Pt2_USHUHUDA WA NABII MKE WA CONGO MARIAM KINYAMARURA "ALIJUA KWAMBA ATAUAWA KWA KUCHINJWA"

  Рет қаралды 4,330

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер
@EspoirMlondani-w9c
@EspoirMlondani-w9c 7 ай бұрын
Amin nimependa ushuuda huu Mungu anatupenda
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu 7 ай бұрын
Baba Mtumishi ameeleza ushuhuda vizuri. Abarikiwe sana na sifa zote zimrudie Mwenyezi Mungu Mtakatifu na mwenye neema na rehema.
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 7 ай бұрын
Mungu apewe sifa milele.
@samjosh12
@samjosh12 7 ай бұрын
Ningependa sana ndugu mtangazaji, mtumishi wa Mungu afundishe somo la ndoa.
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 5 ай бұрын
Mimi ninashangaa mwanadamu kupewa nafas na kutukuzwa kuliko Mungu. . Mungu aturehemu
@tamarali8325
@tamarali8325 7 ай бұрын
Ameeeeeeen Utukufu kwa Yesu Yesu ni mweza wa yote. Promover Barikiweni sana. Mtumishi endelea kufanya kazi ya Mungu
@urithiardhimedia
@urithiardhimedia 7 ай бұрын
Matendo ya Mungu ni ya ajabu sana
@frolianhulubano6358
@frolianhulubano6358 7 ай бұрын
Utukufu Utukufu Utukufu ❤
@gracekinyaki2376
@gracekinyaki2376 7 ай бұрын
Barikiwa
@xcaliber8300
@xcaliber8300 7 ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho.
@collinslisievi1596
@collinslisievi1596 7 ай бұрын
Amen
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 7 ай бұрын
Ameeeeeen
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 5 ай бұрын
Mmmmm
@Misigaro8246
@Misigaro8246 7 ай бұрын
Naomba muulize huyu baba marium alikiwa na valiaje nahitaji nivae kitakatifu
@gracekinyaki2376
@gracekinyaki2376 7 ай бұрын
Kitabu tunakipataje
@RivonaNtanyinya
@RivonaNtanyinya 7 ай бұрын
Amen Ameen, naomba nisaidie namba zake
@joeblessbu
@joeblessbu 3 ай бұрын
Abela pazuli san
@moraarebecca3627
@moraarebecca3627 7 ай бұрын
MUNGU ATUKUSWE .WANANDOA AMBAPO MAHAHARI HIJAIPWA NI VIPI? NAOMBA MCHUNGAJI ANGEGUSIA TAFADHALI!
@ElizabethMuia-ro9yh
@ElizabethMuia-ro9yh 7 ай бұрын
YAAANI HAPO KWA NDOA ANAFUDISHA VILE PASTOR EZEKIEL WA NEW LIFE CHURCH MAVUENI MOMBASA KENYA 🇰🇪 KENYA TUJIFUNIE KUWA NA EZEKIEL
@ElizabethMuia-ro9yh
@ElizabethMuia-ro9yh 7 ай бұрын
PASTOR EZEKIEL ANAFUDISHAGA EXATRY KAMA HUYO, MIRIAM HAPO KWA NDOA KENYA 🇰🇪 TUJIFUNIE KUWA NA EZEKIEL KWA MAFUDISHO YAKE
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 7 ай бұрын
​@@ElizabethMuia-ro9yhWewe achana na mambo ya Ezekiel. Ni nabii wa Shetani huyo. Inaweza kuwa anasema ukweli mara mingi ila si mtu wa Mungu.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 7 ай бұрын
Ameni na MUNGU ATUSAIDIE MBINGUNI NI MBALI ILA TUJITIE MOYO
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 7 ай бұрын
mbinguni si mbali . ndo karibu kuliko sehemu yeyoteile. huhitaji nauli unajiandaa tu, siku moja kufumba na kufumbua unajikuta umefika
@roidayoab9918
@roidayoab9918 7 ай бұрын
Tunaomba namba yake ubarikiwe ntumishi
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 7 ай бұрын
manabii wa hivo anaweza akawa hata sim hana
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 7 ай бұрын
Ule Mariamu alikufaka zamani huyu Baba anasimulia tu alioyaona na kushuhudia vile Mungu alikuwa anamtumia Mariamu
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 7 ай бұрын
natamani kujua alikufaje, akiwa na miaka mingapi , mwaka upi
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН