababu Rais Nyerere alimfunga siku 104 Tanganyika.
@gangmore9091
@gangmore9091 9 ай бұрын
Watu km wewe ndio muloupokea ukoloni mukawauza watu yaan mtu anatetea vitu ambavo vipo wazi kbc
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 10 ай бұрын
Naona mnisaidie sijui hili, Rais wa zanzibar, na makamo wake wote 2 wakinda bara katika serekali hii ya mungano wanakua ni kama nani wao Tanganyika ? Yoyote anae jua
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn 10 ай бұрын
Rais anakuwa mkuu wa mkoa na makamo wanakuwa manaibu zake
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 10 ай бұрын
@@IbnuAlly-cg2gn 🙄🙄😁 Mungano oyeee
@jumarajab2754
@jumarajab2754 10 ай бұрын
Mungu apishe mbali popo mtawale Zanzibar kwa uwezo wake Allah na nia zenu mbaya kwa wazanzibar CCCm iitaendelea kuongoza mpaka Mungu apende
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 10 ай бұрын
Pumbavu nyinyi wachumia tumbo popo wewe usojielewa
@hajiameir8688
@hajiameir8688 10 ай бұрын
Omo upo kwelini? maalim sefu alikuwa anatufanya kama mizukule Sisi wengine tulimjuwa mapema je wewe je sio CCM no 2?
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 10 ай бұрын
Kura za vitambulisho vya maerehemu na za wizi ndio zinazo kutieni ujeuri nyie wazanzibara😂😂
@jumarajab2754
@jumarajab2754 10 ай бұрын
Mwambieni na huyo Masoud hana uwezo wa kuongeza watu labda kondo na mbuzi
@w4058
@w4058 10 ай бұрын
Hasbiyallah Waneemal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah ndio atakaedeal na wewe hasidi mmoja juma
@w4058
@w4058 10 ай бұрын
Angalau yeye ataongeza kondo na mbuzi wanyama halali nyie mmeharamushwa kama nguruewe maana hamjashindapo ila kuiba kura kubadilisha matokeo Alaysa llahu biahkamulihakimin inatosha
@w4058
@w4058 10 ай бұрын
Fasayakfika humu llah wahuwa samiul aleem na ubaya wako
@w4058
@w4058 10 ай бұрын
Dhalim asomuogopa Allaah ndio kama wewe mkosefu wa imani
@w4058
@w4058 10 ай бұрын
Mijitu mshenzi kama wewe ndio sababu ya kujaa matatizo yasiokwisha kwa ajili ya roho zenu mbovu zilojaa chuki Subhanallah Allaah awageuzie maana munatusemesha maneno tusiyoyataka laysa laha mindulahi kashifat
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 ай бұрын
Huna lolote maridhiano tumbo tele ccm no 2
@salyali7807
@salyali7807 10 ай бұрын
Akili zenu zimo kwenye matumbo tu.. typically CCM
@salyali7807
@salyali7807 10 ай бұрын
Kama huna la kusema usituletee utumbo
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 10 ай бұрын
Acha fitna mjinga wewe, huna hata mvuto wa kisiasa. Tumechoka siasa za chuki Tanzania ni moja
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 10 ай бұрын
Tanzania ipi moja? Hii ya bandari ambayo mnasema wazi Rais Mzanzibari anauza mali za Tanganyika?
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 10 ай бұрын
@@WeyaniTvonline mie pia mzanzibar lakini Tanzania ni moja tokea asili na asili na sio kwa muungano WA Nyerere na Karume
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn 10 ай бұрын
​@@mhogomchungu7168acha upumbavu km Tanzania ni mmoja huu muungano ulikujaje na nani aliyeigawa hapo mwanzo kabla ya kila nchi kuwa na mamlaka yake kamili
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn 10 ай бұрын
​@@mhogomchungu7168Mukishapata vitambulisho vya mkaazi munajifanya wazanzibar, mzanzibar gan anayejielewa anayekubali muungano huu wa kihuni
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 10 ай бұрын
​@@mhogomchungu7168Labda Mtanganyika unayeishi Zanzibar ila kwa Mzanzibari halisi hawezi kuongea utumbo huo
Hotuba ya Othman Masoud, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
30:16
The Chanzo
Рет қаралды 3,7 М.
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 155 МЛН
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 33 МЛН
"Maslahi ya Zanzibar na Wazanzibari, kwangu ni muhimu zaidi kuliko cheo".Mhe. Othman Masoud Othman
2:59
HOTUBA YA MHE. OTHMAN KUSINI PEMBA
37:50
Makamu Wa Kwanza Wa Rais Zanzibar
Рет қаралды 2,6 М.
Gumzo na Othman Masoud: Ajenda ya Zanzibar - Silsila 1
27:42
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 9 М.
Jussa aweka mambo yote hadharani kwenye mahojiano haya
47:46
Weyani Tv
Рет қаралды 1,9 М.
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41