Ooooh! Haleluyaaa! Utukufu kwa Jehova astahiliye,nimepata kitu Cha kutembea nacho kiroho ktk changamoto yangu! Maana namimi ni muhanga na kelele nyingi za shetani na kupitia wanadamu ni nyingi,lkn Yupo Yesu aliyeiumba mifumo ktk mwili wa binadamu MUbarikiwe sana na Yesu watumishi wa Bwana Dr .Salvatory na mama P Yesu awapandishe zaidi
@shadrachkamyori99116 ай бұрын
Ushuhuda mzuri. Mungu awabariki sanaaa. Maajabu ya Mungu mwenye nguvu.
@josephmutemi74947 ай бұрын
Amen
@jesusforlife.50727 ай бұрын
To God be all the Glory, tunasubiri hilo kongamano kwa imani kubwa mmmno..Mungu atufanikishe katika hili, tumeshalifungua katika ulimwengu wa roho na linadhihirika katika ulimwengu wa kimwili sasa! katika Jina la Yesu. Amen.
@MnanilaMrsmnanila7 ай бұрын
Mungu huwa anawaonyesha wachawi na boss wao kuwa yeye ni zaidi ya uchawi wao.
@gracekiondo25416 ай бұрын
Tena nasikia siku hizi Wachawi wanawapa watu ukimwi.yaani unaumwa Ukimwi wa kichawi! hawa watu ni washenzi sana bora Mungu awape maisha mafupi wasitese watu.
@rerisamba7 ай бұрын
Nasikiaga hio kusafishwa usiombe ni uchungu kweli pole sana
@BarikielHagite7 ай бұрын
Huu ushuhuda umenigusa Mimi na mke wangu hatujapata mtoto ni mwaka wa 3 sasa na mke wangu anapata matatizo ya kutokuona siku zake kwa miezi 6 mara 4 na anakiwa dalili za ujauzito ila akipimwa anaonekana Hana mimba😭😭😭 imekuwa jambo linaloniumiza kihisia na kiuchumi kwa kiasi kikubwa kwa kimpeleka hospitali mbalimbali naombeni maombi yenu watumishi wa Mungu NAMI anikumbuke nichoka kwa psychological torture ninayopitia
@agnethapaul60577 ай бұрын
Fuatilia promover tv utapata chanzo Cha tatizo na utapata namna sahihi ya kuomba na tatizo litaisha
@JifunzeNenoLaMungu7 ай бұрын
Mpendwa Mtafute Mwalimu Steven Jacob wa chanel ya Huduma ya Kristo
@angelkabanza70027 ай бұрын
Usikate tamaa Amini Mungu anaweza yote atakupa kwa wakati uliotarajiwa.
@rerisamba7 ай бұрын
Mpendwa achana na mahospital hizo pesa unazo tumia huko zilete kwa Bwana
@edsonmaleko17006 ай бұрын
Pole Sana, Mwamini Mungu atakutendea, muda ukifika mtapata muujiza wenu, Mungu ni mwaminifu Sana hata waacha,
@mwikalicatherini60927 ай бұрын
Amen 🙏
@agnethapaul60577 ай бұрын
Asante Dr kwa ushuhuda mzuri kabisa!
@dr.salvatorymakwetamlaga58647 ай бұрын
Asante. Tunamshukuru Mungu kwa neema ya kushuhudia kumtukuza Mungu.
@gracekiondo25416 ай бұрын
Sasa jamani hayo yoteeeee! Wachawi wanataka nini?
@bobutingababayo50477 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu akika ushuuda huu unajenga na wa baraka sana Mungu aendelee kuwatunza ninyi na familia yenu
@angelkabanza70027 ай бұрын
Amen.
@dr.salvatorymakwetamlaga58647 ай бұрын
Amen. Sifa na utukufu kwa Bwana
@rerisamba7 ай бұрын
Wachawi wana mchezo kweli ati inaandikwa paracetamol nakumbe sivyo mmm wachawi shikamoo