Inaumiza sana hizi hotuba tunakumbuka na kukulilia baba kama umeenda kwa mipango ya mungu roho yako aiweke mahali pema peponi.AMINA.
@ProphetM-c9o3 жыл бұрын
Hawa ndio viongozi wazalendo, wanaokuwa tayari ku sacrifice maisha yao kwa ajili ya Watanzania. Hayati J.K. Nyerere na J.P. Magufuli, mtuombee ili Watanzania wote tuwe kama ninyi. Amina.
@malcomg10043 жыл бұрын
Kusema ukweli hawa washenzi waliomuua Magufuli wametukomesha haswa.Tz ilkua inakuja juu sana chini ya huyu mwamba,sasa wametuondolea Rais wetu hatuna tena pa kukimbilia,RIP John wetu😭😭😭😭😭😭😭
@aminakm20093 жыл бұрын
Kwa uchonganishi wawo nima exoert njo chenye walisomeyaga long live hayati tutatembeleya nyao zako daima ❤
@abdallahsiraji99193 жыл бұрын
Magufuli ni shujaa na Mzalendo wa kweli.Ana utu na hana ukibaraka hata chembe. Tumuenzini kwa kuzalisha Umagufuli mwingi. Wakipatikana Magufuli wakutosha ndo tutakua tumejikomboa waafrika na wa Tz. Tumuombeni sana Mungu atusaidie na siai tujitahidi kila mmoja kupambana na kulinda Rasilimali zetu.....
@jonimarwa5972 жыл бұрын
Marais waliokuwa tofauti na wengine ni Hawa tu! Wawili Mungu awalaze mahali pema peponi Amina!
@laiserkuyan60753 жыл бұрын
Mungu Ailaze Roho yako maali pema pempeni Baba wetu Mimi Bando sijaamini kama umetutoka Najua siku moja utarudi tu mungu Ni wsmajabu maisha yangu yote sitawai kukuzau Rais wangu
@zuhurakassu14273 жыл бұрын
Umeona bb wa taifa maneno. Mazuri huyu ni km maguful hivo hayat maguful alikua sahihi wivu wa maberuberu
@hallin95613 жыл бұрын
Africa kila anapotokea raisi mwenye misimamo na mzarendo na nchi yake uwa anachukiwa na wazungu adi waafrica wenyewe.. Tunawapenda kama wakina mobutu wanaouza nchi kwa mabeberu
@oscarkasalile84423 жыл бұрын
Mzee hayo maneno mazito uliyoongea hatuwezi amini kuwa umekufa kwa ahadi ya mungu. Ila kama ni mungu amekuita basi mungu ashukuriwe. Nenda salama shujaa wa afrika.
Alafu mnasema samia ni rais au kibaraka tu huyu mimi rais wangu ni magufuli sio samia huyo samia sijamchagua mimi na sitaki hata kuiona sura yake huyu kibaraka mkubwa
@yoakimmsuha96363 жыл бұрын
1 barid kwa mangi naja kulipa
@makongoronyerere25953 жыл бұрын
True
@eliaslazaro28092 жыл бұрын
Hata mm mwenyewe bas tu nilivompenda Magu yaan!
@adamuselemani61732 жыл бұрын
Kweli kabisa
@juliusmnkondo55742 жыл бұрын
Mungu pumzisha roho za wapendwa wetu Hawa tunawakumbuka sana
@martinmsonga22903 жыл бұрын
Asante Baba
@ndamarevocatus49183 жыл бұрын
ULITUAHIDI KUWA PAMOJA NASI NA UKAWA KWELI, UKATUOMBA TUKUOMBEE NA TULIKUOMBEA KWELI, SEMA MUNGU NDIE ALIAMUA KUTUTENGANISHA KIMWILI LAKINI BADO TUNAISHI KWENYE MAONO YAKO TULIOKUWA TUNAKUELEWA NA KUKUAMINI.
@mitanakadorho23563 жыл бұрын
Jamani, nalia kila siku, wapi tena tutapata mtu kama Nyerere na Magufuli?
@rashidkassim78369 ай бұрын
Mungu hawalinde ma legend
@jayfourtv1153 жыл бұрын
Yaani kama yupo hai maana hizi hutuba nazihisi kwa hisia kama namuona akiwa jukwaani namuangalia na kumsikiliza mr jpm
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Umeona EE yani zipo kali zamoto
@naaanaina28503 жыл бұрын
Huyu mfalme kweli alikuwa tunu kwetu, Mungu amsamehe makosa yake na ajalie ndoto zake zidumu na ili Tz yetu isonge mbele, maneno aloongea Jpm ktk hii hutuba ni mazito sana kama ukiielewa
@lirastanley3903 жыл бұрын
Ni kweli kbs
@salehestambul55353 жыл бұрын
Anachonifurahisha, ni Kama anaongea na familia yake kwa uchungu sana, ona akihutubia kundi kubwa la kimasikini ktk nchi yenye utajili wa kila aina. Safi jpm mungu akulaze pema.
@lirastanley3903 жыл бұрын
😀😀😀😀😂😂😂😂R.I.P mtoto mtiifu wa Nyerere uliyeendeleza sera za baba yako mkombozi wa nchi JKN...daima tutawakumbuka
@mosesmzakwe77743 жыл бұрын
Kaja mwakilishi wa wazungu sasa JPM WEWE ulidhani msaidizi WAKO lakini kumbe alikuwa msaliti wako mkuu. Tunaumia sana wanyonge YEYE kucha kupanda ndege tu.
@zakariampompo9533 жыл бұрын
Mzee Uliona Mbali Sana,R.I.P
@davidomach60823 жыл бұрын
This was a leader and shall forever remains so.
@beatricehenry67763 жыл бұрын
Asante mzee wetu Musa no moja tuombee watzd giza limetufunika watesi wetu wameanza kututafuna
@ernestmasanja25893 жыл бұрын
Hawa viongozi kweli ni wazalendo walikua hawawaogopi Mabeberu viongozi wa sasa waige msimamo thabiti na kufuata nyayo zao.
@husseinmkanga77943 жыл бұрын
Ndugu yangu weshaanza kumgeuka hata mwezi bado.
@radiusbakashaya28013 жыл бұрын
Magufuri nikipata frusa yakulinda kaburi yako angalau nisirpwe nikae nasikiliz a hotuba zako na Picha yako
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Mm mungu angenijalia kipato kila mwaka nindetoa ALUBAM INAYO HUSU MANENO YAKE MAANA NAJIULIZA NITATOA NINI KWA MUNGU KWAAJILI YA MWANA MWEMA HUYU MUNGU ALIVYO RUHUSU AWE M TZ SIONI
@yoakimmsuha96363 жыл бұрын
Namm pia
@pembeelangombe1872 жыл бұрын
Viongoz hawa ndo tunaomba mungu tuwapate tena kama hawa pumnziken kwa amani mungu atawalipa kwa wema wenu kwa watanzania masikini
@mwashibenard22803 жыл бұрын
Huyu mwamba wamemuondosha ila falsafa zake tutabaki nazo daima. Wamekuondoa kimwili ila fikra na umwamba wako upo hai.
@georgedimale38723 жыл бұрын
Mimi najiuliza sijaona samia aki muzunguzia wazungu wala uchumi wanchi yetu sijui ndio tayari wame mshika mana nasikia Wapigaji wanasema nchii ni msikini kitu ambacho hakiwezekan
@michaelmwambona30173 жыл бұрын
Daima tunawakumbuka kwamambo mema na ushujaa mlio tuonyeshea najua kwasasa mlisha kutana hukomliko kwenda nakama ingewezekana ningemuomba mungu awarudishe mmalizie kazi pare mlipo paacha
@jeanmubemba12043 жыл бұрын
dume la mbeugu,ipo siku Mungu awaaibisha mafisadi atamleta magu mwingine
@balkeesfatah88983 жыл бұрын
Ata mim naiman iyo tuombe mungu
@senseiamazing18233 жыл бұрын
Mwambaaaaaaa magufuli rest in peace our president of Tanzania and Afrikaans
@temuemanuel46713 жыл бұрын
Tuendelee kuwaenzi hawa waasisi wetu na tufuate hekima yao.
@johnsonjulius78323 жыл бұрын
Hawa walikuwa ni viongozi wazalendo sana. Pumzikeni kwa amani wazee wetu
@temkezatv43813 жыл бұрын
Safi sana kiongozi hakika africa tutabakia watumwa daima kwa maana wanaotuangusha ni viongozi wetu tuliowapa dhamana ya madaraka
@bennalfamahundi66213 жыл бұрын
Nakubal san ila kun watu nilikua napend waangalie hii link km risu mang kimambi na roma naikubali san tz ila nakerek san na baaz ya watu wachach
@jumakilewa72653 жыл бұрын
Viongozi wa Afrika wanafiki tuwatambue na tuwasute vibaraka wa wazungu hawafai.
@pendomarco89282 жыл бұрын
Mpaka leo najua rais wangu ni JPM mwingine mpaka wananchi tumchague 2025
@alialamoudi97293 жыл бұрын
Huyo mwamba kweli mwanaume sio nyerere yeno hakufanya cho chote wala lolote ni kibaraka wazungu wangereza akafa huko london makufuli mwanaume bwana
@alanusrespicius17963 жыл бұрын
Mzee, vibaraka bado wapo. Tumempata mwingine anaitwa Samia.
@farijalakhalid55583 жыл бұрын
Hamna kitu
@balkeesfatah88983 жыл бұрын
😜😜😜😜
@donaldmwahalende48413 жыл бұрын
Kweli kabisa
@josephatkiliko25463 жыл бұрын
True African leader JK,JPM rest in peace.
@charlesngalya26812 жыл бұрын
Ee mungu walehemu viongozi wetu waliotangulia mbele zako baba JK,Jpm Sasa hivi huku wanatubuluza wanavyotaka wenyewe matajili ndo swali kabisa walalahoi mmmm! Mungu we unaona
@princebuganzilut20473 жыл бұрын
Watakatifu Nyerere , Mkapa na JPM mtuombee huko mlipo. Najua warokole waliokubali vitabu vya mzungu kak bible watachukiavkuwaita hawa wazee watakatifu. Ila wako radhi wawaite wazungu watakatifu. Mnisamehe tu
@patrickmarwa5024 Жыл бұрын
Hakuna kiongozi mzalendo kati ya awa wote hapa tatizo tuliwahi sana kudai uhuru tulitakiwa kudai huru mwaka 2020 hili hii nchi kwa rasmali zilizopo hii nchi ingekuwa mbali sana maana wazungu wangeijenga nchi vizuri kuweka miundo mbinu yote mfano nchi ya south africa wamechelewa kudai uhuru nchi imejegwa vizuri uwezi kusikia leo hii south africa kiongozi akiingia madarakani anaenda kupambna na nishati ya umeme au maji vipo sawa.
@nyambabesikimai27763 жыл бұрын
Kwa kauli hizo mzee asingeachwa salama ni lazima maadui wawe wengi; RIP baba
@shukranipaul54633 жыл бұрын
Nitakukumbuuka daima my sawa bwana kazi ya Mungu haina makosa
@kennirochok50673 жыл бұрын
Mzee walikuwai lakini tupo wengi tunakufuata
@arineitwemoses2973 жыл бұрын
Ahsante baba.. Tutakukumbuka
@kawiche49113 жыл бұрын
SHUJAA WETU MAGUFULI TUTAFUATA NYAYO ZAKO ALUTA CONTINUE. The STRUGGLE CONTINUOUS Mapambano bado yanaendelea RIP MAGUFULI UFISADI UKOMESHWE TANZANIA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI. RIP JPM
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Hotuba zako Mwl huwa hazichuji. Hata usikilize asubuhi mpaka jioni ukilala ukiamka bado zinavutia. Kisa uzalendo wa damu. Ukichanjwa ulikuwa unatoka uzalendo sio damu. RIP Baba w 60mil uchumi kati sasa. Hiyo ndio kweli ya Wakoloni. Mungu atuepushe. RIP Mungu akuoneshe uso wake wa huruma.
@thomasmdasi19993 жыл бұрын
Kwli kunavibaraka wanatutesa
@latifabashiru55983 жыл бұрын
Hizi clip hao viongozi washenz wa ccm huwa hawaziskii ?
@edwardmizambwa2373 жыл бұрын
Tumesha dolora Baba, tumerudi awamu ya 4
@richardboaz-mashagospel23463 жыл бұрын
Waliokua wamezoea vya bure
@moricemorice753 жыл бұрын
Dr nyie watu wawili nyie najua mko pepon mungu awe nanyi.
@elishakayagwa93713 жыл бұрын
Nyerere hawezi kuwa peponi, alikuwa mshirikina sana ila mwamba magufuli moja kwa moja amepokelewa
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
@@elishakayagwa9371 🙏🙏
@martinmsonga22903 жыл бұрын
PUZIKA KWA AMANIBABA
@samwelilaizer6612 жыл бұрын
Hawa ndo walikuwa viongozi wa kweli katika taifa letu la Tanzania tutawakumbuka na kuwaenzi daima
@mathiasmb49673 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄 ulikuwa mwaume shupavu,💪💪💪💪 mambo yakakataha😄😄😄, " mambo ya kulima😄😄😄♥♥♥♥.
@yakobomaganga65572 жыл бұрын
Ipo,,cku!!,, Ukweli itajulikana tuu 🪴🪴✍️🙏💞
@aishanassoro83262 жыл бұрын
Unatuliza sana magu wetu tunakukumbuka sana😭😭😭
@oscarkasalile39662 жыл бұрын
Hawa ndio viongozi waliowapenda wananchi wa Tanzania.
@jamesselemani55303 жыл бұрын
Hii video ya Nyerere Tundulissu huwa anaiangalia alivyo kibaraka wa wazungu mjinga yule?
@abdulmalickupete90153 жыл бұрын
Hii ni channel sahihi kabisa
@jumanassoro15522 жыл бұрын
Vibaraka tu ndio wanapo pakukimbilia ubeligiji canada marekani kiongozi wa shoga papa lisu
@salumsamesame17413 жыл бұрын
Dah
@prosperulungi29983 жыл бұрын
Kweli magufuli alikuwa akifata nyayo za nyerere
@salehestambul55353 жыл бұрын
Alichokuwa akinifurahisha ni Kama anaongea na familia yake kwa uchungu mkubwa, ona akihutubia kundi kubwa la umasikini ktk nchi yenye utajili jili wa kila aina. Mungu akulaze pema jpm.
@muzdalfaaladina5192 жыл бұрын
Dah so sad pumzika kwa amani shujaa never hutatoka katika mioyo ya watanzania wanyonge😭😭😭😭😭😭🙏🏻
@meekman18052 жыл бұрын
Tuseme hata huyu Marehemu Nyerere wakati yupo huko UK inawezekana walimfanyia figisu figisu kumuuwa! Au hakuna anaejuwa!
Magufuli ni jeshi kubwa na ataendelea kuishi mioyoni mwetu.
@florianakhweso57492 жыл бұрын
Mungu atatulipizia kisasi Kwa yote haya
@joelnaja99353 жыл бұрын
Hiyo clip ya Nyerere naomba link plz
@yovithaobed55743 жыл бұрын
Amina
@abuukachale11263 жыл бұрын
Africa pasopa , atakaye kuwa na msimamo hawezi kudumu
@nyambabesikimai27763 жыл бұрын
Hawa mabeberu interest yao ni viongozi watakao wasaidia masilahi yao, wafrika tusipokuwa makini kwa hawa wezi wa rasilimali zetu tutasbili sana na kibaya zaidi tunatumiwa ss kwa ss kuuwana kwa kuhongwa pesa na kuahidiwa madaraka pasipo kuhoji faida na hasara
@nestor3843 жыл бұрын
He come to remind us if we want the true development path it is that JPM took.
@mowabumussa79383 жыл бұрын
Magufuli kwanini amewahi kuondoka jamani angeback Kwanza
@augustabisetsa5007 Жыл бұрын
Jamani huyu ni rais kabisa, ,,, MUNGU tupe replacement,, viogoz vibaraka, MUNGU watupilie mbali
@drfred7707 Жыл бұрын
Now we understand that we lost a real Leader
@jumakilewa72653 жыл бұрын
Mimi nashangaa hapa Tz na Afrika b bado viongozi wa Afrika
@michaelmwambona30173 жыл бұрын
Poreni sana kumbe hamkujua yotehayo mama samia nikibaraka wamalekani kutoka mwanzo nainawezekana nakifo cha rais wetu anahusika nakama hausiki vigogo wamarekani wanataka nini hapakwetu nandege yao yamarekani inataka nini hapa jiurizeni na mtapata majibu
@meekman18052 жыл бұрын
Hii nilikuwa sijawahi kuiona.
@samgwazay12082 жыл бұрын
Asante
@kingwatabata42303 жыл бұрын
KIUKWELI JPM DAMU YAKO AITAWAACHA SALAMA KAMA WAMELIFANYA ILO.😭
@fatumaomar7783 жыл бұрын
Dah!inauma sana ,laana itawafuna wanaowaona mabeberu Munguwatu nakuwasujudia kila siku kiguu na njia na wanaokusaliti ,RIP baba yetu JPM
@fatumaomar7783 жыл бұрын
R I P baba wa Taifa Mwl .Nyerere tutawakumbuka daima
@vijanadigital39353 жыл бұрын
"Mabeberu wanamezeya mate"
@nbaben103 жыл бұрын
Zamani umasikini ulikuwa umetawala tanzania rais hatahana tangazo
@jesusnetworkministry3 жыл бұрын
hahahaha visa ya mitaani aisee wazungu
@lugwetunje38966 ай бұрын
Our president is hearing this
@micamathew25953 жыл бұрын
Yaan hii nchi ukiwa mkweli tu bac ujue kuna watu watakuua tu. Wamekuua cyo??? Hawatabaki.
@baltazaryjohn19682 жыл бұрын
Wapumzike kwaamanii jmn viongozi wetuu
@augustabisetsa5007 Жыл бұрын
Majembe haya, MUNGU tupe replacement
@MairaMtaki9 ай бұрын
Mabeberu watuache kwa ni watu wasio wema na hawana shukurani washanyonya vingapi
@allyfutto87633 жыл бұрын
MUNGU yuponasi tutajipigania kufakupona mpaka kieleweke, kilakitu kitakuwa shwari 💪🏽🇹🇿
@amanisima93573 жыл бұрын
Daa mzee Magu ulikuwa ukishusha nondo unaeleweka, tunaimisi sauti yako kusema ukweli sauti ya mama nmeshindwa kuizoea najitaidi lakini bado.
@kawiche49113 жыл бұрын
Watanzania tuwe MACHO na mabeberu
@johnmashauri5143 жыл бұрын
Aiseee Kam tunaelewa watanzania wenzangu huu usia wa baba yetu kakika tutajuta tuwakumbuke sana haw wazee wetu
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Kaa
@Unclerammaschannel3 жыл бұрын
Hakuna democracy ulaya wala America
@petermkandamoshy49393 жыл бұрын
Waliobaki waliahidi kukamilisha yote uliyoanzisha lakini ona kinachotokea, uliowatungua wakarudi wanaleta kero wakidai ni uzalendo.Huku mwenye maulana ya kuzuia akiwa kimya tena mbali kabisa.Viatu vyako vinapwaya.Tunahitaji mtu mwenye maono na ukali ili nchi iende.