Huu Ni Uovu!! TUNAHITAJI WAZIRI MASAUNI NA IGP WAWAJIBIKE" WAKILI MWABUKUSI AWAPA KIBANO Kikalii!!

  Рет қаралды 7,682

Baharia TV

Baharia TV

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 ай бұрын
Polen sana makamanda wetu nijinsigani inaonyesha serikali ilivyo ishiwa sera sasa wanaona tu kutumia ubabe kwasera zakushawishi wananchi wameshindwa sasa wanaona njia sahihi kwao ni kutumia ubabe ila sisi tupo pamoja namakamanda wetu hata iweje kunasiku mateso ya makamanda wetu yatajibiwa tu kwawatetesi wetu kwawatu wasio nasauti
@MzeeMkoloni
@MzeeMkoloni 2 ай бұрын
Nchimbi ni Jembe hana upuuzi wa ccm
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 2 ай бұрын
Ifike atua watanzania waache utoto mtumie akili yakufilia msiwe mnapapasa papasa tu ukweli upo wazi asikari wakubwa wote makamanda wote wa nch hii niwanachama wa ccm wanatumika na ccm na wanatekereza amuri ya chama Chao uasikari imekua kimvuli Chao ila wote nimakada wa ccm Koo msiumize vichwa chamsing nikuangalia njinsi yakufanya katika hayo
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 2 ай бұрын
Utumwa huu sijui Adi lini😂😂😂
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Tanganyika ndiyo tunaingia utumwa wa kibabe. Kwa sababu hali ya polisi walienda kweli walienda kusoma? Hapa Tanganyika hakuna sheria, wanachochea matatizo lakini polisi wanatumika vibaya sana. CCM sasa ni watekaji wakubwa kwa kujificha katika vyombo vya polisi
@MwesigeMwesige
@MwesigeMwesige 2 ай бұрын
Tanzania bado utumwa wafikla
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 2 ай бұрын
Massauni ukitaka Uanasiasa Rudi kwenu.Tuachie.Tanganyika yetu.hupohupo.Kutekeleza yasiyotegemeka ktk jamii.Siasa sio Taarabu.Unaiendesha vibaya hiyo Wizara Yariyotokea Mbeya unapaswa.Uwajibike.Wewee na IGP.< msituaribie Taifa letu.
@danielkanso
@danielkanso 2 ай бұрын
Kwa mawazo yangu nafikiri maafisa wa police warudishwi madarasani Jeshi la police wanatumika sana pasipo kufuata utaratibu wao
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 2 ай бұрын
Kuna haja ya police Tanzania kufundishwa sheria maana wanayoyafanya ni matendo yasiofaa na aibu Kwa taifa
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 2 ай бұрын
Ndugu elewa kwamba hata Kama sheria wanazijua wakishapewa maelekezo kutoka juu,wao hutekeleza tu kwa sababu wamekula viapo, namaanisha kwamba wakati mwingine polisi hufanya mambo kutokana na viapo vyao, polisi akipewa maagizo na mkubwa wake asipotekeleza anawajibishwa yeye! Kwa hiyo tatizo liko kwa viongozi wa juu! Kuanzia Rais na jopo lake lote! Dawa ni kuikataa ccm na Serikali yake na vibaraka wake wote uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, mitaa, vijiji, madiwani, Wabunge na Rais! Msiwachague hao mashetani wa ccm!
@leonardmao3311
@leonardmao3311 2 ай бұрын
Hawa polisi washitakiwe mahakamani na walipe hasara kubwa waliyoingizia chama. Wamesababishia watu Kupoteza mamilioni ya fedha za umma - gharama kubwa ya usafiri !!!! bure bila huruma ni unyama mkubwa sana. Wamepandisha hasira ya nchi afadhali wafe jehanum kwa kukosa ubinadamu na kuwadhalilisha viongozi wakuu wa chadema. Nimechukia sana.
@gililwise
@gililwise 2 ай бұрын
Yaani ndo shida watu wa dv 0 hawajui sheria za nchi naomba wafundishwe sheria na wasome katiba
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 2 ай бұрын
DR. NCHIMBI JIUNGE TU NA CDM HUKO CCM HAKUKUFAI WANA BUSARA KIDOGO. NA NDIO MAANAHUKUFURAHISHWA NA UCHAGUZI WA MAGUFULI.
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 2 ай бұрын
POLISI MSITUMIKE VIBAYA KAMA KONDOM IKITUMIKA HATIMAE NI KINYAA KWA WALIOTUMIA NA WATU WENGINE
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 2 ай бұрын
Rais wa TLS Tusaidie watawala Hawa Wafikishwe Mahakamani. Tunaishi kama Wakimbizi
@danielkanso
@danielkanso 2 ай бұрын
Wachukuliwe hatua haki ijulikane ni kwenda mahakamani fungua kesi wapigwe ndani
@FosterBwalya-rh9lh
@FosterBwalya-rh9lh 2 ай бұрын
🎉 mti mwema hupigwa mawe
@HonestMchau
@HonestMchau 2 ай бұрын
Duuu
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 2 ай бұрын
Serikali ya majambazi uovu tupu je Kuna uchaguzi kweli tuacheni TU Hawa wamejipanga kutumia polisi kuua kuteka kudhulumu na kuiba uchaguzi tujaribu mahakamani
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 ай бұрын
Kama upinzani hautakiwi hapa futeni kishelia tujue upinzani sasa basi tz haitupasi kufukuzana kama paka na panya msije umiza watu bule
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 ай бұрын
Mwabukusi uwe unatumia akili waziri awajibike kwa sababu zipi??!! maneno aliyokuwa anayesema. mwaipaya niyakuashilia amani au uvunjifu wa amani .tena hao viongozi wangekamatwa na kupigwa hasa mwaipaya aende kenya anakotaka vijana wawe kama Kenya hapa Tanzania.
@StevenNyanguye
@StevenNyanguye 2 ай бұрын
Unacho kisema yawezekana upo xawa ila mbona hawajapelekwa mahakan, nikufuatia mala kadhaa upo vzur
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 ай бұрын
Mabolice huwa yanatumika na fisiemu ni kama toilet paper hata yakiambiwa yapige. Risas mama zao yanapiga yanachoangalia hapo ni mautumbo yao
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 113 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 351 М.
Ask. Bagonza: Taifa hili ni kubwa kuliko #CCM na #CHADEMA.
32:16
ELCT-Karagwe Diocese
Рет қаралды 16 М.
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН