INTERVIEW ya Lissu YATIKISA NCHI, Amwaga SIRI MBAYA, Dunia YASIMAMAAAA!!!

  Рет қаралды 36,555

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 4 ай бұрын
TATIZO Huyu mtangazaji HAJASOMA HAFUATILII MAJIBU ANAFANYA MAKUSUDI KATUMWA NA BWANA WAKE MPUUZI HUYO.
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 4 ай бұрын
Mtangazaji hujitambui kikazi. Hujui kuuliza maswali na pia si msikivu. Upo kiHiyo zaidi hapo
@MasungaNekwa
@MasungaNekwa 4 ай бұрын
Safi sana Lisu majibu yako ni kweli na sahihi shida ni katiba mbovu na ujinga wetu kuwa mtaji wa watawala wa ccm
@galamwendagalikunga8587
@galamwendagalikunga8587 3 ай бұрын
Huyu mzee hv akili yake inatunza kumbukumbu kiasi gan.....hasahau kitu ...Mungu mjalie maisha marefu
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 4 ай бұрын
Nyanda kaa vizuri kwenye mahojiano. Weka uwanja sawa, toa nafasi upate majibu yaliyokamilika ndipo ulete swali lingine tafadhali
@AlfredAlfred-yd2mg
@AlfredAlfred-yd2mg 4 ай бұрын
Mungu akupe nguvu lisu tumechoka na dhulma
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 4 ай бұрын
Ningekua mm ninge toka Kwenye hiyo interview.masna huyo mtangazaji ni muoga .nikama anakwepa masaibu ya Lisu.
@xaverymakwi
@xaverymakwi 4 ай бұрын
Rais Mwinyi 1976 alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alijiuzulu kwa kile kilichoitwa mauaji ya Shinyanga maarufu kwa weka pilipili changanya na maji. Baada ya hapo aliweza kuwa Rais wa Tanzania. Je angebaki kuwa na kosa lilelile hata baada ya kujiuzulu?
@ZephaniaMwailugula
@ZephaniaMwailugula 4 ай бұрын
Tundu upo vizuri kaka
@Gilbert-w9e
@Gilbert-w9e 3 ай бұрын
Mtangazaji mbobevu sana uyu. Nakukubali sana kwa mahojiano mkabala yasiyoacha mwanya katika platform zako zote! Tunahitaji mwandishi mahiri. Itapendeza kupata mahojiano mkabala zaidi na viongozi mbalimbali kataka The Big Agenda
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 4 ай бұрын
Kumhoji huyu mtu unatakiwa unywe uji wa lishe unyooshe miguu ujitie nguvu ndipo ushinde.
@onetwo12981
@onetwo12981 3 ай бұрын
🤣🤣🤣
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 ай бұрын
Wote hao ni wanafiki sana. Na Tundu Lissu hana unafiki ndani yake. Na Mungu ambariki sana katika maisha yake kwa sababu yeye hana unafiki hata chembe. Yuko katika kusaidia wanainchi na anapigania Inchi yetu Tanganyika.
@josephsamwel8145
@josephsamwel8145 4 ай бұрын
Mpe mtu nafasi ajibu maswali vizuri
@samasob8233
@samasob8233 4 ай бұрын
Mwandishi wa habari anauliza maswali halafu anaogopa majibu, katisha katisha majibu kila wakati, interview gani sasa hutoi nafasi ya mgeni wako kujibu maswali ?? Inaonekana kama mwandishi ameruhusiwa na chama chake au watu fulani kupaka watu matope, kakutana na mwamba!
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 4 ай бұрын
Huyo mwandishi ametumwa mbona unapoongea ukwer hataki kikusikiliza
@MegaVhp
@MegaVhp 3 ай бұрын
Huyo ndio mwanaume Antipas Tundu Lissu Laiti Watanzania wangempa nchi japo mara moja pengine wangejilaumu ni kwa nn walichelewa kufanya hivyo
@PaulKabungo
@PaulKabungo 4 ай бұрын
Kwa haya mambo ukiweka uccm na chadema huwezi Pata point
@GodwinIssack
@GodwinIssack 4 ай бұрын
Ndugu yangu Nyanda nafahamu uwezo wako wa kiweledi ni mzuri tena usio na mashaka, suala la kushambuliwa kwa Mhe. Tundu Antipas Lissu, lipo wazi kama anavyo elezea yeye mwenyewe wala usipate shida ya kumwelewa.
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 4 ай бұрын
Huyu mtangazaji hana tajriba ya mahojiano ange mpa mtu nafasi ya kumaliza mahojiano.
@experiusmrefu1003
@experiusmrefu1003 4 ай бұрын
Nyanda ni pure CCM😮
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 4 ай бұрын
Hapana; Nyanda aweza asiwe.Chama cha wapuuzi, lakini.ni mwoga. Anawaogopa.akima.Nape na machawa wa chama tawala. Nyanda woga wako kwamini ulimwita Lissu wakati huna.uwezo kumsikiliza? Usije dhania sisi ni Chadema.
@WmareteMarete
@WmareteMarete 3 ай бұрын
Toka hapo we mnafiki! .Mbona huridhiki na majibu? Unamlinda Nani?
@EmanueliThomas
@EmanueliThomas 4 ай бұрын
Jibu sahihi ni kwamba siyo kweli CDM hupokea mtu yoyote kama ana mvuto bia kujali maadili kwa lowasa kosa lake Iko kimfumo ambayo kwa CDM asingeweza kupata
@beinafuu6219
@beinafuu6219 4 ай бұрын
Mnavyoviandika hata havina usiano na kilicho semwa na lisu
@SaidMrisho-du1fm
@SaidMrisho-du1fm 4 ай бұрын
✌✌✌
@petsmore9955
@petsmore9955 4 ай бұрын
Huyu mtangazaji ni feki tena lichawa likubwa. Sijui amesoma wapi hiyo taaluma yake. Anauliza swali halafu badala ya kutoa nafasi ya majibu sahihi yatolewe kwa kina anavuga tena hayo majibu. Ni akili kweli au tope?
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 4 ай бұрын
MTANGAZAJI KAMA MWANAMKE, HAELEWEKI NA HAJUI ANACHOKIALIZA AKAJIFAHAMU🤣🤣🤣👀 MTANGAZAJI NI BANGI TUPU👁️👁️
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 4 ай бұрын
Nchi Imrkuws Ya Kikuma Sana, Sasa wewe mtangazaji unamaswali ya kutumwa..acheni ujinga Star Tv
@PaulMhufu
@PaulMhufu 4 ай бұрын
😮 bbh
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 ай бұрын
NYANDA MWACHE LISSU AKUELEWESHE ANAYOYAFAHAMU
@alextarimo4972
@alextarimo4972 3 ай бұрын
Mwandishi kasome huna iq kabisa
@rasnchimbi
@rasnchimbi 4 ай бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
@FortyMwamba-kq5js
@FortyMwamba-kq5js 3 ай бұрын
Kenge umetumia picha ya kikeke wakati sio yeye,,fala wewe
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 4 ай бұрын
Wazungu wamepiga hela kiurahisi
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 4 ай бұрын
Kiukwer mahakama zetu zinapewa maelekezo nawatu sio kufata Sheria nishida sana
@George-jz3jg
@George-jz3jg 4 ай бұрын
Hapo kwenye kufanya utafiti ndo chenga inapoanziaga hapo uhuni wa chadema na uchafu wa chadema ndo ulipoanzia hapo. Issue ya lowasa kugombea urais kupitia chadema huo ulikuwa uhuni tu na utapeli tu tunachokijua hapo nyie mlikikodisha chama kwa lowasa na mlimpa lowasa chama kwa pesa ndefu sana. Na hamjawahi wataja waliohojiwa na hiyo timu ya watafti
@MichaelJoashi
@MichaelJoashi 4 ай бұрын
Hiki kichwa ukikaa nae kwenye mjadala ujipange
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 4 ай бұрын
Hongera Nyanda
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 4 ай бұрын
acha ubaa wako makonda anafanya kazi nzuri Arusha kama alivio fanya dar es Salaam wana nchi wanafurahi sana jinsi anavowahudumia kama mh Ali hapi alivo wahudumia wana nchi wa iringa
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 4 ай бұрын
Tundu lissu ??? leta Kabila Yako tuijue ya Halima mdee inajulijana kwanzia walio zaa mababu yake lakini Yako haijulikani Tanzania kuna Kabila 124 Yako niipi ??Kati yahizo Kabila Mia na ishirini nane ???
@godamc
@godamc 3 ай бұрын
Lissu mnyaturu
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 4 ай бұрын
Kama wewe unavotaka kuharibu taifa
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 4 ай бұрын
Kwaujuwaji wako na ungwana wako awakuwezi kwa point zako na pia wewe sio mwizi kama ma ccm wakoloni Weusi kwa sasa wauza bandari za tanganyika
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 4 ай бұрын
Tundu lisu hayupo mwandishi mwenye uwezo kuhoji asijibiwe naweza kusema hayupo mwenye skili ya hali yajuu tanzania yote ukianzia visiwani hadi bara.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 4 ай бұрын
Wandishi wa habari habari zao zinaandaliwa na wizara ya habari hata sisi darasa.la saba hatusomi magazeti yenu watu wanasoma kwa sababu ya michezo.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 4 ай бұрын
Poa
@GodwinIssack
@GodwinIssack 4 ай бұрын
Yeah kwa Ulimwenguni hayupo mwandishi wa namna hiyo.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 4 ай бұрын
We lifisiyemu achana na lisu akili kubwa
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 4 ай бұрын
Mwandishi huyo wahabali ametumwa mbona mbishi sana
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 4 ай бұрын
Tunashukur Tundu Lisu kwakutusemea nchi hii imejaa viongoz wetu wezi mno niwezniwez wakutisha
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 4 ай бұрын
Mnamuita Mtu Ku interview halafu Hamtaki Majibu yake...
@issaali1321
@issaali1321 4 ай бұрын
Huyu mtangazaji haufai ata kuitaviw mbuzi .
@yohanakadiva839
@yohanakadiva839 3 ай бұрын
Ukimuinterview Lissu hutakiwi kuogopa, utaharibu interview au personality yako. Wewe mwandishi ungetulia upewe majibu yako uliyouliza.
@MasungaNekwa
@MasungaNekwa 4 ай бұрын
You are a righteousness man and a hero of Africa may the Lord the God of armies bless you big up Mr Lisu
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 4 ай бұрын
Wanajua wewe ni mwanaume usieshindika hata kwa risasi Akili kubwà ya tz risasi ziligonga mwamba kwako kwa sababu Mungu yuko upande wako
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 4 ай бұрын
Wanajua wewe ni mwanaume usieshindika hata kwa risasi Akili kubwà ya tz risasi ziligonga mwamba kwako kwa sababu Mungu yuko upande wako
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 4 ай бұрын
Mtamgazaji usiwe mnafiki.kwanini hutaki kuelewa.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 4 ай бұрын
Wewe mtangazaji unataka majibu au unatafuta Lissu anashindwaje mbona unachimba ruzuku ya mtego wakati hawategeki?! Ccm watumie mabavu lakini uongo una mwisho
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 4 ай бұрын
Hata mwinyi alitubu akapewa uraisi
@IddyMustapha-tj4du
@IddyMustapha-tj4du 4 ай бұрын
Lisu ni jinias wanamuogopa atawaaibisha kinoma nomaaaa
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 4 ай бұрын
HUYU anauliza Swali la kupigwa risasi, Huyu Msenge KWELI yeye HAJUI mfumo Huyu
@shizoshop2469
@shizoshop2469 4 ай бұрын
Eti magufuli alikuwa na kingereza kibovu kibovu sana😂😂😂😂😂😂
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 4 ай бұрын
Wee Msenge mtangazaji UNAPEWA MFANO unakataa kwa Nini?
@yokoi3970
@yokoi3970 4 ай бұрын
Msenge tena shoga ana cheka kma fala. Mshamba sana
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 4 ай бұрын
hakuna msenge kama ww unae tukana shoga ni ww
@yokoi3970
@yokoi3970 4 ай бұрын
@@allonjoseph5467 imekutouch eeeeh ndio tabia zenu kuwaswa waswa.
@George-jz3jg
@George-jz3jg 4 ай бұрын
Mwandishi ningepata namba za tundu lissu nimwambie ukweli namna anavyojichafua na na hiyo habari ya lowasa kugombea urais kupitia chadema
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 4 ай бұрын
Wewe George unatokea wapi? Tundu lissu anajichafuaje wakati kuna kana miaka 7 mbele tangu Lowassa ajiuzulu na chama kilimpitisha mapapa wakagoma ndipo Slaa akampokea?!
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 80 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 9 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 56 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 22 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 9 МЛН